Shaikh Othuman maalim yupo vizuri katika kufafanua Qur'an na Hadith za mtume s.a.w mungu akupe maisha marefu shaikh wetu tuzidi kufaidika na iilmu yako shaikh
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo ❤❤❤❤❤
Mashaallah moe unapochambuaga quran uwa najiskia faraja sana nakuwaga na utulivu mkubwa nakuelewa sababu upo kwajiri ya kumwelewesha mtu amfuate Allah,,kwakweli Allah akusimamie ivoivo
Masheikh ambao hawana elimu ya majini wakubali na kujitokeza mbele ya Dr sullez kabila umauti umechukue ,wanyoshe Jambo hili,sio kupiga makelele mtandaoni.kenya kulikuwa na sheikh aboud rogo ,alikuwa akipenda kuzungumzia jihad na kuhumiza waisilamu wasiwe wanyonge mbele ya makafiri ,wako masheikh ambao walimpinga ingawa walikosa hoja za msingi ,wakazua uzushi kitu kilicho sababisha umauti WA sheikh aboud rogo.tusiwe wanafiki Kwa minajili ya dunia .mwenye anapinga Dr sullez aende kumuona ili kuzidi kupambanua hili swala la majini.
MIMI NASHANGAA, BADALA YA KUSHUGHULIKIA MAADILI YA TUNAHUBIRI KUHUSU MAJINI SISI MAJINI HAYATUHUSU. VIJANA WANAHARIBIKA VIONGOZI MMEKALIA KUHUBIRI MAJINI!!!!