Wale wote wenye nia ya kuikomboa nchi hii kutokana na umaskini, ujinga, ni wapumbavu na malofa. Wazazi waliokombolewa huzaa watoto waliokombolewa. Hii kauli inaumiza sana. Nachelea kuamini kwamba, kumbe ndio maana viongozi walio madarakani wanaamini hakuna mtu yeyote anayeweza kuiongoza nchi hii zaidi ya watoto wao. Mie pia naamini bado sijakombolewa katika umasikini na kwa maana hii mie ni mpumbavu na lofa! so painful.
Siasa ya namna gani kutukanana kwa mtu unayetakiwa kuheshimika!!!! Hii ni aibu kubwa. Kwa nchi za kidemokrasia huyu alitakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria.