Тёмный
No video :(

RAIS MWINYI AMSIFIA WAZIRI MAZRUI - "ANAFANANA NA CHAMA CHETU (CCM)" 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

RAIS MWINYI AMSIFIA WAZIRI MAZRUI - "ANAFANANA NA CHAMA CHETU (CCM)"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@ashamohammed3612
@ashamohammed3612 2 года назад
Mazrui kwa kichapo ulichokipata nadhani hiyo ni bakora tosha ya kukufunza si dhani kama utakuwa msaliti kama wengine. Unaweza kusamehe lakini huwezi usahau katu sifikirii kama unaweza kumsaliti Al Marehemu Maalim Seif usidanganywe na upepo wa kusi ukasahau Tanga lako.
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 2 года назад
Humpati NG'o mazrui
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 года назад
Hiyo ni mbinu ya kampeni kwa mlango wa nyuma. Tusubiri hapo 2025 ndio tutajua kama dhamiri ya kuleta umoja wa kitaifa inaendelea au laa.
@w4058
@w4058 2 года назад
Naam Kabisa Wazanzibar amkeni msidanganywe na vipipi vyake Yeye kamchaguwa kwa uhakika kuwa atafanikiwa maana pamoja na kumpiga na walikompiga kwa kuwa anapenda Zanzibar yake kasamehe na sio peke na takriban wote waliodhulumiwa ingawa bado hujawalipa haki zao ila tunakuomba washike masikio CCM wenzako waache urasimu wao na mumtulie fedha spitali maana tunaambiwa dawa hakuna
@alialibablly7010
@alialibablly7010 2 года назад
Waziri anajua hii taasisis haena chama inataka moyo kama anafanya kazi waziri basi anafaaa apewe bajeti na vitenda kazi kwa wizara yake afya
@alialibablly7010
@alialibablly7010 2 года назад
Mtangoja sana
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 2 года назад
Mh mazrui hongera sanaaaa..mashallah. atarud nyumbani CCM. Alikuwa huko before
@w4058
@w4058 2 года назад
Hajawahi kuwako hukoo hata siku moja kama mlimuona alivyovyalishwa pakacha hahahaha ulikuwa ushawushi wa Raza looo CCM kaeni wenyewe mazimwi wakubwa
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 года назад
I say huyu Rais ni mzuri anajaribu kutueleza ya kwamba serekali ya umoja wa kitaifa ina tija kubwa kwa Zanzibar...Allah kupe nguvu uzidi kusimamia majukumu yako ya kiungozi na uinyanyue zanzibar na watu wake as well
@emakakolwa859
@emakakolwa859 2 года назад
Kwa maovu yke alietufanyia
@emakakolwa859
@emakakolwa859 2 года назад
Hana uzuri wwte mnafiki mkubwa hatutomsamehe
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
Wote hao ni CCM eti njaa Tu na mwizi mwenzake mwizi
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 года назад
Haji,unavuka mipaka,unaweza kupata matatizo kwa kauli kama hiyo
@Crystalmocha
@Crystalmocha 2 года назад
Wewe muislam unasema jambo huna uhakika nalo usibebe dhima muulizie vizuri Mazrui
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
@@ahmedalbalooshi8518 acha kuogopa
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
@@Crystalmocha we akili huna basi hata macho kuona kodo huoni
@Crystalmocha
@Crystalmocha 2 года назад
Basi hukum anayo Allah yey ndie Alim l ghaib mimi macho yangu yanaona ya nje tu ndani yaa nafsi Allah yeye ndie mjuzi
@kauthariddi7800
@kauthariddi7800 2 года назад
Ccm oyeee dady Allah akufanyie wepec kla hatua dua
@w4058
@w4058 2 года назад
Mie sipendi kuwasikiliza kabisa aaa sitaji jikera
@w4058
@w4058 2 года назад
Wazanzibar wenzetu kuweni na akili zenu timamu hahahaha mnalowekwa tuu
@emakakolwa859
@emakakolwa859 2 года назад
Chizi ww
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 2 года назад
mwinyi ni chizi, miaka 60 bado ana mdomo wa kuweza kuisifu ccm kama siujinga ni kitu gani na huyu mwinyi hapa unguja kwao wapi au ndio tumeletewa rais wa mkuranga..
@dalalimjinga.144
@dalalimjinga.144 2 года назад
Ww kwenu wapi hapa Unguja? Kwerekwe? Au kama? Tatizo ni Udarajabovu
@abdallaabdi5159
@abdallaabdi5159 2 года назад
Acha ujinga uo, muhimu ni maendeleo tu.
@mariamjuma8938
@mariamjuma8938 2 года назад
@@dalalimjinga.144 udarajabovu oyeeee
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 2 года назад
Wewe kwenu wapi acha ubaguzi wewe paka mmoja wewe
@salyali7807
@salyali7807 2 года назад
🤣🤣🤣 umenikuna ndipo
Далее
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 205 тыс.