Тёмный
No video :(

PROF, SAFARI ALIVYOMSULUBU MDEE, SPIKA NDUGAI/AIPA NJIA CHADEMA 

MwanaHALISI TV
Подписаться 310 тыс.
Просмотров 144 тыс.
50% 1

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 299   
@MwanaHALISITV
@MwanaHALISITV 3 года назад
🔴🔴KARIBU TUKUUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP ILI KUWA WAKWANZA KUPATA HABARI ZETU +255 692 318 213
@nelsoncosmas5639
@nelsoncosmas5639 3 года назад
0712960104
@thobiasiludonya8174
@thobiasiludonya8174 3 года назад
0621450663
@shadrakkelvin9147
@shadrakkelvin9147 3 года назад
0765916043
@saidiabdallah8873
@saidiabdallah8873 3 года назад
0717383383
@abubakarsalim551
@abubakarsalim551 3 года назад
0788015000
@tausshasani2064
@tausshasani2064 3 года назад
Tangu lini ndungai amekuwa marafiki na vyama pinzani alio sikia Hilo neno twende sambamba nae
@patsonmbugi7253
@patsonmbugi7253 3 года назад
Osptli Imebak biashala kujifungua hera nyi ngi inatoswa kubwa hakika ichi inaerekea kutushida
@tausshasani2064
@tausshasani2064 3 года назад
@@patsonmbugi7253 Sana tu
@mshamsan4338
@mshamsan4338 3 года назад
Daah kama unakubali huyu jamaa gonga like nyingi saana Pr,, Safar nakukubali saana ongea baba ccm wanajjfanya hawajui sheria walizotunga wenyewe
@hajimsangi959
@hajimsangi959 3 года назад
Exactly professor safari wakili msomi that's laws say's akili kubwa advocate, lawyer uko vuzur saana am proud of you' Bro
@robertjunior9916
@robertjunior9916 3 года назад
Na Mimi nashangaa Kama unavyoshangaa Prof safari 😂🙈
@elibarikinkya7929
@elibarikinkya7929 3 года назад
MWANASHERIA NI MWANASHERIA TU NDUGU ZANGU.. MANENO YA PROFESA HYO.. TUMEKUELEWA PR. SAFARI👏👏
@kobelomengi3501
@kobelomengi3501 3 года назад
Kweli kabisa umeongea pointi sana nimekuelewa
@terrysakaji307
@terrysakaji307 3 года назад
Kichwa cha binadamu hicho uzuri wa shule na kujua sheria Mungu mbariki prooo safari .
@veronicananyaro5512
@veronicananyaro5512 3 года назад
Duuuuh!!!!!! Hongera prof.
@cristnangereza3148
@cristnangereza3148 3 года назад
Asante sana profesa Safari na mungu akubariki
@Drkhan345
@Drkhan345 3 года назад
I'm proud of you brother
@samwelyesaya1202
@samwelyesaya1202 3 года назад
Uko vizuri mheshimiwa Abdala Safari umeonyesha njia huyu Ndugai ana maslahi na wabunge wa upinzani
@petermchomvu3474
@petermchomvu3474 3 года назад
chadema mungu awalinde kwa siasa safi kushawishi wananchi sasa tumewaelewa mko njema kwenye siasa
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 года назад
Kwaher halima na wenzio tulikupenda lakini ccm wamekupenda zaid R I P HALIMA ESTA BULAYA
@saviomlelwa
@saviomlelwa 3 года назад
Good points with a high integrity
@kingojamunda8185
@kingojamunda8185 3 года назад
Yaani Professor Safari mie huwa nakukubali sana HOJA zako.
@gabrielymathias5516
@gabrielymathias5516 3 года назад
muheshimiwa upo vizuri sana, wasiyo taka kukuelewa watakuwa wanafanyia kusudi.
@petersulle9824
@petersulle9824 3 года назад
Big up Prof, bingwa wa sheria, wenye akili wanakuelewa sana.
@boniphacekajuna4782
@boniphacekajuna4782 3 года назад
Aliyesikia "Nguruwe tusimwachie Mihogo"... twende sawa
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 3 года назад
Asante mwanasheria guli.... mweleze akuelewe
@ramadhanimahongole8764
@ramadhanimahongole8764 3 года назад
maajabu leo ndugai kawa Pete na kidole na halima mtu ambaye alimnyanyasa sana bunge lililopita
@philipojumbe3
@philipojumbe3 3 года назад
Mzee wangu Safari nimekuerewa sana unasimamia kwenye kweri
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 года назад
Kila mtu anashangaa na ata yeye mwenyewe anashangaa
@pascalkipande460
@pascalkipande460 3 года назад
Well said prof. Thanks for such professorial explanations.
@abrahamm.mcharo3097
@abrahamm.mcharo3097 3 года назад
Dadavua mheshimiwa,wengine uelewa wetu mdogo. Lakini bila tume huru democrasia itaendelea kua ICU kama sio mortuary.!!!
@maridadihalisi788
@maridadihalisi788 3 года назад
Bora iendelee kuwa ICU maana Haina faida yoyote
@professamuddy5407
@professamuddy5407 3 года назад
Ndugai anajitahid sana kuwa wa 1 kuvunja sheria ya KATIBA ya nchi. Kisha anahimiza watu wafuate sheria. Anashangaza sana spika huyu!! Hafai kuwa kiongozi!!!!!
@harrishussein6992
@harrishussein6992 3 года назад
Wangepata wabunge japo 10 hii isingeleta shida sasahivi huenda kweli kuna maslahi yanayo hitajika kupitia wapinzani
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 года назад
Ndio uhalisia
@laureanstephano1225
@laureanstephano1225 3 года назад
One of The greatest thinker of his time, incompareble in these days Prof SAFARI
@pancrasmitabile5325
@pancrasmitabile5325 3 года назад
Ndungai, hawezi kutufanya Kama hatujasoma. Tumesoma sana hiyo Katiba na tunaisoma kila siku
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 3 года назад
Aisee! Yaani kwa kauli hii ya Makamu M/kiti professor Safari. Mdee na wezako kama kweli tunavyojua Chadema iliko kutoa tangu university mbunge viti malumu wakati huo hadi mbunge wa kuteuliwa mara 2! Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kila jambo.
@mohamediabdul5184
@mohamediabdul5184 3 года назад
Mzee big up sana Prof nimekuelewa vzr sana kwa point zako.
@bensonjovinary2087
@bensonjovinary2087 3 года назад
Mzee anayeijua na kuitumia sheria yake vizuri big up sana watanzania waelewa na wenye hofu ya Mungu natumai tumekuelewa
@jacksonlicky3826
@jacksonlicky3826 3 года назад
Watang'imwa pesa za mabeberu ndio maana wanawataka kina Halima
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 года назад
Yaani uniite beberu alafu pesa yangu unaitaka!!
@mrzilla9096
@mrzilla9096 3 года назад
Wa Tz sisi wengiwao elimu yetu ndogo sana yaani watu kilakukicha tunawaomba msaada harafu mnawaita mabeberu mmmmmmh kweli Tz kichwa cha mwendawazim nimeamini sasaivi kilakitu kinatokea kwahao mnaoita mabeberu jitambueni wa tz tutakuwa wajinga mpaka lini
@royalsecuritysolutions5610
@royalsecuritysolutions5610 3 года назад
GATE MOTOR. Epuka adha ya kushuka kwenye gari na kwenda kufungua geti hasa wakati wa mvua na usiku. Huna haja kupiga honi tena ukifika kwako, Huna haja ya mtu wa getini tena , huna haja ya kutumia tena kufuli kwenye geti lako, huna haja tena ya kuamsha mtu usiku akufungulie geti . Kwa rimoti yako tu (single touch) unayafanya yote haya . Ukifunga na rimoti huna haja ya kurudi tena getini. matumizi ya umeme ni kidogo sana (energy saving) motor iko kwenye mfumo wa DC Mashine ni bora na imara kutoka south Africa . Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote kwa umbali wa mita 100 Endapo umeme utakatika geti lako linaweza kuendelea kufanya kazi kwa siku tatu zaidi . pia kuna option ya kulirudisha manual na kuendelea kutumia kawaida Tunakufanyia installation ya Gate motor kwenye Gate lako kwa gharama sh milioni moja na laki nne tu .Tsh 1.4M TUPO MBEZI BEACH - MAKONDE Na TEGETA NAMANGA 0710201330 Nitext whatsapp kuona utendaji wa mfumo huu
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 3 года назад
Professor hapa unaongea Kama mwana sheria au Kama mwanachama CDM.Maana unachanganya mambo unaongea vitu vingine vya kuwazia badala ya facts.Wewe mwenyewe umebwaga manyanga kwenye hivyo vyama vya upinzani kwa kuona havienzi demokrasia ndani yake.Ulikuwa CUF ukahamia CDM tena ulipewa na wadhifa wa makamo mwenyekiti Bara lakini uliyoyaona pale mwenyewe ukatangaza kuachia ngazi.Nyinyi mnaojiita wasomi na wana sheria mmekuwa wapotoshaji wakubwa kwa kufikiri wananchi wataendeshwa kwa akili zenu.Vyama vya upinzani havina tena mvuto kwa wananchi kwani vimekuwa ni vijiwe vya kujitafutia maisha kwa wajajanja wanojivika makoti ya viongozi wa siasa lakini hawako pale kwa kupigania maisha ya walala hoi.Hili sakata la Halima Mdee na wenzake ni kielelezo tosha kwamba kwenye vyama vya upinzani mambo ni shakala bagala.
@mauamabunda7385
@mauamabunda7385 3 года назад
Mmebaka wachache sana Prof wazalendo wa ukweli Wapi Mzee Warioba !!
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 3 года назад
Good speech Pr. Safari shule kubwa sana babangu
@mosesdeogratius6482
@mosesdeogratius6482 3 года назад
Wao wanadhani wa tz wote ni mbumbu
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 3 года назад
Safi sana..prof.umeeleza vizur mno..maana wameita conference halafu hata walichotakiwa kueleza hawajaeleza inshort hawakueleweka..had walitia huruma
@vikitu4793
@vikitu4793 3 года назад
Ulitaka waelezee nini cha zaidi sasa?
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 года назад
Walikua wanabwabwaja tu kelele tu aliokua akipiga mdee
@issakawaya8315
@issakawaya8315 3 года назад
Allah akuzidishie hekima
@jamesrobare522
@jamesrobare522 3 года назад
Chadema tumemaliza mchezo watakuwa wabunge au mawaziri watajua wao chadema is done with them.
@claudinemaxime936
@claudinemaxime936 3 года назад
There is more to life than Chadema, you know ?
@vikitu4793
@vikitu4793 3 года назад
Bado hmjamaliza bwashee. Labda muipotezee rufaa yao kwenu, halufa baadaye muipotezee rufaa yao mahakamani. Utastukia 2025 hii hapa 🤣🤣🤣
@gilbertmichael9130
@gilbertmichael9130 3 года назад
@@vikitu4793 that's the way it's
@mussaseifabdullwahid341
@mussaseifabdullwahid341 3 года назад
Waambie Proffesser. W kweli professer
@michaelmasalago8068
@michaelmasalago8068 3 года назад
Siyo bunge dhaifu chini ya Chama Cha mapinduzi na Rais J P M. Hapo hoja zitajadiliwa Kama kawaida na Mambo yatakuwa🔥
@petermahimbo6703
@petermahimbo6703 3 года назад
Sauti ipazwe kukemea haya .mediaz zisitoe habari za kusifia tu zikosoe pia bila kujari kuadhibiwa itasaidia kulikomboa taifa letu.watu wachache wasijiamulie chakufanya .inchi hii niyetu sote.
@solemba595
@solemba595 3 года назад
Kutokufuata katiba, kwasababu yoyote ni Aibu kwa Tz, lkn ndio Zama tulizonazo Viongozi wanaongoza nchi kwa matamko sio katiba tena...
@hamzaulanda3792
@hamzaulanda3792 3 года назад
KATIBA YAO PROFESA HAO NI UHAROOOOO WANAJICHANGANYA WENYEWE TU
@jonathankyandojr8345
@jonathankyandojr8345 3 года назад
Mtu anaongea point mpaka unatamani umsikilize mara mbili mbili
@yussufhussein1954
@yussufhussein1954 3 года назад
Mbona sophia simba alifukuzwa ccm wakamtoa hadi bungeni kwama hayupo tena ccm je sheria izo mzifate nyie tu wenzenu munawafanyia ubabe
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 года назад
Ndugai ni mvurugaji.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 года назад
Ni kweli lakini Sofia Simba hakukata rufaa. Hapa hoja ya akina Mhe. Halima ni kukata rufaa ambayo ina safari ndefu.
@samsonfulgence6170
@samsonfulgence6170 3 года назад
@@hajihassan5433 ambayo hata hivyo hawajaikata anyway.
@maajabuonlinetv5769
@maajabuonlinetv5769 3 года назад
@@hajihassan5433 Ww ni ccm Hatushangai Endelea kusupport
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 3 года назад
Kwaeli Alima mdei tulikpenda sana,lkn ccm wamekupenda zaid R.I.P Esta braya baba umeongea vzr sana kurko wote spika atakuwa anakitu cha cili sana.
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 3 года назад
NDUGA NA MAGUFULI HAWAHESHIMU WALA KUFUATA KATIBA HIVYO NA WANANCHI HAKUNA HAJA YA KUHESHIMU AU KUFUATA KATIBA PERIOD
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 года назад
Nawashangaa sana Maprofesa na Wasomi wa Tanzania ambao wanapenda sana kujiita Dr, Pr nk. Kama tunazungumzia Katiba mpya acha kila mmoja aseme jambo jipya analotaka wengine Tume huru, wengine muda wa Rais kuwepo madarakani nk. Sasa tutapataje Katiba mpya bila mambo mapya?
@ignasnyamoga2222
@ignasnyamoga2222 3 года назад
chadema tumemali kazi hao kama watakuwa wabunge watakua wabunge was ndugai nasio chadema
@mahonakatani2590
@mahonakatani2590 3 года назад
Babaangu mzee safari uko sahihi sn,,hata bando langu limeenda kihalali kabisa
@edenusmrosso9225
@edenusmrosso9225 3 года назад
Ndugai anasubiri barua toka chadema. Tuone watamwandikia nani. Maana walisema uchaguzi batili, wakiandika barua kwa spika aitwae Ndugai ni wanafiki, wasipoandika wanawake wa nguvu wanadunda na ubunge. Na wakiandika barua wamehalalisha uchaguzi. Yetu macho
@shinjekazimily4107
@shinjekazimily4107 3 года назад
Kabisa prfs Safari uko sawa kabisa mda ndo huu wakudai tume huru.
@rashidubruhani8981
@rashidubruhani8981 3 года назад
Prof. Safari hacha siasa kubari kuwa chadema bado mbumbumbu amjakomaa kuweza kuucheza mziki wa CCM wanawazidi mikakati, kama ndugai anaweza kuwarubuni makamanda wenu 19 kama mnavyo dai basi hamtoshi kupewa nchi na uongozi, mdomaa mnashindwa kila siku tafuta njia ya kukabiliana na kila hali hacha lawama wakati nyie wazaifu
@rashidsleman5545
@rashidsleman5545 3 года назад
Lakini kwanini mnaficha maneno ccm wanapata msaada kutoka kwa mabeberu kukiwa na vyama vingi ndio maana yote hayo kama sio misaada wala kusingekuwa na vyama vingi
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 3 года назад
DUNIA kwa mahitaji ya kumjali kila mmoja wetu inatutosha lakini kwa ubinafsi, dunia ni eneo dogo sana... HEKIMA NI BIDHAA adimu SANA, ujinga huwaangamiza wanadamu kisha humsakizia shetani...
@silasmeshilieki2975
@silasmeshilieki2975 3 года назад
Nguruwe haachiwi mihogo, sasa nguruwe amekula mpaka miti. Hahahahaha!
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 года назад
Hahahahahaa nishidaaaa aisee Tanzania yetu hii mungu aingilie kati jmn duh
@jesaminzo
@jesaminzo 3 года назад
Huyu professor Safari anautendea haki uprofessor wake siyo kama yule wa jalalani😃😃
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 года назад
Hahahahahahhaaaaaaa,Umetisha sana James
@claudimatiya1876
@claudimatiya1876 3 года назад
profesa nimekuelewa vizuri xn kawale manyumbu wakule nadhani wamekuelewa pia
@petermsangia3082
@petermsangia3082 3 года назад
Kwa Tanzania hii. Huko kugomea uchaguzi HAK HAUTAWEZEKANA. Maana wapo baadhi ya viongozi wa vyama vya kisiasa hawajitegemei ki-maamuzi.yamezoea kujipendekeza ili yaonekane ikibidi wateuliwe kama Wabunge wa viti maalum
@FrankManko
@FrankManko 3 года назад
Nitaendelea kukuheshimu mwalimu wangu
@benedictoshadrack2573
@benedictoshadrack2573 3 года назад
Ni kweli mh PROF umesema sahihi kabisa kuwa toka lini ndugai akawa rafiki na wabunge waupinzani binafisi hata mm haniingii akilini kuamini urafiki huo na maneno ya mh Pius msekwa ndiyo yamemaliza kila kitu
@wastambuli8039
@wastambuli8039 3 года назад
Teacher, very bright professsor
@adammasunga5363
@adammasunga5363 3 года назад
Umesema kweli mheshimiwa ubarikiwe
@josephgabriel8593
@josephgabriel8593 3 года назад
No challenges no success GREAT THINKERS
@liliansamson674
@liliansamson674 3 года назад
Huyu professor Safari tunamtaka atufafanulie kuhusu Dreva wa Tundu Lissu, na Faru John zaidi ya hapo anyamaze tu, alikua wapi kukemea Rushwa??? Alikua wapi kutusemea wananchi sector ya afya? Tupishe kule.
@lucassamwel5544
@lucassamwel5544 3 года назад
Kweli nimekubali we ni profesa
@pablomufasa854
@pablomufasa854 3 года назад
Chadema ina ugonjwa mkubwa wa watu kujua sana sheria bila kuwa na jicho la tatu , kuna mambo huwezi kuyaona kama huelewi kuona patern iliojificha ..mtapotea mmoja mmoja taratibu hadi muishe Tanzania is one of the Spiritual country bado tena hamuwezi kuelewa mtashangaa kilasiku mambo yana kwenda tofauti bado yanafanikiwa RAIS WETU HATUMII TORATI
@charlesndege5289
@charlesndege5289 3 года назад
Unaongea ukweli mtupu PROF. Ndungai hafai kuwa kiongozi... Naaamini hiyo dhambi itawatafuna kuvuruga uchaguz na kuwanyima wananchi haki yao ya msingi na kudhurumiwa haki zao
@shijamakenzi3051
@shijamakenzi3051 3 года назад
Kwanza ndugai anawabeza maspika wezio waliomtangulia kuwa wamepitwa na wakati yeye ndiye spika wa karne zote ambaye hatakuja kutokeya Tannzania hii ni kweli kama anawaapisha wa upinzani viti maalumu bila hata ridhaa ya chama wanachotoka huyu kweli hanabudi kuwa spika wa karne na karne
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 года назад
Yahitaji Tafaquri Sana.
@johnstonruhembe3878
@johnstonruhembe3878 3 года назад
wasomi kama hawa wamebaki wachache Sana nchi hii, ccm lazima watambue kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho, hawakujua athari za kuminya uhuru na demokrasia zitakuwa nyingi hivi ndio maana wanatapatapa na kula matapishi yao wenyewe bila kujua, kwa Mtazamo wangu sipika angejihudhuru maana amepoteza sifa ya kuwa sipika wa bunge letu
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 года назад
Good jobs speaking up wazalendo wa Tanzania
@emmanuelmasele8734
@emmanuelmasele8734 3 года назад
Safi sana PRO.SAFARI.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 года назад
Good talk Professor.
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Prof fact sana. Ila wasiojua sheria ndio waidhalilisha sheria bila kujua sheria na ni kosa kisheria kutofuata sheria
@reginaldtemu6305
@reginaldtemu6305 3 года назад
Mwenyezi Mungu tunakuomba uwaadhibu wezi wa kura
@martinkisha6307
@martinkisha6307 3 года назад
Watu Kama ninyi wenye busara mnatakiwa Sana kuwepo nchini kusaindia sheria isivujwe
@davoo2555
@davoo2555 3 года назад
.....hahaha.......!!!!! Nguruwe usimwachie mihogo...... ila sasa nguruwe mwenyewe ndio ameshakula mpaka miti.....!!!!! hahahaha..... hatariiiii sanaaa
@tumaininerei5948
@tumaininerei5948 3 года назад
Nakukubali sana professor...
@frankkaiza3658
@frankkaiza3658 3 года назад
Wambie bingwa wa shelia cc tuna wachora2 wanaigiza mwenye macho ambiwi tizama hao covd 19 mungu atawa ukumu2!!!
@saidihazard7120
@saidihazard7120 3 года назад
Hawa ndio wanatakiwa kuishi mwiaka mingi Mana wanasimamia ukwer half Shelia wanaijua
@mbarakaiddi8209
@mbarakaiddi8209 3 года назад
mungu awaweke mue na umri mrefu ili kulitimiza hili jukumu kubwa nahitaji lawananchi wapenda haki
@rashidubruhani8981
@rashidubruhani8981 3 года назад
Professor ukishakuwa mwanasiasa ww nimuongo tu! Unafata interest za siasa hauongei ukweli na kwann wanalibuniwa kama watoto wadogo chadema wako hao kama kweli wanalibuniwa na ndugai vp mabeberu si watakuja hadi kuchukua chupi za wake zetu chumbani, wewe kubali chadema hamjakomaa kuweza kuucheza mziki wa CCM hacha visingizio tafuta mbinu mbadala fanya utafiti prof. Hacha ubabaifu
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Ila kweli tangu lini wakawa malafiki na kina mdee kiukweli ndugai nibola uwe muwazi tu
@AbdulAziz-vy1gp
@AbdulAziz-vy1gp 3 года назад
Sisi wanye nja bado akili tunazo hao walio shiba wanaona kama hatunazo uchaguzi wamehalibu wanahisi wanaweza kulazimisha tukubali uongo
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 3 года назад
Ndugai hapo unavunja sheria
@davidmapogo8784
@davidmapogo8784 3 года назад
Nakuheshimu prof.safari nikuulize swali je hao chadema wamemwandikia spika barua ya kufukuzwa uanachama?na wakiandika si ndo watakuwa wamemkubari spika?hujafikilia hivyo?au haya mpaka ukasomeeee!just think
@bhelekiabhelekia6031
@bhelekiabhelekia6031 3 года назад
Safari iko vzr
@simbafc16
@simbafc16 3 года назад
CCM HAIWEZI KUKUBALI TUME HURU HILO LIKO WAZI
@sarahwalles2607
@sarahwalles2607 3 года назад
Cku watakayokubali tume huru ndo mwisho wao wataisoma no.wao sasa
@evaresttumaini4869
@evaresttumaini4869 3 года назад
Watu wenye akili wako nje ya mfumo, mfumo umewekewa matutusa
@ahmednasir2630
@ahmednasir2630 3 года назад
MUANDISHI NADHANI BADO KICHWA CHA HABARI UANDISHI HAUKO SAWA HABARI. HABARI NI KICHWA CHAKE KATIBA YA ICHI HII NI HEWA HAIFANYIKAZI NA KUNA WATU JUU YA SHERIA KAM BWANA POMBE JOHN NA SASA KAMA SERIKALI HAISHITAKIWI MAANA YAKE NI NINI KWA RAI WA NCHI HUSIKA? MAMBO YA AJABU SANA
@samwelyohana1172
@samwelyohana1172 3 года назад
👍👍👍👍✌✌✌👍👍👍👍👍👍
@shijamakenzi3051
@shijamakenzi3051 3 года назад
Job kwa kiswahili ni kaz kwa matiki hiyo spika wetu yuko ki kaz zaidi kuhusu katiba kwake yeye ni upuuzi ni mandishi tu yako kwenye makaratasi
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 года назад
Kweli kabisa, hata mm ni ccm damu sasa namshangaa ndugai kutuambia eti ohoo watakuwa wabunge, watakuwaje wabunge,
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 года назад
MZEE.Prof.Safari Watanzania tunashangaa!! Mwizi husubiri Giza watu walale,ndipo waingie na Fatima,lkn safari hii wizi umefanyika wazi mchana kwa nguvu ya vyombo vya Dola,na Tume!!?
@beneditojoao5848
@beneditojoao5848 3 года назад
Sasa utajibu swali wakati umekata rufaa mwandishi jaji? Na wewe professor toa ushahidi wa kina lisu
@jmastertz161
@jmastertz161 3 года назад
Wazee wetu wa busara walio baki
@benwater4519
@benwater4519 3 года назад
YAANI SIJAWAHI KUONA SPIKA WA BUNGE WA AJABU, MWENYE ROHO MBAYA KAMA SURA YAKE KAMA NDUGAI. NDUGAI LET ME TELL YOU SOMETHING; UNAWEZA KUDHANI KWAMBA MAMBO YA KUUMIZA ROHO UNAYOWAFANYIA WAPINZANI YOU GET AWAY WITH IT HAPA DUNIANI, LAKINI MBINGUNI MBELE ZA MUNGU WANGU RECORD YAKO INAHIFADHIWA. WEWE ISUBIRI TU HIYO SIKU UTAKAPOSEMA BABA NISANEHE SIKUJUA NILICHOKUWA NAKIFANYA. NDIPO UTAKAPOAMBIWA ONDOKA MNAFIKI MKUBWA WEWE TENA SIKUTAMBUI. HII MESSAGE INAMHUSU NA MNAFIKI MWENZIYO KAIJAGE👎🏾
@petercat7417
@petercat7417 3 года назад
Sema Prof wetu.
Далее