Тёмный

Professor wa Marekani, Jeffrey Sachs aeleza sababu halisi ya URUSI kuivamia UKRAINE - Part 2 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 190   
@pauldotto7868
@pauldotto7868 4 месяца назад
Leo ndio nimekuelewa. Fanya haya kwa masilahi ya watu wajue. Marekani ni ni hovyo sana. Tena Putin anawajua marekani kuliko yoyote.. TANGU 1997. Na 2002 . Walijitoa kwa kujua. Mimi ni mfuatliaji sana. Asanteee asanteee Paul Dotto
@kherisalum6304
@kherisalum6304 4 месяца назад
Kutoka Sumbawanga-Rukwa tunakupa vyema ❤❤❤❤
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 4 месяца назад
Leo nimechewa kidogo dj smaa mwaga maji like za kutosha jamn
@matanohassan9667
@matanohassan9667 4 месяца назад
Dj sm uko juu kinoma sa hii mtu akiongea siasa za west akijichora full kumueka sawa💪💪💪💪🇸🇦💖💖💖
@abdinoorkamau9745
@abdinoorkamau9745 4 месяца назад
Loud and clear from Nairobi Kenya 🇰🇪 May Allah akuhifadhi inshaAllah..
@aishaarusha894
@aishaarusha894 4 месяца назад
Amin inshallah kwa sote
@BUSHASHASWITCH
@BUSHASHASWITCH 4 месяца назад
🇧🇮🇧🇮kutoka BURUNDI BWACU tuko pamoja Sana 5/5 next join dote 🙏🏾🙏🏾💥💥💥🥰🥰💯🇧🇮
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 4 месяца назад
Dj Sma ametufumbua macho👏👏👏👏🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿🙏💪🔥👍
@Jumasefhu
@Jumasefhu 4 месяца назад
Safi sana dj sma tunakuelewa vizuli natoka mwanza
@jaylousbenedictor8891
@jaylousbenedictor8891 4 месяца назад
Iringa Tz unatupa taarifa nzuri sana
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 4 месяца назад
Dj Sma ni Mtu wa maana sana🎉🎉🎉🎉
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 4 месяца назад
Shukran Dj smaa kwa chakula cha ubongo nafungua sana akili 🙏
@IdrissMsakati
@IdrissMsakati 4 месяца назад
Nakukubali sana Braza unajua kuchambua sana ,Allah akufanyie wepes kwenye mambo yako na akupe Maisha marefu na yenye mafanikio...by idriss msakanoti
@djsma255
@djsma255 4 месяца назад
Amin kwa sote
@kiongadecoration7793
@kiongadecoration7793 4 месяца назад
Amiiiiin
@vuaimakame300
@vuaimakame300 4 месяца назад
From zanzibar, hongera sana DJ SMA
@UFC_HIGHLIGHT123
@UFC_HIGHLIGHT123 4 месяца назад
Loud and clear from USA ..nakupata vizuri kaka..🤜🤛
@sirangoclassic9555
@sirangoclassic9555 4 месяца назад
Love from Mozambique 🇲🇿
@fatmabukuku5384
@fatmabukuku5384 4 месяца назад
Hongera sana sns na dj smaa
@BillySmart-tk1wu
@BillySmart-tk1wu 4 месяца назад
Hello brother DjSmaa tangu mwanzo wa FUSE mpaka leo naskiliza kutoka SOUTH AFRICA 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@amirizedy8411
@amirizedy8411 4 месяца назад
Shukrani saasa dj sma nakusikiliza nikiwa south Africa cap town Allah akupe afya njema
@djsma255
@djsma255 4 месяца назад
Amin atupe sote
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 2 месяца назад
🎉🎉🎉
@maneno-my4lu4dt8i
@maneno-my4lu4dt8i 4 месяца назад
Ahsante sana kwa kutupa madini
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 4 месяца назад
Nimeipenda sana hii..@dj smaa na sky mpo vizuri sana..
@bomonda2622
@bomonda2622 4 месяца назад
Dj sma never disappoint we are proud of wewe
@alphoncejohn6308
@alphoncejohn6308 4 месяца назад
Dj sma wewe ni perfect
@hefsibahephzibah
@hefsibahephzibah 4 месяца назад
Nakupata vyema Zambia hapa
@hamadiselemani8665
@hamadiselemani8665 4 месяца назад
safi sana
@suleymuntar3544
@suleymuntar3544 4 месяца назад
Aise nmefurahi sana maana nilikuwa napenda sana geopolitics lakin alikuwa hamna mtu anaweza kuchambua kiundan kwa lugha adhimu ya kiswahili
@tawaloharuna4885
@tawaloharuna4885 4 месяца назад
Thanks Dj smaa for good news .God bless you
@mussamkanga3329
@mussamkanga3329 4 месяца назад
Salute dj sma
@JamaliUssene-di1qm
@JamaliUssene-di1qm 4 месяца назад
Naskiliza kutoka moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 nakubali kk unatu temea madini asante kk nashkula
@kassimbayuu
@kassimbayuu 4 месяца назад
Ahsante sana sana aisee smaa ni professional katika uchambuzi. Kazi nzuri sana Ila nashangaa Kuna watu wagumu kuelewa sijui wanafanya makusudi an ndo wale wa kudandia gari kwa mbele. BLAZA NAOMBA USICHOKE KUTUPA MADINI HII NI SADAKA YENYE KUENDELEA, HEMU NIAMBIE KWA UCHAMBUZI KAMA HUU UTAUPATA WAPI KAMA SIO HAPA
@chancepascalkifula3970
@chancepascalkifula3970 4 месяца назад
Nakubali bro kutoka congo uvira
@dominic4727
@dominic4727 4 месяца назад
Djsmaa Loong life.ukweli upo wazi hawa jamaa wa malengo baya sana.ila hivi karibuni vitimbi vyao vita Luka patupu
@Faizali-x9
@Faizali-x9 4 месяца назад
🇲🇿🇲🇿🇲🇿 dj smaa unajuwa sana na kukubar I'm from Mozambique
@tibayawaafrica
@tibayawaafrica 4 месяца назад
Mungu awa bariki ndugu zangu kwa kazi munayo ya fanya
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 4 месяца назад
Asante sana dj smaa kwaelimu nzuri kutoka kigoma
@Gulfnas1
@Gulfnas1 4 месяца назад
Hi interview ni noma
@MackDizo
@MackDizo 4 месяца назад
Safi cn Dj smaa
@jembe34
@jembe34 4 месяца назад
Nakukubali sana brother
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 4 месяца назад
Asante sma napole sna bratha nahic upo uliponkuna AC lakin hicho kipala kitakuwa kime chemka 😂😂 good fuse good sns god bless dj sma..!
@Danielgentil-pv5sk
@Danielgentil-pv5sk 4 месяца назад
From DRC
@janmusquera
@janmusquera 4 месяца назад
Hapa Kenya tunakuelewa vizuri ❤
@jacksonjudicate9388
@jacksonjudicate9388 4 месяца назад
DJ SMA UBARIKIWE SANA KWA KUFUNGUA MACHO
@MohamadHamza-hb2qv
@MohamadHamza-hb2qv 4 месяца назад
Nawafatilia sana Wana sns kutoka Doha Qatar,tunaelimika
@saidabou6342
@saidabou6342 4 месяца назад
Shukran smaa
@MichaelAbby-dp4qz
@MichaelAbby-dp4qz 4 месяца назад
#SMA for everybody 💥✌
@OmarKhatib-p2i
@OmarKhatib-p2i 4 месяца назад
From Zanzibar ....well presented...🙏
@muharramhamisi5140
@muharramhamisi5140 4 месяца назад
Facts na logic ,vit ni motooo madini adim sem uko vizur bro,,,tunkupt vizur from dom
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 4 месяца назад
Kka nakibali logic na fact zako bro🎉❤❤❤
@JescaMasasa
@JescaMasasa 4 месяца назад
Nasikiliza kutoka Mexico hata huku wanawachukia sana marekani
@EmanuelMayombo1982
@EmanuelMayombo1982 2 месяца назад
Umetisha sana
@NasraYusufu
@NasraYusufu 4 месяца назад
Thanks dj smaa
@worldelectro2787
@worldelectro2787 Месяц назад
From Drc thankyou we love you
@benmcdream2268
@benmcdream2268 4 месяца назад
Much love dj smaa
@quemakame-tu3hz
@quemakame-tu3hz 4 месяца назад
Hongera bro
@JamilaAlly-fw1ss
@JamilaAlly-fw1ss 4 месяца назад
Nimemkumbuka jpm😥😥
@NOELKISONGA
@NOELKISONGA 4 месяца назад
Huwa nayaelewa sana madini yako dj Sumaa
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 4 месяца назад
Mungu atakuwa upande wa haki inshaalar
@kdloon2030
@kdloon2030 4 месяца назад
Ruto ana muda mchache madarakani,ila tayari kaisha isaliti East Africa na Africa nzima kwa ujumla!Naimani ya kua USA,wanataka kuweka kambi kenya,ili wammalize Museveni.Tumuombe uhai,ila muda utadhihiri ukweli
@alphadreammedia
@alphadreammedia 4 месяца назад
Ruto hafai kabisa
@ReyzDon
@ReyzDon 4 месяца назад
nakubali sana na ww Dj sma. Ndio maana rais Emanuel macron aluenda ujeruman kumshawish mwenzake wa ujeruman kukubali kuingia Ukraine ila Kwa mgongo wa marekani
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 4 месяца назад
Nahisi hata hapa kwetu hawa CIA walitumika. Maana hata kabla ya uchaguzi wetu wa mwaka 2020-2025 Marekani walikuwa na mshawasha sana na mwenendo wa utawala na Viongozi wetu. Nakumbuka hata vita ya mashoga ilipoanzishwa Viongozi wetu walizuiwa kwenda Marekani na baada ya kifo cha yule mzee waksema waliwazuia kwenda Marekani kwa kosa la kupinga biashara za corona.
@gracemkami1343
@gracemkami1343 4 месяца назад
R.i.p jpm✌️✌️
@rayyanothumanmohammed8261
@rayyanothumanmohammed8261 4 месяца назад
Naona JPM wamemuuwa Hawa wazungu
@gracemkami1343
@gracemkami1343 4 месяца назад
R.i.p JPM
@saidsalum3475
@saidsalum3475 4 месяца назад
R i p 😢
@THEFACTTVCHANNEL-b2x
@THEFACTTVCHANNEL-b2x 4 месяца назад
Malawi
@abdallahmwabungale
@abdallahmwabungale 4 месяца назад
Thank you Dj Sma
@AliOthuman-mo4ef
@AliOthuman-mo4ef 4 месяца назад
Kaka nimekwelewa sana
@zuberympulo6564
@zuberympulo6564 4 месяца назад
Shukran sana Dj Ama Allah Zaidi kukupa Afya Ilivyokuwa Njema
@djsma255
@djsma255 4 месяца назад
Amin kwa sote
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 4 месяца назад
Jeffrey Sachs ameongea mambo mengi saana japo katusaidia kujua mengi mno kuliko wengi tunavyojua😊
@mrfestomsyangi1305
@mrfestomsyangi1305 4 месяца назад
Jamaaa anaongea ukweli
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx 4 месяца назад
This is more than mainstream media..
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 4 месяца назад
Kwa madini haya Dj sma inabidi upewe ulinzi.
@heridunia
@heridunia 4 месяца назад
binadamu sisi kaka umeeleweka ❤
@merinyop7174
@merinyop7174 4 месяца назад
Safi
@dullahabdallah-nu1py
@dullahabdallah-nu1py 4 месяца назад
Dj sma,umesha angalia the first omen.ushahidi wa mpinga christo
@Ali-kl4zc
@Ali-kl4zc 4 месяца назад
Oman 🇴🇲 ❤
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 4 месяца назад
Hawa jamaa ni mashetani wakubwa. Yani kuuwa kwao nijambo la kawaida . Mwenyeezi mungu awaangamize
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 4 месяца назад
Pamoja sana
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 4 месяца назад
Dj sma naukubali sana kazi yako Kuna siku ulichambua Albert Pike letter to mazzin ninakuomba uielezeee kwa undani maana kule ulisema unaweza kuichambua barua Ile kwa muda wa masaa matatu tuchambulie kwa undani natamani kujua ni namna Gani vita ya Tatu itakavyotokea
@djsma255
@djsma255 4 месяца назад
Shida ni muda na mambo ni mengi ila natamani kuifanyia kazi kwa undani
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 4 месяца назад
Dj Smaa ni mchambuzi mzuri na anajua kufanya research, Wahuni tu ndo hawawezi kumuelewa na kuna mijitu asili yao ni kupinga tu kila kitu hata yakipewa facts na sources za habari yenyewe yako tu uongo.
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 4 месяца назад
Hata sisi burundi tuliendelea nashughuli zetu hatukufungia ndani
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 4 месяца назад
Dj smaa #✊🏽
@serianjamal8254
@serianjamal8254 4 месяца назад
Kama walivyomtoa (Hapa kazi tuu) RIP Mzee Magu🤔
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 4 месяца назад
This has been so interesting for real❤
@andrewmwamwezi990
@andrewmwamwezi990 4 месяца назад
Safi sana rip jpm
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 4 месяца назад
@dj sma tucker carlson has an interview with nayib bekele the elsavado president plz pitia hio interview
@gabapentin8070
@gabapentin8070 4 месяца назад
Jpm ukute walipita nae 🤲🏽
@abdulismail6072
@abdulismail6072 4 месяца назад
Nakufatilia nikiwa dar mbagala
@H2krexty2Sebastiao
@H2krexty2Sebastiao 4 месяца назад
Em Moçambique tipo na Samora 1presdente d Moçambique
@RebekaMwanzalewis
@RebekaMwanzalewis 4 месяца назад
DJ sma nakupata 100% ila nilikuwa Naomba hivi nikweli urusi kurudisha nyambizi za nyukliya Cuba lengo ninini
@dominic4727
@dominic4727 4 месяца назад
Ukitaka kumuua paka mpe kina baya watu hawa Shangai kwanini kila jina baya mambo yote mabaya hupewa urusi haiwezekani ukiona mti unapigwa mawe ujue huo mti una matunda wakati wa na mshambulia gadafi tuta ambiwa kua gadafi ni dicteta fisadi mwishowe tuka gundua kua alikua ni mtu safi sana ila kwakua alikua tofauti na matakwa yao ila mwisho wa ubaya ume kalibia
@rogerioibraim8527
@rogerioibraim8527 4 месяца назад
Dj smaa iyi namba mbili sikupata notification yake nikatafuta yani sijuwi kwanini ama ndio wameaza kutublock kisiasa Big up sana
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 4 месяца назад
Wana Sns tunapaswa ku'overstand vitu kuwasaidia wenzetu waliopo kwenye understanding level . Mpaka Sasa najiuliza why now all these ? .. Dj siungi mkono hoja kua jamaa huyo ni suruhu ya changamoto zetu zakiuchumi no matter how sense he is .. suruhu ya changamoto zetu zakiuchumi ni sisi wenyewe zaidi zaidi tutaenda tafuta matatizo mengine tu ..
@djafro8729
@djafro8729 4 месяца назад
Ukitaka propaganda enda CNN na BBC lakini ukitaka ukweli kuhusu habari enda al Jazeera news
@farajiissa560
@farajiissa560 4 месяца назад
Hata alijazeera si hii ya sasa alijazeera ambayo ilikua ya kwel ni ile enzi za sadamu si hawa walivyo vamia irak ndo wakaaanzisha yao iyo aljazeera
@lucasmartin431
@lucasmartin431 4 месяца назад
Proff anaongea kingereza kizuri sana
@Nyaki-rh5oi
@Nyaki-rh5oi 4 месяца назад
Magufuli anendelee kupumzika kwa amani mzee wetu
@lindokuhlegamede3930
@lindokuhlegamede3930 2 месяца назад
Natoka zanzibar nakusapoti mimi hamid
@BalutiShabani
@BalutiShabani 4 месяца назад
Tupo pamoja mbosi
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 4 месяца назад
Dj sma
@MustafaChinanda
@MustafaChinanda 4 месяца назад
DJ sma watakubar tu tupe habar simama na ukweli aiseeh
@MussaMtopelwa
@MussaMtopelwa 4 месяца назад
Weeedj iiiii upovizuli tunaomba utueleze CIA inaiingozaje malekani
@SamwelMsyomi
@SamwelMsyomi 2 месяца назад
m nasikiliza kutok tarime mara tanzania
@hamisitsuma-rc2ej
@hamisitsuma-rc2ej 4 месяца назад
Dj smaa hii story ya kuwa ni wachina ndo walitengeza kumbe ni uongo
@djsma255
@djsma255 4 месяца назад
Ilitengenezwa USA alafu wakaihamishia wuhan Lab
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 4 месяца назад
Sasa wewe nae unaamini mashoga wa marekani
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj 4 месяца назад
Mim nitakubali kama hiyo CIA ina nguvu wamuondoe Putin kama walivyo fanya Lybia au Iraq ndo nitakubali Wana nguvu duuh wao wana nguvu, ulimwengu wa 1967 umepita kwa sasa nchii nyingi zina maendeleo ki jeshi na uwezo
Далее
The Real Story of Oppenheimer
32:52
Просмотров 13 млн
Killing Bin Laden | 60 Minutes Full Episodes
41:59
Просмотров 10 млн
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 521 тыс.
Joe Biden: Rais mteule wa Marekani ni nani?
3:34
Просмотров 7 тыс.
A Day at Johari Rotana Hotel Dar es Salaam Tanzania
9:52
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Просмотров 23 тыс.