Тёмный
No video :(

PESA ANAZOTAKA KULIPWA QCHIEF BAADA YA KUPIGWA NA ADAM MCHOMVU "NINGEKUFA INGEKUAJE" 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 58 тыс.
50% 1

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 150   
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Год назад
Bangi zinamuharibu sana adam
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Год назад
Hawa jamaa wameshakuwa watu wazima lakini wanajiona wavulana maboya kweli Adam mabangi
@ahmedanwar1210
@ahmedanwar1210 Год назад
Q chillah master of English speaking uko juu mwanangu 😂😂😂😂
@anthonikabuye6819
@anthonikabuye6819 Год назад
shule alisoma Q nataman akasome mwanangu mana kama ni lugha tu ipo
@princewilliam6662
@princewilliam6662 Год назад
Kwakua ww hujui unaona anajua
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Год назад
Tumechoka kumsikia anapiga piga watu ovyo.ata makomando wana nguvu lakini hawapigi hadharani.hii isue ifike mahakamani na alipe fidia.
@ben_digital
@ben_digital Год назад
Namkubali sana Adam Mchomvu but kwa hili amezingua..maana ni mara ya pili anarudia kupiga mtu..hawez ku control hisia zake kama yupo online
@nicknoel-fe2zz
@nicknoel-fe2zz Год назад
Mbona ajavimba vizuri ana dekadeka. Adam chuga man wapasewu washonwe nyuzi 15 kama torati yetu ya chuga
@ashaali7154
@ashaali7154 Год назад
Adam Mchomvu vp kaka umekuwa mandonga ? Kwani huwezi kuongea ila kupigana tu? Unaharibu heshima yako na maisha yako. It is sad to see someone like you acting like a hooligan.
@terashangwe255
@terashangwe255 Год назад
Hua anajifanya kisirani
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 Год назад
Acting like??? He is a fu%@^@ holigan .I just hope this time he pays for it
@Mina.15
@Mina.15 Год назад
Maskini Q why usimlambe ata kibao kimoja au kiti meza anything to defend yourself
@consult_alex9411
@consult_alex9411 Год назад
"....Am not the guy with sympathy bcoz my life is full of sympathy it's time to rejoice"... DAMN NO CAP.
@dorahmbeikya5471
@dorahmbeikya5471 Год назад
Huyo Adamu amajivunia nini apelekwe mahakamani afungwe huo ubabe akafanyie segerea Qchila tunamfahamu hana fujo
@rohityalsina1840
@rohityalsina1840 Год назад
Kamtoa menu yote ya juu 😭😭😭😭😭😭😭 daaaah adam nilikuwa namkubar kinoma ila kwa hapa bac
@TolaElisha
@TolaElisha Год назад
unamsaidia nn anmpunguzia nn
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Год назад
Huyo Adam anaaibisha machalii wa chuga
@salimramadhani740
@salimramadhani740 Год назад
Sorry from🇧🇮🇧🇮 Burundi in Cape Town 🇿🇦🇿🇦
@kessyrojas9549
@kessyrojas9549 Год назад
Kweli ugomvi biashara Adam asubir invoice sasa atajuta kujifanya bondia!
@damemoney5140
@damemoney5140 Год назад
Alijuwa yule muimba kwaya akamsamehe kijinga tu
@allyjuju7192
@allyjuju7192 Год назад
Huyo Ndio maana Kapigwa Kinajifanya Kijuaji Sana
@focuspaschal5330
@focuspaschal5330 Год назад
Leo ndio nimemuelewa mond na hamo kuwa na bodygard
@Mina.15
@Mina.15 Год назад
Kachapwa kama mbwa Koko uswalini 😂😂😂
@Mina.15
@Mina.15 Год назад
Kasema Hana pesa za mwabausa
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Huyu umaarufu wao waliutumia vibaya na hana uwezo hata wa bondia mmoja.
@mrmmrm3833
@mrmmrm3833 Год назад
Huyo hana hata haja ya mabaunsa maana anajua yeye mwenyewe ni mandonga mtu kazi ,
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Wakili Kwa akili zake anadhani Taasisi Clouds ndy itamlipa,Ukweli ni kwamba Adam ndy mhalifu wao so kqma mnadhani CMG itawalipa mnajidanganya.
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Год назад
nawewe huna lolote kwenye game now kelele nying acha Adam akufungue akili mmetapa nafasi mkaichezea sasa hivi ndo mnalia lia alie wambieni kufata mambo ya kidunia nani kuliko kazi zenu
@happypiusi3801
@happypiusi3801 Год назад
Huyu adam yeye nani kila siku kupiga watu kwani hii nchi kainunua tunaomba sheria ifuate mkondo wake
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 Год назад
wewe mtangazaji umetumwa nini kuja kumuombea msamaha...na Q chillah ukizingua hii ishu babu tusijuane huyu safari hii lazima ashike adabu yake Adam mwanzo ulipiga kwaya safari hii umepiga mzinga wa nyuki kazi unayo 💪🇹🇿🇦🇪
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Год назад
Huyo mchomvu aje ajichanganye kwangu nampeleka Zanzibar kwa nguvu
@coolmafia9985
@coolmafia9985 Год назад
Huyu mzeee aach mzik analia kis nn et nlikua na bleed sana 😹😹😹😹
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Angempeleka mahakamani na kumfunga anazoea watu vibaya sana
@bushbabytz
@bushbabytz Год назад
Kufa asingekuua ila cha moto umekiona😂😂 adam hachezewi...muulize emmanuel mbasha!!...
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣nacheka km mazur
@terashangwe255
@terashangwe255 Год назад
Acha ujinga
@lamecksayenda
@lamecksayenda Год назад
Kila mubabe ana mubabe wake wewe kama ulikuwa hujui ko unashawish raia wamuogope et c akazichape na mwakinyo uone anavyozikwa!
@ashaali7154
@ashaali7154 Год назад
Huyu huwa anavizia na kumpiga mtu bila kujitayarisha lakini iko siku atavamia mbuyu ndio atajua kuwa hajui mpumbavu na bangi itakuwa sigara siku hiyo.
@theworldproof1221
@theworldproof1221 Год назад
Ukiwa huna hela utang'atwa hata na mbwa wako huyu itakuwa alizingua sahii hana ngoma kwanini Asile makofi simtetei mm
@pascalndege9749
@pascalndege9749 Год назад
Wakili wa machongo huyo 🤣🤣🤣🤣
@adonis-bx7ht
@adonis-bx7ht Год назад
Kwa nini unasema hivyo. Kakosea wapi?
@BackpackeRom
@BackpackeRom Год назад
ni mwanasheria. Sikiliza vizuri
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 Год назад
Jmaaaa anakuwa mdwanzi sana mchomvu afungwe tu
@johndunda250
@johndunda250 Год назад
Uyu jamaa ana nguvu gan ya kupiga watu ovyo siku ata ikanyaga mt wenyew mosh mtupu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Kwanza adam kafanya kosa kubwa kumpiga mtu ofisini kwake ht km kamkosea anaiaibisha tasnia nzima ya uandishi wa habari na pia cloud kwa ujumla. Achukuliwe hatua ama sivyo jeuri itamzidia
@islamkarata9655
@islamkarata9655 Год назад
Nimemmaindi Sana adamu mchovu kwa madharau na unyonge aliofanya angrfanya kwa sisi watoto wa kitanga uyo tusingemchukulia sheria wala kumsamehe tungemuachia Allah tuu mbona izo ngumi angeziweka mfukoni
@denispaulo1295
@denispaulo1295 Год назад
Jama inatakiwa afungwe Wallau miaka 3
@pascalndege9749
@pascalndege9749 Год назад
I think negotiating haitajika
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 Год назад
Muandishi mjinga hatar kesi iko mikononi mwa mawakili unaleta ushikaji Duh kanichukiza sana pumbavu huyu anauliza maswali ya kisen.....ge. whatever happened to professionalism 🙄🙄
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Год назад
Adamu mwenyewe analelewa na mwanamke hana hela ananjaa2
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Год назад
Kusaga fanya kitu huyu Adam anachafua brand ya Clouds...unakumbuka tukio la Mbasha ? Bangi bangi bangi
@selinatogolai3314
@selinatogolai3314 Год назад
Mwandishi wa habari gani mjinga huyo
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Год назад
Hakusoma yule
@bakarikisuda4948
@bakarikisuda4948 Год назад
Tatizo bangi. tukio lapili Sasa analifanya
@marrykimaro9792
@marrykimaro9792 Год назад
Hiyo Adam Mchomvu anajivunia Nini kwa mfano? Qchief hanaga shida na mtu toka tunamfahamu.Apewe haki zake
@LionelRichard-wj6zi
@LionelRichard-wj6zi 10 месяцев назад
Huyu atafute Cha kufanya Kila siku anatafuta huruma Kwa watu
@EdsonSunzu-bd7ki
@EdsonSunzu-bd7ki Год назад
mchomvu ni mtu poa saan lakn ukizngua lazma uznguliwe ..hamna mtu anaweza kukupiga bila sabab jitathimn umemkosea wap...
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Adam anachagua wanyonge ajaribu kwa kalapina, dudu baya aone patakavochimbika huu ni uonevu mkubwa alipishwe tu ajaribu hata kumpiga kibao lord eyes alafu mwandishi unafeli xana umetumia nguvu kubwa kuleta mambo haya alafu ww unataka undugulaozeshen na huyo jamaa jiangalie
@jimmyjamal5981
@jimmyjamal5981 Год назад
Adam sio chizi, lazma Kuna kitu Dingi ulizingua hata mbasha alijifanya mpole lkn nilipoona tukio niligundua hata mm sikuachi uende hvhv!
@geejuneartz165
@geejuneartz165 Год назад
Huyu kapigwa kofii tyuu sema kaamua kufany promotion ya album yake😂
@ramseyrmsy3366
@ramseyrmsy3366 Год назад
kwahiyo kupigwa kofi ni sahihi?!
@yohanamhanzi6797
@yohanamhanzi6797 Год назад
Huyu mwamba kitu aliwahi kumpiga buti somebody Mbasha tena jukwaani sasa tena kampiga Qchila duo !!!!
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
Ww ungeitwa mla bangi jukwaani ungefurah ?
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Год назад
Apimwe hatumie mdawaaaa
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Год назад
@@flackomasterbaddest4155 ila si anatumia
@adonis-bx7ht
@adonis-bx7ht Год назад
​@@flackomasterbaddest4155wewe unataka mla bangi aitwe nani,? Mla halua labda?
@islamkarata9655
@islamkarata9655 Год назад
Hawa watu wa clouds mpaka Leo bado Wana ukoloni pia Wana mizizi ya mabosi wao waliokuepo na waliotangulia mbele za haki sheria itendeke kwann chilla kapigwa anajiamini na nini mchovu?
@idrisadalluc4498
@idrisadalluc4498 Год назад
Uyu jamaa anae jiita mchovii sijui ivi mbona ana history mbaya Kila siku
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 Год назад
We mwandishi mshamba sana, yan mtu anaongelea mambo ya MSINGI we unazungumzia gharama za hospital?
@soshazaofficial7395
@soshazaofficial7395 Год назад
We adamu utakuja kukutana nauzito mzito unaoneaga wachovu, unazngua broo
@abdulbora812
@abdulbora812 Год назад
Adam nilikua nakuheshimu but sahii Nakuona Kama kibonzo YANI HAUJIJUI.he shimu Q chila au ujiheshimu mwenyewe.itakua bora dwanzi wewe adamu mchovu
@maryjkiosa3380
@maryjkiosa3380 Год назад
Uyo kawa kama chizi ivi huwa anavuta nini uyo 😏
@stevenlyando1801
@stevenlyando1801 Год назад
Mtu anaanzaje tu kukupiga mpaka uvuje madamu???Adam anakichaa basi
@zickmalik4901
@zickmalik4901 Год назад
Kiufupi adam. Ashazoea kupiga wasanii au mmesahahu alichomfanya msanii wa gospel jukwaani
@instakiller1268
@instakiller1268 Год назад
Huyo Adam usela mavi ni mwingi, Akili mbovu sana, Bangi zao za Arusha wanazileta mpka kwenye career. Kamata funga huyo Panya road 😏
@mwanajumamwinyi2665
@mwanajumamwinyi2665 Год назад
Alifanya kosa gani hata akapigwa wee si mganga kamroge😂😂😂😂
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Год назад
Haki
@paschalurassa6648
@paschalurassa6648 Год назад
clouds wahuni wengi ndio kina mwijaku pia mapicha ya hovyo Adam huyo ni bangi tupuu ndio yaleyale unaweza Jillian kwann watu wa hovyo wanapata fursa Zaid kuliko wema kwenye jamii jibu usipate
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Год назад
Fake fake fake, Kiki Kiki Kiki
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 Год назад
Mvuta bangi huyu alimpiga yule jamaa public then amerudia tena sijui kwa nini hawampigi chini clouds
@teddymhagama611
@teddymhagama611 Год назад
Huyu Adam mchomnvu ni mdhalilishaji hata usimuacha akulipe atazoea aliwahi kumpiga mwanamuziki hadharani kwenye tamasha kuelekea kampeni za uchaguzi
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Ukimuachia mwanasheria aongee usidakie dakie katika unaharibu kuwa mtu wa subira. Ili aongee mwanasheria wako aongee unaonekana hata wewe huna uvumilivu, usiwe mjuaji kupita kiasi labda ndio tatizo ulilokuwa nalo wewe pia
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Год назад
Kwenye kifooo cha ngwea Adam alisema nini???
@ashaali7154
@ashaali7154 Год назад
Hakuna mtu anaeruhusiwa kumpiga mwingine kwa hali yoyote ile period.
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Год назад
Adam hajakua
@abiolasereman2575
@abiolasereman2575 Год назад
Sijawai kuukubali uwandshi wa adam mabagi
@blacknature3691
@blacknature3691 Год назад
Adam mchovu bangi imetawala Ubongo
@saidomary3370
@saidomary3370 Год назад
Rakini siku akajichanganya artafuhi
@eugenejr.8844
@eugenejr.8844 Год назад
ACHA KULIA LIA WEWEEE... WANAUME TUMEKUAJEE... PAMBANAAA.
@user-dq6wd3tx8v
@user-dq6wd3tx8v Год назад
na huyu mtangazaji hafai kabisa anakera hadi watazamaji, unachukuliaje mambe kiwepesi namna hiyo, hata hoja zako hazina mantiki.
@kulatendaudi7671
@kulatendaudi7671 Год назад
Amemkoseaaa nn adam
@misanamohamedi8438
@misanamohamedi8438 Год назад
Mwanaume unapigwaje na mwanaume mwenzio kwn hata mawe hukuyaona?
@godfreyngajilo3795
@godfreyngajilo3795 Год назад
Hivi huyu adam anajua sana ngumi?si mara ya kwanza kupiga mtu
@selinatogolai3314
@selinatogolai3314 Год назад
Kwani Adam mchonvu ni nani jamani mpaka afanye ukatili wote hu o akamatwe hayuko j uu ya sheria
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Год назад
Adamu mchomvu ni presenter asie penda kudharauliw na kuchafuliwa kalia yake na ukimdhihaki anakubutua popote imeandikwa ukikopeshwa lipa mapem na km unakumbukumb kweny kampen za magufur za mwisho alimramba mtama emanuel mbasha hadharan jukwaan baad ya kumdhihaki na kumtukan mbele ya haraiki kua anakula bangi ikiwa mkutano ni mkubwa kun viongoz wakubwa na adamu ndo mc wa mkutano huo mkubw akamjibu papo hapo kwa kumuadabisha nakushaur binti kakojoe ulale
@sinkalamfukwe
@sinkalamfukwe Год назад
Adam mchov anazingua Kila cku anapiga watu
@herbertrichard1111
@herbertrichard1111 Год назад
Nakumbuka amewahi kumpiga msaani wa injiri
@johnshigela9369
@johnshigela9369 Год назад
Na sio huyo tu, pia alishawah kupigana studio kwenye kipindi Ila clouds baadae walikuja kuitetea issue ionekane kama kulikuwa na Jambo linaloendana na kutafuta attention ya kipindi, hiyo nayo ilimpa jeuri mno huyo jamaa
@ezekielmbazi.8687
@ezekielmbazi.8687 Год назад
Huyu jamaa serikali inamchekea alimpiga pia mbasha akaachiwa tuu sasa hiii
@dinesschamanga
@dinesschamanga Год назад
Sa hii si zamani jamani au na wewe unataka mtama jamani
@princewilliam6662
@princewilliam6662 Год назад
Vingereza viiingi
@saidieiddy1381
@saidieiddy1381 Год назад
Angekuwa wapi Adam mchomvu kama asingekuwepo q chilla
@alonsodachi3564
@alonsodachi3564 Год назад
Mwanaume unalalamika umepigwa ....nenda kapigane boya ww
@emmamga5495
@emmamga5495 Год назад
Jamaa anajitapa eti ni mganga wa kienyeji kwanin asimroge kama sio Tapeli 😂
@withowilliam9057
@withowilliam9057 Год назад
Mbn kama kiki kubrand album
@ahmedanwar1210
@ahmedanwar1210 Год назад
Movie mpya wacha watu waone linaitwaje😂😂😂😂jamaa asema ako na mipaka😂😂
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 Год назад
Clouds wameweka wahuni wengi sana
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Год назад
Kwel
@thomasgunje7640
@thomasgunje7640 Год назад
KISA NINI HAYA YOTE?
@yama_virginhairthequeen1065
Yn wht a lose man do u have time to fight like real waist ur energy for nonsense, real man r calm when it comes to tension situation that's why the baby mama left him ADAMA UR MAD
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Год назад
Una jua adam ajakutana na mbabe wake kamuonea tu uyu jamaaa daaa
@kelvinmhanga3052
@kelvinmhanga3052 Год назад
huyu mwandishi wa habari ni choko kabisa kwani hawa wamiliki wa media wanawachukua kwa vigezo gani duuuu hili lishakuwa tatizo la nchi waandishi wa habari, na wachambuzi wa mipira ni moja kwa mbili
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Год назад
Huyu mwandishi itakuwa choko sio Bure
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Q chifu Hana noma na mtu na Wala Hana ujinga wa mabifu ,lkn lingine wewe mwandishi mbona hujui kuuliza maswali yenye mashiko
@adammandeline6565
@adammandeline6565 Год назад
Huyo jamaa anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria
@herbertrichard1111
@herbertrichard1111 Год назад
Adamu ni Hana hekima
@khalidushisosthenes2115
@khalidushisosthenes2115 Год назад
LIPELEKENI MAHAKAMANI LIKAFUNGWE ALINA ADABU
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 Год назад
Apigwe jela miaka 10
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
q chila acha madawa ya kulevya na bangi jinga kabisa leo
@lilpaff93
@lilpaff93 Год назад
Wooote jela mana sisi hatujuwi kiundani kampigia nini
@mpagamatz-yz9lk
@mpagamatz-yz9lk Год назад
Mshamba 2uyo
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
pole madawa yamekumaliza
@bakarikisuda4948
@bakarikisuda4948 Год назад
Sijui wakinamandonga hawaon umbwa bangi
@davidnathan9801
@davidnathan9801 Год назад
Vijana kama hawa huwa tunawaniaje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyo mchomvu hana ngendembwe kwenye kazi ukizingua anakuzingua sasa wewe unaenda studio na vismart vipo kichwani utakuja kufia studio kwa watu shauli yako
@kassimally-zu3dz
@kassimally-zu3dz Год назад
Ajichanganye kwng ngumi moja tu mochwari
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Год назад
Adamu mchovu usivunje heshima ya clouds!
@geofreykalo
@geofreykalo Год назад
Adam, ni mjinga na anakula bangi pale nyuma ya shule ya msingi mikocheni a mara kadhaa ameonekana akivuta bangi, pia alishampga Yule jamaaa anaeimba injili mbasha muniamini mm hapa
@josephguerino7416
@josephguerino7416 Год назад
Huyu mtangazaji bwabwa nini? Unakurupuka tu kuuliza maswali ya kijinga... Little brains!
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Год назад
Amechanganyikiwa qchief....
@alexjos7625
@alexjos7625 Год назад
Tutafute wakili wazee
Далее
Starman🫡
00:18
Просмотров 599 тыс.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 6 млн
KALAPINA :AMCHANA DULLA MBABE /ADAM MCHOMVU SIO HIPHOP
16:57
Starman🫡
00:18
Просмотров 599 тыс.