Тёмный

Quick Rocka Afunguka Chanzo Cha OMG Kuvunjika "Ulikuwa Unatoa Tu Haiingii |SALAMA NA QUICK ROCKA PT1 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Abbot Charles ni jina maarufu kwa wanaoijua historia na wana zuoni, pengine umaarufu wa jina ndo sababu ya Baba yake kuamua kumpa mtoto wake wa kiume akitegemea na kijana wake atakua na ukubwa huo kwa lolote ambalo ataamua kufanya kwenye maisha yake, unaujua ule usemi kwa kiswahili kwamba maneno huumba? Mwenzangu, hata majina huumba, tena sana tu kwahiyo wakati mwengine utakapokua unafikiria jina la mwanao ni vyema kujiridhisha kwanza, unafanya kazi flani ya kipolisi ya kuchunguza ili mwanao asije akawa mtu fulani asiye na dira.
Quick Rocka aka Switcher aka Baba aka Kaka Fule ni mdogo wangu, hizo aka alozojipa ni maana halisi ya uwezo wa kuishi kwenye kila character ambayo anayo na ameamua kuiishi. Ni Quick na anaweza kuku rock wakati ana rap, na anaweza ku switch na kuwa singer na mambo yakaenda vizuri tu, au aka switch na kuwa Kaka Fule, aka kufanya utake kuendelea kumuangalia tu kwenye Jua Kali au filamu ambazo amekua akifanya. Switcher pia ni producer mzuri tu wa muziki ambao anaufanya.
Katika vijana wa kuwaangalia jinsi wanavyoelekea kwenye mafanikio yao yeye pia anafaa kuangaliwa na hii naamini inatoka kwenye kampani ambayo amekua nayo tokea siku ya kwanza alipojua anataka kufanya mziki, group aliyokua nayo kwenye Rockers ilikua imesheheni mafundi ambao pengine focus yao haikua kama ambayo Switcher amekua nayo au pengine walikua na vitu vyengine ambavyo ni vizuri pia vya kufanya na kuamua kuachana na muziki, pengine kufanya muziki haikua priority yao ila kwa Quick mambo yalikua tofauti. Ukaribu wake na Master Jay kwa kiasi kikubwa umemsaidia kuweza kuwa focused na mambo yake ya msingi na pia alikiri kwenye maongezi yetu haya kwamba kuna kipindi baada ya msiba wa Marehemu Kaka yake, alikua sehemu mbaya sana kifikra ila Master Jay alimsaidia kwa kiasi kikubwa kurudi kwenye mstari. Na kuanzia hapo sasa focus ya vitu ilianza kuwa 100% na ukiachana na kwamba Master Jay ndiye alimchomoa Quick kutoka kwenye kundi na kutaka asimame mwenyewe kama Solo Artist.
Pia Marco Chali ndiye aliyekua anamtengezea muziki wake wote, na kamsoto flani ambako alikapitia ili kumfanye awe huyu ambaye yuko leo chini ya uangalizi wake kwa kiasi kikubwa pia yalimfanya asogee ki maisha, mambo yote ambayo tunakutana nayo kwenye njia ya kuelekea kwenye mafanikio ni lazima ilikua tuyapitie ili kutufanya tuwe bora kwenye haya maisha tunayoishi sasa. Ambacho hakiku uwi kinakufanya uwe jasiri tu. Na jasiri Quick alikua. Aliweza kufungua studio yake mwenyewe ambayo alimfanya awe huru zaidi na kujijenga zaidi, hapo studio pia alitoa nafasi kwa wenzake ambao nao pia walikua wanatafuta sehemu ya kutokea. Kwenye studio ya Switcher ndiko ambako OMG ya Salmin Swaggz, ConBoy na YoungLunya ilizaliwa, tuseme kwa Quick Rocka kuliwapa tafu ya kufika mjini. Ma producer mbali mbali pia walianzia pale na kupata nafasi ya kufanya mambo makubwa zaidi kwenye sehemu nyengine.
Mimi na enjoy kumuona Abbot anavyokua na kujielewa na kujithamini, anavyo jibeba na kusogeza mambo yake kwa spidi nzuri. Kama kijana nna hakika ana mapungufu yake na kuna makosa alishawahi kufanya huko nyuma na probably hata mbeleni kwenye maisha, ila huwa hatumhukumu mtu kwa makosa aliyowahi kuyafanya bali kwa jinsi ambavyo alitoka kwenye hayo makosa na kuwa mtu bora zaidi.
Yangu matumaini uta enjoy story hizi ambazo zilikua zinapigwa kwa uhuru wa iana yake.
Love,
Salama
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

23 окт 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@lastsimbatv1497
@lastsimbatv1497 Год назад
I love u slama yan natamani hta siku tule chakula pamoja na itakua hvo
@zephaniamayeye4902
@zephaniamayeye4902 Год назад
Kazi njema 💯
@zawadilutufyo8771
@zawadilutufyo8771 Год назад
I really like this guy
@jimmykidult
@jimmykidult Год назад
God bless yuu in all ur dues sister.
@noru9028
@noru9028 Год назад
Big up sister salama
@maryshirima1234
@maryshirima1234 Год назад
Kaka Fulee is so smart ... interview pambe sana 👌💚
@johnchakupewadc4679
@johnchakupewadc4679 Год назад
Umependeza sister Salama
@dibbodillas333
@dibbodillas333 Год назад
First comment ever
@bbettygraceofficial3926
@bbettygraceofficial3926 Год назад
Asante kwa kazi nzuri tunaomba ikiwezekana ,SALAMA NA UWOYA piya n'a LUKIYA THE LOST TWINS 🤗...ASANTE SAAANA... NAPENDA SANAA IYI KIPINGI TOKA GOMA-DRC 🇨🇩
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Год назад
Lakn Anita si alikufa au atafufuka 🙄
@marrymwalimu1811
@marrymwalimu1811 Год назад
Salama mi nampenda na nywele zake yani anazigeuza tu vyovyote anavyotaka zinakaa,natamani.
@marwakitaro2075
@marwakitaro2075 Год назад
Kwny ukoo wenu Kuna mzazi au babu yako anazo kumbuka ni africast huyo Sasa isijekuwa wewe mjaluo 🤣🤣
@s.n3733
@s.n3733 Год назад
Njoo nikupe
@williamkavindi8520
@williamkavindi8520 Год назад
Hatimaye Salama leo hajavaa t-shet. Interview zako nzuri madame.
@maryamtan682
@maryamtan682 Год назад
😁😁😄Kwa nn t- shet jamani.
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Год назад
Sho hansham 😍
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
Hahaha
@franksteven
@franksteven Год назад
Ila video ya bullet ni chenga kinoma in today’s standards 😂😂😂😂😂 but still respect on that coz ni video kama hizo which paved a way for todays better quality ones
@barbarasara4033
@barbarasara4033 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bettysalvatory9136
@bettysalvatory9136 Год назад
My crush
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Km mm samahani na nakupenda hua sisemi kihovyo hovyo na km nikisema sy ya kumaanisha nitasema kwa makerere
@nasrah.s918
@nasrah.s918 Год назад
Millard next pleasee
@nuranbashir5713
@nuranbashir5713 2 месяца назад
Nimevutia namna anavyojibu maswali na anavyozungumza
@marlonstudios4408
@marlonstudios4408 Год назад
Salama na samatta
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Hilo jina lako sijalisikia vzr
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 Год назад
Hata mi cjaliskia😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@asifiwekitunga4655 😁😁😁
@consomahanga9269
@consomahanga9269 Год назад
Abott Charles
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@consomahanga9269 ooh kmb
@edwardmachaku1661
@edwardmachaku1661 Год назад
My life is the biggest smash you did brother,Mbeya city stand up! Respectfully, Salama Jabiri
@user-iv5xu6lm8i
@user-iv5xu6lm8i Год назад
❤❤
@stellalaurent1479
@stellalaurent1479 Год назад
Next mlete millard
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Kaka full
@bettykauye7691
@bettykauye7691 Год назад
My crush from 🇰🇪
@esthercheupe4529
@esthercheupe4529 Год назад
Mbona podcast ya boomplay huupdate??
@UgandanAllstarTales
@UgandanAllstarTales Год назад
kwa akili finyuuu aka fikra za fasta fastaa... MJAY kasababishaa the ROCKAZ break Up lols...
@mrs2918
@mrs2918 Год назад
kuna ubaya nikiwa sugar grandmother 🙆🏽‍♀️
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca Год назад
@20:23 “Tulikuwa na Tembezeana”
@neeytemu
@neeytemu Год назад
Millad ayo
@salumjumah5648
@salumjumah5648 Год назад
Switcher Baba
@marrymwalimu1811
@marrymwalimu1811 Год назад
Kaka Fule
@godfreyomollo9844
@godfreyomollo9844 Год назад
Switcherr
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 Год назад
kaka fuleeeeeee
@marwajuma7493
@marwajuma7493 Год назад
Samatta
@kagirasta1476
@kagirasta1476 Год назад
Bullet ilkua kiboko sana
@stevewanga957
@stevewanga957 Год назад
kuna ile interview ya Mzee Zoroh mbona sijaona
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Na mim nimeitafuta jmn
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
2008 au 2009 ndo namaliza la saba eeh kumbe ww mkubwa duh mi nilijuwa labd una miaka 23
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
23 😟😟 ulikuwa unamuangalia kwa uoga km Naira
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
@@khadijahali4837 Hahaha maskin naira
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
23,utan uo
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 Год назад
We ni mtoto
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
@@rabsontryphon9254 mtu mzima 45 years
@uwinezajohara8362
@uwinezajohara8362 Год назад
Uyo kaka na mfurahiyanga
@salehssaidategirddb2994
@salehssaidategirddb2994 Год назад
Salama na samatta
Далее
Mkasi | S13E10 with Ruge Extended Version
40:28
Просмотров 531 тыс.
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49