Niulize swalitu kwa polisi. Kwani tear gas zinatumikanga tu kwa opossisio na Genz? Hawa wengine ju ni wa serikali hawafai kupigwa teargas? Ingekuwa ni wana nchi wanaliliq haki zao by now city kungepelekwa wafu
@@hazeljelimo5995hahahaaaaa. Nyinyi ni wale mlikua mlitwabia ati Ruto si kama Uhuru, ambembeleze Baba Raila....Mr Arap aliingiza uogaa xaxa Baba ako wapi??? Ruto ni kitu kidogo kwa Baba, Aulizee moi,kibaki,na uhuru....