Тёмный
No video :(

PETER MARAHA: Kutoka KUISHI na KULALA kwenye GARI Mwanza hadi kuwa na GARAGE kubwa na maarufu zaidi 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@user-fb9lu1fx6k
@user-fb9lu1fx6k 10 месяцев назад
Peter maraha unajuwa sana kaka mkubwa God bless you
@user-fb9lu1fx6k
@user-fb9lu1fx6k 10 месяцев назад
Safi sana brother Sinichi hachukiwi hata bible inasema tuwapende na kuwaombea kwani wanafaida sana
@johnstephano6486
@johnstephano6486 Год назад
Kazi nzuri sana brother.
@mrpoulmidia7516
@mrpoulmidia7516 Год назад
2namkubali sana Tajir ye2 huyo pitar maraha hana baya huyoooo home boy kabisaaa anajua sana mwambaaaaaa kabisaaa 🔥 🎉🎉
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
🤣
@edwardfaraji1133
@edwardfaraji1133 Год назад
Ndugu yangu Maraha safi sana kaka...
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
❤jamaa anajua kujieleza vizuri Yuko dunia ya kwanza anaenda na wakati
@elijohofficial1049
@elijohofficial1049 11 месяцев назад
😂😂😂😂 dunia ya kwanza ndo ipiv😅😅
@michaelmgege4600
@michaelmgege4600 Год назад
Wakwanza Leo like zengu jaman
@muta-news2786
@muta-news2786 Год назад
Sky Bora ichi kipindi kidogo,nikipindi kizur mno Ila itapendeza ikiwa utakuwa unawafata watu kazin kwao na tukawa tunaona au chukua video kiasi za mix kwenye upload zako izo juu icho wanacho eleza hao mf:ofisi zao nk.hichi kipindi kinainspire mno but kinaitaji marekebisho kiasi
@juniorsonofgod5675
@juniorsonofgod5675 Год назад
Nikweli, ushuri wako ni mzuri 🤝
@seifchui4246
@seifchui4246 Год назад
Kak true
@dianapaschalkileo3795
@dianapaschalkileo3795 Год назад
My favorite hustler❤💪
@abduljuma4272
@abduljuma4272 Год назад
inspiration
@kalungwanakhamis6768
@kalungwanakhamis6768 Год назад
nakukubali mwalim wa wallpaper uko vizuri
@AbraAlmindhir-mu3qp
@AbraAlmindhir-mu3qp Год назад
FIGHTER
@Offical_neyvoice
@Offical_neyvoice Год назад
Broo
@kingkendrickk
@kingkendrickk Год назад
Nice interview ☺️
@benitokhanbenito7069
@benitokhanbenito7069 Год назад
Daaah!!! Aya bana
@ummumansour
@ummumansour Год назад
Sky uje umualike freid vunja bei kwenye hicho kipindi
@keviolotu
@keviolotu 4 месяца назад
kweli
@kalungwanakhamis6768
@kalungwanakhamis6768 Год назад
kweli kabisa hilo gali lilikuwa noma kweli
@petercley6230
@petercley6230 8 месяцев назад
Kweli Mwanza bado kijijini, hongera lkn
@danielmkama24
@danielmkama24 Год назад
Bro huyu navyomjua ni lazma amelipia kuwepo hapo! Na hiyo ni moja ya tangazo la biashara
@luganolukali2638
@luganolukali2638 Год назад
Mwanaunachonga sana,simwanza gettho ujue
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Daah huyu jamaa anafanya kitu nlichokuwaga nakiwazaga nije kukifanya maana magari nayapenda sana aisee
@kalungwanakhamis6768
@kalungwanakhamis6768 Год назад
kweli kaka ni mpambambanaji kweli
@kelvinwambura8083
@kelvinwambura8083 Год назад
Safi sana Mwamba 🎉nakukubali sana
@kalungwanakhamis6768
@kalungwanakhamis6768 Год назад
hilo halina ubishi mwalimu ni kweli unacho zungumza
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Sky nimekufwatilia kwa muda kwenye brog yako nimejifunza vingi kwenye vipindi vyako kuongeza ubora wa Hali ya juu sana
@kalungwanakhamis6768
@kalungwanakhamis6768 Год назад
sawa mwalimu wangu umenfundisha kuweka wallpaper apa talime mjin
@bilid4128
@bilid4128 Год назад
Garage nyingi za Mwanza mafundi wake ni wezi/matapeli ...ukiwapa gari kutengeneza wanaiba vifaa .....Sasa hiyo yake mafundi wake wanahadhi gani au ni hawa hawa mavuta bangi ???
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Acha dharau wewe
@djkmantz
@djkmantz Год назад
🔥🔥🔥🔥
@muta-news2786
@muta-news2786 Год назад
Boresha kidogo
@alexander19077
@alexander19077 Год назад
Bonge la interview
@matrixbillionare6672
@matrixbillionare6672 Год назад
Mwamba kutoka Tarime
@aminaboniphace327
@aminaboniphace327 Год назад
Aisee nilijua nitawah😂😂
@patrickpazza4764
@patrickpazza4764 Год назад
😂😂😂😂😂kweli hela hazifugiki Ila bidhaa zinafugika mm furaha yangu n kuona kiduka changu Cha nguo kimejaa mzigo daaaaa napenda kushinda hata hapohapo dkn
@joshuamasiaga7051
@joshuamasiaga7051 Год назад
Mwamba wa Tarime
@kalungwanakhamis6768
@kalungwanakhamis6768 Год назад
kweli kaka ni mpiganaji
@samuelsolomonmaji
@samuelsolomonmaji Год назад
Huyu mwamba namjua
@abduljuma4272
@abduljuma4272 Год назад
😂😂😂😂
@assumedprivacy3940
@assumedprivacy3940 6 месяцев назад
Mpende snitch wako 😂
Далее
Bilasizmi?
00:12
Просмотров 394 тыс.
Youngest Notorious Motorbike Gangster in Nairobi
56:53
Просмотров 4,1 тыс.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 47 тыс.