Тёмный
No video :(

PCK na Elly anayedai kuwalipa Mbosso na Ray Vanny Toronto na kupoteza show wararuana mtandaoni 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 165   
@kaditokenya6873
@kaditokenya6873 Месяц назад
Kikubwa kuelewana wanetu tusukume gurudum la mziki wetu sote tunapambania kombe la mafanikio ❤
@mahmoudmihanjamu669
@mahmoudmihanjamu669 Месяц назад
Waswahili nongwa mpaka ugenini😂😂😂
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 Месяц назад
Habari zako na Mbosso sisi hatuzijui, unatukera na vidharaudharau vyako, mara useme sisi huku bongo ndio tunapapatikia mastar huko ulaya hampapatikii wasanii, haya leo unasema watu wanavi-bundle vya mia tano, yaani unaonekana una ulimbukeni fulani hivi, kama hutaki backlash usituhadithie shida zako kwenye mitandao especially kama huwezi kuwa respectful unavyojielezea, watafute wenyewe directly
@user-vq2cb7fn8f
@user-vq2cb7fn8f Месяц назад
Mbona naskia we mwenyewe tapeli wa kimataifa jamani hee dunia si mama
@user-en6kf2db6f
@user-en6kf2db6f Месяц назад
SNS sindio wanayakuza mbwa Hawa nahuyo kijana wa TikTok
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf Месяц назад
the conflict of interest, ila acheni kuitana waburundi wala watanzania kwa sababu waburundi, na wacongomani ndo wanajaza tamasha zenu nyinyi wa promotor , ukizingatia watazania ni wachache mno acheni kungobana please from North Dakota 🇺🇸
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Месяц назад
Mziiiki wetu una safari ndefu sana kama mapromota tu wanagombana
@caesar7745
@caesar7745 Месяц назад
Mkataba uko wapi unaonyesha ulilipa pesa
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Месяц назад
Kwa watu wanaoshirikiana biashara hiyo sio hoja labda kama biashara ya kitapeli sawa,
@ndikumasabodiegovevo9091
@ndikumasabodiegovevo9091 Месяц назад
Ismail niyonkuru njo umuskie pck Tena kapiga mtuu😂😂😂😂
@TTT80533
@TTT80533 Месяц назад
Ni Sisi ameruibia Pesa Mingi İcyo ni Ki Devil 😈 na kuji explain na Uongo Ukimwona anasema Unazani ni mtu mzima Shetan PCK
@zitongwang6278
@zitongwang6278 Месяц назад
Bro wew NI muongo pck nadhani yupo sahihi Kwa kuwa wew ulianza kuwaatack mbosso na rayvany MITANDAONI , na kama ulijua kabisa umemlipa pck basi ungeanzana naye na sio wasanii .😁🇹🇿
@gypsummzuri_tz
@gypsummzuri_tz Месяц назад
SASA KWANINI UMLIPE PCK NA SIYO MENEJA WA MBOSSO AU RAYVANNY???
@Vivannykizzy
@Vivannykizzy Месяц назад
Yy ndo amewaita kule na anaewalipia kila kitu so lazma alipwe yy
@SadaDamas-jh2gt
@SadaDamas-jh2gt Месяц назад
Mueleweshe vixr maana haelewi kinachozungumzwa na wahusika
@SadaDamas-jh2gt
@SadaDamas-jh2gt Месяц назад
kiukweli hapo PCK ni tapeli
@Gody360
@Gody360 Месяц назад
Kazi ipo apo waongo waotee
@user-eb3hf1lm9e
@user-eb3hf1lm9e Месяц назад
Yeye ndo alikuwa amewapeleka huko hivyo Elly alipaswa kumlipa
@Gamba81
@Gamba81 Месяц назад
Wote ndiyo walewale 🇿🇦
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we Месяц назад
Umeonae mbona hata yy anaongeaga bongo
@mrfashion1687
@mrfashion1687 Месяц назад
Elly David yupo sahihi, ila watu wachahce wamemtapeli
@jumamuhamed8636
@jumamuhamed8636 Месяц назад
Yupo sahihi na nn unatetea ujinga uyo Elly ni tapeli mkubwa
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Месяц назад
Wabongo as always, they need to be serious ofcause
@__B.O.B
@__B.O.B Месяц назад
Le Professori Elly David Katalama
@jumamuhamed8636
@jumamuhamed8636 Месяц назад
Tapel tu uyo mbwa
@paulhema5713
@paulhema5713 Месяц назад
Sasa wewe Elly si ungeongea na hao psk na sio kuwachafua wasanii wa Tanzania...
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Месяц назад
Yeye anahaki ya kulalamika biashara ni kushirikiana anaeshirikiana nae ndie aliyetengeneza mazingira magumu kwa mwenzie
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Месяц назад
Iknw you do nice
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Месяц назад
Mchukulie hatuwa uyo jambanzi Koko ana wachafua watu bure Kwa ujinga wake na njaa zake
@officialaftab8760
@officialaftab8760 Месяц назад
Eeh Bwana Noma Bro .Izzatkhan Canada
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
kwani kasema yeye ndio kalipa mbona akusema yeye kalipa wewe nawe mwongo mwongo tu
@user-et8lc7tb3p
@user-et8lc7tb3p Месяц назад
Is true
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Месяц назад
Wewe Elly kama mlilipana na PCK ungepambana nayeye , umekosea kuwachamba hao wasanii hawahusiki na mambo yenu. Uliwasiliana na hao wasanii moja kwa moja? Usiwalaumu, pambana na PCK.
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Месяц назад
Kapumbavu haka kajamaa ndiyo mana hatutaki kukaamini
@Markhomestz
@Markhomestz Месяц назад
Sure kabisa
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Месяц назад
Pck kachukua pesa dola 4000 ya appearance lakini mbosso x Ray hawajui!
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Месяц назад
Fact
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 Месяц назад
Huyo pck ni promoter sio kiongozi wa mbosso au meneja rayvany
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Месяц назад
ELLY we mwenyewe unatia aibu, unaongea too much umeshindwa kutumia akili kuwa huwezi mpa PCK pesa bila kuwasiliana na wasanii au mameneja wao, huo ni ujinga. Kwenye shughuli yako walikuja kuenjoy kama wengine. Mambo ya mademu wake sijui mkewe yametokea wapi wewe mdomo mrefu mno Elly. Umetapeliwa kwa ujinga wako punguza mdomo mwanaume wewe ujue.
@sarastephano3409
@sarastephano3409 Месяц назад
Huyo pck anahistoria ya utapeli na wizi kitambo mkumbuke alivyomtapeli wema
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Месяц назад
Huyu si ndio ule yule alinanili na Wema kipindi kile hadi ikaleta tafran?
@mylasadick5189
@mylasadick5189 Месяц назад
Nani PCK au ?
@TTT80533
@TTT80533 Месяц назад
Uyo uyo Mwizi devil 😈 PCK
@youngtuso3048
@youngtuso3048 Месяц назад
Huyu jamaa Elly anapoint ukimsikiliza Kwa umakini
@user-ui5zo9re8b
@user-ui5zo9re8b Месяц назад
Wasaniwako pole sana pisic
@asajilepaulmwikombe458
@asajilepaulmwikombe458 Месяц назад
PCK ni promoter mkubwa kitambo anandaa show nchi mbali mbali tunamjua kuja kwenye show hiyo sio sababu si ukumbi wa starehe bwana unampakazia tuuu wewe ndio kamba kaka wadanganye wasio mjua PCK maelezo yako hayaja jitosheleza kabisa
@dublea4118
@dublea4118 Месяц назад
Ndio tumekubali but usisahau kwamba PCK ni tapeli na muongo
@Official83640
@Official83640 Месяц назад
SASA KM MUANDAA SHOW NDY ACHUKUE PESA NA KUSEMA ANAWAPELEKA PALE KWENYE SHOW KUMBE HAJAWAAMBIA KINA MBOSO ACHENI KUMTETEA TAPELI HUYO NA NDY MAANA KILA NCHI HAKAI KWA UTAPELI HALAFU SIJDA KUBWA SIJUI ANASWALI NN
@TTT80533
@TTT80533 Месяц назад
@asajilepaulmwikombe, umelipwa na Ule Shetan mkubwa eti ni PCK wakuibia Wa Maskini Mwizi Mkubwa Shatan mwenye hana Huruma yeyote
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 Месяц назад
Wee elly umekaa miaka mingapi Canada adiulete mtu toronto
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Месяц назад
Acha ushabiki wa kitoto jamaa ana hoja ya msingi na ipo wazi kabisa tatizo uelewa wako tu, Harafu hoja yake mbona ipo wazi kabisa na inaeleweka sasa wewe unakwama wapi
@jumamuhamed8636
@jumamuhamed8636 Месяц назад
​@@hashimuuhehwa4252hoja gan uyo Elly tapel tu uyo ww unamjua vizur uyo??
@shukranikayange2275
@shukranikayange2275 Месяц назад
Nataka kwenda Toronto
@user-gc5wi8qq5l
@user-gc5wi8qq5l Месяц назад
Hiv huyu elldavid anamjua phyno kwel ellydavd ana Nguvu gan ya ela kumleta msanii tajiri tena wa nigeria unapo mzungumzia phyno ni kam unamzungumzia olamide kwel ellydavid anazngua
@josephdionizy2868
@josephdionizy2868 Месяц назад
Yaaan kumbe amemaanisha pyino mnyama
@dicksonbrown862
@dicksonbrown862 Месяц назад
😂
@user-lk9rh5xp4u
@user-lk9rh5xp4u Месяц назад
Wabongo bana kutwa vijembe tutakua lini jaman haaa
@gilbertmwakalebela2862
@gilbertmwakalebela2862 Месяц назад
Sasa ww Elly kumbe ulimlipa PCK af unakuja na shutoma kwa wasanii kua umewalipa, si umdai Pck kwanini ulikuja kuwasema wasanii kua umewalipa wakati umemlipa promota. Waombe radhi wasanii wetu
@dennisevarist
@dennisevarist Месяц назад
Haya wenye daddy yao sijui pastor wao waje wamuone huku, nilimpiga mawe kule fb wakasema namuattack baba yao wa kiroho 😂😂, mchungaji gani huyu anahangaika na mambo ya dunia. Ameona uchungaji haujamlipa kageukia mambo ya masela, kuokoka kwa style hii ni noma.
@missamirajiiddy7077
@missamirajiiddy7077 Месяц назад
Wewe muongo na una penda sifa sana
@danieldaudi1631
@danieldaudi1631 Месяц назад
Wewe ni koloboi kweli walio kuwepo wanatoa taalifa pipi wewe unakulupuka tu
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 Месяц назад
Elly wee leo unajitetea kuitwa maskini wakati wee kila mara una dharau maskini. Na unavyo nyonga mdomo sasa
@riosingingandmore8224
@riosingingandmore8224 Месяц назад
Elly anadharau sana watu kuingilia ya sio muhusu
@darlenedada651
@darlenedada651 Месяц назад
Bora wewe umesemaPCK
@tradamus4158
@tradamus4158 Месяц назад
Hata huyo jamaa anaongea uongo saabu mbosso mimi ndio nimemleta huku Canada 🇨🇦 😂
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Месяц назад
Huyu pck muongo hela kachukua usiseme hanauwezo wa elf 4 anapata zaidi ya hiyo, wewe muongo pck umechukua hela Mimi binafsi hiyo hela ninayo Acha kusema uwongo mburundi wewe unajifanya mnjanja Sheria huku tunazielewa wenyewe Sana wewe ndio tukuchafue
@aishaabdallah7769
@aishaabdallah7769 Месяц назад
Pck kanitapeli na mimi 12.000$
@Gody360
@Gody360 Месяц назад
Ni vitaaaa😂😂😂😂😂😂
@AfroMedic
@AfroMedic Месяц назад
Huu ni umaskini 😂😂 mnaleta uswahili nchi za Watu 😂Hii ni comedy 🎭 simulizi za sauti 😂
@salma_6j975
@salma_6j975 Месяц назад
Yule mtoto tapeli sana...mpk ticktock ndio kazi yake kuchafua watu na kutapeli...muongo muongo sana yule ellydevid
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj Месяц назад
Pck mwizi kawaibia wasani
@saidmanjuti7441
@saidmanjuti7441 Месяц назад
mwangalien vizuri huyu elly david sio proffesional kabisa pesa umemmpa pck unaenda kuwatukana kina rayvany na mbosoo kabla ya kutoka nje kuanza kusema umetapeliwa unge kaa chini uangalie ulie mpa pesa ni nan uchukue ata hatua ya kuongea na ma meneja wao kabla ya kutoa hizo pesa na kama pck amekutapeli ni hallai yako kabisa kwasbabu wew sio proffesional
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
Hawa awaeleweki mbona nawewe udai pesa za kina mbosso na Ray kama ulililipa mkataba upo wapi?
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 Месяц назад
Duuuhhh, mnaleta Uswahil mpaka Canada 🤔😢😢👎🏽👎🏽👎🏽 shame on you guys! 🤷🏽
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Inavyoonyesha apo mmezungukana ila sio poa...kwann mnataka kutumiana kupitia wasanii ..mnawaharibia wasanii ...ila apo wamezungukana ila sio poa
@Khairath
@Khairath Месяц назад
Mbosso hataki ajulikane kama alienda club kwenye uongoz atapigwa fain 😢😢😢
@thomsanga7956
@thomsanga7956 Месяц назад
Daah!! Promota maskini wanashida sana aisee!!
@josephdionizy2868
@josephdionizy2868 Месяц назад
Yaaan huyu jamaaa akili anazo ila anajitoa ufahamu tu sasa hapo mboss anahusikaje we mdai uliemlipa
@Gamba81
@Gamba81 Месяц назад
Eti mabando yetu ya mia tano unamaliza na zarau au sio wakati wewe umeambiwa hauna ela umekasilika acha zarau wewe
@KhadijaDija-ir2hq
@KhadijaDija-ir2hq Месяц назад
Kwani uyu pck si ndo yule wa wema😂😂😂
@jacktonmakau3397
@jacktonmakau3397 Месяц назад
Pck ni mwizi Tu wakawaida.
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w Месяц назад
Mtukuze mungu wewe Elly mamiziko ya kodunia ya nini ? Wewe mtafute mungu mbona inajichelewesha
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Месяц назад
Toka wewe uanze kumtafuta umemuona!? Sababu wewe mtumwa basi unataka wote wewe watumwa hee!!
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Uyo pck tapeli nasikia kitambo ata bongo nasikia alitapeli akakimbia
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Месяц назад
Litapeli likubwa hili
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Месяц назад
Aliwatapelini nyinyi
@dinocastico8495
@dinocastico8495 Месяц назад
Acheni mambo ya kike. Sasa kama alipewa pesa yeye pck ww onyesha mkataba wa kumlipa pesa ili uwe na haki na umzibe mdomo mboso aliye kanusha na kukukana. Msilalamike lalamike
@esterpaul5856
@esterpaul5856 Месяц назад
Kumbuken PCK ni bonge la Tapel ..naanza kuamin kwa huyu kaka katapeliwa pesa..
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq Месяц назад
Nmecheka kama Mazuri...pck 😂😂😂Elly Mswahili asaaaa bando za 500 khaaaa
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Месяц назад
Wanaume wanacambana😂😂 okay 👍
@priscillachristiansen4331
@priscillachristiansen4331 Месяц назад
Pole Elly
@hasani565
@hasani565 Месяц назад
Wote ma promota uchwara tu hawana lolote.Njaa tupu...una mana Gani vikiki vya bongo wakati si ndio wewe ulijilipua kama wewe choko
@abdimutesi1393
@abdimutesi1393 Месяц назад
Pck Nimwizi na mimi kaniibiya dollars Zangu eti atanisafirisha nawenzangu wengi mwizi uyo
@afronur1354
@afronur1354 Месяц назад
Hivi kwanini mnawapa airtime haya marundi ‘ waacheni wakapewe kwenye vi nchi vyao huko
@SurprisedBakedCustard-vp8oi
@SurprisedBakedCustard-vp8oi Месяц назад
Kaazi kweli kweli lol 😅
@omarzinga7046
@omarzinga7046 Месяц назад
Elly go with fact ukitaka wasanii wachukue mwenyewe kutoka bongo kimikataba usidandie mishe za watu Elly David 😂😂😂
@KennethMgona-jy4vc
@KennethMgona-jy4vc Месяц назад
Muongo kweli
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Месяц назад
Vdeo ya kwanza kasema mbosso kabeba hela, levo za mbosso na vanny boy kuja club tu 4k imeisha😂
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Месяц назад
Kuelewa jambo kumbe ni kazi! Sasa hujamuelewa nini hapo mbona kaeleweka vizuri sanaa!!
@lusekelosolomon313
@lusekelosolomon313 Месяц назад
Hiyo ni Toronto ya njombe?
@bizomenyimanaelias5455
@bizomenyimanaelias5455 Месяц назад
pck ni promoter mkumbwa wew tangia zamani😂😂😂
@blackschooltv
@blackschooltv Месяц назад
Kwahiyo Mna mgombania MBOSSO
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 Месяц назад
Ila wabongo bana dah 😂 wanakiwasha popote 👐
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Месяц назад
Hao ndio promotas wetu hawataki kuwekeza kwao wanakimbilia nchi za watu na hawana kitu kila kitu ni janja janja tu!
@billskeez92
@billskeez92 Месяц назад
Mahakama imehamia huku mitandaoni jameniiiiiii😂😂😂 mlipane mitandaoni aise
@wisemaliva5376
@wisemaliva5376 Месяц назад
Huyu anaitwa pc kari?😂😂😂au nimesikia vibaya!
@Official83640
@Official83640 Месяц назад
Ukisema anapenda sifa utakuwa unajisifia ww. Yaani ww na yy wote matapeli na mnapenda kiki haswaa haswa ww Pck dah wasiokujua ndy watakushangaa mno Wema hd leo anajuta kulala na ww akikumbuka Milioni 40 zake😂😂😂😂
@user-mw1fw2jt2n
@user-mw1fw2jt2n Месяц назад
Hapa kuna vita yakibiashara ndo nlchogundua
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Месяц назад
Gari ulishachukua kwa Wema sepetu Au ulimwachia
@mam_salum
@mam_salum Месяц назад
Huyu sindie alie kuwa bwana wa wema sepetu
@abdullahnassor9433
@abdullahnassor9433 Месяц назад
Huyu jamaa ni tapeli, ninazo nyaraka zinazoonyesha kuwa anadanganya kuwa anatoka Kongo na anauza dhahabu..akija Dubai namfungia
@bildivaivess3379
@bildivaivess3379 Месяц назад
Mnatutiliya kekele tu bure izi inchizetu uku zina sheriya, issue kama iko serious mahakama inaweza litatuwa bila ata shida na muongo atajulikana tuu 🤷‍♂️🤷‍♂️
@blackschooltv
@blackschooltv Месяц назад
Kumbe vita sio ya Wasanii ni Mapromota ... alafu wewe Elly Maswala ya kiume na Mademu unaweka hazani wewe sio Mwana ... ni Mwanahawa
@meddy6090
@meddy6090 Месяц назад
Asa apo tumwelewe nani jamani
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 Месяц назад
😂😂😂Mbav zang mie
@chilubafedrick5740
@chilubafedrick5740 Месяц назад
hyu kaenda viral kuwalaum akna rayvany na mboso alaf pesa kampa mtu mwingne, how come PCK ndio meneja wao?? we mvae uliempa pesa mzeee
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Месяц назад
Sasa huyu mbwa sijui Eliya sijui nani hizo mashida zake na PCK kwa nini awaingize kina Rayvann na Mbosso pumbavu hayo mabundle yetu ya mia tano kwani huwa unatuwekea ww mmfyuuuu pambana na shida zako😂😂 hayatuhusu
@sund2553
@sund2553 Месяц назад
Future husband wa wemasepetu😂 anyway hawa wa tz wameenda kuendeleza roho mbaya hadi nchi za watu
@user-ui5zo9re8b
@user-ui5zo9re8b Месяц назад
Psk nimwizi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Месяц назад
Saana
@TTT80533
@TTT80533 Месяц назад
Mkubwa uyo ni Devil
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 Месяц назад
Hii ni maajabu😂
@TravoAnandi-qz7fo
@TravoAnandi-qz7fo Месяц назад
Wameyakanyaga kwa digala..pick ila elly kwel baharia msumbuf
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Месяц назад
Wasanii wako tena jamani
@surusuru1994
@surusuru1994 Месяц назад
Kaka usijali. Tanzania hakuna maharamia huyu mkka alimupia wema sepeto
@AbdulatifuRamadhani
@AbdulatifuRamadhani Месяц назад
Mh
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Месяц назад
Picha ya Mboso ilikuwaje ukiwekwa hapo hapo ndio tatizo lilipoanzia, Eti hana uwezo wa Dolla mia mbili mmm
@surusuru1994
@surusuru1994 Месяц назад
Huyo burudi sinyole alombia wema pesa nakubuka 😂😂
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@d-manb-free3478
@d-manb-free3478 Месяц назад
Hutu si and Yule future husband 😂😂😂
@SuzanneMbotcha
@SuzanneMbotcha Месяц назад
Pumbavu ww
@hasani565
@hasani565 Месяц назад
Wewe na huyu mrundi mmepeana hela ili yule mrundi ajifanye ana waleta club ..ndio mapromota kama Nyie mnaona wasani wabongo Wana taka kuza sura kwenye hizo pub zenu
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Месяц назад
Piganeni muuwane😂😂😂😂
Далее