Mashekhe badilikeni nenda kwenye hoja Sasa ukianza kughani Nini maanayake mnasema naongea kifupi masaa 3 hamuelezi kitu mnaboa wakati wakughani iwe kughani naomba mnielewe Sina Maana ya kuharibu
Nyinyi masheikh mimi nawashangaa Sana Cjui ndio tuseme mnatafuta kiki au Vipi, yaani mtu unakaa mbele anaongea kitu hakieleweki,sisi tunaamini qur'an kwamba hakuja mjinga yoyote atakaeweza kuleta mfano wake ilitakiwa musimamie hapo tosha
@@FASSALEHALIB sisi waislam tumefundishwa tusiwe na mashaka juu ya kitu chochote kilichozungumziwa kwenye Quran Sasa nije nipate wasi wasi au uniaminishe kua kuna Quran feki wakati Allah kasatubainishia kila kitu mimi siwezi kuacha mafundisho ya Quran nikamfata mtu anaeongea pumba.
@@SalamaKhamis-un8vn kwani mimi nimeongea kushuhulika na dini au nimesema hakuna mtu anaeweza kuleta mfano wa Quran mbona na wewe Kama ndio wale wale, Kama muislam hutakiwi kua na mashaka juu ya kitu chochote kilichozungumziwa kwenye Quran, sasa ukisapoti kama kuna Quran feki (mfano wa Quran) basi wewe itakua hujielewi.
Kishki hawezi kulinda kulinda Qur an soma 15:9 na Allah tu mkiona mnahifadhisha na mnasapotiwa na wasio waislamu jueni mnajaza maji kwenye gunia 2:120 olewetu hatutafakari 1Qur an 38:29