Тёмный

Kwa uchungu MAKONDA afichua ukweli wote, MAKONTENA yake yaliyokamatwa kipindi cha MAGUFULI 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@eradiusdezideri
@eradiusdezideri 10 дней назад
Makonda safi sana piga kazi Mungu akutangulie
@user-sc1gx5zi8i
@user-sc1gx5zi8i 13 дней назад
Hata saizi mh. Wanasema kuwa huyu anajitafutia jina. Lakini mungu akulinde nasi tunakuombea
@menelus911mene5
@menelus911mene5 13 дней назад
Mhe Makonda mkuu wa Mkoa Wa Arusha wafundishe hao kazihawajui wamekalia yulee huyuuu hawatoshi mungu awaone haooo piga kazi wewe nikiongozi wawanyonge wateteeee mpaka mwisho ❤🎉🎉🎉
@eliyalaiza6768
@eliyalaiza6768 12 дней назад
Tatizo tukiwapata watu kama hawa ambao mda wote wanamtukuza mungu huwa hawakaagi sana sjui kwanini
@geey7893
@geey7893 10 дней назад
Wanalishwa sumu wanakufa
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 13 дней назад
Amen mh hayo maombi kiboko watandikee sawasawa na sisi tunakuombea
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 13 дней назад
Nakuona mbali sana rais ajae
@fransismsaki303
@fransismsaki303 12 дней назад
Piga Kaz mkuu mwenyezi mungu akulinde
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 13 дней назад
Kiongozi wa kweli mungu akulinde
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 13 дней назад
makonda Nakuona mbali mno
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 11 дней назад
pambana kama,, wazalendo wa kweli vita huwa ni Kali sana
@JacksonMbites
@JacksonMbites 13 дней назад
Huyu Makonda namuona Akiwa Rais wa Tanzania
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 12 дней назад
Wewe piga kazi Mungu anakupigania.
@stephenkilalacharles1981
@stephenkilalacharles1981 13 дней назад
Fact man of God.
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 12 дней назад
Watu Wana Roho mbaya tu
@brunotemu8069
@brunotemu8069 12 дней назад
Good broo pambana na Jiji la East Africa ❤
@Micaelamerico8699
@Micaelamerico8699 13 дней назад
Makonda ni president ujae kaza buti
@user-tt6ks8vx6v
@user-tt6ks8vx6v 12 дней назад
Makonda mkoa wa Mara uko hovyo sanaaaaa hasa ktk huduma za Afya...watu wanakufa wakiwa wanasubiri huduma...madactari na wauguzi wamkoa huu wengi niwababe sanaaa..tunataman ungekuwa kwenye mkoa wetu utusaidie ktk hili Ndgu zetu wanapoteza maisha kwa uzembe kbs wa watoa huduma..yani inasikitisha sanaaa Tunaye mkuu wetu wa mkoa lkn nikama Simba aliyekufa ni afadhali ya mbwa aliye hai Watu niwazembe Sana mahospitalini..Juzi nilikuwa nyasho hospital nikasikia mama mmoja analia kwa uchungu akisema HIVI NININI KILICHOMUUWA MAGUFULII...INASIKITISHA SANA BAADHI YA WAUGUZI NA MADACTARI WA HOVYO HAWA KUENDELEA KUWEPO
@geey7893
@geey7893 10 дней назад
Huo Mkoa wetu umeshindikana kaka. Sjui tulilaaniwa na Nyerere
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro 9 дней назад
Liandike kwenye page ya waziri wa afya na umtagi samia huku kwa makonda hakuna kitu mi nakaa nyakato nimesikitishwa sana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 12 дней назад
Makonda uko sahihi
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 13 дней назад
My leader
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 12 дней назад
Maombi ya kusambaratisha vikao vya sirini😅😅😅
@bitutuatemba2164
@bitutuatemba2164 13 дней назад
Keep on my brother @ Hon Paul Makonda
@YusuphNdakama
@YusuphNdakama 9 дней назад
Makonda Hongeraaa sanaaa kaka!hakika unajua pande mbili uongozi na maisha harisia ya mwananchi
@amourmunga8356
@amourmunga8356 10 дней назад
Makonda nskupenda sana bro
@user-im9ly7vt6b
@user-im9ly7vt6b 12 дней назад
Uko sahihi lakini sio la kukumbuka sababu aliokua waziri wa fedha ni boss wako😅
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s 18 часов назад
Pole sana
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 13 дней назад
❤❤❤
@user-qx4pc3rx8g
@user-qx4pc3rx8g 11 дней назад
Safi sana
@emmanuelaloyce932
@emmanuelaloyce932 8 дней назад
Huyu jamaa,awe president wa Tz,,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@salumjabir813
@salumjabir813 13 дней назад
Siasa za bongoo😂😂
@sujaiazicani9510
@sujaiazicani9510 11 дней назад
🎉
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 8 дней назад
Makonda MUNGU azidi kukulinda na kukuongezea ujasiri
@paulmaganga9700
@paulmaganga9700 6 дней назад
Makonda soon unakuja kuwa Rais
@user-mt3jc6no5w
@user-mt3jc6no5w 11 дней назад
Mr. Makonda mwanzoni sikukuelewa pindi uko Dar maana nilipenda kusikia habar za vijiweni na sikuwahi kukufuatlia ila kwa sasa nimekuelewa vzr , pepea kama iwekanavyo tunakuunga mkono
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 13 дней назад
Go up📤 God bless you bro
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 5 дней назад
Muongo wewe na nyumba uliyotaka kumtapeli GSM Nayo Utasemaje? Mshahara wa mkuu wa Mkoa amepata wapi hela ya kununua nyumba eneo hilo??
@BakariMapua-t9u
@BakariMapua-t9u 9 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kweli
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 11 дней назад
Makonda tunamuomba Kilimanjaro aje afanye jambo!
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 12 дней назад
POLE MATATIZO HAYO YAPO SEHEMU NYINGI NCHINI
@ibrahimjoseph3221
@ibrahimjoseph3221 8 дней назад
Kama makonda yule aliweza aliweza kufanyiwa yooote hayo vp mpinzani au mwananchi wa kawaida kuna watu wanarudishwa nyuma wanafilisiwa kwa mambo ambaya awajayatenda
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 11 дней назад
Mtasema tu ..😂😂
@JosephineDeus-tb5tr
@JosephineDeus-tb5tr 13 дней назад
Na magu alikupiga vita?Muongo
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 13 дней назад
Hajasema magu!! Amesema watu walimpelekea Rais magu taarifa ambayo sio sahihi
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 13 дней назад
Daddy alimpenda mako da kwa kazi nzuri kushinda kiongozi yoyote Ila wale kwenye wivu ndio walimchanganya daddy
@karyori69
@karyori69 13 дней назад
Transparency sio Transparent!
@josephmussa0625
@josephmussa0625 13 дней назад
Ila umeelewa😂
@gregory6165
@gregory6165 13 дней назад
wajinga kama nyie mnaangaliaga spelling mnaacha content
@georgemhalla8853
@georgemhalla8853 12 дней назад
Sawa mwalimu, ulichokiona ndo hicho tu??😢😢,
@bny3595
@bny3595 13 дней назад
Wewe ndo ulizingua ....hukufata utaratibu wa kuleta vitu kutoka nje
@denisyohana8104
@denisyohana8104 13 дней назад
au wewe naye ulikuwa mmoja wao🧐
@paulsibu5770
@paulsibu5770 13 дней назад
Makonda ni kiongozi mzuri bro
@bny3595
@bny3595 13 дней назад
Mimi sikatai kwamba anafanya vizurri....lakini kwenye hio issue yeye ndo alizingua ...hivo vitu alikua anahitaji apate msamaha wa kodi....na mwenye mamlaka hayo ni raisi....yeye hakufanya communication nzurri na raisi....sasaivi anazungumza...hata kama ni kweli Kuna hayo mambo yalitokea sijui kupigwa vita na watu....ila kwa upande mwengine alizingua alitakiwa amshirikishe raisi kuanzia mwanzo ....sasa anakuja mwishoni alafu anataka msamaha wa kodi....na mwenye mamlaka hayo ni raisi kwa mujibu wa katiba
@ndetitave466
@ndetitave466 13 дней назад
Ndo wale wale
@JosephineDeus-tb5tr
@JosephineDeus-tb5tr 13 дней назад
Muongo
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 12 дней назад
We mwongo ilikua mpigaji magum ataperiwi
@kwisa4899
@kwisa4899 13 дней назад
unaagizaje vitu pasipo kuwasiliana na mamlaka ?
@nicasissa
@nicasissa 12 дней назад
Shida ukishawasiliana nao, wanaanzisha choko, mara oooh ooh ooh
@Nijuzetzdigital
@Nijuzetzdigital 10 дней назад
ofisi ya mkoa ni mamlaka vilevile halaf msaada ni siyo taarifa ni unaweza hakuna anayeukataa
@kwisa4899
@kwisa4899 10 дней назад
​@@Nijuzetzdigitalhakuna alie juu ya sheria ndugu yangu Mkuu wa mkoa anausikakaje Kwene ofc za TRA na Bandari tumia akili kidogo
@LameckZakaria-qg9vv
@LameckZakaria-qg9vv 9 дней назад
Alichelewa kumwambia magu
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 12 дней назад
Mccm bhana hayana hata akili, Sasa Hilo jambo mbona lilikuwa dogo tu
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 12 дней назад
Tapeli
@BabaZuu-fq8zj
@BabaZuu-fq8zj 11 дней назад
Taperi nani sasa kuma ww ungekua kenya ushakufa mbwa wew
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 11 дней назад
@@BabaZuu-fq8zj Na atawapiga sana pumbu watu msokuwa na akili kama wewe
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 13 дней назад
❤❤❤
@IbrahimHajiDini
@IbrahimHajiDini 10 дней назад
🎉
Далее
Кто быстрее? (GTARP)
19:19
Просмотров 423 тыс.
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 2,7 млн
ИСПАЧКАЛ
0:30
Просмотров 2,3 млн
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38