Тёмный
No video :(

Rais Ruto aagiza makundi mbalimbali kuteua wawakilishi kwenye mazungumzo ya kitaifa 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 111 тыс.
50% 1

Ofisi ya rais imeanzisha mpango wa kuhusisha vijana katika mazungumzo siku mbili baada ya Rais William Ruto kukataa kutia saini mswada wa fedha wa mwaka 2024 kuwa sheria. Barua kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei imewataka washikadau kutoka sekta mbalimbali kuwasilisha majina ya wawakilishi katika kamati itakayobuniwa ya kutatua maswala yaliyoibuliwa na vijana wakati wa maandamano ya kupinga mswada huo. Na kama vile Emily Chebet anavyoarifu, Rais William Ruto aliendeleza mikutano yake na viongozi wa kidini katika ikulu ya Nairobi, leo akikutana na maaskofu kutoka kanisa la (AIPCA).

Опубликовано:

 

20 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 962   
@lakeinrocks
@lakeinrocks Месяц назад
WE WILL STOP GOING TO CHURCH. WE CAN PRAY FOR OURSELVES
@Triplem233
@Triplem233 Месяц назад
Religions were created to control masses.
@petronillahosoro4828
@petronillahosoro4828 Месяц назад
This are hypocrites be warned
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov Месяц назад
Yesss
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
GenZ hawana waakilishi,unataka waakilishi ili uwahonge no way just speak na sisi tutakujibu kwa social media .tumesema hatukutaki sasa ,kazi yako kuharibu nchi kuhonga wabunge kupitisha hoja zako kwanini .
@rockyrocki-fo4sl
@rockyrocki-fo4sl Месяц назад
Kabisaaaa hakuna leader,they will be bought up asap
@Patoh254Somie
@Patoh254Somie Месяц назад
There must be leaders ngoja utaona ni nyinyi ni wachache hawakupata kakitu
@davisbett
@davisbett Месяц назад
True hao pia wataturuka atutaki viongozi ,kiongozi ni kila mtu
@chegepatrick2730
@chegepatrick2730 Месяц назад
Amewashika mateka
@shabankolia8204
@shabankolia8204 Месяц назад
Hatuna haja na kuongea na wewe sai is too late pls Mr zakayo ok
@MohamedNoormohamed-lc4rg
@MohamedNoormohamed-lc4rg Месяц назад
😊😊😊😊when he not flying he is lying
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Haha 😄 🤣 😂 umeona now he's lying
@aligedi2869
@aligedi2869 Месяц назад
😂😂😂😂
@Onguti
@Onguti Месяц назад
We are tribeless We are partyless We are leaderless 🇰🇪🇰🇪❤🇰🇪🇰🇪
@miltonmawewe5248
@miltonmawewe5248 Месяц назад
Simple📌
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Месяц назад
Thank you?
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 Месяц назад
Yes yes yes 🎉 viva
@MaryDavid-hw2zy
@MaryDavid-hw2zy Месяц назад
Exactly
@zionwatchman9389
@zionwatchman9389 Месяц назад
Powerful
@Mohalira
@Mohalira Месяц назад
Mnataka wawakilishi ndio muwateke nyara...na wenye mlichukua si mrudishe...shame on this government. Too bad wallah.
@michaelkauku9714
@michaelkauku9714 Месяц назад
Who will believe or trust Ruto surely? This man can very compromise even 1000 people. A true sweet talker
@elizabethmbula9388
@elizabethmbula9388 Месяц назад
Vasco danganya ni mwongo kuliko shetani
@Berly841
@Berly841 Месяц назад
Atawadanganya na 1k pekee akuna mazungumzo
@susannangurai3348
@susannangurai3348 Месяц назад
Why let kenya burn bcs of all these? Let him serve his term and leave...Kenyans will regret burning their country
@michaelkauku9714
@michaelkauku9714 Месяц назад
@@susannangurai3348 kenya was burnt economically long time ago by the so called leaders
@susannangurai3348
@susannangurai3348 Месяц назад
@@michaelkauku9714 well said my brother....it was burnt economically but sio vijana kukufa....pls aki let's just all calm down and wait for 2027 pls
@moscowjumah2089
@moscowjumah2089 Месяц назад
We don't trust pastors coz the hypocrisy in them its alarming
@whitneyngati4750
@whitneyngati4750 Месяц назад
After death fear pastors.
@Patoh254Somie
@Patoh254Somie Месяц назад
​@@whitneyngati4750 pastors there work is to maintain peace to both parties wenye walichoma ni criminals I agree sisi tuliandamana peacefully
@SupremeKimani
@SupremeKimani Месяц назад
Pastor nganga ako na sisi kwani umesahau
@dreadlocks_sisterlocksbahrain
@dreadlocks_sisterlocksbahrain Месяц назад
😢sio baba wetu we don't trust church chat hypocrisy and betrayal 😮😮 narcissistic behaviour
@user-kg9gy9pw3l
@user-kg9gy9pw3l Месяц назад
Pastors wako side ya Ruto juu wanapewa vibahasha every sunday
@jumangala4925
@jumangala4925 Месяц назад
Hatukubaliani na ww ata nukta moja💯💯cha msingi uende home ukalime juu hiezi kuendesha KENYA.
@philipchirchir7035
@philipchirchir7035 Месяц назад
Do what you want, president have offered himself for dialogue and if you don't want get your ass to street and see if you can get it.😂😂
@user-ul8xh7dk5p
@user-ul8xh7dk5p Месяц назад
​@@philipchirchir7035Acha umama
@user-zz9qw5iw8z
@user-zz9qw5iw8z Месяц назад
@@philipchirchir7035you’re a reckless idiot who doesn’t understand anything
@petronasken7504
@petronasken7504 Месяц назад
Now, repeat that without exposing your teeth and spitting murski everywhere. Take your nyani with you please!​@@philipchirchir7035
@DavidNyamongo-un1sc
@DavidNyamongo-un1sc Месяц назад
You are very stupid,arm yourself with voter's card and vote him out in 2027, other wise naona mama zenu wakiwazika sana
@nerryakanda3733
@nerryakanda3733 Месяц назад
Nonsense, too late . Let the compromised church meet him. He has no moral authority to continue leading having killed children. His voice nauseates.
@isaiahmuyekho6703
@isaiahmuyekho6703 Месяц назад
Can you lead
@ugenyapasi
@ugenyapasi Месяц назад
@@isaiahmuyekho6703keep quiet nonsense!!you sound stupid and dumb in one sentence
@samkaybeauty2862
@samkaybeauty2862 Месяц назад
​@@isaiahmuyekho6703 you can you lead 🚮
@agathawanjiku6919
@agathawanjiku6919 Месяц назад
Ruto has to go , no negotiations
@Afro-Funk-withFroKatai.-ld8ti
@Afro-Funk-withFroKatai.-ld8ti Месяц назад
Sis.. itabaki umezoea Ruto is our President. Ukienda Uganda utapata Museveni. Take your pick.
@lyfondiamond7273
@lyfondiamond7273 Месяц назад
​@@Afro-Funk-withFroKatai.-ld8tithen Wacha abaki na uinga wake state house na hao mapastor ,,let 2027 come
@susannangurai3348
@susannangurai3348 Месяц назад
Why let kenya burn bcs of nonsense
@susannangurai3348
@susannangurai3348 Месяц назад
Ilikuwa ni Finance bill...sasa amekubali kusikiza.....sasa ni Ruto must go? Hawa ni watu wanataka inchi ichomeke na hawa ni wakora na idlers...They need to be dealt with
@walteralulu8483
@walteralulu8483 Месяц назад
Na mbona aliua vijana githurai​@@susannangurai3348
@flavourboyke
@flavourboyke Месяц назад
Hawa ma bishop ndio wametuharibia kenya yetu wanapokea hongo
@vivianne_sati
@vivianne_sati Месяц назад
Wanafaa kusalimiwa pia
@Geowematv
@Geowematv Месяц назад
Vijana hawana kiongozi, labda tukutane mtandaoni.God help Kenya, peace, love & harmony, Kenya Moja si Kenya kwisha.
@davisbett
@davisbett Месяц назад
Hautaki kiongozi
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Kabisa
@PaulineMugure
@PaulineMugure Месяц назад
He has not taken responsibility for the killings. He has not mentioned the Githurai massacre by police. This man CANNOT BE TRUSTED!
@PeterAmollo-pk2lo
@PeterAmollo-pk2lo Месяц назад
Genz hatuna kiongozi🇰🇪🇰🇪 kama anataka tuongee atuite sisi wote kenya nzima kwa kiwanja na akae kati kati kila mtu ajiongelele😂😂😂
@BenardWanjala-cc2cu
@BenardWanjala-cc2cu Месяц назад
Nakuunga mkono
@beatricekarani7675
@beatricekarani7675 Месяц назад
Ruto must go Ruto must go
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Haina mjadala hilo limepita
@rosendunge4217
@rosendunge4217 Месяц назад
Ruto enda sugoi hatuna rais. Just go
@Freedomfighter-fizz
@Freedomfighter-fizz Месяц назад
He brings all those children he killed back to life kwanza ndio tuongee
@harrisonkimani9921
@harrisonkimani9921 Месяц назад
Church inakuja sai after gen z wamekufa...nkt
@DavidNyamongo-un1sc
@DavidNyamongo-un1sc Месяц назад
Kwani Gen z waliendewa makwao?walijitakia kifo,na bado
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 Месяц назад
Wakwende huko hao wafarisayo na wasadusayo, shikilieni hapo hapo mpaka zakayo aende Hague Kwa kuua watoto wetu
@sheilamwai7546
@sheilamwai7546 Месяц назад
​@@DavidNyamongo-un1scwewe ungenyamaza tu. Just sharrap!
@David200dee
@David200dee Месяц назад
Kwani hukuona nn kilifanyika Githurai 45,waliuliwa kwao usiku ​@@DavidNyamongo-un1sc
@obbiemikeke8763
@obbiemikeke8763 Месяц назад
Appoint yeyote tumumalize hatutaki ujinga
@johnabuyanyakundinyakundi
@johnabuyanyakundinyakundi Месяц назад
Viongozi ni wale walidedi
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Месяц назад
Good point. Aende awaamshe aongee nao
@lakeinrocks
@lakeinrocks Месяц назад
AONGE NA 56 MILLION KENYANS DIRECTLY. KILA MTU NI LEADER. AKITAKA KUTUHONGA SOTE SAWA. HE CAN START BY SELLING ALL HIS PROPERTIES ALIPE DENI YA KENYA. NEXT, ADISSOLVE PARLIAMENT NA ARESIGN. PERFECT BRIBE FOR ME
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 Месяц назад
Yes yes yes Aluta continua viva 💪
@zionwatchman9389
@zionwatchman9389 Месяц назад
You are a genius!
@samkaybeauty2862
@samkaybeauty2862 Месяц назад
💯💯
@isaacbulemi1382
@isaacbulemi1382 Месяц назад
Criminals tena!!! Kwani si wakenya? You must go.
@CalistoLucha
@CalistoLucha Месяц назад
Tuzungumze nn
@bernardowino8091
@bernardowino8091 Месяц назад
Hata izo kanisa tutagoma kuenda,hakuna hata mmoja wa hao ma Bishop wameenda kutembelea waathiriwa
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Месяц назад
True kabisa. They are quick to visit statehouse but can go to KNH
@bernardowino8091
@bernardowino8091 Месяц назад
@@erickjuma7643 tuwaweke kwa group moja na Mps halafu tutaenda kwa salimia one by one ,any body anaji associate na zakayo yenye ni adui
@samkaybeauty2862
@samkaybeauty2862 Месяц назад
For real 😮😮😢
@user-me5sv6ye8m
@user-me5sv6ye8m Месяц назад
Akih😢 so sad
@SEMSE-FELIX
@SEMSE-FELIX Месяц назад
Leaders ndio he bribe them
@vikahmotors
@vikahmotors Месяц назад
GEN-Z Hatuna kiongozi,hawa ma askofu waache ujinga
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Washapewa pesa
@clarekenyani4263
@clarekenyani4263 Месяц назад
Hatuna kiongozi sisi
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Месяц назад
😂😂😂😂😂nakupenda sana❤
@user-wl1gn9gq3s
@user-wl1gn9gq3s Месяц назад
Stop importing problems
@user-wl1gn9gq3s
@user-wl1gn9gq3s Месяц назад
Hao maskofu walafi hatuwataki
@user-wl1gn9gq3s
@user-wl1gn9gq3s Месяц назад
Ilepesa walikua wanapatiwa imeisha .no more money laundering in churches.
@kagamedimaria4787
@kagamedimaria4787 Месяц назад
Ruto must go
@abigelmombasa2323
@abigelmombasa2323 Месяц назад
Ruto Must Go Na Wote Walio Vote Yes Watoke Wote .They Must Go Home Na Hawa Mapostor Tuwanyoroshe Pia
@victorotieno65
@victorotieno65 Месяц назад
We shall give Zakayo the names of the heroes who were fallen on Tuesday abonge nao
@w.s.rchiefhustlernews5727
@w.s.rchiefhustlernews5727 Месяц назад
Ruto must go, we
@Afro-Funk-withFroKatai.-ld8ti
@Afro-Funk-withFroKatai.-ld8ti Месяц назад
You want him to go where. To your home?
@Victor62.
@Victor62. Месяц назад
He ain't going anywhere, ata 2027
@jeremiahotuto6250
@jeremiahotuto6250 Месяц назад
He is going nowhere. People with low reasoning capacity like you matter economics are the one shoutig ruto must go day in day out .
@Smith_Kenya
@Smith_Kenya Месяц назад
Leo nimeskia mtu akisema ati Ruto akiwa news heri stima ipotee😂
@EverlyneLiavuli
@EverlyneLiavuli Месяц назад
Ruto must goo
@danlabsofficial3722
@danlabsofficial3722 Месяц назад
To keep things transparent, I think the discussions should be aired live on the internet... Some of the youths who rejected the finance bill might not be economists or well versed with politics so it might be easy for the govt to tune them to their song
@SAUTI_YA_DHAHABU
@SAUTI_YA_DHAHABU Месяц назад
Sisi hatuna kiongozi 😊kila mtu ni kiongozi
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 Месяц назад
Yes yes yes 💪
@timothykiogora3372
@timothykiogora3372 Месяц назад
Hao wenye watachaguliwa si atawaua wote 😢😮
@shadracknyamwange7410
@shadracknyamwange7410 Месяц назад
Give him another chance maybe ame reform
@Haron-lk7bn
@Haron-lk7bn Месяц назад
We will never forget
@user-wl1gn9gq3s
@user-wl1gn9gq3s Месяц назад
We dont want this meeting at state house .lets do zoom meeting
@crescentomenda7626
@crescentomenda7626 Месяц назад
are you our leader...
@user-nr3yp6sk9k
@user-nr3yp6sk9k Месяц назад
Zakayo enda sugoi hatuna rais just goooo period
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 Месяц назад
Aende Hague
@kiganmoschinoo
@kiganmoschinoo Месяц назад
Ruto must goooooooooo😢
@MULLAMUSICWORLDWIDE
@MULLAMUSICWORLDWIDE Месяц назад
Do this religious leaders really know who Ruto is ?Do They ?
@24.179
@24.179 Месяц назад
He's even outlining agenda he wants to be discussed. This guy does not get it and wont get it. He is still overlooking the issues Gen Z has outlined including his resignation😂😂
@user-yq3hl1cp6b
@user-yq3hl1cp6b Месяц назад
Imagine😢
@alphonceokoth6381
@alphonceokoth6381 Месяц назад
Shenzi kabisa
@zionwatchman9389
@zionwatchman9389 Месяц назад
Point
@samkaybeauty2862
@samkaybeauty2862 Месяц назад
That's what I'm wondering. Yaani he just doesn't get it 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️
@chidebrutechs
@chidebrutechs Месяц назад
Ameagiza nani kama nani??? Hatuna viongozi kama vijana. Ruto must go home now.
@coinblock-rv1pm
@coinblock-rv1pm Месяц назад
This president ataacha kama tumefirisika.. adding loan interest every month through central bank....worst president ever,Ruto must go##
@Littlecrafties_
@Littlecrafties_ Месяц назад
We dont have leaders as gen z sawa????
@wafulak2
@wafulak2 Месяц назад
Before atafute watu na kuuwa please Gen z mtoe aende home please
@eunicejefwa1935
@eunicejefwa1935 Месяц назад
Ubaya akili yako na Gen z ni tofauti. Gen z wamekushinda ujanja kuwapata ni ngumu
@simonjuma6849
@simonjuma6849 Месяц назад
Kumbe Ruto hana adabu. He is supposed to be telling us how to compensate for the death caused by him
@SEMSE-FELIX
@SEMSE-FELIX Месяц назад
We will have leaders but now we don't want to talk to a liar .... Heartbreaking of all using church
@crescentomenda7626
@crescentomenda7626 Месяц назад
sameway mzungu alitumia church to colonize us
@user-yq3hl1cp6b
@user-yq3hl1cp6b Месяц назад
Then the Bishops call him their Bishop. People are sick
@clintonpools3595
@clintonpools3595 Месяц назад
Divede and rule strategy
@vicentepascal6758
@vicentepascal6758 Месяц назад
Huyu anajifanya ni kama haelewi chochote. Eti gen z wajipange wafanye mkutano na yeye. ? Hii ujuaji na kiburi ya ichungwa unatumia itamramba tena.
@msamsa1031
@msamsa1031 Месяц назад
Kiongozi wa gen Z ni MUNGU,
@zionwatchman9389
@zionwatchman9389 Месяц назад
Kiongozi wa GenZ ni MUNGU kweli bro..
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Na mungu ndio atatutapa nguvu
@samkaybeauty2862
@samkaybeauty2862 Месяц назад
AMEN 🙏🙏🙏
@mariaw8442
@mariaw8442 Месяц назад
Kweli kabisa
@cwezymusic
@cwezymusic Месяц назад
True ❤
@Rhodakananu-zo3bm
@Rhodakananu-zo3bm Месяц назад
Anataka kujua waakilishi wa Gen Z ndiyo aweze kuwaua shetani tunakujua, just resign and leave Kenyans with peace
@lydiah-3953
@lydiah-3953 Месяц назад
Hatuna viongozi Mungu ndie kiongozi wetu❤
@ArafatJuliusNyerere
@ArafatJuliusNyerere Месяц назад
Ujiuzuru mara Moja burukenge hiiii
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Месяц назад
Shida Ruto ni wewe kujiunga na marekani wazee wa ushoga ndio mana vijana wa kenya hawakuelewi.
@annewanjiru818
@annewanjiru818 Месяц назад
Kweli hawa GenZ wako na a leader kweli? 🤔? Again if anyone goes there I think they will be compromised
@joykhayega6974
@joykhayega6974 Месяц назад
Yea atawanunua
@MalikshotelsMalikshotels
@MalikshotelsMalikshotels Месяц назад
Hatutaki mazungumuzo MSHEZI ww RUTO MUST GO
@kagamedimaria4787
@kagamedimaria4787 Месяц назад
Ruto must go, period
@johncylasmwadime6372
@johncylasmwadime6372 Месяц назад
Viongozi wa vijana ndio wale uliuwa
@zionwatchman9389
@zionwatchman9389 Месяц назад
Tell him bro
@LizKuz-xk3hv
@LizKuz-xk3hv Месяц назад
Exactly
@suzanwang7654
@suzanwang7654 Месяц назад
Yes
@samkaybeauty2862
@samkaybeauty2862 Месяц назад
YES 😢😢
@salimbilali5174
@salimbilali5174 Месяц назад
Kwani kenya iko na wakristo pekee.....tutakuja sote hatuna kiongozi pika mahamri kwa wingi na rooms za wageni
@GladMbori-pf3cx
@GladMbori-pf3cx Месяц назад
😂😂😅Aki kuwa stressed Kenya ni kupenda kwako .
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov Месяц назад
Upuzi Hatuna leader
@NjoleZuma-ue9yo
@NjoleZuma-ue9yo Месяц назад
Hatuna kiongozi. Gen z si chama cha kisiasa. Hatuna ukabila lugha yetu ni mbili tu. Kiswahili na Kiingereza
@salomemuimi5156
@salomemuimi5156 Месяц назад
Akitaka kuzungumza na Gen Z awaite wote state house, vijana over 2 million wakuje
@crescentomenda7626
@crescentomenda7626 Месяц назад
plus wale aliua tubebe miili yao..
@kopiyokratos6759
@kopiyokratos6759 Месяц назад
Vijana ni over 20million, hatuezi tosha anywhere maybe tuende huku kwa shetani
@RobinOyie
@RobinOyie Месяц назад
Kazi ya mjengo ndio unasema
@ElizabethNafunamakhanu
@ElizabethNafunamakhanu Месяц назад
Hapo hapana
@SteephenNyangau
@SteephenNyangau Месяц назад
Hoja Ruto must go
@briankwala7923
@briankwala7923 Месяц назад
Huyu. zakoyo huwa hasikii maneno, tuondolee uwongo hapa
@FelixOkanga
@FelixOkanga Месяц назад
Hatutaki mazungumzo na ruto no way!
@gordonobala4999
@gordonobala4999 Месяц назад
Yani Rais anabehave nikama alichaguliwa bila plan yoyote, hii mazungumuzo mingi niyanini na alikua na manifesto ya Chama,
@kenixomwoyo6356
@kenixomwoyo6356 Месяц назад
We don't have such plans to meet up with the president we are leadless we are united
@ControllerAfrica
@ControllerAfrica Месяц назад
First to view. Citizen mnipee kazi
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Hongera 😅
@whitneyngati4750
@whitneyngati4750 Месяц назад
😂🤣😂🤣
@ahmedfeleb4877
@ahmedfeleb4877 Месяц назад
labda ya mjengo 😂😂
@mcakeiymuriithi3342
@mcakeiymuriithi3342 Месяц назад
Ruto must goo...period
@SSk5k
@SSk5k Месяц назад
The only latter we want see is Ruto's and gachagua"s resignation latters
@john-m2z
@john-m2z Месяц назад
No hope,on this one
@susannangurai3348
@susannangurai3348 Месяц назад
Jiongelele....some of us have Hope in him
@prosperjuma4993
@prosperjuma4993 Месяц назад
Kuma la mamaako changudoa mkubwa ww ​@@susannangurai3348
@franciskimani9950
@franciskimani9950 Месяц назад
Tutaketi chini kwa maobolezi ya waliouawa...tupatane uko pls
@directorme6669
@directorme6669 Месяц назад
Hivi ndivyo wataingizwa box.
@babuuosama8752
@babuuosama8752 Месяц назад
Gen Z's you step in state house NO different to Mpigs 2 million zakayo bribes. Gen Z's remember sons and daughters of mau mau Mungiki there mission was about lands but mzee moi invited them to state house and after cheating them used them and you all know what happened to mungiki . Same to Gen Z's you go to state house ends of Gen Z's used.and DUMPED.
@georgesagwe6703
@georgesagwe6703 Месяц назад
These men of the church must stop going to state house and calling the president their Bishop..Let them pray for the government and stick yo their mandate
@user-yq3hl1cp6b
@user-yq3hl1cp6b Месяц назад
Imagine. That he is their Bishop. Disgusting
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Месяц назад
Huyu aende tu una ukabila Sana kwani ikulu ni ya wakristo tu🤔
@Afro-Funk-withFroKatai.-ld8ti
@Afro-Funk-withFroKatai.-ld8ti Месяц назад
Kwani Wakristo si Wakenya?
@carrasco416
@carrasco416 Месяц назад
​@@Afro-Funk-withFroKatai.-ld8ti aite Gen Zs hivo pia
@chanceobondo3843
@chanceobondo3843 Месяц назад
Hapana, kama watu hawangetokea na kukufa then you wouldn't have done this. This is unexceptable. We have no leaders
@Kingchima_h
@Kingchima_h Месяц назад
Once a ruler becomes religious, it becomes impossible for you to debate him. Once someone rules in the name of religion, your life becomes hell. Before that start with: -Dropping SHIF and reinstate NHIF -Drop land amendment Act -Stop parenting kenyans by talks from church elders, be a leader. -Give us the audit of the kenyan debt.
@isaacmaskati392
@isaacmaskati392 Месяц назад
He is still calling innocent Kenyan criminal
@crescentomenda7626
@crescentomenda7626 Месяц назад
huyu hatujui...everytime he speaks nachemka mbaya..
@samkaybeauty2862
@samkaybeauty2862 Месяц назад
​@@crescentomenda7626me too 😡😡
@IvonneQueen
@IvonneQueen Месяц назад
Roto must go 😢😢😢 hatutaki mamba yako tena
@WorldStagee
@WorldStagee Месяц назад
Can someone help me stop seeing ruto as a criminal. 😢😢. When I see him, I just see the blood of hundreds who left us in demos and in the past.😢😢. This man!!😭
@TrezLewis-hv2eu
@TrezLewis-hv2eu Месяц назад
With all due respect KUMAMAKO Mr president hatuna leadership
@justinebosire9804
@justinebosire9804 Месяц назад
wee wacha...no kuongozi..hapa waende wapewe peza waepe .hii n kenya mzima..
@lakeinrocks
@lakeinrocks Месяц назад
Hao viongozi wa dini are the same people that keep receiving briefcases of money. Kenyans, why do we still pay these people sadaka?? Boycott them and pray for yourself. Mungu anasikia believe me.
@uniquevicky2284
@uniquevicky2284 Месяц назад
We can't listen to a father who called us criminals
@franciskienji2691
@franciskienji2691 Месяц назад
Point of collection Gen Z hawana kiongozi president akuje kila County atuongereshe lakini huwez sema ati Uite huyu na huyu hiyo zii
@napleieunice
@napleieunice Месяц назад
NHIF plzz pesa yake itaenda wapi??
@joykhayega6974
@joykhayega6974 Месяц назад
My question too
@estherkabiru6457
@estherkabiru6457 Месяц назад
Me too asking??
@napleieunice
@napleieunice Месяц назад
@@joykhayega6974 as thus is supposed to be in the list
@kakoxspgnewton
@kakoxspgnewton Месяц назад
Gen Z don't have a leader
@aomealaome4933
@aomealaome4933 Месяц назад
Rutax must go ..Kenya hatuna president
@SymonMwangi-j3x
@SymonMwangi-j3x Месяц назад
Ruto must go that is my slogan
@user-yo8st5ms1r
@user-yo8st5ms1r Месяц назад
Baada ya kuuwa watu mia tano? Damu imekutosha? Gen Z haina viongozi. Simply do what is right and Kenya will be safe. Bado unajitetea hapa? Mdomo mdomo. Maaskofu mkicheza tutawasalimia. Nyinyi ndio mlikula pesa za ruto za campaign.
@godblessyoumheshikieru6503
@godblessyoumheshikieru6503 Месяц назад
Gen z haina wakubwa...hawaite uhuru Park ama nyayo stadium
@Toptraderke
@Toptraderke Месяц назад
We are leaderless that's the beauty of it,it's a unified effort
@HISEXCELLENCEFAMILY
@HISEXCELLENCEFAMILY Месяц назад
Speak to Kenyans we don't have leaders
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 Месяц назад
😅😅😅😅😅utatia akili tu
@sheemainah2989
@sheemainah2989 Месяц назад
Baada ya kuua sasa unakimbia kanisani. Shetani!!!! EVIL
@crescentomenda7626
@crescentomenda7626 Месяц назад
we all know even the devil goes in the presence of the Most High
Далее
Gavana Kawira Mwangaza abanduliwa
5:53
Просмотров 4,8 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 464 тыс.
Wabunge waomba msamaha kwa kupitisha mswada wa fedha
3:05