Тёмный

Hotuba ya JUSSA leo Wete kwenye mkutano wa ACT Wazalendo Pemba, Rais Mwinyi apewa makavu 

Weyani Tv
Подписаться 82 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Год назад
Ameen Ya Rabi Allameen In Shaa Allah ❤❤❤❤❤❤
@SuLeimanHusseinShehe
@SuLeimanHusseinShehe Год назад
Rais Samia anafanya vizuri sana Pongezi ziende kwake.
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Год назад
Mimi Naendelekea kukupendeni sana wana Act hakika nyinyi ni vipemzi vyetu na tutaendelea kuwapenda lakn nawashaur sana,hio wao kujenga ni jambo la kawaida sana teina sana, na hilo ni jukumu lao sisi tunachotaka ni wazanzibar ni haki ya wazanzibar na zanzibar yeye mamlaka kimil na yenye kujitegemea sio kufanywa mseto kama vile hatuna kwetu
@kijokasumu
@kijokasumu Год назад
waambie ukweli majambazi wasio kua na haya
@ramadhanmussa673
@ramadhanmussa673 Год назад
Ccm kishAaaaaa
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 6 месяцев назад
Kwa mtazamo wangu wana siasa hawana tofauti na wasanii ni usanii tu hakuna lolote leo hii huyu anaeongea hivi umpe yy nchi ni yale yale tu hakuna jipya litakalo fanyika ni usanii tu wa kisiasa
@ahmedhamdan8526
@ahmedhamdan8526 Год назад
Safi bro jussa ❤
@abhamidtz9320
@abhamidtz9320 2 месяца назад
Allah awape nguvu zaid
@MustaphyAbass-mv8hw
@MustaphyAbass-mv8hw Год назад
Sisi wapemba unguja wanajitahidi kujenga ila kimya kimya ila uku pemba wakiondoa jiwe njian bx wataonesh ktk mitandao yote ivi lini tutakuw n cw n wngine
@RVSONLINETV
@RVSONLINETV Год назад
Salama alaikum ivi nyinyi mukichukua kazi kwenye acount zetu bila ya kutuambia huwa munasikiaje.
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline Год назад
Waalyakum Salaam warahmatullah. Hizi tumechukua akaunti ya ACT Wazalendo. So tuna imani ni ya chama hivyo ni mali ya umma inahitaji kuchapishwa na yoyote. Lakini kama Hiyo nembo ya ACT ni ya mtu binafsi, basi tunaomba radhi tulielewa vibaya. Na tutaziacha hatutachapisha tena. Tulidha ni mali ya ACT maana inasema ni Official akaunti ya ACT.
@yussufabdalla-hc4ok
@yussufabdalla-hc4ok 4 месяца назад
​@@WeyaniTvonlinei
@Jal210
@Jal210 Год назад
Mwinyi kaendeleza Zanzibar acheni majungu
@suleimanbadru819
@suleimanbadru819 Год назад
Upo zbar au uko Ngarenaro hivi una hoja na unacgokiamini
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Год назад
@ulimlima5027. Wajarumani na Waingereza wote walileta Maendeleo Tanganyika. Lakini kwa nini walikataliwa na Watanganyika?
@kassim1262
@kassim1262 5 месяцев назад
Njoo utuonyeshe ayo maendeleo nacc bc tuyaone
@Jal210
@Jal210 5 месяцев назад
@@kassim1262 vipi mimi nikuoneshe wewe huoni ?
@saidnassormohammed9589
@saidnassormohammed9589 Год назад
Tunalijua hilo km ndio tulionzisha mabadiliko
@yyyyyy4144
@yyyyyy4144 Год назад
sema ukweli vijana wa.kuzanzibar washazoea.maisha ya vijiweni maskani kazi hawataki kazi zote huko zanzibar wanafanya.wabara vijana wa.kizanzibar wao ni siasa tu hakuna mwanasiasa atakupa maisha zaidi.kujituma mwenyewe
@AbasMchemba
@AbasMchemba Год назад
Nyie wbara ndio cheep laber kazi ya kuchimba mashimo ya choo mitter mbili mnachimba kwa elfu thalathini wakati bei yake ni laki tatu sisi wazanzibar elfu thalasini hatuchimbi ata mkituwekea bunduki ya shingo sisi waarabu bwana
@suleimanbadru819
@suleimanbadru819 Год назад
Wazanzibari hawawezi kazi za kitWana
@kassim1262
@kassim1262 Год назад
Tatizo lenu watanganyika bado hamja shtuka mkitajiwa nano elfu kumi tu bc upo tayari kumuua mwenzako lakin elfu kumi usiikose ss vijana wznzbar htuko ivo ndio maana nyinyi munaletwa znzbr kazi yaelfu 20,munafanyishwa kwaelfu 7 wtu wanachukua pesa kupitia migongo yenu wajinga nyinyi iv kama hatutaki kazi dada zenu wanalishwa nanani huku znzbr nyinyi mushajitolea kua punda acheni ulimbukeni washamba nyinyi
@HamidaHamad-rj5wq
@HamidaHamad-rj5wq Год назад
Siasa bwana
@abhamidtz9320
@abhamidtz9320 2 месяца назад
Rajb acha upuuz huyo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Hamna hata watu wengi ni kutaka ruzuku tu
@w4058
@w4058 Год назад
Wewe margareth wacha kujicho cha nzi hasidi mmoja kwani ruzuku unatowa wewe peke yako usiwape badi looo roho mbaya tu
@thanimosi8906
@thanimosi8906 Год назад
Jussa tatzo lako huna mke ndo mana kla siku unaongea udaku tuambie mwaka wewe ulosema ccm imetoa Rais bora na alofanya mema yakakufuraisha ww na wafuasi wako Dr Hussein Mwinyi amekukamateni ndipo hamna la kuja kusema 2025 ndo mana mmeanza kubeza Miradi ya Serikali
@draaonline7923
@draaonline7923 Год назад
Weye mwenye mke tuambie CCM mwaka gani walifanya vizuri
@AbasMchemba
@AbasMchemba Год назад
Bi mkubwa wako si Yuko free saiv bass mcomves jamaa nae Yuko free uto!!!
@salahaljahury2907
@salahaljahury2907 Год назад
Nyie ccm tatizo ni mashoga hatutaki muungano mbwa nyie
@kassim1262
@kassim1262 Год назад
Kinachofanyika ktk nchi co pongezi kwachama bali niwajibu wakiongozi kufanya kwasababu wananchi tunalipia kodi hakuna ccm anaetoa pesa zake kujenga miradi tatizo lako hujajitambua ndio maana unahic ccm ndio wanaojenga miradi, ccm wamejenga maduka yadarajani souk mali yao ipongeze ccm lakin sio miradi yakodi zetu hatuwezi kuipongeza ccm pimbi we...
@kassim1262
@kassim1262 5 месяцев назад
Kuuwa nakuiba kura kila baada yamiaka mitano ndio ubora 😅😅😅vp ww mwenye mke mkewakoo hajamboo
@Jal210
@Jal210 Год назад
Acha kutapika upuuzi
@thedon8467
@thedon8467 Год назад
Acha ufala
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Huko ndio kwenu sasa tambeni ila sio Kwa Zanzibar
@saheedali7467
@saheedali7467 Год назад
Kwani nini maana ya zanzibar ndugu yangu?
@saheedali7467
@saheedali7467 Год назад
Hapo paitwa pemba na huko kwenu kwaitwa unguja babu weye kama hujasoma
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@saheedali7467 Zamani kulikuwa kuna chama kinaitwa ZPPP unajua maana yake hiyo?
@salyali7807
@salyali7807 Год назад
Musipate tabu kumjibu Rajab..sio mzanzibari kwahivyo hajui nini zanzibar kaletwa hapa znz anapewa njugu kwake ni kitu kikubwa
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
​@@salyali7807 😂😂
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Tupo Wapemba twakusikiliza Ammy na mipasho yako ,maana wewe ndio uliochaguliwa maalum kwa kupasha watu,coz hauna cha kuzungumza watu wakakuelewa ,maana kila kitu unapinga
@salmasalim6055
@salmasalim6055 Год назад
Kakojowe ukalale wewe wacha upuuzi wako nyoooo😏utakufa na chuki zako loool
@jambo3751
@jambo3751 Год назад
Kwahiyo report ya CAG ni mipasho! Kweli wewe jina lako ni MSINZIA . Endelea kusinzia kifikra .
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@jambo3751Ripoti ya mkaguzi wa serikali kama sio Hussein Mwinyi kuanzisha utaratibu wa kusomwa live angepata wapi hoja?kwanz anatakiwa ampongeze Mr President kwa kuleta utaratibu huu wa utawala bora,maana huko nyuma hata huyo Mkaguzi wa Serikali alikuwa hajulikani..Mtu mzima mwanamme ana mipasho utafikiri mtoto wa kike
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Год назад
​@rajab msinzia ,Leo munaweka wazi kwasabab watu washakuwa macho,na uzur zaid hayo munayizungumza sio yte kama yapo kwenye uhalisia na ubaya zaid hata ukimuona Mtu anaweka uchafu hadhanaran ujuwe hana pakikimbilia ndio maana anaweka wazi hizo report
@jambo3751
@jambo3751 Год назад
@@R10_Rajab Naona hujanijibu Nimekuuliza report ya CAG ni mipasho? Kwasababu Jusa ndio aliyoinukuu. Halafu unasema ashukuriwe Rais kwa kuweka wazi report ya CAG! Kwanza hizo serikali zote zilizopita ziliongozwa na Chama gani? Pili Wewe fikra zako ni kuwa haki za wananchi katika nchi yao ni ihisani (favor) sio wajibu wa serikali?
Далее
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
Просмотров 59 тыс.
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 4,5 млн
MAJIBU YA DKT.MWINYI KWA ACT
26:50
Просмотров 9 тыс.