Тёмный

RAIS SAMIA AVUNJA UKIMYA SAKATA LA MAANDAMANO YA MBOWE NA WENZAKE"MAANDAMANO TUKAPIGANE SIYO SERA 

Uhondo TV
Подписаться 603 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@duniakidogo8516
@duniakidogo8516 Час назад
Maandamano si Fujo na wala wasipandize fujo kutafuta sababu ya kupeleka askari mtaani kutisha wananchi
@pastorybahinyuye4876
@pastorybahinyuye4876 Час назад
Maendeleo bila haki ni utesaji wa watanzania kuuzwa Kwa raslimali za Nchi ni Utumwa kutozuwia rushwa na uzembe wa huduma za Afya uzembe wa wahudim na ghalama za matibabu yasiyo endana na huduma zinazotolewa na taasisi za Umma
@Jameskakola
@Jameskakola 39 минут назад
.mh. raisi tunakupenda sana . watu wa .kakola ya kahama kwa kazi zako. Uko vizur mnooo tunakukalibisha .. sana
@AlfaSaa-j4h
@AlfaSaa-j4h 2 часа назад
Kiongozi mzuri lakini chura hasikii sijui atasikia utekaji balaaa kubwab
@MbokaRechadi
@MbokaRechadi Час назад
Siasa Dada hapana sisi tumeamua kuwa na yesu kristo siasa zina chosha myoyo yetu kristo tumaini letu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Час назад
CCM juuuuu💪💪💪💪💪💪
@SadiRashidiusiki
@SadiRashidiusiki 50 минут назад
Tunakupenda mama yetu mlezi wa tz tunakuombea Kwa mungu
@MarwaMasurula
@MarwaMasurula 43 минуты назад
We fala ndo unqmuombea sio WA tz
@Gaynor1234
@Gaynor1234 45 минут назад
UMEHARIBU NCHI, UMEHARIBU NCHI YETU NZURI. LAANA INAKUFUATA SAMIA NA WATOTO WAKO.
@salamasaid9525
@salamasaid9525 15 минут назад
Nitakufata wewe kwanza kwani wewe ndio Mungu unotowa huku u, wewe una yko mangapi Nani kakupa laana, laanatullah nirudi kwako kwanza, mmezidi matusi kwa mama yetu, Mungu kama wadhfa hajautaka mwenyewe, kachaguliwa na muumba,
@AliciaKyai
@AliciaKyai Час назад
Uchaguzi huo utaufanya na chama Gani?
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Час назад
Sie letu moja la kukuomba mama tahadhari saan uhuru wa vyombo vya habari ni hatari kuliko unavofikiria
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 Час назад
Swea yenu ni kutekana hovyo sana huyu chura
@SaidiMiraji-lk3vm
@SaidiMiraji-lk3vm 18 минут назад
Mungu akusame, pia naona mngeua vyama vingi nafikili ingekua vizur tubaki na chama kimoja
@duniakidogo8516
@duniakidogo8516 Час назад
Rais anaanza kampemi ya ccm serikali za mitaa kabla ya wakati?
@dianaleo6067
@dianaleo6067 12 минут назад
umetuchengia wee mama wee... dah tulikupenda sana ila mungu akupende zaidi.
@IsayaKamomonga
@IsayaKamomonga Час назад
Jana septemba 23,2024 chadema waliandamana, kwa nini?!!! Itakuwa hawana kazi ya kufanya!!! One day yes!!!
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Час назад
Samia 💪💪💪💪💪💪
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 2 часа назад
Maandamano ni haki ya kikatiba ni zaidi ya sera, hata wewe hapo upo madarakani hakuna aliyekuchagua ni Kwa sababu ya katiba. Sasa nyie endeleleeni kufata katiba pale tu inapowapendelea ila inapowapendelea wengine mnatuma police, usalama wa taifa pengine hata jeshi mtakuja kuiingiza nchi katika vita.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Час назад
Tunza Pumzi yako.😊
@alexbujenja2750
@alexbujenja2750 21 минуту назад
Ukweli mchungu huu
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 Час назад
Huyu mjinga maandamano sio Sera yenu lakini nihaki ya mwananchi wewe kama hupendi ni wewe na wajinga wenzio ambao mnaona maandamano ni mabaya kwenu lakini nikujulishe ndio njia yetu sisi wananchi sio kwa matakwa yenu na ninja nyepesi kujua tunakerwa kwakiasi kikubwa kwakile ambacho kinatufanya tuandamane
@mvitaali8608
@mvitaali8608 16 минут назад
Wajinga wazee wako walokuleta dunian uje uendeleze chuki
@walid.a.kazuba5033
@walid.a.kazuba5033 Час назад
mama anaupiga mwingi....,😂😂😂😂
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 17 минут назад
Uje na kwimba hasa malya mama tunakupenda sana
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM 2 часа назад
Jenista ni waziri mkuu au Makamu wa Rais ajae
@MasanjaBahati
@MasanjaBahati Час назад
Mimi nafikiri hakuna haja ya kuwa na vyama vingi Tanzania
@DadiMohammed
@DadiMohammed 2 минуты назад
Wewe unaeona ameharibu tengeneza, uongozi huezi kumridhisha kila mtu, muungwana si maneno ni vitendo
@bernadetamushi
@bernadetamushi 32 минуты назад
Weka uhuru wa vyama vyingi kwanza. Na kupunguza mauaji
@bernadetamushi
@bernadetamushi 31 минуту назад
Hakuna maendeleo. Rudisha kwanza bandari
@mwadinijuma928
@mwadinijuma928 Час назад
Rasi Samia so uwaruhusu tunwa0izani wa adamane si uliziupo
@VenaEliki
@VenaEliki 54 минуты назад
Hatujawai kuiona serekali nyingine ngoja tuione nyingine
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 23 минуты назад
Wewe mpiga picha, onesha basi huo wingi wa watui! Wivu umekujaa, au wewe upande wa pili?
@ANGELUSLIJUJA
@ANGELUSLIJUJA 35 минут назад
MAMA PIGA KAZI WANADAMU AWANA SHUKRANI MAMA FANYA KAZI ATUTUKUBALI MTUYOYOTE AKUKATISHE TAMAA. RAISI WETU UPOVIZURI
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Час назад
Nyie andamaneno sie tunajenga nchi ,Asante sana mama
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Час назад
Churaaa wa ccm 😂😂😂 Mkundu wa churaaa utaijenga Tanzania weyeee churaaa kama ni hivyoo watu wasingekimbilia nchi za njee....🇿🇦🇿🇦🇿🇦👈
@eleneokaguo6867
@eleneokaguo6867 26 минут назад
Punguza ukali wa maneno huyu ni kiongozi mkuu wa nchi hata kama ana mapungufu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Час назад
CCM oyeee
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman 45 минут назад
Huna lolote chadema watakuondosha tu iko siku
@dianaleo6067
@dianaleo6067 7 минут назад
Wala hatukuchagui jipitishe mwenyewe .umetukera mno!!! Unatutishia bunduki na huku watz wenzetu wanatekwa na kuuwawa wewe unakimbilia songea kucheza bao 😂 wala hatukuchagui! Umeshafeli.😂
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f 30 минут назад
ASANTE MAMA YETU
@Ahmedseif-l5g
@Ahmedseif-l5g Час назад
huna lolote ccm hakuna binaadam wote niwanyama tu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Час назад
We msenge huna lolote CCM ndo mshika dola nye wasenge mkandamane manna hiyo Ndo sera yenu mbwa wewe
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Час назад
​@@halimamasai2234ikiwa ahmed seif ni msenge bac wewe halima masai ni msenge zaidi tena unamuhitaji pdiddy akupake mafuta.... 😂😂😂
@denisdamian1190
@denisdamian1190 25 минут назад
Dictator wa kikee dunian n Samia suluhuu hasan
@maligiretongora3333
@maligiretongora3333 2 часа назад
Haki ndilo tunda la amani.
@julianamichael1848
@julianamichael1848 2 часа назад
Mmmm
@bernadetamushi
@bernadetamushi 33 минуты назад
Tetea haki
@AliciaKyai
@AliciaKyai Час назад
Kwani we bibi unadhan unakaa na kiti hicho milele? Tambua walikuwepo wakoloni wakaondoka,akaja nyerere nae kaondoka,mwinyi nae kaondoka,mkapa,nae kaondoka,magufuri,nae kaondoka nawe uwezi kuishi milele tunakupa pole na hao wapiga makofi wasiojielewa
@suntasociety
@suntasociety 2 часа назад
Ila kuuwana, kutekana, na kupotezana NI utamaduni WETU?
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 52 минуты назад
Eeh? Kama nimesikia vile.. !
@bernadetamushi
@bernadetamushi 30 минут назад
Kweli madaraka matamu sana
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 Час назад
Hongera sana Mh. Rais. Umepambana sana ila unalazimika kufanya mbinu ya kushusha hela kwa wananchi ikiwezekana kwa kulipa madeni ya Wazabuni kuongeza mzunguko wa fedha. Mwenye njaa ukimwambia maendeleo ni sawa na kumpigia mbuzi jitaa
@AliciaKyai
@AliciaKyai Час назад
Hakuna nchi inayojengwa hapa ni porojo tu za ccm
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Час назад
Kama unataka amani na maendeleo hakikisha ccm haipati kura.hakuna namna nyingine
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph Час назад
PIGA KAZI mama Hata Yesu Alipingwa
@ShabaniMustafa-n8h
@ShabaniMustafa-n8h Час назад
Tutachagua chama tunachokitaka sisi wenyewe
@AliciaKyai
@AliciaKyai Час назад
Hivi watu kutekwa na kuuawa ndo sera ya chama chako Cha ccm?
@salumsimai642
@salumsimai642 46 минут назад
Kwani unadhani raisi si binaaadam kwamba anaweza kudhibiti Kila kitu hata ww ukipewa hiyo nafasi usikute yy atakua Bora kua na heshima basi
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 Час назад
🙏👍
@ChristinaFredkimathi
@ChristinaFredkimathi Час назад
Tupo pamoja kazi iendelee mama
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 40 минут назад
Fyuuuuu
@josephlorri431
@josephlorri431 Час назад
Jenista mambo kwenye afya, hasa bima ya afya..NHIF.. Wale ni wezi
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Час назад
Bi mkubwa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏🫡
@KundaMkama
@KundaMkama Час назад
Paka wa ccm
@salumsimai642
@salumsimai642 48 минут назад
Mbona kama ww inamaaana na ww ni paka?
@salumsimai642
@salumsimai642 48 минут назад
Acha matusi na mama yako atatukanwa ww kua muuungwana bas
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 2 часа назад
Mama mshukuru na baba
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Час назад
Hatutaki madamano tunataka maendeleo mama we chapa kazi wacha mafala wandamane CCM oyeee
Далее
skibidi toilet 77 (part 3)
04:51
Просмотров 13 млн
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Просмотров 8 тыс.