Nyimbo zake ni nzuri sanaaaa na ni kwa Kiswahili tunasikia vizuri na zinajenga msikilizaji. Na waimbaji wote wamevaa kitaduni hakuna minywele ya bandia ni natural safi ii. Nimekupa 100percent brother .Nitakua natazama gospel za Kimasai . Wamasai juu mbarikiwe.
Amen, Amen n Amen, for this time was unwell now have gained strength. Dancing is power against the enemy dance as often as you can, no shame, you're dancing before the Lord. Lovely night
Hakika kweli huyu ni mtumishi wa mungu Hawa wengine nikupiga makelele tu Yani nyimbo zake nazipenda sana Hadi nasikia Raha mungu azidi kukubariki Yani nashinda nikizirudia na sichoki 💃💃