Тёмный

PART3:HATIMAE PROPHET IPM AKUTANA NA SHEHE DR SULLE,AJIBU KWANINI ALITOKA KWENYE UISLAM!KIKAO KIZITO 

Davistar Media
Подписаться 241 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 294   
@adnanel-islam3291
@adnanel-islam3291 4 месяца назад
Maelezo yamejitosheleza ..Asante Dr Sule, na Ahsanteni presentors
@KZee-f7n
@KZee-f7n 4 месяца назад
I say. The case is closed, thanks, Doc
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 4 месяца назад
Dr. Sulley akil nyingi sn MashALLAHu
@MudiMshindo
@MudiMshindo 4 месяца назад
Dkt sule Allah akupe umri mrefu tuzidi kustafidi inshallah
@igurusitv6553
@igurusitv6553 4 месяца назад
Huyu ni mshirikina tu
@EmmasBwe
@EmmasBwe 4 месяца назад
Nivigumu kuherewa matendo ya Mungu kwasababu, wengeni wanajipandisha kuwa wana elimu, ila mungu kachaguwa watu ambao walie chini ili aka wahaibishe awo wanaojiwona kuwa wana akili, mungu anacho hitaji nikuwa kwamba mtu abadilike menendo yake mawovu nakumtumikia bwana, mengine yote yaku bishana hayana maana kwasababu kwenye hoja lazima mwingine aseme vibaya kuhusu mwingina, na kwasehu kama izo Mungu hapatikani, auwezi kumuuliza mungu kwa jambo alililufanya kutaka kuhepusha wamcha Mungu juu yama huwaji yaliyokuwa yanafanyika kipindi kile, Mungu akitaka kuokuwa ajali akili za mtu,
@EmmasBwe
@EmmasBwe 4 месяца назад
Mtu auwezi kutenganisha maisha yawatu walio tumwa na Mungu kwasababu mtu ili awoneshe kazi njema nikwamba watu walio mzunguka washuhudie kazi zake, sasa injili alio kuja nayo Yesu ilikuwa inahusu maisha yake yaku stajabisha, sasa utangenishaje kwasababu hakuwe injili tu ila nguvu za miujiza ili waliofungwa na matatizo mbali mbali waponywe. Kitu ambacho unahandika mwenyewe auwezi kufanya kosa ila mambo yakwamba mtu anaperereza yanakuwa na exaggeration, lakini nikwa mtu ku amini juu ya hayo au kuhasha
@iddisalimu5028
@iddisalimu5028 4 месяца назад
Hatari sana hii amesema kweli maana mkiambiwa ukweli hamtaki maana wakiristo mmeparaganyika hamueleweki
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 4 месяца назад
Sasa si baki na dini yako 😂😂😂,wakristo wanawasumbua sana
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 4 месяца назад
​@luganomwaisumo1938 Yaaani wanapata taabu kweli kweli
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 4 месяца назад
​@@luganomwaisumo1938😅😅😅kuja kwenye uislamu wewe
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 4 месяца назад
@@yasiniselemani8672 wewe koma kabisa,nina amani na dini yangu.
@NasraAbdallah-k8r
@NasraAbdallah-k8r 4 месяца назад
Intervew yakisom sio zile zawalio feli maisha wanakuja kutoa ushuuda wa uwongo mala nilikua jambaz mala nilikua mchawi awaeleweki kabisa apa sule nimekuelewa
@dsgroup6093
@dsgroup6093 4 месяца назад
Basi ile ndio injili bora kuliko hata hizi za kusimuliwa kwenye vitabu maana ile ansesomulia ndio muhusika
@jesusislord9190
@jesusislord9190 4 месяца назад
Kamuulize huyu sule alisomea wapi?? Kaulizwa elimu yake alafu kashindwa kuielezea kwasababu anajua ataumbuka
@igurusitv6553
@igurusitv6553 4 месяца назад
​@@jesusislord9190mshirikina tu huyo, we muulize kuhusu hio Pete aliyovaa
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 4 месяца назад
Nimeshindwa kukujibu maana hutofautiani tu na Chizi wengine
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
@@Irenes_Kitchen 😂😂😂
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 4 месяца назад
MAASHAA ALLAH Dr. SULE ❤
@zawyakonyo9880
@zawyakonyo9880 4 месяца назад
Umri with afya dr Sule
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 4 месяца назад
MASHAA - ALLAH !.👋👋👋. MU'NGU ! .AKU FADHI NA AKUZIDISHIE ELMU ZAIDI. DR SULE.MIMI NI SHABIKI WAKO MKUBWA !NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH !.🇰🇪
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 4 месяца назад
Yesu ni Mungu.. Sule amepotea
@jesusislord9190
@jesusislord9190 4 месяца назад
Marko 16;14) inasema baada ya kufufuka haleluya kumbe alifufuka kuongea koote umethibitisha
@angle3600
@angle3600 4 месяца назад
Mashallah sheikh Mungu amekujalia,kipaji cha ufahamu
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 4 месяца назад
Dah nimependa sana maneno aliyamalizia Dr.Sule,ALLAH akupe kila la kheri na akuepushe na kila la shari Dr.Sule kwa elimu bora unazotupatia ambazo hazina jazba wala papara yyt anatulia na kukuckiliza wala hazikeri maskioni mwa yyt yule.Jazaakallaahu lkhayr wabaa'adal khayr jannaatu nnai'iim.Aamiin
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 4 месяца назад
🙏🙏🙏
@JonasDogsinatas
@JonasDogsinatas 4 месяца назад
Kweli
@uwesusaid5334
@uwesusaid5334 4 месяца назад
Mashaalah Dr Sule
@Khalidmohammed-qv8qh
@Khalidmohammed-qv8qh 4 месяца назад
Maashaa allah mungu akupe uhai mrefu alie kuwa na hakili atakuwa amejifunza kwa kuwa maneno yote ulio ongea ni maandiko sio maneno yako binafsi
@enockyangazakaduduye5897
@enockyangazakaduduye5897 4 месяца назад
Siku nyingine mwandishi wa habari ukitaka kuwa balanced kwenye interview zako hakikisha unajua context ya story ili umuulize muhojiwa Hard questions, Mwandishi Hujui Biblia Akikupotosha hata huelewi chochote. Wewe na Huyo Shekhe wako wote Hamjielewi. Hii sio interview ni mtu anajisafisha kama amekukodi vileee
@Naw89
@Naw89 4 месяца назад
Wewe ndio hujielewi mana unaambiwa lakin haukuingii akilini
@hanifa9153
@hanifa9153 4 месяца назад
Hakna mungu wa 3 mungu ni 1 acheni kumpakazia Issa mwana wa mariam uongo hyo ni mtume wa mungu
@enockyangazakaduduye5897
@enockyangazakaduduye5897 4 месяца назад
​@@Naw89 Tunaongea kutoka kwenye nchi mbili tofauti ni ngumu kuelewa nilichomaanisha. Nakuombea Yesu aliyemtokea Paul akutokee na wewe ili awe ushuhuda kwako na ndugu zako wotee
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 4 месяца назад
Twambie ww uijuaye bibilia wapi kapotosha?😅😅😅
@bakarimchila1297
@bakarimchila1297 7 дней назад
lakini mkuu Dr Sule kasema mwishoni pale kuwa yeye kafundisha lakini sio lazima mtu afate. Pia anakubali kukosolewa alipokosea na yupo tayari kama una ishu mkaweke mjadala pale. sio vizuri kusema hajielewi. Yeye kasema basi na wewe kama kakosea nenda pale mkajadiliane mkuu. hivyo tu
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 4 месяца назад
Wakristo mbona mapovu mengi acheni dr sulle awapeni dozi Alafu acheni kumfundisha kazi mtangazaji hamumlipi nyie kazi ya channel yake ni yake nyie andaeni yenu
@EnockKibona-x9z
@EnockKibona-x9z 4 месяца назад
Jamani si Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad,Sasa Bwana YESU alikuwaje mwislamu na wakati haukuwepo kipindi cha Bwana YESU
@amoursaid4569
@amoursaid4569 4 месяца назад
Soma ndugu yangu uislam upo kabla haijambwa dunia
@FatumaNasibu-cl2yn
@FatumaNasibu-cl2yn 4 месяца назад
Uislam ulianza tangu zama za nabii Adam a.s
@aobasha1
@aobasha1 3 месяца назад
Mtume Muhammad (SAW) hakuanzisha uislamu. Neno Islam ni unyenyekevu wa moyo kwa Mungu. Mitume (AS) wote waliokuja kabla ya mtume Muhammad (SAW) walikuwa ni wanyenyekevu wa moyo kwa Mungu.
@EnockKibona-x9z
@EnockKibona-x9z Месяц назад
@@amoursaid4569 hapa sasa ndugu unanichanganya kabla Dunia haijaumbwa Uislamu upo,hebu nisaidie maandiko nisome nione na mimi
@EnockKibona-x9z
@EnockKibona-x9z Месяц назад
@@amoursaid4569 sasa mbona Maandiko yanasema alie anzisha uislamu ni Mtume Muhammad
@dandy_unique
@dandy_unique 13 дней назад
Yaan wee unasema ..kuwa yesu alipaa wakat mmesema yule hakuwa yesu alie sulubiwa
@NasraAbdallah-k8r
@NasraAbdallah-k8r 4 месяца назад
Wanaosema wamemuona yesu jamani mmeskia somo ilo talatibu jamami elimu ndo iyo somen
@masindemagee9603
@masindemagee9603 4 месяца назад
Elimu yake ni ya uongo akawadanganye waislam kwenye biblia hakuna jina la issa Kama anavyosema
@NasraAbdallah-k8r
@NasraAbdallah-k8r 4 месяца назад
@@masindemagee9603 au kuambiwa jina la isa mzee soma kwanza uelewe umeshazoea miujiza yakinafki imani na akili ndugu
@enockyangazakaduduye5897
@enockyangazakaduduye5897 4 месяца назад
Huwez ielewa Biblia kama Huna Roho Mtakatifu, Huo ufafanuzi wa Shekhe hauna tofauti na stori za Kutiana kamba vijiweni
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 4 месяца назад
​@@enockyangazakaduduye5897 Fafanua wewe mwenye roho mtakavitu
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 месяца назад
Hayo ni maneno ya watu tu biblia anaielewa mtu yeyote tu mwenye akili na kuona mapungufu yake. Kuna watu wamesomea elimu ya dini zote katika viwango vya digrii hata PhD ndio hao madokta na mitihani wamefanya na kupita na resechi au tafiti wamefanya Dr Selle anaeleza ya kweli ya vitabuni na kufafanua ukweli. Wengi tu wanangangania na kubisha tu. Wanangangania tu eti Yesu ni Mungu wakati iko wazi kwamba Mungu hakuzaa hakuzaliwa hana jinsia hakutahiriwa wala kufa na kufufuka. Yesu mwemyewe alisema baba mbona unaniacha wasamehe hawajui watendalo kesho tutakua sote katika ufalme wa baba yangu na pale alipoomba kwa Mungu kucha nzima. Yote hayo yanaonyesha kwamba yeye si Mungu lakini watu wanangangania tu Mungu Mungu yaano Mungu alibebwa Mimba na binadamu kwa amri yake mwenyewe halafu aliuawa na binadamu aliowaumba mtu anaamini tu mambo ya ajabu yasiyowezekans na kuniita anaelewa ana roho mtakatifu. Huyo roho mtakatifu ni nani na anakaa w api nadhani hata wayahudi hawamkubali. Sijui wayahudi walioletewa Yesu kama wana biblia yao na sijui imeandikwa nini kwani walimkataa Yesu
@aishahazary4097
@aishahazary4097 4 месяца назад
Aje hapa IPM amjibu doctor Sulle ili aonekane kweli kafuata haki na latokewa na Yesu.
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 4 месяца назад
Yesu ni Mungu.. Sule amepotea
@aishahazary4097
@aishahazary4097 4 месяца назад
@@noahwamalwa4385 Yaan nyie mmepotea karibu kumfikia Firaun..Mpaka umri huo bado hujajua tu kama Yesu ni kiumbe kama mimi na wewe.Mtachomwa kama ibilis.
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 4 месяца назад
Yesu ni Neno la Mungu.. Na Dunia imeumbwa kwa Hilo Neno...Mohammed aliumbwa na Yesu. Yesu anakuja kumhukumu Mohammed
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 4 месяца назад
@@aishahazary4097 kama ALAA si binadamu kwa nini ako na macho, mikono na miguu??
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
Mpunga pepo acha kudanganya uma;Injili ni uwezo wa Mungu uletao waokovu kwa kila aaminiye👉Rumi 1:16
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 месяца назад
Sasa wewe unasomea barua za Paulo hapa ?
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 4 месяца назад
Sasa tunaitaka hiyo injili
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
@@mwanaidiissa10 Kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi 👉Ndiyo hatua ya kwanza ya udhihirisho wa Injili ✍️Mathayo 28:19. Amua kuwa mwanafunzi(Mkristo) upokee Injili 👉 & Isaya Isaya 61:1-4. Mathayo 10:8. Zaburi 34:8
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
@@Hussein-gx4qu Ukipiga ngumi ya jicho;unapiga ngumi ya sikio;ukiuliza unaonaje ,twauliza unasikiaje? Je! ni sura za Kitabu kipi BIBLIA au Quran zinazofaa kwa matumizi ya kuwafundisha,kuwaasha watu wenye akili timamu njia za Mungu? {1.} Quran👉Surat ankarabut (Sura ya Bui Bui) Surat Al baqara(Sura ya ng'ombe jike wa njano). Surat Jin(Sura ya majini). V/S {2}BIBLIA👉Waraka wa Paul kwa Wakorintho, Waefeso,Wathesalonike ,Wagalatia,Warumi nk. Swali langu kwako Hussein👇 Je!Sura za wadudu ,wanyama,majini wanazosomewa maamuma na Nyaraka za Rasul Bullus(mtume Paul) zipi zinafaa kusomewa au kufundishia watu wenye akili wamjuwe Mungu? 👌👌👌👌👌👌👌
@saidsululu8610
@saidsululu8610 8 дней назад
Kiraza ni kiraza wewe ni kiraza maana hata ukristo ulipotokea hujui.😅
@nourdinpro
@nourdinpro 4 месяца назад
Asante sana Dr sule
@MpateOmari
@MpateOmari 4 месяца назад
Upo vizuri Dr sure wewe ni mjuzi haswaa mungu akulipe zaidi
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 4 месяца назад
Mbona mnaandika kichwa cha habari tofauti
@suleimankhamisi6550
@suleimankhamisi6550 4 месяца назад
Sulle simuongo anasoma vitabu pengine izo ndo zauongo
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Sio Marko miujiza ni Luka 5.
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 4 месяца назад
Kumbe wanakubali Yesu alipaa Mbiguni
@loner_wolf
@loner_wolf 4 месяца назад
True , na atarudi , tatzo mnadai aliuawa kisha akazikwa badae akafufuka alafu akapaa......lkn waislam tunaamini alinyakuliwa na mungu akuwa hai ,wala hakuwahi kufa . thats why atarudi . thats islam
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Muhulize km ana kaa Yesu Christo sio Mungu vp mahana Ya emaueli au Christo
@Elybwayz
@Elybwayz 4 месяца назад
Mungu pamoja nasi swali yesu tangu kuishi kwake ashawai kuitwa MUNGU ila wakiristo wasas awaelewek mala mwana mala mungu kwan huu Ukristo uko mala mbili au😅😅😅😅
@Naw89
@Naw89 4 месяца назад
Ni zaidi ya mara mbili Mungu mwana Mungu Roho mtaka vitu 😂
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
​@@ElybwayzTAFUTA KANISA LA KWELI UFUNDISHE NI ELIMU PANA, SULE ANAJUA ILA HAWEZI KUONGEA UKWELI,AMEFUNDISHWA KUPOTOSHA.
@hemedimuna1400
@hemedimuna1400 4 месяца назад
Kwaiyo sure ukristo ni dini ya kweli kama ulivyo uislam tatizo ni mafundisho tu
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 4 месяца назад
Hakuna Dini ya ucristo 😅😅😅
@gisellamkama3785
@gisellamkama3785 3 месяца назад
Upo bize na kusema watu. Tumia muda huo kuhubiri watu waache dhambi na wafanye toba ya kweli
@bajuncreativity7818
@bajuncreativity7818 4 месяца назад
Mbona mmekata kipande cha mwisho cha part 2
@usrahismail3196
@usrahismail3196 4 месяца назад
Labda umeme na si kimeendelea part 3 au hujui kuendeleza kwa simu yako
@MwanaJumaali-q8n
@MwanaJumaali-q8n 4 месяца назад
Mashaallah
@shabanijmrisho4715
@shabanijmrisho4715 4 месяца назад
Nakupenda kwaajili ya Allah
@masindemagee9603
@masindemagee9603 4 месяца назад
Ukiona kule Israeli Kuna misikiti mahali lililokuepo hekalu enyi wakristo hmjasoma muone unabii wa Daniel umetimia mpinga kristo annabudiwa mahali patakatifu patakatifu pa hekalu ambapo sehem io aliabudiwa mungu yahweah bwana mungu was majeshi !!?
@jumaahmadi
@jumaahmadi 4 месяца назад
Mashallah leteni muendelezo watu waendelee kuemika
@rashidally863
@rashidally863 4 месяца назад
Toeni hoja sio kulaumu nyingi wavivu wa kosoma mandiko
@nourdinpro
@nourdinpro 4 месяца назад
Umebabaika
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
Quran3:54 Wamakaruu wamakaraaa ailah;wallah qaitor makhiriinah. [Walisema uongo,Allah akasema uongo,Allah ni mbora wa kusema uongo] Allah ni champion wa kamba aka baba wa uongo{mbora wa kusemauongo}Allah makir ....Mungu asemaye uongo 👌;na ninyi kina herbalist Sule watoto wake ndio mnaopenda kuutenda👉Yohana 8:44
@HilmiHilal-g8j
@HilmiHilal-g8j 4 месяца назад
Hiki ndo mnachokijua nyie, kudanganya watu kwa tafsiri za uongo! hakuna neno "uongo" katika hiyo aya ndugu acha kudanganya watu! Tafsiri sahihi ni "Walipanga na Allah alipanga, na Allah ni mmbora wa kupanga" Acha kupindisha maneno na kudanganya watu!
@SamirAhmedSultan
@SamirAhmedSultan 4 месяца назад
Aaah ndivyo mlivyomezeshwa huko makanisani kwenu ?😆😆😆 msiwe wavivu someni BIBILIA na QUR'AN nyinyi wenywe usisubiri usomewe utamezeshwa matango pori kama ulivyomezeshwa hapo 😆, hakuna TAFSRI hiyo, kwani nini mnapenda kumezeshwa vitu vya uongo? Mara ooh WAISLAMU wanafuga majini mara sijui nini yaani niuongo mtupu suala la USHIRIKINA ni suala la mtu binafsi na watu hao wapo pande zote yaani kwenye UISLAMU NA UKIRISTO watu hao hawawezi kukosekana........kwahiyo ndugu yangu kaachini USOME.....
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 4 месяца назад
Hizo ni Hadithi Kwa maana Yesu Kristo yupo wewe kwa maana ajakuitaji utapinga mpaka unaingia kaburini. Ukitaka kujua nguvu za Yesu Kristo nenda kwa waganga wanapo pandisha mashetani yao na uwaambie walitaje jina la Yesu Kristo wa Nazareti au mapepo yoyote yanapo wapanda watu hakuna atakae weza litaja jina la Yesu hapo ndio utakapo jua jina lililo kuu ni lipi.
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 4 месяца назад
Maskini weee 😅😅😅
@shabanijmrisho4715
@shabanijmrisho4715 4 месяца назад
Someni wakristo mfungue ufahamu
@lifezest6274
@lifezest6274 4 месяца назад
DR SULLE akutanishwe na Omary Mnyeshani au Meshack
@JonasDogsinatas
@JonasDogsinatas 4 месяца назад
@daudhabona8897
@daudhabona8897 4 месяца назад
Anae hoji kaloowaaa. Maana anapata majibu yoote ila anakomaa na imani yake.
@IssaAlly-lj3iq
@IssaAlly-lj3iq 4 месяца назад
Acheni matusi wakirsto au ukweli unaumaaa
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 2 месяца назад
Nyie waislam hamuijui ukristo kamwe dini yenu imeanzishwa juz juzi na muhamed angalia sule wenu anavyowadanga eti ukristo umeanzia etyokia poleni sana na dini yenu ya uwongo
@msemakweli243
@msemakweli243 4 месяца назад
Duh hatari lkn hipo siku utaumbuka
@4karimu_
@4karimu_ 4 месяца назад
FUNGUA ubongo ujifunze
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 месяца назад
Wanasikia na kusoma kwamba Yesu ni mtume aliyetumwa kuja kukomboa wana wa Isrsel na mahubiri yske yote alionyesha kwamba kuna baba yake ndie mwenye uwezo lakini watu hawaelewi au wanajifanya hawaelewi na kutunga yao
@shabanijmrisho4715
@shabanijmrisho4715 4 месяца назад
Duh mpaka hapa mnakataa maandiko yenu
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 месяца назад
@@shabanijmrisho4715 Hivi unaamini miaka hii kuna Prophet? Mtume kaoa anavaa anakula anakunywa kwa sadaka za waumini maskini. Huyo ni dini ya kulaghai watu wakiwemo maskini na kujinufaisha kama ilivyokua Shakahola. Dini iliyojaa makanisa na manabii wa uongo wakijitajirisha kwa sadaka.Upande mwingine hakuna ataedanganya eti yeye ni prophet kama hajapigwa mawe. Huko hakuna cha kudanganya nor ani haikuchakachuliwa na masahafu hazutofautiani wala hakijaongezwa chochote cha kuhubiri
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 4 месяца назад
Dr Sule tusomee Yohana sura ya 14:6 to 16 na utufafanulie ayo maneno ya Yesu please
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 4 месяца назад
Uyo Yohana ndo Yesu au na yeye anasimulia habar za Yesu kwa ajuavyo ??
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 4 месяца назад
@@MuuYascohy-oc7os muulize dr sule uyo anajuwa ukweli wote
@bakarimchila1297
@bakarimchila1297 7 дней назад
21 Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi. Yohana 20:21 Hiyo ni Asalam alaikum. Amani iwe kwenu.
@jesusislord9190
@jesusislord9190 4 месяца назад
Mueleweni huyu miaka 40 baada ya YESU kupaa huyu amekubali kuwa Peter alieishi na YESU aliishi na Paul..wakati huu Paul alikuwa na miaka 50 so anasema Paul alimuona YESU..sasa kati ya Muhammad na Paul nani?? Anaweza kuwa mkweli?? Cha tatu huyu ni mwehu wapi imeandikwa Paul alikuwa mrumi Paul alikuwa myahudi aliefanya kazi chini ya dola ya kiislam.. Paul alikuwa muasi mala ya kwanza baadae akaokoka kwahiyo unasema mtu akiwa muuwaji leo akisilimu anakuwa muongo?? Imekula kwako Paul mwenyewe alikaa jela baada ya kuanza kumtangaza kristo alibebwa kama mtumwa kwenda rumi Paul hakuwa mlumi someni waislam hawa mashekh wenu wanawadanganya
@shabanijmrisho4715
@shabanijmrisho4715 4 месяца назад
Someni wakristo mfungue ufahamu sio kubisha tu
@ZuhuraHamimu-iu1sc
@ZuhuraHamimu-iu1sc 4 месяца назад
Quran wamakaruu wamakaraaa ailah, wallah qaitor makhiriinah.
@IssaAlly-lj3iq
@IssaAlly-lj3iq 4 месяца назад
Kama ww unajitia mkirsto bas omba mdaharo na sule tuwasikize na tuone nani bora
@pascalvitalis
@pascalvitalis 4 месяца назад
Oyah 😂😂 huko kwa mungu jaman sipati picha watu tutajibu nini... Jamaa yupo serious anapotosha watu😮 yan anachukua mstar mmoja anatafsir anavyotaka yy ili ifananie na anachokisema😂
@jumaissa542
@jumaissa542 4 месяца назад
Toa mfano wa alichokisema cha uongo
@pascalvitalis
@pascalvitalis 4 месяца назад
@@jumaissa542 Nahc hapatosh nikupe namba unichek
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 месяца назад
Huyo ni msomi katika mambo ya dini yote assmayo si yake binafsi bali ni ya kweli toka vitabuni. Huyo ni dokta wa usomi katika madigrii na PhD katika mambo ha dini zote
@GODFREYSABAYO-yz4qx
@GODFREYSABAYO-yz4qx 4 месяца назад
Tusomee mahali palipo andikwa muhamadi alipaa kwenda mbinguni
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 4 месяца назад
Muhammad ni marehemu
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 3 дня назад
Hivi You tube ni ya Wachungaji🤔 ⁉️mbona mala nyingi, yakitolewa maoni ya kweli mnaya pitisha mstali katikati (yanafutwa) hamtaki ukweli uliomo ktk Biblia yenu, 🥱⁉️
@rahelfocus9385
@rahelfocus9385 4 месяца назад
BIBLE. Sio kama gazette kusoma kama hadithi..... bible kwenye kila neno ndani yake kuna neno..... bible nikama kitendawili yani bila kua na roho mtakatifi huwezi kuelewa kamwe...... bible nifumbo..... Sulle aache kusoma kama gazette
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 месяца назад
Biblia ni mkusanyiko wa zaidi ya vitabu 66 vikiwemo vya uongo na kichakachua. Injili tu ndio maneno ya Mungu na ndio Yesu alikua akifundisha. Vitabu vya uhakika ni Zaburi torati na Injili vinginevyo vingi ni chomeka chomeka na kuchakachua
@shabanijmrisho4715
@shabanijmrisho4715 4 месяца назад
Uislam nidini ya kweli naya pekee
@wakeshojana
@wakeshojana 4 месяца назад
SHEBBY ULIAMBIWA HII TOPIC YA DINI NI NZITO KWAKO HUWEZANI NAYO HUYU MGANGA AKIKUDANGANYA HUTAJUA KAZI YAKO NIKUITIKA TU....HUJUI MASWALI YA KUUMULIZA....HUJUI BIBLIA NA HUJUI KORAN.... WAITE SHEHE OMAR AU HASSAN SALUM WAKUSAIDIE!! AMA MMELIPWA NA HUYU MGANGA AJE KUSAFISHA DINI YAKE??
@mussamohammedy8014
@mussamohammedy8014 4 месяца назад
Kinacho takiwa ni matumizi bora ya akili
@wakeshojana
@wakeshojana 4 месяца назад
@@mussamohammedy8014 Tatizo matumizi bora ya akili ndio Shebby hana uwezo huo kwenye hii mada!!
@Naw89
@Naw89 4 месяца назад
Akili yako ni finyu huwezi elewa hadi siku ukifika kwa mungu hapo kiburi chako utakuja kujutia
@wakeshojana
@wakeshojana 4 месяца назад
@@Naw89 akili ya nani....na sababu????
@masindemagee9603
@masindemagee9603 4 месяца назад
Uyo sule ni mwongo sana !!!we mwandishi jiepushe nae uyo jamii lini injili ikabadilika! Hao watu si ndo wapinga kristo Kama yesu alivosema uliona lini uislam dini yao inakubali yesu mwana wa mungu si wapinga kristo hao
@nourdinpro
@nourdinpro 4 месяца назад
Katika biblia yesu anasema yéyé ni kristo
@saidsululu8610
@saidsululu8610 8 дней назад
Lete andiko kwenye biblia kuwa yesu anasema mm ni mwana wa Mungu 😅
@GiliardKashimba
@GiliardKashimba 4 месяца назад
Wewe mtoto wa mama mdogo ulie fukuzwa na mama nyumbani kwasababu yajehuli ya mama yako ukakimbilia jangwani malaika akamtokia yule kijakazi kamwambia aludi nyumbani kijakazi akaogopa atahuwawa baba
@shabanijmrisho4715
@shabanijmrisho4715 4 месяца назад
Mbona hueleweki
@mrmartinipaul2464
@mrmartinipaul2464 3 месяца назад
Mbona unasema uongo wewe,, huyo IPM yuko wapi sasa🤔🤔🤔
@AnzaleoAfrica
@AnzaleoAfrica 4 месяца назад
Sijaelewa kwahiyo wakati yesu feki ananyongwa uyu yesu original alikuwa wapi😂
@waporimediatv5627
@waporimediatv5627 4 месяца назад
Uyo ipm yupo wapi unazingua mkuu
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 4 месяца назад
Doctor sulle dini yake yeye mwenyewe imemshinda alafu anakuja kuzungumzy ukirsto yaan uyu jamaa anajua vitabu ila Hana upendo ni kupiga hela tyu .na anatumy dini kupotosha watu na hatufai huyu muwakilishi
@abdallahzongo387
@abdallahzongo387 4 месяца назад
Hasira za nini kula ayaa na pia usiweke mipaka ya kujifunza soma biblia dk sulle ni zaidi ya askofu
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 4 месяца назад
Nletee HIVYO alafu sikiliza anavyopotosha
@IddyAdam-ww1mq
@IddyAdam-ww1mq 4 месяца назад
Ninyi ntaendlea kupelekwapelekwa mpka mwsho
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 4 месяца назад
Sasa hapo kupotosha Nini?
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 4 месяца назад
@@zaidiissa3714 ndgu yangu soma biblia matendo nane na Yuko tofaut anavyovisema Kwa sababu ya kutokusoma maandiko Kila kinachosemwa na mtu ni amen tyu wakat mnapitezwa Kwa kukosa maalifa
@julesngama2508
@julesngama2508 4 месяца назад
Uyu jama anaomba Ana omba ufunuo . Paul wakati ana kuta na Yesu, Yesu Njo ame mutuma kwa Ananias . Tubu Nyinyi.
@freedommusumbi9134
@freedommusumbi9134 3 месяца назад
Huyu mtu ni muogo sana
@HassanLimbwenda
@HassanLimbwenda 4 месяца назад
Sule salute 🫡 huna baya
@gideonstephen6879
@gideonstephen6879 29 дней назад
Hapo dr sure umeongea uongo mwanzoni Paulo alikua akipigania dini ya kiyahudi iliyoongozwa na torati kwasababu wayahudi hawakumkubali Kristo
@saidsululu8610
@saidsululu8610 8 дней назад
Lete andiko 😅
@saidsululu8610
@saidsululu8610 8 дней назад
Lete andiko kiraza ww Biblia yenyewe huijui 😅
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
SULE HUWA ANAFATILIA ELIMU YA WAONGO WA KALE,AMECHAGUA NJIA YA IBILISI BABA WA WAONGO.
@zenahussein2242
@zenahussein2242 4 месяца назад
😂😂😂 we Acha uziba, sikiliza maandiko hayo
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
@@zenahussein2242 Karibu Kanisani
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 4 месяца назад
Anadanganya sana huyu Mzee sijui analipwa nini
@salisali3738
@salisali3738 4 месяца назад
😂😅
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 4 месяца назад
Sasa amedanganya Nini inamaaba alivyo viongea havipo katika bibilia? Yani yeye kuuliza yesu kasurubiwa mdagani kati ya saa3 asuhi na saa6 mchana na saa9 jioni ipisaa sahihi alisrubiwa kutakakujuatu amshakua muongo??kweli nyinyi ni washabikitu wa ukristo wala hampotatali kujua ukristo wenyewe ndio maana mnaplekwapelekwatu kama kondoo mkiambiwa vueni chupi mzipeleke kanisani zikaombewe hataswali hamuuli imeandkwapi fasta mnapeleka mwisho mnaishia kufirwa nijuzitu papa ametangaza uhalali wa ndoa zajinsia Moja natayali mnafuata😂😂😂
@robertjerald317
@robertjerald317 4 месяца назад
Kakojoe ulale boss
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 4 месяца назад
Kasome acha povu
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 4 месяца назад
Sawa ila Mzee sule ni mchawi
@jesusislord9190
@jesusislord9190 4 месяца назад
YESU hana uwezo wa kumyokea mtu yupo hai Muhammad amekufa anawatokea watu tupe anawayokea akiwa kama jini au mzimu malaika au Allah tuelezee
@usrahismail3196
@usrahismail3196 4 месяца назад
Hapa ni andiko tu toa andiko ya madai yako
@jesusislord9190
@jesusislord9190 4 месяца назад
@@usrahismail3196 YESU yupo hai hawezi kumtokea mtu Muhammad kafa anaenda maulidini
@davidominde2266
@davidominde2266 4 месяца назад
Hambia huyo backslaida atumie koran awachane na Biblia takatifu au aokoke tu maramoja
@azizabuyonde8368
@azizabuyonde8368 4 месяца назад
Utabakiliya uongo na kuwapotosha wapumbafu, ukitaka debate kuna kiboko yenu waislamu, anaitwa kwa youtube tafuta, Christian Prince.
@ugazosimba7581
@ugazosimba7581 4 месяца назад
Hivi presenter bado huhasilimu tu mpaka sasa?
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
SULLE HAMJAMJUA WENGI,NI MPOTOSHAJI BARAA!
@Mwajumasaid-lv4xf
@Mwajumasaid-lv4xf 4 месяца назад
Labda ana kupitosha wewe sisi kwetu yuko sawa
@yassernasser3428
@yassernasser3428 4 месяца назад
Jibu huja kinembe ww
@hadijamohamed623
@hadijamohamed623 4 месяца назад
Kweli wewe gugu...
@HassanRashidWilliam
@HassanRashidWilliam 4 месяца назад
Mmmh we Bak tu na udunduka wko
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
​@@Mwajumasaid-lv4xfPOLE UMEMEZWA
@GODFREYSABAYO-yz4qx
@GODFREYSABAYO-yz4qx 4 месяца назад
Acha kudanganya watu unapo soma bibilia soma histolia nzima usitumie misitali michache kupotosha watu mwisilamu hamwamini yesu kuwa nimokozi bali mnamsomatu
@HassanRashidWilliam
@HassanRashidWilliam 4 месяца назад
Yesu si mwokozi,yesu n mtume wa 24 ktk mitume 25 mwokozi ni Allah pekee yesu n mtu Kama ssi kaka,wachungaj wenu n watu wa seraa,waulizen maswal magumu..Leo ukimuulz mchungaj atakwambia una mapepo hapana ndugu zangu msikubal kuitwa wanakondooo ,hmu amkeni waulizen maswal so wachungaj,kaka kabisa n takatif kuliko kitanda unacho lalia,lkn hujawah lla na viatu coz unaogopa kuchafua kitanda lkn always unaingia Kansan na viatu..amkeni ndugu zangu
@safiam5338
@safiam5338 2 месяца назад
Aliye bambwa msarabani mtu mwingine
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Jibu ili kwa nn Mohammed akufanya okowa watu na miujiza na kuhumu watu wasio waisilamu ni makari.
@Shilangadi
@Shilangadi 4 месяца назад
Miujizia ni mungu kupitia mikono ya manabii
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Kwa nn waisalmu muna Mchukia Mtume Paulo
@wakeshojana
@wakeshojana 4 месяца назад
kWA SABABU ALIKUWA MPINGA KRISTO KAMA WAO LAKINI BAADAYE AKA-RITADI!!
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад
SiyoMtumeWamungu..tenaAshindweKabisa.kwJinaLaAllah
@omaryalhaj3139
@omaryalhaj3139 4 месяца назад
paulo hajawahi kuwa mtume na utume alipewa na nani?
@wakeshojana
@wakeshojana 4 месяца назад
@@omaryalhaj3139 Waislamu ndo humuita Paulo mtume ...Yeye mwenyewe hajawahi jiita mtume bali mtumishi!!
@wakeshojana
@wakeshojana 4 месяца назад
@@omaryalhaj3139 muhammad hajawahi kuwa mtume na utume alipewa na nani?
@Nerialulambo
@Nerialulambo 4 месяца назад
Yesu alikuja kuleta wokovu sio kutangaza dini,hatutahukumiwa kwa dini bali utamuona Mungu kwa utakatifu tuh.na pia omba Mungu akupe ufaham wa kulielewa neno lake usilitafsiri kibinadam omba roho mtakatifu akujuze .Yesu ndio njia kweli na uzma
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 4 месяца назад
leta ushahid wa maandiko kijana😂😂
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
​@@tahirnephessalum3678NJOO KANISANI KIJANA
@LispafulgenceSimon-rs1zg
@LispafulgenceSimon-rs1zg 4 месяца назад
Kumbe waisam ninmbwa
@slymsameer5415
@slymsameer5415 4 месяца назад
Ilaumu akiliyako ambayo imekariri haitaki kujifunza 😂😂😂 kwani anasema huongo kama anasema uongo milango anayosoma si uifuatishe halafu kosoa
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 4 месяца назад
KUNA MPUUZI MMOJA ALISEMA ALIMWONA MUNGU NA NYERERE NA SUFURIA YA MAJI IKACHEMKA MAJI MBAKA MAJI YAKA KAUKA 😂😂😂 ANAKWAMBIA ILIKUA TAREHE 14 HII NDINI YAO NDIO WENGI WAO WALIMWONA MINGU NA YESU
@masindemagee9603
@masindemagee9603 4 месяца назад
Waliandika kwa uwezo wa roho takatifu acha kudanganya watu
@hadijamohamed623
@hadijamohamed623 4 месяца назад
😢😢.. unatia huruma jamani, roho mtakatifu yupi jamani nyie watembea uchi
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
​@@hadijamohamed623UNAMJUA ROHO MTAKATIFU???? Msikitini huko ayupo,ukitaka umjue njoo KANISANI
@hadijamohamed623
@hadijamohamed623 4 месяца назад
Mmmh mfyuuu.. msojua kuchamba eti mna roho mtakatifu... hahahahahaha
@jesusislord9190
@jesusislord9190 4 месяца назад
Mnaweza kumuona Muhammad watu hawawezi kumuona YESU?? Muhammad amekufa YESU yupo hai ila mnaweza kumuona Muhammad ila watu hawawezi kumuona YESU leta points kwann? Paul hawezi kuwa mtume?? Mme muelewa huyu alitaka kutoa point kuwa Paul sio mtume mmemuelewa??
@janejoseph561
@janejoseph561 4 месяца назад
Wewe ndiyo muongo mkubwa kuliko wote duniani, Yesu ni bwana wapinga kristo hawatakosekana duniani mpaka ujio wake ,hata alipokua duniani wapo waliomkataa sermbuse ww mpiga kelele tunakucheck tu kwa mbali tunakuacha
@nourdinpro
@nourdinpro 4 месяца назад
Sema biblia ndio inasema uwongo, kwasababu Yale sio maneno ya sule
@UbdeBillows
@UbdeBillows 4 месяца назад
JARIBU USIWE TU UNAPINGA JARIBU UJISOMEA BIBILIA MWENYE UTAJUWA UKWELI MWENYEWE USIWACHE OSOMEWE NA PASTOR TU
@huyu1993
@huyu1993 4 месяца назад
Muongo ni wewe usiosoma kafiri mkubwa
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 4 месяца назад
Doctor piga neno unaelezea uhalisia anaye kupinga Ni Tahira jinga pumbavu zoba
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 4 месяца назад
Channel inayo muinua Bwana wetu YESU KRISTO kupitia Shuhuda na Channel hiyo hiyo inaleta Mpinga Kristo kudunisha Bwana YESU (INJILI )😢😢 MAAJABU 1 Wakorintho 10:21 📖 Hamwezi kunywa katika kikombe Cha Bwana na Cha Mashetani pia. hamwezi kuwa na sehemu katika meza ya Bwana na katika meza ya Mashetani pia. Kutoka 20:5 📖 BWANA, MUNGU wako, Ni Mungu mwenye wivu......
@hanifa9153
@hanifa9153 4 месяца назад
Ambae ni 1 hyo mungu na wala sio utatu 3 sababu mungu wetu ana wivu ushasema tayar jibu unalo mungu ni 1 tu hakuna utatu apa ndo cc waislam pamoja na bwana yesu mungu wetu ni 1❤❤❤❤❤
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 4 месяца назад
@@hanifa9153 YESU NI MUNGU.
@japhetmsafiri
@japhetmsafiri 4 месяца назад
Christian : What do you think about Jesus? Muslim : Jesus is prophet and Muslim Christian : Jesus is Muslim? Muslim : Yes Christian : How is Jesus a Muslim when Islam was born 600 years after Jesus? Muslim : Muslim means that we all submit to Allah, And that is why Abraham and Moses were Muslims Christian : So why Muhammad said that I am the first Muslim in Quran, while Abraham, Moses and Jesus were Muslims before Muhammad! Muslim : Where? Christian : 6:14 , 6:163 and 39:12 Muslim :…… Christian : If there is a contradiction in the Quran, Quran is not from God, right? 4:82 Muslim : This is not a contradiction, whatever Jesus is prophet like Adam 3:59 Christian : How was Adam created? by dust 3:59 or by clay 15:26 or by blo*od clot 96:2 Muslim : …… Christian : Allah knows best? You don't even know how Adam was created, then you say Adam was created like Jesus! How is it possible? Muslim : That's right But Jesus is Just Prophet Christian : The Quran says that no one is God unless he can create a fly, right? 22 : 73 Muslim : Exactly Christian : If someone creates a fly! He is God? Muslim : Yes Christian : So Jesus created a bird from clay just like Allah created Adam 3 : 49 Muslim : No! Jesus has done this with Allah's permission, while Jesus is a creature! Christian : Jesus created a bird from clay (according to Muslim logic, Allah allowed Jesus to be God like himself, so Allah questioned his own uniqueness and And Allah rejects himself to be one and Allah destroyed Islam) and the Quran says that whoever creates is not a creature 16:17. So Jesus is not a creature, Jesus is the creator Muslim : ……,Allah knows best Christian : Yes, Allah knows best, because Allah Said to accept Christ(Messiah) and Allah as God Muslim : Where? Christian : 9:31 Muslim :This verse does not say this Christian : Are you Arab? Muslim : No, I read the translation Christian : So, why you act against Quran, Because Quran said We sent the Quran in Arabic and read it in Arabic to understand 12 : 2 Muslim : Okey, But the translation is the same as the Arabic text of the Quran Christian : Did the Quran tell you to read the Quran with translation or read it in Arabic! This is why Islam deceives by mistranslating the Quran and read verse 9:31 with its original Arabic text Muslim : I dont know, Anyway, Jesus is your God and Allah is My God! So We do not accept Jesus as God Christian : So, why Quran said My God(Jesus) and Your God (Allah) are same as One 29 : 46 Muslim : Astagfirallah, This is Shirk! Allah is One! Christian : So why Allah called himself "We" and "Our" 29:69 Who are "We" and "Our"? Muslim : …… Christian : Jesus is God even in your book :) Muslim : May Allah guide you to true path! I don't waste my time at you Christian : Another Day and Another Muslim
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Mtu ni msalama akangali shape yako
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 4 месяца назад
Aseme nini ama nini yesu ni bwana bado wamwaminie tunaona matendo ya yesu kupitia wale amboye wanahusuhuda ya kumeona yesu wetu, Mohamed alkufa kama watu wengine wote hakufanya chochote ya kufanana na yesu ,Nayeli ndio njia tu , aongee kwanini biblia inasema Urdu ndio njia na sio mohamed, kutumia vitabu tatu tu kichanganya watu , abaki hapo akiamini majini yake akiambia watu wamwoneekando kwa mafanikio , kuuza Pete za mapepo ,
@Elybwayz
@Elybwayz 4 месяца назад
Kwaiyo yesu akufa ama 😅😅😅
@Elybwayz
@Elybwayz 4 месяца назад
Unaushamba sana kaaa na ujinga wako mkiambiwa kweli mnaluka kwa kuishi kwa kukalilishwa na wachungaji wenu yesu akufa ama vp bas kama kufa kwa manabii niishu nabii ELIA akufa alipaa moja kwa moja sasa na uyo vep 😅😅😅😅😅
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 4 месяца назад
Bibilia yenu yenyewe..inakataa yesu sio mungu..pia bibilia inasema yesu alitailiwa..sasa mungu huwa anatailiwa..?mungu huwa anakaa tumboni miezi 9 na kuzaliwa kupitia tulipo pitia wote.? Adam na eva..awajazaliwa wao tuwaite mungu au?..iyo bibilia yenu inawashushua wenyewe..yesu aliingia msikitini akaswali kiislam..bibilia inasema ivyo..?
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 4 месяца назад
ukwel utabak kuwa kwel ht km utaamua kuupinga, then haitwi muhamed bali ni Muhammad (s.a.w). Soma uelewe usipinge pasi n elimu
@bakarhassan
@bakarhassan 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 duh
@mobutu3884
@mobutu3884 4 месяца назад
Mwandishi anaonekana ana maswali lakini anaogopa kuuliza 😂😂 inabid tu asikilize porojo kipindi kiishe dah , Hivi mnadhani kujua Biblia ni kukariri mistari kama quran? Biblia lazima uielewe quran unaikariri tu sio lazima uelewe ndio maana wengi wanakariri kiarabu ila hawajui maana zake.😂😂 wanaanziaga madrassa.
@usrahismail3196
@usrahismail3196 4 месяца назад
Pastor husomea upastor na kukariri mistari Kwani ukitaka kujua kitu si unakariri ili ukiulizwa uelezee?
@mobutu3884
@mobutu3884 4 месяца назад
@@usrahismail3196 Shida nyie mnakririshwa kiarabu na hamuelewi maana yake fanya research, utakuta mtu kakariri mpaka dua kwa kiarabu ila ukimuuliza maana yake hajui kuelezea kwa kugha yake, nishafanya research hiyo sijakurupka.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 4 месяца назад
Embu mtafuteni bishop ngonyani, awafundishe sio hawa machoko
@IssaAlly-lj3iq
@IssaAlly-lj3iq 4 месяца назад
❤❤❤ sule chukuwa maua yako umetisha
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 4 месяца назад
Kikubwa tunachokuombea sisi dr.sule.tunamuomba Allah akupe umri mreefu wenye heri nawe.na afya njema ili uzidi kutoa madini kwetu .waskia raha wallah mtu akikuskiliza unavyonguruma na kumpwekesha Allah.kwenye ufalme wake na dini yake.na kuichambua vyema dini fake.Allah akupe mwisho mwema wa shahada yaa Rabby🤲🤲.adi raha
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 4 месяца назад
Acheni kulalamika wakristo Dr sule ananukuu kwenye Biblia yenu
@harunaabu3083
@harunaabu3083 4 месяца назад
Doctor nakupenda kwaajili ya allha Allah akupe umlii mrefu 2zidi kupata dalasa inshallah
@loner_wolf
@loner_wolf 4 месяца назад
Quran ina sura 114 dr sule..... Mark that as you teach😅😅😅
@williamgabrielmassawe3654
@williamgabrielmassawe3654 4 месяца назад
Paulo na petro walishiriki kumfunga yohana 😂, elimu mpya hii
@masindemagee9603
@masindemagee9603 4 месяца назад
Mtume Mohamed kafa hadi leo anasubili kufufuliwa lakini yesu kristo yu hai milele na milele
@hanifa9153
@hanifa9153 4 месяца назад
Icho ndo akili yenu huwadanganya kama ni mungu😢 weee hamtatuingiza hko cc tunajua mungu ni 1 na hana wakufanana nae na wala hana mshirika... yesu ni muujiza wa mungu kataa uende motoni
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
​@@hanifa9153ELIMU Yako ya UISILAM ni ndogo. SOMA BIBLE UWE NA ELIMU PANA
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 месяца назад
Yesu ni mtume alietumwa kuja kuokoa wana wa Israel mengineyo yaweza kua porojo za waandishi wa vile vitabu zaidi ya 66 vilivyotumika kuandika Biblia
@mahimbomichael1082
@mahimbomichael1082 4 месяца назад
Sawa mtume Muhammad kafa huyo aliekuwa wahai yupo wapi
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
KUNA MAPEPO UKIFYATULIWA NDUGU SULE UTAOKOKA NA UTAKUWA HURU,MAANA NAHISI YALE MADUDE YALO MMINYA MUHAMADI MPAKA AKASOMA,YANAKUBINYA NA WEWE UONGEE HISTORIA YA ELIMU YA UONGO INAYO PINGA BIBLE,MUNGU AKUSAIDIE UPONE MZEE.
@abuumkota5505
@abuumkota5505 4 месяца назад
we mjinga kweli nyie ndio mashabiki wa dini ambae hamtaki kuelewa huu sio mpira kashabikie mpira
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
@@abuumkota5505 POLE NDUGU MAMBO HAYA HAYAHITAJI HASIRA
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 4 месяца назад
Huyo ni dokta wa PhD aliesoma madigrii na falsafa katika mambo ya dini.Asemayo yote ni ya kweli toka vitabuni.Wengi wanamchukulia Poa huyu Daktari. Vitabu vyote viko kichwani mwake hayo si yake binafsi
@shabanijmrisho4715
@shabanijmrisho4715 4 месяца назад
Someni wakristo mfungue ufahamu sio kubisha tu yan bible Bado mnaikataa
@ackimackim1880
@ackimackim1880 4 месяца назад
@@shabanijmrisho4715 Shabani tunaelewa bible,uko msikitini mmepotoshwa kuhusu bible tangu utotoni, njoo KANISANI tukufunze umjue vizur YESU,na maisha Yako yatabadilika.
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 4 месяца назад
Shebby mtafute Dr sulle aelezee vzur kwa undani na kwa ushahid wa biblia na Quran:Kuwa aliyesubiliwa msalabani sio yesu ni huyo aliyemtaja kakene...
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 4 месяца назад
Dk sule hana elimu ya kuita. Viumbe lakini. Anatakiwa afundishwe lakini elimu hiyo ni ipo
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 4 месяца назад
Nichekee miyee 😂😂😂😂😂😂😂 shekhe Allah akulipe janna ishaallah maana watufurahisha sana 😂😂😂😂😂
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Petro alipewa funguo ya kanisa la kwanza na roho mtakatifu. Paulo alitenda injili km mchanguliwa kwa mahana alikuwa apiga kanisa vita akuna na Mungu aka mugeuza toka Sauli na kuitwa Paulo aka hanza injili🎉
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 4 месяца назад
Kwahiyo yesu hahusiki na ukristo maana muanzirishi ni Paulo??
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
@@zaidiissa3714 Yesu Christo ndo wazilishi wa Ukristo. Ana jina ni Yesu Kristo
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 4 месяца назад
​@@Yusufu940 Yesu anajijua kwa jina la Masihi sio kristo
Далее
Самая сложная маска…
00:32
Просмотров 1,1 млн
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC 4
00:16
Просмотров 2,4 млн
MAJINI NA NGUVU  ZA MUNGU
7:01
Просмотров 33 тыс.
Ushuhuda wa aliyekua muislamu.
28:57
Просмотров 249 тыс.
Самая сложная маска…
00:32
Просмотров 1,1 млн