Тёмный

PRESIDENT HERSI NA NAIBU WAZIRI MWANA FA WALIVYOZUNGUMZA NA WACHEZAJI BAADA YA KUMKANDA MWARABU 4. 

Yanga TV
Подписаться 707 тыс.
Просмотров 223 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 263   
@ALEXISMARTINE-l8q
@ALEXISMARTINE-l8q 8 месяцев назад
Mwenyezi Mungu atusaidie tuchukue ubingwa wa kombe hili la CAF CHAMPION LEAGUE
@nimujocentre2173
@nimujocentre2173 8 месяцев назад
Inshaalah❤
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 8 месяцев назад
Amiiin Allauma Amiiin
@Ave712
@Ave712 8 месяцев назад
Amina kubwa
@tusajigwe7491
@tusajigwe7491 8 месяцев назад
Amina kwa utukufu wa Mungu
@kanchitarshi
@kanchitarshi 8 месяцев назад
Amen 🙏🙏
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 8 месяцев назад
Huyu mwana fc yuko na busara sana love you waziri kijana Mungu akuongezee busara
@didasmswete678
@didasmswete678 8 месяцев назад
UONGOZI BORA 💚⚽💪 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 8 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥🇹🇿🏆asanteni sana wachezai wetu ,viongozi, mashabiki na benchi la ufundi na watu wote waliotupa support
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek 8 месяцев назад
Nimeelemewa,nimeelemewa,nimeelemewa !,yaaani cjui nianzie wp kuwapa neno la kuwashkr,Uongozi mzima/vjn wetu pia wanachama/mashabiki,shkrn mno kwa DUA'A mujarab,asanteni sana kila la kheri chama lng,Wananchiiiiiii ! Aluta continua
@mgobanyapazi7738
@mgobanyapazi7738 8 месяцев назад
Daima mbele 💚💛💚💛 kidogo wapate zile gwala.
@samuelmweipongwe140
@samuelmweipongwe140 8 месяцев назад
Asanteni sana wachezaji wetu, benchi la ufundi na team nzima ya Wananchi, hakika mmetuheshimisha 🙏🏻
@nsubilimwampeta9920
@nsubilimwampeta9920 8 месяцев назад
Success of the club is determined by good leadership and not otherwise... Mhandisi hongera kwa uongozi uliotukuka you have made it dude..congrats!
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 8 месяцев назад
What an insightful comment!! Absolutely true! No mbambamba, no blah blah...we need no many words in football however attractive they may look...we need actions...
@hildaminja5148
@hildaminja5148 8 месяцев назад
Nimesema lazima nichukue kadi ya uanachama wiki hii. Kwa heshima ya uongozi, na historia iliyowekwa hapo jana. Bravooooo my team. Rais wa yanga uishi
@FredyMkemwa
@FredyMkemwa 8 месяцев назад
Ahsanten wachezaji pamoja uongozi pamoja na mashabiki
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 8 месяцев назад
Here is Guede, there is Mudathir and Pacome. No Mayele, no Fei, no Nabi, no problem!
@ramladhire
@ramladhire 8 месяцев назад
Period
@pascalemmanuel2557
@pascalemmanuel2557 8 месяцев назад
Kila La Eli mungu Atubaliki Tuchukue kombe
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 8 месяцев назад
Mungu Ni Mwema sana
@proxdegaro6463
@proxdegaro6463 8 месяцев назад
Maana halisi ya Timu Ya Wananchi👏
@issaisandeko6217
@issaisandeko6217 8 месяцев назад
Forever together, Daima mbele🎉
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 8 месяцев назад
Daima mbele nyuma mwiko 🔥🔥🔥🔥 hongera kwa wachezaji wetu viongozi na benchi la ufundi
@FrancoIgnas
@FrancoIgnas 8 месяцев назад
0:41
@scopy0428
@scopy0428 8 месяцев назад
Huu ndio wakati sahihi wa Yanga kuishangaza Africa 🌍 na mpira wake na Inshaalah litatimia hilo amina
@HalimaHassan-sy8xi
@HalimaHassan-sy8xi 8 месяцев назад
Amiin Inshallah
@AsheyAmey-hl5em
@AsheyAmey-hl5em 8 месяцев назад
Tuweke brich than tufungwe aa noo❤❤❤❤❤❤
@kanchitarshi
@kanchitarshi 8 месяцев назад
Congratulations my team 🤸🤸💪💪💪💪💪💃💃💃💃💃
@kudramzee5769
@kudramzee5769 8 месяцев назад
Mwana fa simba damu lakini ana bahati sana na Yanga hongera kwako muheshimiwa binamu
@AishaMsungi-hm8rd
@AishaMsungi-hm8rd 8 месяцев назад
Shooooooooooooooooooo kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Ya kibabeeeeeeeeeeeeeeeee
@hdjdjdjdj8667
@hdjdjdjdj8667 8 месяцев назад
Hongera sana viongozi na wachezaji
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 8 месяцев назад
Mungu mwema ila Engneer Hirs saidi wewe nizaidi yakiongozi
@hidnakirungi6546
@hidnakirungi6546 8 месяцев назад
Safii sana MUNGU kwanza "
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 8 месяцев назад
Hongera Timu langu
@IddyNchama
@IddyNchama 8 месяцев назад
mungu mwema sana mungu hajawahi kusahau sasa akipendacho alihamdulilah yarabi
@adozenaziz8362
@adozenaziz8362 8 месяцев назад
kitu kilichofanyika leo kikubwa sana😊❤
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 8 месяцев назад
Tunamshukuru Mungu KWAKUIPA YANGA USHINDI SIFA NI ZAKE
@omaryamiri3175
@omaryamiri3175 8 месяцев назад
Mashallah ❤❤❤❤❤ Allah awajalie afya njema wachezaji zetu na viongozi wazidi kuongeza umaridadi kwa Hali ya juu
@MichaelAmani-sd8lu
@MichaelAmani-sd8lu 8 месяцев назад
Yanga wamenipa raha sanaaaa
@petermanala6138
@petermanala6138 8 месяцев назад
😂😂😂😂hunifikii mim yanga Kuna rahaaa🎉
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 8 месяцев назад
Upendo mwingi sana pale yanga,,🎉🎉
@ZeyanaAbdi
@ZeyanaAbdi 8 месяцев назад
Kila penye mafanikio lazma kuwe na watu wenye akili kama ww hers mungu akupiganie ktk safar yako
@jrkaluli5638
@jrkaluli5638 8 месяцев назад
Anacho Fanya naibu waziri MwanaFA kina positive impact ktk mpira wetu na Taifa. Your real a stateperson. Keep it up!
@adamabui6121
@adamabui6121 8 месяцев назад
Hongera sana sana sana 🍓 dar yanga afrika 🌍 tunatakiwa timu za tizifunge kama hivo maana hata kulalamika tumeonewa wasiweze na bado shuhuli haijesha tunaweza timu zetu zote tz. From skandinaviska
@MohamediHussein-o9b
@MohamediHussein-o9b 8 месяцев назад
Naibu waziri full happy Tunakupenda sana wana YANGA Upo pamoja na sisi tunakuona kila hatua unaunga mkono kwa Club ya YANGA tunakukubali sana prezidaa wetu Basi kuna hapo kuna mijitu haikawii kusema Watacoment nakusema naibu waziri ni YANGA Yaani madunduka hawana jema hao Badala ya kufocus na litimu lao na msemaji wao wanaanza kufocus na majjini eti mayele katupiwa majjini ili mradi tu kumtoa YANGA mchezoni sasa ili mjue kama YANGA ya wasomi na inaendeshwa kisomi na viongozi vijana na mashabiki wote wa YANGA wanaopendeza kila idara kuanzia rangi za jezi zote mpaka ambazo sio jezi ni nguo tu zenye nembo ya YANGA basi pia tunapendeza mpaka mademu zetu wa wana YANGA full pozi na bado tutawakera zaidi tukirudi kwenye ligi sijui mtaramba dawa gani Labda mrambe juice za mo😂😂😂😂😂 Tutawakera sanaaa na pua zenu hizo kama simba jike na dume kule serengeti mbuga yao ya makolo😂😂😂😂😂 Msinune YANGA ikishinda kueni wazalendo watani zetu tukirudi kwenye ligi yetu ndo kila mmoja na dini yake lakini sio wivu kwenye hizi za kimataifa achani roho mbaya mnaona sasa mmekimbia na muarabu wenu sasa sijui ni muarabu yule au mdosi kama yule boss wao😂😂😂😂 YANGA mbele nyuma mwiko pira machop chop na marost kama yote na blich full kumeremeta Eti walikua wanasubiri tu YANGA afungwe na bingwa wa Algeria sasa bashaa wao kafungwa na bingwa wa ligi ya Tanzania bara Kudadadeki Eti kuna mchambuzi mmoja alisema mbwembwe nyingi mpira hawana baada yakuona watu wamepaka blich sasa nsubiri kwa hamu ajichanganye kuisifia YANGA Mi namkubali sana bro Kessy, miraji, Muro, mchome, 64GB Rikado momo, kampiska, shafii dauda, na timu yote ya cloudz na timu yote ya wasafi bila ya kimsahau Sisco na Muro❤❤❤❤all of U.
@michaelatilio2107
@michaelatilio2107 8 месяцев назад
Barua ya kuomba kazi😂🤓🤓🤓
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 8 месяцев назад
​@@michaelatilio2107we kolokwinyo bin dunduka nani alikutuma usome? Kama hujaipenda sisi tumeipenda si unaona mwenye likes hizo za kumwaga!!!! Na utateseka sana mwaka huu kwa sababu yajayo yanafurahisha zaidi....sasa sijui utajinyonga? Kama una mpango huo wa kujinyonga mi najitolea kamba imara ambayo haitakuchelewesha 😂😂😂
@JaffariNiyongabo
@JaffariNiyongabo 8 месяцев назад
naam umenena 5:54
@ariphkimani3790
@ariphkimani3790 8 месяцев назад
Maana halisi ya matunda ya uongozi thabit,mipango mizuri na umoja ndani ya club ndio hii.Wote tunazungumza lugha moja.Hongera sana wananchi
@jumamabu3650
@jumamabu3650 8 месяцев назад
Leadership nzuri huleta matokeo mazuri, hongereni sana wananchi
@bigdully
@bigdully 8 месяцев назад
All the best technal benching management
@Economically-Growth-Musicians
@Economically-Growth-Musicians 8 месяцев назад
Congratulations🎉🎉🎉
@abdulladosantosjr
@abdulladosantosjr 8 месяцев назад
You make us proud. Asanteni sana🙏🙏
@ShebyStory
@ShebyStory 8 месяцев назад
Good thanks my club
@devotabashome1090
@devotabashome1090 8 месяцев назад
Katibu ndani ya bleach...safi sana
@mwanangusana
@mwanangusana 8 месяцев назад
😂😂😂 u Paccome kitaalam zaidiii
@ramladhire
@ramladhire 8 месяцев назад
Kabisa
@anetboaz8783
@anetboaz8783 8 месяцев назад
Might God we trust in you
@nuruelmada2877
@nuruelmada2877 8 месяцев назад
Asanteeeeee Mungu Kwa kutuondolea Aibu💛💚🙏🏼🙏
@faidha23
@faidha23 8 месяцев назад
Jamani ally kamwe yupo wapi mbona sioni akiongea baada ya ushindi huu
@claratango9262
@claratango9262 8 месяцев назад
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 8 месяцев назад
Daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💛
@jrkaluli5638
@jrkaluli5638 8 месяцев назад
Herself you are a manager. Keep it up mtafika mbali
@immaabukuku7180
@immaabukuku7180 8 месяцев назад
This is our moment
@edisonkalikawe7618
@edisonkalikawe7618 8 месяцев назад
Hongera sana Chama langu 💚💛💛🔥
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 8 месяцев назад
Masha Allah 🎉🎉🎉
@williamnassari
@williamnassari 8 месяцев назад
Yanga hoyeeeeee💚💛💚💛
@brysonishikistaa8145
@brysonishikistaa8145 8 месяцев назад
Young Africans 🔥🔥
@EligiusEvodius
@EligiusEvodius 8 месяцев назад
Asante sana mwenyezi Mungu
@AtwifMabrouk
@AtwifMabrouk 8 месяцев назад
Daaahh Furaha imenizidi Mpaka nalia kiukweli heshima Sana
@selemansalum
@selemansalum 8 месяцев назад
Yanga wako vzr sn na viongozo wao wapo makini na wanawajibika kisawa sawa,hongereni sn.....
@unclegmihale455
@unclegmihale455 8 месяцев назад
Wananchi tunakipiga 💛💛💚💚💪🇹🇿
@MnyamaSeyo
@MnyamaSeyo 8 месяцев назад
Safi sana Timu yangu
@fredyalex8909
@fredyalex8909 8 месяцев назад
Congratulations engines Hesi Said💛💚💛💚
@fihirishemaadihussein6124
@fihirishemaadihussein6124 8 месяцев назад
Hongereni wananchi
@godfreymakau3932
@godfreymakau3932 8 месяцев назад
Asanteni sana wachezaji hatuna Cha kuwalipa ila mungu awatienguvu tupate ubingwa
@adozenaziz8362
@adozenaziz8362 8 месяцев назад
ilove youuuuuu yangaaaaaaaaaa
@ZaiNdogondogo-wf7mw
@ZaiNdogondogo-wf7mw 8 месяцев назад
Yanga tamuuuu
@RajaboSaide-hi5qk
@RajaboSaide-hi5qk 8 месяцев назад
Nimengalia live
@husseynomar9523
@husseynomar9523 8 месяцев назад
MashaAllah 🎉
@ChenchiKing
@ChenchiKing 8 месяцев назад
Daima Mbele Nyuma Mwiko 🇹🇿 💛 💚 🎉🎉🎉
@vivanyboy9743
@vivanyboy9743 8 месяцев назад
kwa Moto huu ahly, ajiandae tunaenda kumpigia palepale Cairo fainal naiyona
@HassaniYahaya-u6r
@HassaniYahaya-u6r 8 месяцев назад
Aminaa
@HamissJuma-i6n
@HamissJuma-i6n 8 месяцев назад
Mungu atujaalie Hadi tufike fainali 5
@malietamaliet
@malietamaliet 8 месяцев назад
Mungu ni mwema Yani me Sina ata neno mayele na madunduka wanalia kule
@HamisRashid-hd4cl
@HamisRashid-hd4cl 8 месяцев назад
Hiii tim nihatar xan kwa tanzania hiii...nishida wekambal nawatoto...
@MaulidiMkima-gx4jv
@MaulidiMkima-gx4jv 8 месяцев назад
Big up jamani Mungu mkubwa tumefuzu robo finally
@atugeorge946
@atugeorge946 8 месяцев назад
Nawapenda
@rashidjuma1969
@rashidjuma1969 8 месяцев назад
Mm ni Simba ila Leo nimepata furaha sijwahi kuipata
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 8 месяцев назад
Karibu sana mtani
@petermanala6138
@petermanala6138 8 месяцев назад
Huo ndo mpira unakasirikaje na hatujacheza na timu yako penda weye😂😂😂😂😂😂😂
@MunirDaniford
@MunirDaniford 8 месяцев назад
Pongez kwa Ghalib said mhd ndo tjr kaweka hela nyingi ndo ukaona wachezaji wazur kama walivyo
@ObediyachitwiObediyachitwi
@ObediyachitwiObediyachitwi 8 месяцев назад
❤❤❤Yanga
@douglaschiso
@douglaschiso 8 месяцев назад
Timu hii ni Hatari. Endeleeni kushabikia hayoooooo mengine
@josepeter8033
@josepeter8033 8 месяцев назад
Yanga tunauongoziiii🎉
@abdurabihassan1188
@abdurabihassan1188 8 месяцев назад
Allah atujalie tubebe ndoo
@wizfbeb
@wizfbeb 8 месяцев назад
Sema msimu huu tukifka fainali mambo ya siasa na timu yetu yakae mbali
@newjerusalem_chc
@newjerusalem_chc 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@Ba63828
@Ba63828 8 месяцев назад
Big up YANGA na uongozi Bora chini ya Eng.
@musawaziri648
@musawaziri648 8 месяцев назад
daah inapendeza sana yanga team kubwa
@OfficialRuchanila
@OfficialRuchanila 8 месяцев назад
Vamo's
@ajumimisanana8095
@ajumimisanana8095 8 месяцев назад
Mwendo we2 mpaka fainali.wataisoma namba,mbele daima nyuma mwiko
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 8 месяцев назад
Amina!! Inshaallah
@ALEXLOTAN
@ALEXLOTAN 8 месяцев назад
Safi sana
@harunamashaka6200
@harunamashaka6200 8 месяцев назад
Daima mbele nyuma mwiko
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 8 месяцев назад
Iv n kwl msemaji wa Africa nzima#Alikamwe kapatwa na matatizoo au n uzushi😢
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤congole sana yanga
@GodfreySteven-cv9bd
@GodfreySteven-cv9bd 8 месяцев назад
Yanga daima mbele nyuma mwiko
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 8 месяцев назад
❤❤❤❤😂😂🎉🎉 daima mbele nyuma mwiko
@AishaMsungi-hm8rd
@AishaMsungi-hm8rd 8 месяцев назад
Yanga sihami
@abdalahmohamedi1806
@abdalahmohamedi1806 8 месяцев назад
Hongera sn Rais nimekupa nyota 3 begani
@bigdully
@bigdully 8 месяцев назад
Allah will be with you
@hassaninyiko8116
@hassaninyiko8116 8 месяцев назад
Luv u yanga
@mwajayhaxxan5507
@mwajayhaxxan5507 8 месяцев назад
Alhamdulillah
@MussaMlowe-w5g
@MussaMlowe-w5g 8 месяцев назад
Yanga bigwa❤
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 8 месяцев назад
Viva YANGA Viva Wananchiiiiiiiiiiiiooooooh 💛💚🌟⚽🦵💪💯🔥 To the Quarter Fainal KIBABE
@aloytz2495
@aloytz2495 8 месяцев назад
👏👏👏
@amanisalumu4682
@amanisalumu4682 8 месяцев назад
Tumu ya Wananchi 🔰
Далее
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,9 млн