Тёмный

RAIS WA MALAWI ALIYEFARIKI TANGU 1994 'ANAISHI KISHUA'?/UMEME HAUJAWAHI KUKATIKA KABURINI KWAKE 

Dar24 Media
Подписаться 726 тыс.
Просмотров 205 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Kamuzubanda #Malawi #Nyasabigbullets

Опубликовано:

 

14 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@sultanamour8501
@sultanamour8501 Год назад
Tunaishi kwenye dunia ambayo wafu wanaishi katika majumba mazuri lakini maskini ya Mungu ambao ni wazima wanaishi katika vibanda vya nyasi
@alexchungu6263
@alexchungu6263 Год назад
Hao wanao ishi kwenye nyasi, kwanini na wao wasiishi kwenye nyumba nzuri
@neemanicholaus5468
@neemanicholaus5468 Год назад
Sio shida zao😄
@ErickChrispin
@ErickChrispin Год назад
Mtangazaji umefanya kazi nzuri sana, hongera mnoo
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 Год назад
Makala nzuri sana, mtangazaji umeitendea haki hii makala
@brandsmedia4861
@brandsmedia4861 Год назад
Safi sana, Mtangazaji umeweka maneno vyema
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 Год назад
Nic story you work had
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Год назад
Asante mtangazaji kuna baadhi ya viongozi wanajuwa waitaishi milele kwa aliyofanyia binaadam wenzie kuwauwa bila hati Mwenyeezi Mungu ndie anae juwa hukumu yake unajuwa ukiwatesa sana watu lazima wakuombee mabayaa au ufe yote kwa yote tunamshukuru Rais wetu hayat Mwl Julias Kambarage Nyerere kwa kuitetea nchi angekuwa mzembe Tanzania ingekuwa ndogo sana alipambana sana kila aliyekuwa anataka kuimega nchi
@amirikoshuma6022
@amirikoshuma6022 Год назад
Broo respect
@wilsonchishomi1083
@wilsonchishomi1083 Год назад
Africans yaani jitu limewatesa na kuwaua bado wanalijengea kaburi zuri.. waafrika macho yetu yafunguke
@mjukuuumachoz1599
@mjukuuumachoz1599 Год назад
Mtangazaji unajua mpk unajua Tena kongole brother 👊
@geofreyngole242
@geofreyngole242 Год назад
Kvkv
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Год назад
My boy😃😂😃
@aloysfussi3900
@aloysfussi3900 Год назад
Nice
@MosesMsomba-jp7zq
@MosesMsomba-jp7zq 2 месяца назад
Hongera xana boss
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 Год назад
Mimi nikiwa kijijini kwetu,miaka ya 1980 hadi miaka ya 1989 nilishuhudia watanzania wakitakiwa kua na kadi za ccm ili kupata huduma mbalimbali za kiserikali,na ilikua ni lazima uwe mwanachama wa ccm ili uhudumiwe vizuri,kwahio hata ubinafsi unaoendelea kwa watawala wa tz,ni matunda yaliostawishwa na ccm.
@dottoamos2902
@dottoamos2902 Год назад
Ilikuwa upinzani bado was vyama vya siasa kipindi inco
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 Год назад
Tanzania ilikuwa na Chama kimoja tu CCM so zamani ilikuwa kama sheria ni kama kuwa na kitambulisho Cha NIDA sasa
@dottoamos2902
@dottoamos2902 Год назад
@@lucasmhagama8166 kweli ilikuwa hamna upinzani kipindi incho
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 Год назад
Niko hapa ujerumani na nzi zipogo tu hasa summer season ..nashangaa eti kashangaa lugha yake mmmh unaanzaje
@g_forcemusician4242
@g_forcemusician4242 Год назад
Huyu alikuwa muhuni tu tena siyo m.malawi ni mu ghana.walipipigwa nyundo
@elwinluwe4631
@elwinluwe4631 Год назад
Mmalawi pure. Watu walikuwa wanazusha tu kwasababu aliishi sana nje na alisoma sana
@suntzu8959
@suntzu8959 Год назад
I have been at this place
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Haya yapo afrika tu huwezi kuta ulaya wanachezea pesa kujenga makaburi
@ulaweboy9826
@ulaweboy9826 Год назад
Uyo rais alikuwa mshenzi aliuwa watu Sana na pia alikufa bila mke
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Walimfanyia kitu mbaya Waingereza kwenye mfumo wake wa uzazi😂😂, maana alikua daktari hodari
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Alikuwa ni mchawi hatari
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Год назад
@@TM.Sullusi walimfanyaje 😂😂😂😂😂 walimfinya pumbu nini
@bintysele6999
@bintysele6999 Год назад
Atari babu alikimbia uwo utawala najua Tanzania 😭😭😭 nchi ya aman
@kassimmustapha456
@kassimmustapha456 Год назад
Kamuzu banda alikua ajui lugha yoyote ya Malawi ajua English tu ni wa kutoka Ghana kapewa zawadi na queen Elizabeth
@luckyngumbi4243
@luckyngumbi4243 Год назад
Huo mjengo ulipaswa kwahuku tz🇹🇿 ajengewe kipenzi magufuli
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 Год назад
Halafu iweje??? kabrii linajengwa kwa matendo mema na ucha mungu tu ayo mapambo hayasaidii chochote ndugu yangu.
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Ingekuwa ukiua mtu unaishi milele watawala wengi wasingekufa, yafaa nini kuuwa watu then nawe unakufa
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Napafahamu hapo.... Ila ukifa hakuna kuishi kishuwa Kufa ni kufa tu hata ujengewe kabuki la ghorofa 100 juu
@nyotaphina8167
@nyotaphina8167 Год назад
Kwa historia yake hakupaswa kupoteza vitu vya thamani kumjengea hivyo. Mmeviharibu bure vingetumika kwa watu waadilifu. Ni kama kupuliza perfume jalalalani ukitaka linukie.
@tumainirkyando8128
@tumainirkyando8128 Год назад
Kweli kabisa ! Shida hiyi IPO has a Afrika
@adam-saffi211
@adam-saffi211 Год назад
Same as Tanu party during Nyerere
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Год назад
Hatali sana aisee afrika watawala niwabinafs sana
@sefoadelino6684
@sefoadelino6684 Год назад
Masikini... Alikua mtana shati, lakini leo yuko chini uchafu huo huo
@salehaliy7198
@salehaliy7198 Год назад
Akachezewe vizuri huko aliko
@dottoamos2902
@dottoamos2902 Год назад
Naukubali Sana natamani namimi nije nione
@dottoamos2902
@dottoamos2902 Год назад
Ngoja nisablakilabu
@omarymakota8252
@omarymakota8252 Год назад
Somba Ni samaki kwa kwetu uku Zambia Ila hongera Sana somba
@khadijajacobo4660
@khadijajacobo4660 Год назад
Na kota ni zile nyumba za kupanga ndogo ndogo huku kwetu Tanzania 😂😂😂😂
@omarymakota8252
@omarymakota8252 Год назад
@@khadijajacobo4660 🤣🤣🤣 umenishinda
@faustinpesambili7085
@faustinpesambili7085 Год назад
Wamuyaya yaani wamilele
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Год назад
Hata kwetu Makete somba ni samaki tena zikitokea ziwa Nyasa na ni tamu kweli.
@omarymakota8252
@omarymakota8252 Год назад
@@dicksonkilupa2258 🤣🤣🤣 uwongoooo
@brightbautbright8028
@brightbautbright8028 Год назад
Safi sana
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Год назад
asante sana kaka kwa muda wako na kutuletea habari ambazo tulikuwa hatuzijui...Ubarikiwe sana..ila humu duniani kuna watu wengine wamekufa lkn bado wana enjoy maisha...very beatiful place..mm nilidhani kanisa...lkn sio mbaya ni kivutio kwa watalii pia...kaka nenda Zimbabwe utuletee taharifa za mugabe na mahali alipozikwa...maana hawa wote historia zao zinafanana... madaktari wa Queen waliominywa mmmh nani iiii... naogopa kusema
@bakalijongo5998
@bakalijongo5998 Год назад
😄
@kingschannelvoiceofjustice6255
Hiyo habari nzuri kweli.
@ramazonejohnson2831
@ramazonejohnson2831 Год назад
Maajabu haya
@maddybongo
@maddybongo Год назад
#Somba umetisha mwanangu kwenye hii simulizi. ukishawahi kumuhoji MH. JK kwake Msoga
@zainabmahmoud5501
@zainabmahmoud5501 Год назад
Ok ndoma na kwetu z'bar hii sera ya kama huna kadi ya chama tawala hupati kazi serekalini kumbe wamechukua malawi kwa huyu mjeda du!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
KARUME MNYASA.
@massoudalgerey6313
@massoudalgerey6313 Год назад
Hizi sera za Zanzibar zilitoka Malawi kwani karume alitokea Malawi ndio kwao
@aishamatangamatangamatanga1344
Daaah
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Pamoja na fahari zote lakini kaishia kuzimu
@silengombanga7817
@silengombanga7817 Год назад
Duuuuuuuuuh hii yenyewe na limekula gharama kubwa
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 Год назад
Haya tuone yario ya dunia🤳
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 Год назад
Sasa kwa ukatili huo aloufanya ,mbona wamemjengea kaburi lenye dhamani Sana?
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Год назад
Hata nami nimepatwa na mshangao baada ya kuliona kabur huenda wamemjengea mwenyewe alitaka afanyiwe hivyo au wameona wamjengee kwa kuikomboa nchi yao
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Ilitakiwa lipigwe bomu Ili kufuta historia, maana wapumbavu kama hawa ndio wamesababishwa waafrika tudharauliwe
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Год назад
@@heritier5119 yaani mtihani pesa ya serikali inatumika hapo kwa kulipa walinzi wanaomlinda marehemu SubhanAllah wapo wanachi wenye njaa wagonjwa na mitihan mbalimbali hakuna anaejali dunia hii inatuhadaa
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
@@user-fs7xc2bb5d ujinga wa muafrika SAsa nani ataiba mzoga
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 Год назад
Ndugu yangu wala usiuumize akili yako hii ni kawaida Yao watawala kupenda kupeana sifa nzuri nzuri tu hata kama alikua maaluuni kupita kiasi utawasikia kwenye misiba Yao oohhh sjui alikua mpenda haki sjui mchapa kazi mara muadilifu kumbe hkn kitu km hicho mafasiQ na uhabisii tu mwingi.
@tonymaster3619
@tonymaster3619 Год назад
Hatareeeeee huyo mzee
@rosemuniu1171
@rosemuniu1171 Год назад
Alikuwa wa mansion
@benedictmwambanga9544
@benedictmwambanga9544 Год назад
But nimesikia kuwa hajawai kuwa na mke !? Kama ume sikia kama Mimi nipe kongole 👍👍👍
@fahimbakari5104
@fahimbakari5104 Год назад
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun,Jamaa alikuwa aaswi kwelikweli
@sekedonelson4760
@sekedonelson4760 Год назад
Somba unajua sana, kazi ya kiwango hii..
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Huyo aliyetengeza kaburi ali haribu pesa za nchi maana hakuwa kiongozi mzuri
@bettympaka767
@bettympaka767 Год назад
All is vanity,hawezi amka ata kwa hizo garama zote
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Waliokuwa wanamlinda waliokuwa wajinga
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 Год назад
Wajanja kama wewe waliuliwa kama nguruwe kwa kukosa kumsikiliza
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Год назад
Alikuwa mchawi
@shidavis5029
@shidavis5029 Год назад
Huyo sio mtu wa kukumbukwa, hiyo kaburi inatakiwa kumbomolewa na kusahaulika.
@gilbertonindo1135
@gilbertonindo1135 Год назад
Sasa maana gani ya kua na iyo Mali yote na huna bibi, watoto ,kuumiza tu raiya wenzako weusi
@marrymenas
@marrymenas Год назад
Hee! Nimeogopa ulivoingiza huo mkono hapo kwenye nondo kutuonesha alipalala Simba wa Malawi. Mara ghafla usikie unavutwa kwa ndani, mamaaaaa...🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Pumbavu,tangazo
@mariamushemazunde4369
@mariamushemazunde4369 Год назад
Tufanye ibada
@saidmlemeta8083
@saidmlemeta8083 Год назад
Izo ndo tunataka hbr kama izi
@khadhiriramadhan5984
@khadhiriramadhan5984 Год назад
KAmuzu alijifanya mudhungu akasahau alipotoka
@malengamsombwa3115
@malengamsombwa3115 Год назад
Pamoja na ubabe na ukatili yuko chini ya udongo sasa, viongozi acheni ukatili maana sote tu wapitaji akuna mbabe mbele ya kifo
@daytonantwale8175
@daytonantwale8175 Год назад
Huyu mzee arikuwa katili sana alikuwa akija kwenye mikutano wananchi wote walitakiwa kukaa chini hakuna kusimama
@medardnhungwa685
@medardnhungwa685 Год назад
somba hiyo!
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 Год назад
Eti unaupiga mwingi😂😂 kwahiyo hizi ni kauli za watu machawa
@user-vi1hm1cg6u
@user-vi1hm1cg6u 4 месяца назад
Sasa hayo yote yanamasidia nn?kama hakuwa na matendo mama imekula kwakwe,harafu chakushaza wamemuwekea umeme juu ya kaburi vp khs ndani ya kabuli?wakristo bwana akili zao ni ndogo sana wanahisi kwakufanya hivyo labda ndio itamsaidia.
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Watu walio hai wanaushi kwenye vibanda marehemu wanamlaza sehemu nzuri ya kishua😏😏😏😏
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Madikteta wote walikuwa washirikina
@hamisihashimhusseinhussein6465
Nazl
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 Год назад
elimu mzuri
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Год назад
HUYU ANGETUPWA KAMA TUNAVYOTUPWA WENGINE HAKUFAA KUJENGEWA HIVI KABISA🤣🤣
@christinenthambi4028
@christinenthambi4028 Год назад
Kube c Kenya pekee Raise wa kwanza Jakawai zikwa ! From 1978 now 2022
@festongonyani152
@festongonyani152 Год назад
Lakini ndiyo keshakufa Yote hayo hayana Maana
@sharifarashid4463
@sharifarashid4463 Год назад
☝️❤️❤️♥️😂😂
@saidkanji9882
@saidkanji9882 Год назад
Matumizi mabaya ya. Fe
@mr.dbenchannel727
@mr.dbenchannel727 Год назад
Dah huyu mwamba alikua adiko yaan hajawai kung'oa demu
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Год назад
Alikuwa anagonga ila udikiteta ndo ulikuwa unamsumbua
@hamisihashimhusseinhussein6465
Nazarethmwandi
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Год назад
Saf Sana somba
@grande9657
@grande9657 Год назад
Hawa ndio watangazaji sasa
@kurwak.m3875
@kurwak.m3875 Год назад
Mbona Wamekosea miaka ya Kuzaliwa,,?
@josephlucas5798
@josephlucas5798 Год назад
Umenikosha mkuu mwaka 2014 nilitembelea hapa Hakika haujakosea
@yohanalundo5192
@yohanalundo5192 Год назад
Aise uliendaje huko
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 7 месяцев назад
Haha kaburi TU wanaxhea pesa
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Wengi wao wanakuwa ni wachawi thus wanaua watu
@yakobolusasu1821
@yakobolusasu1821 Год назад
Sasa huyu c alikuwa Malaya tu kashidwa kuwa na mke kisa umalaya wake
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Unaua binadamu wenzio kisha na wewe unakufa inasaidia nini, thus watawala wa kiafrica wapo kuzimu, Hakuna aliyeenda mbinguni hata mmoja, sababu wananuka damu za watu
@aash4145
@aash4145 Год назад
Yan kwakwel,,, tajir mfu anaish ktk jengo lakifahar,,,,, lililotumia garama kubwa, lakin maskin anaish ktk kibanda kilichoezekewa nyas,,,, nakimachovuja,,,
@sandinaadrian2837
@sandinaadrian2837 Год назад
Bado tu kufufuka mbona
@meyotamphirii9439
@meyotamphirii9439 Год назад
Yani mupaka leo tunamu kumbuka san
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Maisha ya duniani si zaidi ya kula na kunywa
@babianliza
@babianliza Год назад
Dunia ina mambo ndugu mabwenyenye hayo ndio yamekalipia nchi ziingine cha muhimu ni mungu tu
@vidmore2180
@vidmore2180 Год назад
I don't understand Swahili very well but I tried to Google translator for the comments to my surprise everyone is negative about him, that's very wrong. He was way better than you are thinking about him and so developmental than any of the president malawi has ever have
@ikwisamwakatobe4460
@ikwisamwakatobe4460 Год назад
una uhakika gani?
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Год назад
@@ikwisamwakatobe4460 atakua mwana familia huyu🤣🤣🤣
@yusuphalinani5432
@yusuphalinani5432 Год назад
Yote no ubatiri mtupu Yuko wapi sasa
@alisuleiman8110
@alisuleiman8110 Год назад
dictator huyo
@kushkabulika4074
@kushkabulika4074 Год назад
Huyu Ali kuwa sio malawi mbwa kabisa
@valentinochaffu1421
@valentinochaffu1421 Год назад
Hakuna nafsi ambayo Haitaonja Mauti
@grande9657
@grande9657 Год назад
Viongozi wa kiaafrika balaa tu
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Год назад
Mbona unaongea uku unakunja sura
@francisrobert9652
@francisrobert9652 Год назад
safi sana somba
@sadih5333
@sadih5333 Год назад
Tunavyo ona maraisi wa wenzetu na wa kwetu wanaonekana hivyo hivyo , tulikua tunakaa foleni ya unga wa muhogo nili tupwa lockup kwa kuonekana na sabuni moja ya Lux niliyo pewa zawadi.
@rashidikanyama7227
@rashidikanyama7227 Год назад
Dah pole
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Год назад
Kweli kabisa
@lirastanley390
@lirastanley390 Год назад
Kamuzu kafa mwaka gani unasema??1994???
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Год назад
Kasema 1997
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Mugabe, banda, savimbi, hawa ni waafrika wapumbavu walifanya mambo kama awajakwenda shule. Walitumia vibaya Sana elimu zao kuzibomoa nchi zao.
@sadih5333
@sadih5333 Год назад
Umesahau mmoja kikulacho
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 Год назад
Wewe acha kumuingiza Mugabe kwenye uozo wako huo
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
@@bazilkisibo5811 kipi cha maana alichofanya kwa elimu yake, zaidi ya kuubomoa uchumi wa nchi yake. Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya waafrika wote thus wao ni matajiri waafrika ni masikini.
@osssimohamed2483
@osssimohamed2483 Год назад
Siri ya Huko aliko aijua yeye mwenyewe. Adhabu za mungu ni kali zinatisha
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Yafaa nini SAsa hizo pesa si wangenunulia matreka tu
@hamisihashimhusseinhussein6465
Nazarethmwandi
Далее
Викторина от ПАПЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:56
Викторина от ПАПЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:56