Тёмный
No video :(

PROPHET IPM AGOMA KUMZUNGUMZIA NABII KIBOKO YA WACHAWI, ATOA NENO WALOKOLE KUWA MATAJIRI 

SIMULIZI ZONE
Подписаться 217 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

SEHEMU YA PILI YA MAHOJIANO NA PROPHET IPM AKIZUNGUMZIA BAADHI YA WACHUNGAJI KUWA WACHAWI NA KUWAVUTA WAUMINI KICHAWI KISHA KUWAPIGA PESA

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@JamesPeter-y3w
@JamesPeter-y3w Месяц назад
Amna
@jenipherkachecheba8097
@jenipherkachecheba8097 Месяц назад
nakukubali Prophet
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Месяц назад
Huyu naye ni NDUMILA KUWILI ni mjanja mtafutaji Mwa aliye funuliwa na Mungu anakuwa ha na haja ya kusoma maandiko vitabuni, anapaswa kueleza NENO kisha waumini wao ndio wataangakia maandiko. Mtumishi wa Mungu anakija na NENO siyo kusoma mistari vitabuni..
@user-pw9pz5gj3s
@user-pw9pz5gj3s Месяц назад
Nakukubari sana ipm
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Месяц назад
Walokoke mpoooo msikikize huyu mchungaji upate maarifa
@annanamuyala
@annanamuyala Месяц назад
Chuo siyo ndiyokitakacho kuingiza ufalime wa mbinguni apana nia duniani yani ukiitwa nikujiongeza tu
@HenryRuharara-l5r
@HenryRuharara-l5r Месяц назад
Mafuta,,,ya upako na maji ya upako uko sawa,,,,usiache kusema ,,,wapenda kweli tuko nyuma ysko
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 Месяц назад
❤❤❤t is a 🌷❤🙏🙏🙏🙏
@danielkamau2987
@danielkamau2987 Месяц назад
Alika Ndacha akufundishe bibilia.
@danielkamau2987
@danielkamau2987 Месяц назад
Debate na Ndacha tunjue ukweri wa bibilia..
@marymassawemassawe
@marymassawemassawe Месяц назад
Mch kuwa makini YESU anarudi hili jambo la kutoa kafara kuchinja linatoka wapi jamani mtuache tu jamani tusimame kwa zamu zetu wenyewe yule unaeona afadhali kumbe hakuna kitu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Месяц назад
IPM unyoke na mambo y'ako hueleweki unaongea vitu ambavyo havieleweki mara.biblia inaonyesha kila.kitu mara umechunguza miaka.3 walokole hawana hela mara kuvaa suruali wanawake sio dhambi angalia kudandia gari kwenye kibini.utagongwa baba.mkwe dunia haziko mbili waumbaji.hawako wawili.chagua Moja usimhubiri Mungu kama hajakutokea huwezi kumpendeza Mungu pasipo kumwamini.kuwa.anaweza kutenda
@ibrahimovicsonda4892
@ibrahimovicsonda4892 Месяц назад
Tatzo zero brain 🧠 ww
@marymassawemassawe
@marymassawemassawe Месяц назад
Nilikuwa nakukubali kwa kiasi Ila kwa kafara umeniacha mbali sijakuelewa
@suzanagilbert2523
@suzanagilbert2523 17 дней назад
Hakuna miujiza feki
@chamaibra5966
@chamaibra5966 Месяц назад
Yani hawa wachungaji wizi mtupu eti ana degree kumi na gwajima anatunga vitabu anauza Korea wizi mtupu
@user-eb9ni9sb3n
@user-eb9ni9sb3n Месяц назад
Sasa elimu ya Dunia itakufikisha kwenye ufalme?
@FrancoisMangala
@FrancoisMangala Месяц назад
SASA WEWE KAMA UNAPEWA UDUMA ALAFU UNA SHINDWA KUKEMEA WENGINE HAUFAI,HEKIMA YAKO NI YA KIDUNIA AO UNAJUWANA NA KIBIKO YA WACHAWI......BIBLIA INASEMA ONYA,KEMEA,KARIPIA
@msemakweli243
@msemakweli243 Месяц назад
@@FrancoisMangala hakuna mtumishi wa mungu ni wakala wa shetani
@MkuuKuu
@MkuuKuu Месяц назад
Mchungaji anayejua kuongea kiarabu na swala za kiislamu kuliko mistari ya Biblia! Mti hujulikana kwa matunda yake. Bora arudi alikotoka.
@msemakweli243
@msemakweli243 Месяц назад
Uho ndo unafiki hakuna hekima ya kutokesema ukweli
@user-ob2ik5gy1b
@user-ob2ik5gy1b Месяц назад
Jpm umefeli kwakuwa umetoka kwenye njia sahii yenye mafundisho ya Mungu wa kweli ukafuata mafundisho ya watu
@msemakweli243
@msemakweli243 Месяц назад
@@user-ob2ik5gy1b njia sahihi ni uisilamu hapana ndo maana mnaomba mwisho mwema amna njia sahihi
@seveboytz
@seveboytz Месяц назад
Degree 10 hongera baba mchungajiiiiii
@swedijuma-rn4kr
@swedijuma-rn4kr Месяц назад
Wajinga ndio waliwao umetoka katika din ya haki wakamue hao maana dunia ndio pepo yako akhera huna kitu.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Месяц назад
Akhera ataensa sujudu motoni. Maana mila nafsi yenyewe Ina alama ya usaliti huzidiana kutokana na elimu ya shetani katika uovu. Huyu amezidi mno. Nabii wa Mungu anapo kuja hana haja ya kushika kitaabu, yeye hunena neno tu.
@msemakweli243
@msemakweli243 Месяц назад
Hapo unatulisha matango poli ya mungu hayasomewi ni uongo wa dhahili kabisa
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Месяц назад
Kiboko ni mwenzie anasemaje?
@gerkombo6512
@gerkombo6512 Месяц назад
Mwislamu aliyejiongeza aliyeamua kupiga pesa kupitia ukristo. Endelea kukamata wajinga kupitia degree zako 10
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Месяц назад
IPM unyoke na mambo y'ako hueleweki unaongea vitu ambavyo havieleweki mara.biblia inaonyesha kila.kitu mara umechunguza miaka.3 walokole hawana hela mara kuvaa suruali wanawake sio dhambi angalia kudandia gari kwenye kibini.utagongwa baba.mkwe dunia haziko mbili waumbaji.hawako wawili.chagua Moja usimhubiri Mungu kama hajakutokea huwezi kumpendeza Mungu pasipo kumwamini.kuwa.anaweza kutenda
Далее
Cute kitty gadgets 💛
00:24
Просмотров 14 млн
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
MTAZAMO MPYA DUNIANI
1:11:07
Просмотров 1,5 тыс.
ALICHOKIONGEA ROLINGA JUU YA MTOTO ALIYEUWAWA.
15:50
Просмотров 18 тыс.
MCH NDACHA :MASWALI NA MAJIBU
47:51
Просмотров 7 тыс.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
Просмотров 14 млн