Тёмный
No video :(

Peter Msechu - Ya Dhati (Offical Video) 

Peter Msechu
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 60 тыс.
50% 1

Wimbo huu "YA DHATI" ni wimbo unaozungumzia kuhusu mahusiano ya watu wawili yanayostawi kila siku ingawa kuna dhoruba na upepo mkali ila kinachowaweka pamoja ni mapenzi ya ukweli yatokayo moyoni.
YA DHATI Song is all about true love. It describes the people who are committed and are deeply in love and can never be separated till death do them apart.

Опубликовано:

 

7 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 239   
@swala_master
@swala_master 4 месяца назад
Kali na nusu,kama unapenda mziki muzuri gonga like
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 4 месяца назад
Vibonge uwa na sauti nzuri sana. .. kama unakubaliana na Mimi gonga like tusonge.....
@12345678938129
@12345678938129 4 месяца назад
Umerudi vizuri sana . Ukiimba uwa unatisha sana Peter Msechu. Fanya wimbo mwingine na Kidumu ao Amin chemistry yenu Noma
@dismasjshio4953
@dismasjshio4953 4 месяца назад
Msechu huwezi kutoa ngoma bila kutaja mambo ya vifo, 😂😂😂😂 'HADI UMAUTI', 'KUFA NA KUZIKANA'. Enewei, ngoma imetulia👍👍✅️✅️
@dannysengata2298
@dannysengata2298 4 месяца назад
Kwasababu ni kitu lazima kitokeee
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 3 месяца назад
Bonge la wimbo msechu namkubali Toka bongo starsuch😊
@gka9147
@gka9147 4 месяца назад
Msechu lazima aweke kionjo cha msiba tu mfano lala lalalaa
@dismasjshio4953
@dismasjshio4953 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@amosramjaane314
@amosramjaane314 4 месяца назад
"Hadi umauti"
@singanoudsm2570
@singanoudsm2570 4 месяца назад
😀😀😀
@Tedykatale
@Tedykatale 4 месяца назад
Sema we mbwa unaimba 😂🙌🏼bongo star search hawakufeli kwako kwa bella kombo, walter chilambo, na saraphina umeua mpaka umeua tena kaka msechu kwa mbali namsikia KIDUMU ungemshirikisha Kidumu ingebamba sana❤❤
@sashawambura
@sashawambura 3 месяца назад
Sasa unakaaga hivyo muda mrefu ndio nini...nyimbo zako nzuri...unatuponya wengine ukiimba...usiache kuimba tuendelee kuponyeka..Asante sana Msechu..you have everything it takes to give us good music..Mungu akubariki sana
@calvintheone299
@calvintheone299 4 месяца назад
Leo sio nyimbo ya msiba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sebastianmtisi9490
@sebastianmtisi9490 4 месяца назад
Hongera sana Msanii mkubwa unaeimba bila kutaja tusi lolote mpaka wimbo unaisha
@priscillahlukindo7370
@priscillahlukindo7370 4 месяца назад
Fact👏🏻👏🏻👏🏻😊
@Omary-pp7ke
@Omary-pp7ke 4 месяца назад
very beautiful songs, respect to you brother
@kagomajmbaraka220
@kagomajmbaraka220 4 месяца назад
Hivi puto ndo linaongeza unene au kupunguza😢
@raymondtv5479
@raymondtv5479 4 месяца назад
Baada ya kusemwa unaimba za misiba tu Sasa umejibu na Kazi nzuri sana
@lindabana8191
@lindabana8191 4 месяца назад
Unajua kuimba ila kiukweli ukiimba gospel itakuwa 🔥 sana, hongera
@catherinemukami4190
@catherinemukami4190 Месяц назад
🔥 🔥
@ranman4910
@ranman4910 4 месяца назад
Goma limetulia. Natamani ufanye collabo na Kidumu. Fanya remix ya Ngoma hii na Kidumu wa Kenya. Nataka ile ladha ya yenu.
@omarkhelaifi5888
@omarkhelaifi5888 4 месяца назад
Kidumu ni M’Burundi yule
@jmedia9631
@jmedia9631 4 месяца назад
Nimekuwa nikikusikia tangu utoto.....ila hii ngoma hii auncle umetisha mana ngomazako zote mafunzo niwaziwazi hakuna matusi wala kejeli
@vintage107
@vintage107 Месяц назад
Music✅ Melody✅ Theme✅ #Legendisalegend
@johnraymond3601
@johnraymond3601 3 месяца назад
Fire more fire
@Razack4D
@Razack4D 4 месяца назад
Congrats, brother. That song with your ideal twin (Super Kibonge) is really beautiful :)
@HaKuNaMaTaTa101eNT
@HaKuNaMaTaTa101eNT 3 месяца назад
✍️🏿💥💥💣
@harifumunir6004
@harifumunir6004 4 месяца назад
Nataka kuona Alivyochanika yule Msechu Mzungu 😂😂
@sixbertmwakaluwa5665
@sixbertmwakaluwa5665 4 месяца назад
Acha unafiki😂
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 4 месяца назад
🔥🔥
@maujanjatzonline4724
@maujanjatzonline4724 4 месяца назад
nomaæaaa❤
@user-om2kz2nx2c
@user-om2kz2nx2c 4 месяца назад
Mimi penda sanaaaa, hiiii inaendaa
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 месяца назад
Ngoma kari sana
@charleschito6341
@charleschito6341 4 месяца назад
Kwa sie Wagonjwa wa muziki lazima tukubali hii kazi , vitu vinatembea tu smoothly
@gilbertbaya1546
@gilbertbaya1546 4 месяца назад
Rhumba kama rhumba...msechu kama msechu
@augustfive5279
@augustfive5279 4 месяца назад
Wakongwe na mzikiwao jamani alafu vile mapenzi ya zama yalivokua yakweli walai❤❤❤❤
@zongomtonga8506
@zongomtonga8506 4 месяца назад
Mashaallah nyimbo kali sana
@jacksonngutto7104
@jacksonngutto7104 3 месяца назад
Wimbo utakaodumu vizazi na vizazi
@kwangahudispensary7238
@kwangahudispensary7238 4 месяца назад
Uimbaji wa msechu na kidumu nkija uweza
@sedekiakiza
@sedekiakiza 4 месяца назад
Duuuh
@manyukam.kapaya6804
@manyukam.kapaya6804 3 месяца назад
what a good song
@somowamasomo7768
@somowamasomo7768 4 месяца назад
Kalibia mara ya 20 narudia nyimbonhiii i love the song
@adenymwatebela5494
@adenymwatebela5494 4 месяца назад
Ngoma safi sana bro Msechu💪👏🎧👍
@MsetuNaidye
@MsetuNaidye 4 месяца назад
Big up brother Msechu. Kipaji unacho
@yustomakangula2361
@yustomakangula2361 4 месяца назад
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 3 месяца назад
Video ya kwa Mandela hii.sea point,moullipoint, Cam's bay, Clifton and bentry bay🇨🇩🇨🇩🇿🇦
@eliezerkanju6368
@eliezerkanju6368 4 месяца назад
👍💯
@nathangeor
@nathangeor 4 месяца назад
I like this ❤❤❤❤
@monicakayombo4770
@monicakayombo4770 3 месяца назад
Sweet melody
@peterchimbwanda1706
@peterchimbwanda1706 4 месяца назад
Hujawahi kosea wajina, shabiki yako milele hadi umauti nipo hapa
@arabgandaempire
@arabgandaempire 4 месяца назад
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@pcmofficialtz
@pcmofficialtz 4 месяца назад
Bro we missed this vocal for a long time
@user-qf2rx1cu6y
@user-qf2rx1cu6y 21 день назад
Fundi
@user-hd7ev8do5l
@user-hd7ev8do5l 4 месяца назад
Ngoma inakonga moyo kwel kwel
@MustafaErnest-gt1tt
@MustafaErnest-gt1tt 4 месяца назад
Bonge la nyimbo kaka
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 4 месяца назад
Msechu mtu wa kipekee tofauti na wasanii wa kihuni ni hodari na Mungu ambariki zaid
@givenjames7760
@givenjames7760 4 месяца назад
rumba tamu sana my brother na KOMPA kwa mbali tamu sana kaka wa BSSS
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 месяца назад
Saw
@suleimanali5677
@suleimanali5677 4 месяца назад
Doh
@nestorygwanko4013
@nestorygwanko4013 4 месяца назад
👑
@Amiboy425
@Amiboy425 4 месяца назад
kaka ukimalizana na hii muangalie yule aliye kusema vibaya mpigie moja ya msiba 😂
@parkaza1676
@parkaza1676 4 месяца назад
beautiful❤
@EmmanuelKabote-gj9sy
@EmmanuelKabote-gj9sy 4 месяца назад
Fanya inspiration songs 🎵 kaka 🎉
@mugocomedy
@mugocomedy 4 месяца назад
Nikajua Kuna mtu kafa jamani
@yusuphmukama9958
@yusuphmukama9958 4 месяца назад
Brother wewe ni mfano wa mziki mzuri siyo lazima uimbe matusi ur the best toka nakufahamu broooo
@user-qt9ci8oz9j
@user-qt9ci8oz9j 3 месяца назад
Una uweza mziki Kaka ngoma zamapenz Kaka unaziweza sauti yako dhaabu
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 3 месяца назад
Msechu bonge mwimbaji hii kal sana honger San kaka
@salmonmkanula3718
@salmonmkanula3718 4 месяца назад
Nyimbo nzuri
@lyrics_forum
@lyrics_forum 4 месяца назад
Ebhana eeh! 😅 Nikajua Kuna Msiba tena 😂
@collineedson9964
@collineedson9964 4 месяца назад
Ngoma kali sana ila sasa mambo ya "KUFA KUZIKANA HADI UMAUTI" hapo sasa! Anakuwa kama muuza majeneza
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 4 месяца назад
😅😅😅😅😅😅
@maikorafael4001
@maikorafael4001 4 месяца назад
Wimbo nzuri Sana
@abelmkama6994
@abelmkama6994 4 месяца назад
Hii imeenda ❤
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 4 месяца назад
Nice stuff, The real music, Very different music from what we are hearing from others
@petermsechu
@petermsechu 4 месяца назад
HII NI COMMENT KUTOKA KWA MWALIMU WANGU NA ALIYENIFUNDISHA MZIKI. AHSANTE SANA KAKA NOEL SITOKUSAHAU
@AdolfMalamsha-jn9ki
@AdolfMalamsha-jn9ki 4 месяца назад
NYIMBO KALI SANA
@saidkassim7151
@saidkassim7151 4 месяца назад
Ukiskia mziki mzr ndo huu sasa.kaka hii umeua sana vitu kama hivi tunavihitaj tena na tena kaka tunamiss masong makal kama haya.good music for life🙌
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 4 месяца назад
@@petermsechu Pamoja sana mdogo wangu, endelea kufanya muziki mzuri, muziki mzuri ni dawa, good music for life
@janethmalema6900
@janethmalema6900 4 месяца назад
Wimbo huu nusikiliza kila mara uko vizur hongera Msechu
@Benson_24
@Benson_24 4 месяца назад
leka dutigite ya dhati
@DaudAshery-ie2pf
@DaudAshery-ie2pf 4 месяца назад
Nyimbo Kali ila tumboo
@gigoyrn4394
@gigoyrn4394 4 месяца назад
Sio nzuri hata ungeimba ya msiba
@Amosmsechu
@Amosmsechu 4 месяца назад
Acha uchawi
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 4 месяца назад
Msechu naona Kama mitaa ya Cape town Hapo south Africa 😎🇿🇦
@Boyfromtanzania
@Boyfromtanzania 4 месяца назад
Jiwe pekee juu ya MWAMBA. safi sana kiongozi.
@djmsafitzthemagicfingers1549
@djmsafitzthemagicfingers1549 4 месяца назад
Song Song Love 💕💕
@wawesttv
@wawesttv 4 месяца назад
Sio ya musiba kumbe, hata sio nzuri .
@KasaiBoyTv
@KasaiBoyTv 4 месяца назад
😂
@Roadtosubscribes1000
@Roadtosubscribes1000 4 месяца назад
Muziki unaoishi gonga like kwa goma kali la Africa
@herrwin.
@herrwin. 4 месяца назад
well done chief, hongera sana mkuu hii nyimbo unaweza uka-abudu nayo kama hujui kiswahili ,,
@paulshayo541
@paulshayo541 4 месяца назад
hamna mosiba tena AMEM
@NuruNamonje-tb4zj
@NuruNamonje-tb4zj 4 месяца назад
🥰🥰🥰
@sasquaremusic3140
@sasquaremusic3140 4 месяца назад
Nyimbo kali bro Msechu ..familia moja toka enzi records
@amaniluhambire5080
@amaniluhambire5080 4 месяца назад
Msechu, wimbo wako huu ni mzuri sana, hongera
@lisagwandumi
@lisagwandumi 4 месяца назад
Peter Msechu ni motooooooooooo🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 4 месяца назад
Talented Mr Msechu...nyimbo iko bomba,unajua na unajua tena❤🎉🎉🎉
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 4 месяца назад
😂😂❤
@rippleventures4466
@rippleventures4466 4 месяца назад
Video Moja clean
@McHypMashofficial
@McHypMashofficial 4 месяца назад
yes yes i was a kid ukiwa tpf na i rem you ,, this a quality high level song.
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 4 месяца назад
Kuna mbuge kafariki jana bungeni😂😂😂 kijana atakua studio😊😊 kupika
@victorcephas3618
@victorcephas3618 4 месяца назад
Msechu kapata pacha wake😂😂😂 Wimbo mzuri
@gerrywin2194
@gerrywin2194 3 месяца назад
What a gud song, nimemkumbuka Bizman
@DFire-ii8nb
@DFire-ii8nb 4 месяца назад
Mwamba anajua sana hii ndo hua naiitaa kua mkimya kwa muda mrefu majibu yake ndo haya songs tamu sana
@amirhamud3343
@amirhamud3343 4 месяца назад
Huyo video king Prof Janabi anamuta
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg 4 месяца назад
Kaka sauti yako unapendeza Sana tena Sana kwenye gospel hebu jikite na kule uone au wakushirikishe kwenye nyimbo moja ya gospel
@arnoldrwekaza2265
@arnoldrwekaza2265 4 месяца назад
Video nzuri, baba mama na mwana wanaangalia bila kugeuka pembeni❤
@GodfreySanga-oz3mi
@GodfreySanga-oz3mi 4 месяца назад
Msechu kwenye one and two...bonge ya songi
@rodgerushindi85
@rodgerushindi85 4 месяца назад
Mnaosema msechu ni bonge haya sasa Kawaletea bonge kuliko yeye
@benedictkarasha1540
@benedictkarasha1540 4 месяца назад
Huna BAYA MKODOMI WANGU mziki mzuri sana 💪💪
@saidially930
@saidially930 4 месяца назад
Mwenye sikio la kusikia mziki melody good bro
@nelsonkikotimandela9819
@nelsonkikotimandela9819 4 месяца назад
Huu wimbo kama na ujua ulikuwa wa msiba umebadili mashahiri hapa
@user-lf4bb6eg8t
@user-lf4bb6eg8t 4 месяца назад
Mtu wa maana kabisa msechu peter mnaongea ongea sana hayaaa semen tena
@samwelnyange9843
@samwelnyange9843 4 месяца назад
Boom 💥 🎉hatari sana
@maburamodest7731
@maburamodest7731 2 месяца назад
Nyimbo ya mwaka hiyo
Далее
UMETUACHA IMARA (Official Video) - Peter Msechu
2:20
Просмотров 702 тыс.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
Просмотров 9 млн
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 6 млн
Bando MC Feat Daway - Sir God (Official Music Video)
4:04
Nita Amini (Live)
13:00
Просмотров 1,1 млн
ENKAKENYA OFFICIAL 4K VIDEO BY NEEMA KOINASEY
6:37
Просмотров 293 тыс.