Тёмный

PROPHET IPM ATEMA CHECHE MBELE YA DR SULE ASOMA QURAN NA BIBLIA LIVE ATAJA WANAOMCHUKIA LIVE LAZIMA 

Maks Media
Подписаться 158 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 239   
@MchwauRukas
@MchwauRukas 5 месяцев назад
Mimi nakuelewa sana mtumishi wa mungu mungu akubariki sana
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 5 месяцев назад
IPM, Nakushukuru kwa maelezo yako, Wanaokuchukua Mungu anawaona
@binnagy1497
@binnagy1497 5 месяцев назад
Allaah akuongoze,ameen
@fredynjige5663
@fredynjige5663 3 месяца назад
Mwanachama WA chrislam Huyu.
@astambaby7719
@astambaby7719 22 дня назад
Jitambue usikurupuke
@mohamedbaya1993
@mohamedbaya1993 5 дней назад
Huyu ni sadaka anataka, anajua haki iko wapi, ila Mwenyezi Mungu atakusaidia
@J4UPro
@J4UPro 18 дней назад
Nimekuelewa sana IPM
@hamoodhhamoodalsharji7584
@hamoodhhamoodalsharji7584 19 дней назад
Mungu akuongoze urudi katika Dini ya haki
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 18 дней назад
Ipi wakati katoka ktk minyororo ya shetani?
@FrankBella-qe4tj
@FrankBella-qe4tj 18 дней назад
Dini ya ni ya majini ambayo ni uislam
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 17 дней назад
​@@FrankBella-qe4tjallah akuongoze
@shabansaid2323
@shabansaid2323 16 дней назад
Amiyn
@mwalukojohnjohn6467
@mwalukojohnjohn6467 17 дней назад
Good ipm
@BakarAliy
@BakarAliy 22 дня назад
Ipm njaaa mbaya sana
@JEANKIKUMBI
@JEANKIKUMBI 3 месяца назад
Amen mutumishi wa mungu
@patrickkihenche
@patrickkihenche 5 дней назад
😊ipm ninakukubali naomba namba zako za simu Mungu akubariki
@luckymasaza6206
@luckymasaza6206 2 дня назад
Huyu amepoteza muelekeo ila akipata anacho kitaka atajirekebisha ila anajidhalilisha nani sadaka tu anae jua dini ya kiislam awezi fanya mzaha kama huu mungu akuongoze
@BakarAliy
@BakarAliy 22 дня назад
Ipm. Yesu hakuinngia kanisani hata siku moja katika.maisha yake
@martinmkoba361
@martinmkoba361 19 дней назад
Kumbe aliingia wapi
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 19 дней назад
Kanisa ninj
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 18 дней назад
Mungu Aingie Kanisani Kumwabudu Nani?
@h.t.ecompany3884
@h.t.ecompany3884 16 дней назад
aliingia wapi sasa
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 15 дней назад
Wewe nawe hujui kitu kanisa sio jengo ni watu ukiza uelimishwe
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 18 дней назад
Huyu jamaa ananipa raha sana hana chuki na mtu mungu akupe mwisho mwema kaka
@ByarugabaKasinja
@ByarugabaKasinja 2 месяца назад
Nakukubali sana Ipm umeongea ukweli na unajua kuwa dini tuliletewa
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 22 дня назад
Ok nimekuelewa jpm
@hanifa9153
@hanifa9153 17 дней назад
Subhannallah😢😢😢
@nassorohamisi1435
@nassorohamisi1435 18 дней назад
IPM una maneno mazuri bt njia yakutafuta riziki ni nyingi
@Num3er22
@Num3er22 13 дней назад
Muhamad sio nabii wa Mungu, na ndo mana hili litajirudia mpaka mwisho wa dunia. Kwa nini lisije swali la kuwa Yesu ni mtume wa mwenyezi Mungu.
@InnocentMlembe-qt9fd
@InnocentMlembe-qt9fd 4 месяца назад
Nmekuelewa sana
@Num3er22
@Num3er22 13 дней назад
Mtumishi wa Mungu kasema hapendi unafki, dakika za mwisho anakuja unafki wa wazi wazi. Nakaa pembeni, nawaachieni nyinyi.
@Fumokale
@Fumokale 5 месяцев назад
huyu ipm anapotisha watu huyu ni ktk FREEMASON Allah amungoze
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 21 день назад
mungu wenu waislam tofauti kabsa na Mungu wetu wakristo
@ISMAIL.W
@ISMAIL.W 19 дней назад
Ni kweli
@J4UPro
@J4UPro 18 дней назад
Mmh
@SumaAbduly
@SumaAbduly 18 дней назад
Mungu wenu ni nani
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 17 дней назад
@@SumaAbduly Wakristo Miungu yao ipo mingi sana
@felixanthony8764
@felixanthony8764 17 дней назад
Mungu ni mmoja amna mungu wa waislamu wala wa wakristo
@mcgeemwamba9303
@mcgeemwamba9303 3 месяца назад
Nakukubali SANA unahekima
@YahayaRashid-w2f
@YahayaRashid-w2f 3 месяца назад
Nakuamini sana
@edithakalist7514
@edithakalist7514 Месяц назад
Vizuri
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 4 месяца назад
Mimi naona kila mmoja abaki naimani yake anayo amini siasa zinaumisa namakasiriko sana tunacho kitafuta nichuki na mungu naimani mungu apendi nibora tupoteze mda kwa mungu tusema akuna yesu au mtume muhamadi yaishe yupo mungu basi ijulikane naumia sana juu yamalumbano
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 4 месяца назад
nenda ukalale ww
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 3 месяца назад
@@aliissa-je6gt wakulala ni nyinyi wapuuzu msio ujua kua mnatengeneza sum kuwalisha waumini tena mnaingia garama kwenye malumbano
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 3 месяца назад
@@AmerdaKavishe-pu3cf hujasoma dini ww tulia
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 3 месяца назад
@@aliissa-je6gt dini ndio nn bwana acha ubabaishaji
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 3 месяца назад
@@AmerdaKavishe-pu3cf km hutaki kusoma huwezi elewa nn dini nyinyi bado munaa akili kwamba mzungu ndio kaleta dini sio usijidanganye dada fijiria kwa umakini maisha na punzi zisijudanganye mm nimemalizah
@mfaumekambi2060
@mfaumekambi2060 22 дня назад
Siokweli kunawatu wanajifunza Qur'ani nautuuzima nawanaisoma vzur wew mwenyewe unaenadi umeisoma ukiwa mtoto unakosea sana kuisoma
@HadijaHsalehe-z4k
@HadijaHsalehe-z4k 17 дней назад
Yupo vizuri huyu Mtumishi..na kaisoma vizuri Qur'ani sana
@ismailchilonga2878
@ismailchilonga2878 21 час назад
Jamaa anaakili saana huyu
@mroceanpatro247
@mroceanpatro247 11 дней назад
Prophet Ipm ni mtu ambaye akifiti kitu kilichokua kimekosekana so nimeipenda sana hii aidia yake yupo sahihi kabisa
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 5 месяцев назад
Huu ni ugonjwa sasa. Kila mtu anaumwa kichwa vyake. Sijuwi siku ikifika itakuwaje !!!!!!!! Maana huyu. Jamaa IBM anachanganya chakula ugali na udongo pamoja sijui lengo apate nini!!!!
@makerebul3650
@makerebul3650 4 месяца назад
Please naomba namba yako kaka,
@GeorgeMwaura-pt7yz
@GeorgeMwaura-pt7yz Месяц назад
Qur'an sio kitabu cha mwenye enzi mungu muumba wa bingu na nchi. Hapo ndipo wanapoanguki hawa wahubiri wanao toka kwa uislamu. We must acknowledge the bible as the final authority of the word of God. Yes you can read the Qur'an but you can't endorse it as the same as the bible. Many of them are preaching a mix of Christislam, which is a mix of the truth and a lie,
@AzizaOmar-o2g
@AzizaOmar-o2g Месяц назад
Asikupotosheni huyu na Imani zake simameni na Imani zenu
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 19 дней назад
Njaa
@hanifa9153
@hanifa9153 17 дней назад
Uko sahihi kabisa💯
@abubakarhaji5024
@abubakarhaji5024 7 дней назад
Kwa kwelii
@MsoudanMediatz
@MsoudanMediatz 9 дней назад
Kikubwa ninacho kiona unajiweka kileleni kuwa wew ni muelewa kushinda watu wote ila hakuna ukweli zaidi ya mmoja ukweli ni mmoja katika marumbano haki ipo katka dini moja tu
@lenniefei6710
@lenniefei6710 5 месяцев назад
IPM tumeona mwisho wa wengi kebehi na kukejeli Aya za Allah !!! Kumbuka Kuna kifo kaka😢
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 21 день назад
unamnuku vibaya
@amedesamki425
@amedesamki425 23 дня назад
Ukweli ipm kitabu cha kurani na biblia ni kama mafuta ya taa na maji
@Hawa-b2j
@Hawa-b2j 3 месяца назад
Kweli kabisa
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 21 день назад
Huyu bado ni muislamu amekuja kwenye ukiristo kupiga hela
@jjtm164
@jjtm164 4 месяца назад
We shall know them
@johnlubango4158
@johnlubango4158 21 день назад
Pia yesu hakuleta dini ila watu sasa😢
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 11 дней назад
( DINI ) Nie neno la kiarabu maana yake mwa lugha ja kiswahili ( TARATIBU ) La kum dinikum waliya Dini maana yake nyinyi mnataratibu zenu na sisi tuna taratibu zetu.
@amedesamki425
@amedesamki425 22 дня назад
Tatizo kubwa la dunia hii ni watu kutojua imani moja ya kweli na Mungu Yehova kujifunnua ktk Mwanaye Yesu Kristo na siyo ktk mwingine yeyote awaye. Na ndiyo maana huwezi kuingia mbinguni bila kuzaliwa upya mara ya pili yohana 3.5
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 21 день назад
Umenena vvyema mnooo
@farajisewe7416
@farajisewe7416 15 дней назад
Usipo kubali KUJIFUNZA maana yke ww badoo... DINI YENYEWE TUNA RITHI TU... SHUGHULISHA AKILI YAKO. NDIO MAANA HATA MASHEHE WANASOMA BIBLE, WACHUNGAJI QURAN USIPO FUNGUA AKILI YAKO UTAZIDI KUCHOCHORA KUELEKEA PORINI... UKIRUDI NYUMA FAMILA NYINGI NI MCHANGANYIKO KWA SABABU WENGI WAZEE WETU WALIRUHUSU AKILI KUTAFAKARI.
@farajisewe7416
@farajisewe7416 15 дней назад
Wewe umekariri mistari mitatu. Hujaifadhi kichwani japo hata KURASA MBILI ZA BIBLE!!!!? ZAMA BROOO, ZIJUE BIBLIA ZOTE KIKAMILIFU MAANA ZIPO NYIIINGI THEN TAFUTA QURAN, YENYEWE IPO MOJA TUU kwahiyp huto pata tabu kujifunza.
@josephmusagasa
@josephmusagasa 13 дней назад
Kwani wakati Yesu amekutokea alikwambia utumie Quran pia? Mohammed anapinga kuwa Mungu hana Mwana Biblia inasema Mungu ana Mwana wake wa pekee. Je,wewe upo wapi? Jaribu kukaa sehemu moja tukuelewe. Je,kuna urafiki gani kati ya Nuru na giza? Bwana IPM hebu kaa sehemu moja tukuelewe.
@barakakings
@barakakings 13 дней назад
IPM mungu wa Quran sio Mungu wa kwenye Bible,umewezaje kuwaweka pamoja na una tuhubiria?😮
@GilbertModest-t3x
@GilbertModest-t3x Месяц назад
Hiyo imesimama bloo
@SimonKefa-lz1kd
@SimonKefa-lz1kd 14 дней назад
Huyu sio kristo ila pandikizi la shetani, si yeye anae sema damu ya yesu hatoshi, mpaka tuchinje wanyama, laana huyu.
@JohnMwacha-h5g
@JohnMwacha-h5g 5 месяцев назад
Mimi binafsi nakuelewa sana
@fredrickmziray4885
@fredrickmziray4885 15 дней назад
Kama ameijua KWELI hawezi kurudi uislam
@amoschacha2885
@amoschacha2885 4 дня назад
Mimi nilikuwa mkristo ila huyu ni muislam
@MUSSAKANEGA
@MUSSAKANEGA 3 месяца назад
WEWE NI WAKALA WA UISLAMU UMEJIFANYA NABII!!! ILA UTAKUJA KUVUNA UNACHOPANDA KAFIRI WEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 22 дня назад
Mbona unatukana uisilam unafundisha hivo
@julesngama2508
@julesngama2508 5 месяцев назад
Ana sema ukweli ajiri Paul ame mweleza Timothy asi fanze ubishi usiwe na fahida. Wa pagani sana ao Mazinge na wengine
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 месяца назад
Paulo ni Nani ?😊
@Thahara-c5l
@Thahara-c5l 21 день назад
Mm namuombea numgu aongoke
@hamadfaki7625
@hamadfaki7625 21 день назад
Ww nimuislam bwana usitudanganye
@bonge1865
@bonge1865 5 месяцев назад
Broo Safi Sana unaongea Safi sana
@KhalidAdam-wt1pt
@KhalidAdam-wt1pt 5 месяцев назад
Mashalwh Yan kaka nnakupenda weye laiti kama nigalikuwa dadazangu sjawaozesha wote nigalikupa mm na mahari nigalitowa mm
@hanifa9153
@hanifa9153 17 дней назад
Kwa kafiri hyo njaa tupu na anajua ukweli umpe dadaako😂😂😂
@MwamaliJoseph
@MwamaliJoseph 3 месяца назад
Hapo true broo
@RamadhanAlly-p8j
@RamadhanAlly-p8j 16 дней назад
ukwl nimebadilisha dini juzi juzi lakini uyu ni tapeli kwajina layesu Tena tapeli Alie vaa mavazi ya kodoo
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 4 месяца назад
Na Mungu ni pendo asante mtumishi
@prochesernest5439
@prochesernest5439 5 месяцев назад
Mtume anayekataa Yesu Sio mwana WA Mungu huyo Sio WA Yehova ukweli unabaki ukweli
@binseif2216
@binseif2216 4 месяца назад
Na Adam mtoto wa nani????
@binseif2216
@binseif2216 4 месяца назад
Na aya ipi ndani ya bible yesu anasema mwenyewe mimi ni Mwana wa mungu????
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 месяца назад
@@binseif2216 haya soma hapo Yohana 9:35 mpaka 38 jibu Hilo hapo ukimaliza kusoma nakuomba umuamini Yesu kristo mwokozi wetu hupone
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 месяца назад
Wewe na MARYAMU Nani Anajuwa kuwa YESU Mtoto wa MUNGU ???
@prochesernest5439
@prochesernest5439 3 месяца назад
@@shabbymakapane Muhammad ndio anaijua Yesu Baba yake Muhammad hasiyeju kusoma Wala kuandika heti tumsikilize sisi wakristo hatudanganyiki
@stevenisack4067
@stevenisack4067 2 месяца назад
Kaka wewe ni mtumishi wa Mungu uliyetumwa na Mungu Maneno ya hekima yanashuka
@cleverommy5706
@cleverommy5706 13 дней назад
Kumbe huyu naye katumwa na mungu
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 4 месяца назад
AU mchawi kibunda mzeeh?
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 4 месяца назад
Kwa hio ww unawafundisha watu waende kwa yesu ama kwa mhamad ...mana yesu alisema hakuna njia nyingine
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 месяца назад
Wapi YESU Kasema Hakuna njia Nyingine ??? Tufanye Sawa , Je Umma wa Nabii MUSA Na Haruni ??? Je UMMA Wa Nabii IBRAHIMU Na LUTI ??? na UMMA wa NABII DAUDI na UMMA Huu tuliopo Wanabii MUHAMMAD Waende au Tuende Njia Ipi ??? 🤣🤣🤣😄😄😄
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Месяц назад
Huyu njaa tu au kapata demu basi ndio zimempeleka kanisani
@ZuzuAlshukairy-dh6jt
@ZuzuAlshukairy-dh6jt 5 месяцев назад
Powa ww
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 дня назад
Siro hajamtaja alompiga risasi TUNDU LISSU?
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 21 день назад
Biblia na Quran ni kitabu gani kinakejeli au kutukana kingine
@farajisewe7416
@farajisewe7416 15 дней назад
Kubali kujifunza ndugu, fungua ufahamu wako. Acha kumeza tango pori zimazima litakukaba... Acha kk.. Thibitisha ipi njia ya kweli??? Roman?Angrican,Saboto,pentekoste, Aic,church of god,TAG,EAGT,ISLAM,BUDHA,...
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 месяца назад
Mambo yote ni ufunuowa Yohana tunaomba aandiko linalotabiri dinihiyo yauouislamu kamakweli nidini yaMungu.
@AziziRajabu-mv8jz
@AziziRajabu-mv8jz Месяц назад
Wewe unaandiko ukristo ni dini? Mim nnalo uisilamu ni dini
@veroniquepeter643
@veroniquepeter643 2 месяца назад
Mimi wala sijali kikubwa unanifundisha yaliyo mema,
@Afrobo-4
@Afrobo-4 2 месяца назад
We kawachangishe sadaka makoloboi
@qerysir4410
@qerysir4410 4 месяца назад
HANAGA MSIMAMO HUYU IPM!!
@Afrobo-4
@Afrobo-4 2 месяца назад
Muongo hujui kusoma hata Al hamd
@msodokithesantz1655
@msodokithesantz1655 19 дней назад
Pumbavu nenda kwa sule upewe elimu mbon unakataa
@EsterMinja
@EsterMinja Месяц назад
jamaa kafanana na Roma afu wanasauti zinafanana
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 месяца назад
Maks midia naomba mumtafute bishop ngonya then mumuulize kuhusu hili swala mtu kuwa pande mbili ya madabwajat vuguvugu yani kwa Mungu wapo na kwashetwani wapo, narudia tena mumtate bishop ngonyani mumuulize kuhusu hili swala la mtu huyu naimani interview itakua poa jamaa anajua maandiko sio kawaida
@IssaBabias
@IssaBabias 27 дней назад
Hhhhh Allah akuongoze
@aristotemohamedmz5979
@aristotemohamedmz5979 21 день назад
Kumbe wachokonozi wanasema ukweli!
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 4 месяца назад
Hiyo suratul ya sin usisome ayah kwa kuruka kuraka
@amedesamki425
@amedesamki425 22 дня назад
Mungu anaangalia neno lake alitimize ktk biblia je atafanya hivyo hivyo kwenye Quran?
@hanifa9153
@hanifa9153 17 дней назад
Mwenzenu amekuja kupiga pesa kwenu akimaliza atard kundini atajisalimisha tena sababu anaujua ukweli ndomana haikani qurian na prophet Muhammad s.w.a😂😂😂 kibaya ni akifa tu kwenye hio dhulma ndo atakoma
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 5 месяцев назад
Quran ni kitabu ya majini sio ya mungu weka mbali na watoto
@YOUSUFHUGUGU
@YOUSUFHUGUGU 5 месяцев назад
SAWA KAFIRI ULIYEPOTEA L LAANA ZA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU ZIWE JUU YAKO SHETANI WEWE VIONGOZI WAKO WANAJUWA UKWEL HAKUNA DINI ZAID YA UISLAMU NA QURAN NDIYO KITABU SAHIHI
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 месяца назад
@felixgitonga6783. 🤣🤣🤣 Ndio Mnavyojengwa Sumu MAKANISANI 🤣🤣🤣 Sikia MAMBO YA WALAWI 17:7 Wala Hawatatoa tena Sadaka zao Kwa Wale MAJINI , Ambao Huwafuata ili Wafanye UASHERATI Nao . 🤣🤣🤣😄😄😄 hapo Vipi ??? 2 MAMBO YA NYAKATI 11:15 Naye Akajiwekea MAKUHANI wa Mahali pa JUU , na Wale MAJINI , Na wa Zile Ndama Alizozifanya , 😄😄😄🤣🤣🤣 haleluya , Twende Na Akili zako Sasa BIBILIA Ni KITABU Cha MAJINI Weka Mbali na Watoto,🤣🤣🤣😄😄😄 KITABU Cha AYUBU 1:6-12 /2:7 Soma hiyo BWANA Anavyo Mtuma SHETANI ili Amjaribu AYUBU 🤣🤣🤣 Yaani nyie WAKRISTO Mnafurahisha Sana JINI Ana SHETANI Ametajwa Ndani ya BIBILIA Eti ni MTAKATIFU Lakini Akitajwa ndani Ya QUR'ANI Ndio DHAMBI 🤣🤣🤣, Ndio Uweke Mbali na WATOTO 🤣🤣🤣 Ndio Matokeo yake Hayo Hujui hata BIBILIA Umebaki Kuropoka Chuki 🤣🤣🤣😂😂😂 Someni VITABU Nyie Ndugu zetu katika ADAMU,
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 3 месяца назад
Kile cha freemason vipi ?
@RastaSuma
@RastaSuma 2 месяца назад
Quran na majini ni vitu viwii tofauti,, Quran ni maneno ya mwenyenzi Mungu na Mjini ni viumbe wa Mungu walioumbwa kabla ya binadam.
@khalidmyaule6187
@khalidmyaule6187 2 месяца назад
Unajua jini anaweza akawa msafi mbele ya Mungu kuliko binadamu? Mungu aliumba wanadamu na Jini. Jini hakujiumba mwenyewe.
@luganobright3003
@luganobright3003 21 день назад
Yeye huyo Ipm kama uislam ni dini ya mwenyezi mungu yeye Kwa kahamia ukrosto?
@profs.a5412
@profs.a5412 5 месяцев назад
Mmmmm, huo ni uongo😂 kati ya Quran na bible lazima kuna kitabu mojawapo tu Cha Mungu na kingine cha Muhammad 😂
@Fumokale
@Fumokale 5 месяцев назад
Ww ndio muongo mkubwa hakuna kitabu cha muhammad illa ni KITABU CHA MUNGU ALICHOTEMRISHIWA MUHAMMAD s.aw na bibilia alipewa mtume gani?????
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 месяца назад
@@Fumokale🤣🤣🤣 Mpe huyo
@evansbati3019
@evansbati3019 2 месяца назад
Kuna kitu kweli ulimwenguni ambacho sio cha Mungu..?
@HadijaHsalehe-z4k
@HadijaHsalehe-z4k 17 дней назад
Ni kweli kabisa
@precioussao7065
@precioussao7065 8 дней назад
Jpm wewe nimfano tuu,ila kuna huyo anaitwa masih jadal,anahekima hakuna mfano,huyo ndie atakae kuja kutaka kusuluhisha ugomvi wa Israel na Palestine na atajiita yeye ndie Yesu.kwahiyo wewe tunakujuwa ni nani.
@ibrahidd1973
@ibrahidd1973 5 месяцев назад
Katika interview yake ambayo imetumia dakika 25,katika muda wote huo ana court Ayah za Qur'ani, hamna hata Ayah moja ya Biblia ameizungumza au kuitaja.
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 5 месяцев назад
Aisee wewe ni mkristo kimaslah
@makerebul3650
@makerebul3650 4 месяца назад
Ninacho kuombea kwa Allah urudi kwenye dini ya haki, hakika unajua hukmu ya qur'an,mm siwezi kuongoa ila jitahidi urudi pia naomba namba yako bro.
@MUSSAKANEGA
@MUSSAKANEGA 3 месяца назад
Huyo ni kafiri KABISA na ninyi wenzake ndio mnamuunga mkono kwa sababu anachanganya ukweli na uongo pamoja kama mfanyavyo waislamu. HAKUNA UKWELI UNAOPINGANA:::: BIBLIA NA QURAN HAZIWEZI ZOTE KUWA VITABU VYA MUNGU. Na kitabu cha uongo ni vile kilichokuja nyuma na kuanza kukafiri yaliyotangulia. Ukweli ni ukweli tu hata mujiunge na kutengeneza mawakala waje wajifanye WACHUNGAJI na MANABII KAMA IPM WENU.
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g Месяц назад
Utoke kwenye Giza urudi kwenye Giza utakua umefanya nini? Wewe ndio unatakiwa kumfuta IPM ili upone
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 21 день назад
SbhanaAllah
@farajisewe7416
@farajisewe7416 15 дней назад
​@@AgnessMpanduka-l5gUnaongea kwa ushabiki na mahaba niue. TUFANYE BASI IMANIBYOO NDIO NJIA YA KWELI... SASA MBONA CHOCHORO NYINGII....TAG,EAGT,ROMAN,CHURCH OF GOD,SABATO....... ....... WOTE WANAPINGANA WALA HAWAWEZI ABUDU PAMOJA.. WW UPO WAPI NA KWANINI WW NDIO SAHIHI??
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g 15 дней назад
@@farajisewe7416 Kwani waislam hawana Madhehebu Shia, Suni, Ahamadia, na wengine we uko wapi? Nachojua Madhehebu yote hayo ni makabila ya Kiarabu na koo zao itikadi zao sio itikadi za Mungu unazungumziaje?
@HawaMohamedi-s4p
@HawaMohamedi-s4p 21 день назад
Nawanasihi waislam msimkize uyu jamaa
@mosesmwasanga7661
@mosesmwasanga7661 19 дней назад
Mtu mwenye Akili huru, na mwenye Kupenda Kujifunza, Atasikiliza tu, Maana Kujifunza Hakuna Mwisho, Tusiendeleze Chuki,
@EDDIEBashange
@EDDIEBashange 26 дней назад
Inawezekana ipm ni muoga maana anaongea lkn kiuoga anajibu Muhammad ni mtume wa mungu lkn kwa waislam yani katumia ujanja ngoja tumpe muda tumchunguze japo kwa wasio na elimu atawapoteza
@HadijaHsalehe-z4k
@HadijaHsalehe-z4k 17 дней назад
Ndani ya Biblia takatifu Yesu alisema dini iliyobora ni kwenda kuwafariji wajane,yatima, maskini na wahitaji Kwa mali zetu....Mimi nipo ndani ya ukristo baada ya kuokoka huu ni mwaka wa 19 ndugu zangu wote ni Waislamu kwetu Kuna mashekh,mahustadhi.Nilimwona Yesu akinitetea kwa mambo mengi sana..nilikuwa mgonjwa sana kwa miaka mingi, nilikatiwa tamaa kabisa, niliponywa katika mkutano wa Injili wa mchungaji Moses Kulola.
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 4 месяца назад
Sasa wewe naona niasikari polisi mwanajeshi dokt mwalim unakula mshahara zote sijui shifiti zako unaingiaje
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 21 день назад
Tatzo. Mungu yupi??
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 5 месяцев назад
Alaha wapi akaumba Dani ya Quran?
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 месяца назад
Kajifunze Kuandika KISWAHILI Kwanza
@aliroro9344
@aliroro9344 19 дней назад
​@@shabbymakapane😂😂😂😂😂 .. nkubali bro 😂😂
@aliroro9344
@aliroro9344 19 дней назад
😂😂😂😂... Mwalimu wako wa Kiswahili alkua nani 😂😂
@JaphetLameck-kw4yq
@JaphetLameck-kw4yq 25 дней назад
Biasha ndo naiona hapo uyo bado ni mwislam
@BakarAliy
@BakarAliy 22 дня назад
Kama sema na njaaa yako
@mosesmarekan
@mosesmarekan 2 месяца назад
Dini haitengenezi tabia ya mtu
@JamaalAthumaan
@JamaalAthumaan Месяц назад
Huyo ma hafidh hajawaona?ye mwenyew anaisoma makosa na haijui.mlioko karibu nae kafir huyo hamumuelez?Allah amuongoz inshallah asilimu ,maana huyo atachanika mara mbili kwa kutaka kuambatanisha ukafir na uislaam .
@Tianwang123
@Tianwang123 4 месяца назад
Huyu nabii hajui historia ya Uislamu na kushushwa kwa Quran... Biblia na Quran vinapingana sana kwa hiyo haviwezi vikawa vimeandikwa na Mungu mmoja huyo huyo... kimoja kinasema Yesu alikufa, kingine kinasema Yesu hakufa. Kimoja kinasema Yesu ni njia kweli na uzima..kingine kinasema njia ya kweli ni uislamu...Mungu hawezi kujipinga yeye mwenyewe. Kimoja kinasema tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo ya sheria kingine kinasema matendo mema yakiwa mengi kuliko mabaya unaingia mbinguni. Kimoja kinasena Yesu ni Mungu kingine kinasema Yesu sio Mungu....kwa akili za kawaida kitabu kimoja ni cha Mungu na kingine cha shetani.
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 месяца назад
Kwa hiyo Cha SHETANI Ni Kipi ??? Naomba Msaada
@khambhai360
@khambhai360 3 месяца назад
Kwenda huko we Kafiri IPM kimwili yupo Kwa wakirsto lakini kiroho yupo Kwa waislaam .Amesoma zote ameshaujua ukweli.
@sammganga6865
@sammganga6865 5 месяцев назад
Hii ni kazi ya shetani, wakristo, huyu sio Mkristo jamaa anatumiwa na majini na sio huyu tu wapo wengi shetani kawainua mfano yupo muislamu mwingine anajiita nabii eliyasa Hawa wote wanajifanya wanamfuata Yesu huku wakifundisha kuwa Qur'an nacho ni kitabu Cha Mungu, wakati ni kitabu Cha waislamu na majini Kwa itikadi Yao kubwa ya kumkataa Yesu sio mwana wa Mungu, (someni kitabu Chao Quran 72:1-3) ndugu zangu wakristo msiopenda kujifunza Biblia mpo hatalini kupotezwa amkeni msome Biblia muweze kupinga hizi Hila za shetani....Qur'an hakiwezi kuwa kitabu Cha Mungu wa kweli hicho kitabu kinapingana na vitabu vilivyo tangulia ni kitabu hatari Kwa wakristo someni ufunuo 22: 18-19 mtaelewa, majini ama mashetani wakristo tumepewa amri moja tu ya kuwakemea Kwa jina la Yesu Kristo.
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 5 месяцев назад
mm natamka quran si kitabu cha Mungu,quran kitabu cha waganga wakienyeji na majini!
@uwimanamadina1872
@uwimanamadina1872 5 месяцев назад
we mupizi kakimya mujinga sana😏😏😏😏
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 5 месяцев назад
@@uwimanamadina1872 ww sasa mjinga aswa!
@Allymbaruku991-lj1om
@Allymbaruku991-lj1om 5 месяцев назад
Chukua tuu ukisome usiku Bali kusomewa kaka qur an ukisomaaa kaka utaielewa jitahidi kuisoma utaona nitofauti na matendo ya watu na waislamu wenywe
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 5 месяцев назад
@@Allymbaruku991-lj1om quran mm sisomi juu iniongoze no nasoma juu nijuwe waislamu wanaamini nini,quran si kitabu cha Mungu sasa ndasoma ndasoma je juu nielewe?
@OmmyDseven
@OmmyDseven 21 день назад
Kama huna maoni nyamazatu ina Tosha ujuaji Sanaa sio mzr kaka waganga ndy wame leta kitab hicho kwli 😢
@TwahirHassan-p7b
@TwahirHassan-p7b 11 дней назад
Huna akili ww
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 4 месяца назад
Mm nina swali mojah? ww umetoka kwenye uislam right? ss jee ipi ni dini ya kweli kati ya hizo mbili uislam au ukiristo?
@MUSSAKANEGA
@MUSSAKANEGA 3 месяца назад
MPUUZI HUYO HAWEZI KUKUJIBU KAMA ALIVYOSEMA comment ni nyingi. Yeye kwa video hii ni sawa na bata aliyekunya watakaozoa uchafu wake hajui wala hajali!! ila huyu ni anaonekana na alivyojitambulisha anamwamini Mohammad kwa hiyo yeye ni MUISLAMU ALIYEKUJA KUUSHAMBULIA UKISTO kwa kutumia mbinu ya kujiita NABII/PROPHET. NA HILI LITUFUNZE YA KWAMBA SHETANI ALIYEKUWA AKIPAMBANA NA UKWELI KWA MBINU ZA KIZAMANI SASA ANATUMIA MPYA. Kwa nini nimesema ni muislam na mtumishi wa shetani ni kwa sababu hii BIBLIA NA QURAN HAZIWEZI KUWA ZOTE NI VITABU VYA MUNGU MMOJA ILIHALI ZINAPINGANA MAFUNDISHO YAKE. Mf. 1;Biblia humtambua Yesu ni mwana wa Mungu aliyevaa ubinadamu kwa shuuli ya ukombozi. Quran hukataa na kumfanya yesu aonekane kama manabii au mitume wengine.
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 3 месяца назад
Islam ☪️
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 3 месяца назад
Dini ya uislam ndio dini ya kweli mbele ya mungu
@AdamYoram
@AdamYoram 23 дня назад
😂😂😂 akilili zetu finyu tunahangaika kijua dini ya kweli kuliko kutenda yalio mema 😊
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g 22 дня назад
Dini ya Muislam ni Dini ya Was tabu Mungu wao anajua Kiarabu tuu, tena anapatikana Maka na Shetani wa waislam nae yuko Maka huwa wanakwendaga kumpiga Mawe 😁😁😁😁 yaani wanachekesha sana alafu wanawadanganya ni Dini kutoka kwa Mungu kumbe Dini ya magumashi
Далее
А вы знали что металл тонет?
00:32
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
#MOVIE SIKU YA QIYAMA INATISHA! (KISWAHILI)
1:08:33
Просмотров 212 тыс.