Тёмный

Pt1_"Nilikuwa naua mpaka watu 21 kwa siku"|USHUHUDA WA BINTI WA BURUNDI ALIYEKUWA WAKALA WA SHETENI 

PROMOVER TV
Подписаться 155 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@ridiajofrey8276
@ridiajofrey8276 8 месяцев назад
Ee Mungu Linda watoto wangu wanaishi na Bibi Yesu wsfunike damu ya yesu
@endlessloveofchristlovewor9991
Kila ulimi utakiri kwamba Yesu ni BWANA, na kila goti litapigwa
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 Год назад
Ameen
@plastidiacasmiry2234
@plastidiacasmiry2234 Год назад
AMINA
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 2 месяца назад
Asante Yesu kwa neema yako😔🙌
@Haule-fe5qe
@Haule-fe5qe Год назад
Ubarikiwe sana 🙏...... mtumishi bado shuhuda za... matendo makuu....ya.. Mungu kwa..watu🎉🎉🎉
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Sauti iko chini sana
@jeanpaulnduwarugira2065
@jeanpaulnduwarugira2065 Год назад
Asante sana mtumishi wa Mungu,alakini ningependa nimuulize uyo binti wa Yesu,amesema arikuwa anauwa watu,mtu akifa arikuwa anamubeba aje kuzimu anmuvmchukuwaje?
@ammykissbeats3296
@ammykissbeats3296 Год назад
Duuuh Mungu atusaidie
@velmaanyango6225
@velmaanyango6225 Год назад
Jamani volume iko chini sana
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Год назад
Damu ya Yesũ ina nena mema
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Год назад
EEH HUU ULIMWENGU SI SALAMA KABISA,MUNGU NILINDE PAMOJA NA FAMILIA YANGU
@SelestinaJoshua-pn4zv
@SelestinaJoshua-pn4zv Год назад
Ukisema upewe macho ya rohoni unaweza kujifungia ndani usitoke kabisaa mpaka Mungu atakapokuchukua
@judyngowi391
@judyngowi391 Год назад
Kwakweli inabidi kujifunika kwa damu ya Yesu kila saa, na kuishi maisha ya toba, ajali zingine zinatokea unashangaa zimetokeaje, ndio mambo kama haya
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Год назад
Mmmmmmmh kwakwel siri za shetani zinafichuka kumbe ndiko wanako enda hao mitume wanaojifanya naona 🤣🤣🤣🤣🤣🙌 asante YESU wewe ni mfalme wa wafalme
@goodstar4790
@goodstar4790 Год назад
Jina la bwana lihimidiwe
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Год назад
Faida za ushuhuda akuna kumtukuza shetani nikumuaibisha pia inawapa wateule kupigana na adui wanae mjua mbinu zake hatakama ATA zibadilisha
@maxiesecurityservicesltd11
@maxiesecurityservicesltd11 Год назад
Sauti iko chini kabisa
@djpmjemah2042
@djpmjemah2042 Год назад
Sauti iko chino sana Mtumishi
@ezrakaranja9195
@ezrakaranja9195 Год назад
Enyewe inatisa ila izi niezi zamusho Tushuge isiwe kuna bishara kati
@shamim-shammy
@shamim-shammy Год назад
Hizo shuhuda hata kanisani kwako unaweza kuzipata, lakini shuhuda kama hizi zinafunua kazi za shetani ambazo ni mara chache sana kuzipata( unaweza ukatizama tu kanisani kwenu ni mara ngapi imetokea shuhuda kama hizi
@saradavirginia-kd7tn
@saradavirginia-kd7tn Год назад
Mungu unilinde na família yangu
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Год назад
Damu ya Yesũ ina nena mema
@Omba770
@Omba770 Год назад
Ulikuwa naua watu 21 kwa siku? Labuda kwa silaha vinginevyo ni upuzi mtupu,wadanyanye wajonga...
@mikerutto8164
@mikerutto8164 Год назад
Jacktan please muhulize kuzimu aliokua inafanana aje?. Nikama ole ya katekela ama?
@Omba770
@Omba770 Год назад
Huyu mkongo,ni hatari
@njeyaduniatv
@njeyaduniatv Год назад
SASA NDO UMEOA MDADA KAMA HUYU , SI HATARI😁😁😁
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Год назад
Hawa watumishi wanafanya kazi kubwa sikutegemea mtu anaongea TU kuwa vunja Moyo Kuna mawili katumwa eti wanamtukuza shetani kuwa na haibu kidogo
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
Mtangazaji muulize kwanin wasilmu hawaogopwi kuzimu? Na wala hawashambuliwi kwenye misikiti yao???
@fabianmkimbu880
@fabianmkimbu880 Год назад
Shetani Hana vita na mtu asiye mkristo wa kweli,kwa maana hawamsumbui lkn mkristo wa kweli ni hatari kwake kwamaana wakati wa maombi ya mkristo mapepo yanaungua na kuzimu inatetemeka na vitu vyao vinaharibika,ndiyo maana kuna vita kati ya mkristo wa kweli na shetani,lkn muislam au mpagani au anaejiita mkristo lkn hafanyi mapenzi ya Mungu hawana madhara kwa shetani manake anaweza kuwafanya chochote na wakati wowote.
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
@@fabianmkimbu880 Asante Kwa maelezo mazuri
@ninabizimana6869
@ninabizimana6869 Год назад
Burundi bujumbura buyenzi number ngapi
@beverlyseko965
@beverlyseko965 Год назад
Nasiubiri kuona siku moja mkituletea ushuhuda wa Mungu ametenda hiki na kile tumemtukuza shetani sana.
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Год назад
Unajua Nini maana ya shuhuda
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Kwani wewe mpaka hapo hauoni Mungu amefanya nini? Mtu anaposhuhudia maana yake Mungu ameshafanya anachokifanya ni kumwaibisha shetani maana Yesu amesha ameshajitwalia utukufu.
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Год назад
UsikaLili maisha zipo shuhuda za mtu kwenda mbinguni jazihesabiki na kurudi kama sio chuki binafsi
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Год назад
Fikili kabla ujahandika unajua promova tv unashuhuda ngapi za mbinguni
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Год назад
Uyo hapo chini hana just nini maana ya shuhuda au anaongea TU Nani anatukuza shetani
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Hajui analolijua msameheni
Далее
Каха понты
00:40
Просмотров 392 тыс.
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 440 тыс.
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 64 млн