Mna tufikisha tunapopenda tim russia inaflai sana tunakumbuka enzi za 60 na mao kim il sung na nordom sihanock kamponchia na videl castro.nawengine inz. Ujamaa
unapata maumivu ukiwa wapi.? huna elimu pole sana! Russia dhahifu wakati mwaka wa 3 huu anapigana na USA-NATO nchini ukraine na bado manyang'au wameshindwa kufua dafu 😂😂!
hujui kitu, Ukraine hazalishi silaha hvyo uelewe vita inayopiganwa nchini ukraine ni marekani(CIA yake pamoja na NATO) wakiwa wamevalia magwanda ya Ukraine ili kuwaaminisha watu kuwa ni jeshi la Ukraine lakini dunia hiyo haipo tena ulimwengu wote unajua USA-NATO wanapigwa nchini ukraine na wamefeli kustopisha uchaguzi wa urais nchini Russia hvyo uelewe nguvu ya Russia
Muda gani ivi wengi na mmoja yupi anaeonekana shujaa inchi zote za ulaya mashoga wameungana nabado wanamuogopa urusi ni mwanaume kamili na sisi tunaemwamini ni wanaume kamili sio mashoga sisi pumbavu. urusi china na korea kasikazin na inchi zinazo munga mkono moto fire.mungu awaongezee nguvu sana.
hujui kitu wewe wadanganye watu wako ulio nao pale kijijini baada kula ubwa ubwa ... puntin anapigana na wababe wadunia sio ukreni.... ukreni pekeake hangetoboa Kwa mrusi vita ingeisha kitambo
@@sultanbakary4292 Wanaweza Wakajua au Wasijue ila Mataifa Wanayoshindananayo Unayaonaje ni Wazuri Sana Kwenye MBINU,AKILI NYINGI,SAYANSI KALI SANA,na VIFAA VYA KIVITA WANAVYO Vingi Sana Yaani Walishajiwekeza miaka mingi iliyopita Walisha Advancè Miaka Mingi Sana hata Kiuchumi"
Sahau bro.... maana Urusi anarefusha vita makusudi ULAYA MPAKA IPATE NJAA asaivi hali tete waulize kaka zetu kila kitu bei juu.... nishati yao inatoka Urusi... pili URUSI INA BARABARA YA MOJA KWA MOJA NA CHINA.... MAGARI CHAKULA KAMA KAWAIDA NA RAFIKI YAKE CHINA . .
Changamoto unasikiliza/unaangalia BBC, CNN n.k Ukraine imeishiwa wanajeshi soon wataanza peleka watoto vitani. Ukraine imeishiwa silaha na inategemea silaha toka Marekani na magharibi. Ukraine inaendelea kuchukuliwa maeneo na Urusi.
Hlf Marekani na magharibi wanapigana na Urusi kupitia Urusi na Ukraine...anachofanya Putin sasa ivi na yeye anataka kupigana na hao mashoga kupitia adui zake