Natoa ushauri leo ningeshauri hivii movie kama hii maudhui ibebe pande mbili kuonyesha dhambi na madhara yake na injili ya kuwavutia wenye dhambi waache dhambi kwa kuumbuliwa na Mungu ili aliyecheza kwa uaminifu afundishe wengine uaminifu na imani inavyofanya kazi katika KRISTO YESU! WANAOMPENDA YESU NIWAONE HAPA! IMANI YENYE MATOKEO❤
Kelvin hongereni sana..ila hii movie hamja maliza vizuri..Inge faa kelvin na Mayasa waowane .Inge faa waandae kamati upya ya kelvin na Mayasa bhana..Inge noga zaidi.ila basi bwana ❤❤❤. pamoja sana
❤🎉 Kevin upewe Maya yako Ila pole Sana na shukurani mumemaliza vizuri Sana Allah awaongoze inshaallah tuko pamoja Sana haya burauni tuletee mwendelezo wa kijana tajiri na mpenzi masikini moenda pesa😂😂😂😂 love ndota tv
Aaa Kila mtu amevuma alicho kipanda Lina usilaumu Rashid ww mwenyewe uliyataka hongera saana kelvin ni wanaume wachache saana wenye moyo kama wako hata singependa siku moja baadae ya ndoa yangu kuishia hapa nimeipenda saana na nimejifunza mengi mungu azidishe kipaji chako kelvin nani kama mm mawazo yake musipite please wenye upendo wa tafsir hii ya siku moja baada ya ndoa nyangu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hapa nmejifunza kuwa malipo ni hapa duniani,na mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.Linah wakati ulipofanya mapenzi na mume wa mamako unadhani aliskiaje.Ama kweli mtaka vyote hukosa yote,Kila mahali mumekosa,Big up sana ,pongezi kwa mafundisho mazuri, Nawapenda sana. KELVIN and your team ,Love you more guys❤❤❤. Watching from Kenya.