Тёмный
No video :(

RAIS SAMIA AMTOLEA MFANO MKUU WA WILAYA ALIYEFANYA UBABE "BADO KUNA WAKUU WA MIKOA WANAENDELEZA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 2 месяца назад
Nyie ccm ndo mnaharibu nchi..watu wanakua wababe kwasababu anakua mbabe akijua hajachafguliwa na wananchi Wala mwananchi Hana pakumpeleka
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 2 месяца назад
Kwa hiyo mama unataka mahakama ikiharibu mkuu wa mkoa asinyooshe mfano tumeona wizara ya ardhi ilivyoharibiwa na mahakama matokeo yake kukawa na zuluma za wanyonge, na uko Arusha tumeona kishindo cha makonda kilivyosaidia na hivyo mimi kama mpiga kura tunahitaji wakuu wa mikoa wa kutetea haki za wanyonge
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 2 месяца назад
Mbona huyu mwanamke haongeleagi ushoga amepewa Nini huyu mama mpaka anaogopa kupinga ushoga na usagaji
@atutweve4160
@atutweve4160 2 месяца назад
USHOGA UTAMSAIDIA NINI? AMECHAGULIWA NA MASHOGA? 😂😂😂😂😂
@Kabwela776
@Kabwela776 2 месяца назад
Mpuuzi kweli wewe mashoga si waliamua wao wenyewe mtu mzima anaamua kutoa mkubwa kwa starehe zake wew inauma Nini kuna mambo ya maana kuongelea kuliko ushoga Na usagaji , Na ushoga ulikuwepo tokea dunia inaumbwa kama umalaya Na Tanzania ushoga ungekuwepo toka enzi za Tanganyika sio Jambo jipya
@Kabwela776
@Kabwela776 2 месяца назад
@@atutweve4160mpumbavu huyo kuna mambo ya maana ya kuongelea sio ushoga Na usagaji
@kazikazini1042
@kazikazini1042 2 месяца назад
Kuongelea ni kuupa nguvu yaani promo
@fifo262
@fifo262 2 месяца назад
Ushoga unamuhusu nini ? Kwani ww mtumzima hujui km kumpa mtu kiuno ni mazara yako binafsi km ilivo sigara sasa mama aseme nini apo kingine 😂
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 месяца назад
Hii nchi anatakiwa apewe makonda awanyooshe manyanga,u mama ana wambembeleza sana
@theempire4058
@theempire4058 2 месяца назад
Kabisa
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 Месяц назад
atapewa sum afe akiendesha kimababe hawato kupenda wote
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 2 месяца назад
Inaonyesha jinsi serikali yako ilivyo na viongozi wenye kiburi kwenye seminar za uongozi awataki kwenda kwenye mafunzo ya uongozi bora wote ni vilaza
@salcle9702
@salcle9702 2 месяца назад
Tatizo yule alikuwa amevurugwa na mke wake 😂😂😂mama unakazi kwelikweli
@katyalengajua6716
@katyalengajua6716 2 месяца назад
Mam yangu mungu akutie nguvu katika kutusimamia wanao 🎉🎉❤❤ tunakupenda ole wake mtu aguse hii kometi nataka aguse yeye mwenyewe
@travellahmsafirihiphop5325
@travellahmsafirihiphop5325 2 месяца назад
Umeongea vizuri
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 2 месяца назад
Uzuri upi? Wewe ndo members!
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 месяца назад
🤔🤔🤔🤔sawa sawa ila kwa wale majitu walioshiba na hawana nidhamu kwenye maeneo yao basi wanatakiwa kuwajibishwa kama viongozi wetu hasa wa mikoa na wilaya watachekelea uzembe, rushwa n.k basi tutavuna vitu viovu sana Tanzania na pia kama mahakama zetu hazitendi haki basi naamini wakuu wa mikoa na wilaya wanapaswa kukemea tena kwa ukali mno maana sidhani Tanzania itakuwa salama namna hiyo
@ridhwanally3119
@ridhwanally3119 2 месяца назад
Wa kwanza mm kucoment nipen like zangu
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Месяц назад
Ukitaka tusikusahau maisha mwetu jiuzuru
@HamisiAbdallah-vu7fz
@HamisiAbdallah-vu7fz 2 месяца назад
mheshimiwa raisi unawachekea sana umekuwa Mpore sana ndio maana wanafanya wanayotaka
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 2 месяца назад
Hii ishu yalujiuza imeenda mbali zaidi. Nyumba zakulala wageni zimegeuzwa madangulo. Nchi yetu sasa inapokea wageni kutoka nje. Wacha jiji lisafishwe
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 2 месяца назад
Asantee mama mungu akubalik 🙏🙏🙏
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 месяца назад
Mama hii nchi huiwezi!aliye ipatia ameshaaga!
@theempire4058
@theempire4058 2 месяца назад
Wapo wawili waliobakia yupo makonda na silaa
@DoroPot-iv5hy
@DoroPot-iv5hy 2 месяца назад
Mama angalia huyu wa ubungo na kamata kamata yake wanaojiuzaa ....wawape elimu sio kuwafunga
@magigesabai8674
@magigesabai8674 2 месяца назад
acheni kutetea ujinga kwan amewapiga, wewe unaona ni sawa kujiuza ?fikiria mtoto wako anajiuza ? basi kama ni hivyo hata mwizi asikamatwe ? wa,madawa ya kulevya wasikamatwe unafikiri hao watu hawana elimu na uku wengi wao ni wasomi
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 2 месяца назад
Yupo sahihi we unaona huo uchafu ni kitu kzr ktk jamii? Wapigwe ndani wasituharibie watoto wetu
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 2 месяца назад
RAIS WETU KIPENZI , MSTAARABU, UNAJUA KUELIMISHA, KUELEKEZA NA KUFUNDISHA TENA KIBINADAM MUNGU AKULINDE UENDELEE KUA MKUU WETU WA NCHI
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 2 месяца назад
Mstaarabu kwa kilipi kuwafukuza wamasai kwenye ardhi Yao..kuwabomolea watu bila fidia au kukopa mahela huko bila kupeleka BUNGENI
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Месяц назад
Huyu mama hamna kitu hataki mtu anayekemea wiz
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb Месяц назад
Walinzi wa rais wameanza kunenepeana ,inaonyesha wanakula sana chips
@user-xq6rg2pb1x
@user-xq6rg2pb1x 2 месяца назад
2025 miaka 5 tena kwako kuna mambo ya msingi ya kushughulikia sio ujingaujinga
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 2 месяца назад
Tatizo ni jinsi mnavyowachagua hao mnaowaita wakuu wa wilaya na mikoa. Wengine walikuwa ni vibaka sugu, wengine walikuwa ni wavuta bangi , ila kwakuwa mnachaguana kwa kujuana ndio matokeo hayo. Wengine wanajiaminisha kwakuwa wanajua hata wewe uliyewateuwa unawaogopa ndio maana umewateua pamoja na kuyajua maovu yao.Na wanajigamba hadharani kuwa ni watoto wako . Kazi iendelee.
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 2 месяца назад
Mh Rais Kuna mkuu wilaya ya Arusha naomba mchunguze! Simtaji jina hapa..
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 месяца назад
Kwa aibu umesahau hata cheo chake
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 месяца назад
Ni mimi nitaje nikuchinje
@petroisamba8226
@petroisamba8226 2 месяца назад
Mwambie makonda anamuweza
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 2 месяца назад
Tatzo mama unawachekea sana tumia ule ubabe wa magu la sivyo raia wako watazidi kuichukia sana ardhi yao watu wanafanya mambo yao hawajali maslah ya nchi mama hukemei hlo 😢😢😢Doooh RIP magu daaaah 😢😢😢
@JaneSisili-uj9co
@JaneSisili-uj9co 2 месяца назад
Can safi
@dominickchristopher1669
@dominickchristopher1669 2 месяца назад
Ila mama tunaomba makonda umuache apige spuna
@nequiceace
@nequiceace 2 месяца назад
Nice
@GbpAud_King
@GbpAud_King 2 месяца назад
Kuna mkuu wa wilaya Ubungo amekamata malaya achunguzwee😂
@ngwashgold5459
@ngwashgold5459 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 fala
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 месяца назад
Kweli anasifa za kijinga ana kazi za kufanya
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 2 месяца назад
@GbpAucd_King..malaya yako alichotwa
@VictorLyimo-so9xr
@VictorLyimo-so9xr 2 месяца назад
Amekosa la kufanya
@VictorLyimo-so9xr
@VictorLyimo-so9xr 2 месяца назад
Ameshalogwa
@petroyohana1126
@petroyohana1126 2 месяца назад
Sabaya
@shabaniathumani1789
@shabaniathumani1789 2 месяца назад
Mama mtetezi wa Waze mbe
@fifo262
@fifo262 2 месяца назад
Piga kazi tunakuelewa mama
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 месяца назад
Ok
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc 2 месяца назад
Bila katiba mpya sawa nabule tumeshudia tume nyingi ziundwa mwisho wake atuoni mfa magufuli Alituachia mahakama ya mafisadi wananchi tukashangilia mpaka saivi atujui kama hiyo mahakama inafanya kazi tungepata katiba mpya ingekuwa mwarubaini kwa viongozi wanaotumia madaraka vibaya tofauti na hapo sawa na kutwanga maji kwenye kinu
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 2 месяца назад
Mama upo sahihi uongozi siyo kudharirisha watu hiyo siyo sawa nibora mtu awe mlevi wa pombe kuliko kuwa mlevi wa madaraka.wanaonyanyasa niwatu wako wanaonyanyaswa niwatu wako pia
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 месяца назад
Simuelewi.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 месяца назад
Mama hii nchii huiwezi kabisa nilimpa kura magufuri lakini wewe sikupi umefeli kwa Kila kitu
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 2 месяца назад
Kwisha kazi
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 месяца назад
Unachukua jiwe unaliweka sehem linakukera nn?nchi hii haina viongozi ni mawe tu lihamishie sehem nyingine amua tu anawateuwa mwenyewe vyovyote mtavoamua tutaishi tu kwa neema ta MUNGU
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 месяца назад
Mhuu
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 2 месяца назад
Si unawateua wewe
@masanjamasunga6667
@masanjamasunga6667 2 месяца назад
Umeongea point mkuu was inch
@lucymtui8680
@lucymtui8680 2 месяца назад
Mmmh wawapi huyooo??
@JaneSisili-uj9co
@JaneSisili-uj9co 2 месяца назад
Said ccm
@athumanimawela3021
@athumanimawela3021 2 месяца назад
Pinga ushoga
@DanielleMendel-tt2ik
@DanielleMendel-tt2ik 2 месяца назад
Viewer wa 30
@RajabuLanda
@RajabuLanda 2 месяца назад
Hiro ripi munayutexa
@revocatusvedastus8893
@revocatusvedastus8893 2 месяца назад
makonda je
@theempire4058
@theempire4058 2 месяца назад
Makonda ni rais ajaye hii nchi haiitaji upole
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 2 месяца назад
Unamwagikaaa etiiiiii tanzania da na ccm kufa kuzikana nchi hii weee mama ipelekeee unavotakaaaa na hakuna mtanzania atayekuafanya chochoteeee we tuuuze tuuuze mama ushogaas naona unapambana nao vyema piga kaz mama watz wamelala usingiz trump alisemaaa waafrica inatakiwa watawaliwee upyaaa we tawalaaa mama unavotakaaa
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 2 месяца назад
Mimama mingine bwana
@magigesabai8674
@magigesabai8674 2 месяца назад
Rais wetu anania nzuri ya utawala wa sheria lkn amezungukwa na watu wanaopenda siasa za majukwaa kwa kutafuta sifa ndo maana utatashangaa kiongoz anashitukiza eneo flan akiwa na media sasa hio ni gafla au planned viongoz watumie karama na sio kila kitu kumdharilisha kwenye media nampenda Rais anavyotoa maonyo na namna anavyochukua mamz huo ndo utawala wa sheria
@eliasmpagama7082
@eliasmpagama7082 2 месяца назад
Tuta.mkumbuka.maguful
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 месяца назад
Nonsense
Далее
Whoa
01:00
Просмотров 24 млн
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 1,4 млн
Standout lines from 2024 DNC speeches
17:36
Просмотров 295 тыс.
Whoa
01:00
Просмотров 24 млн