Тёмный

RAMANI YA CHUMBA KIMOJA,SEBURE,JIKO NA CHOO FULL BAJETI MPAKA KUPAUWA 4,489,000 chakuanzia maisha 

Sanuka Media
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

#ujenzi #ramanizanyumba #ujenzinafuu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@GerardEzekiel-t1j
@GerardEzekiel-t1j 8 месяцев назад
Nimeipenda sana bosi, nipo Musoma acha nijipange uje unijengee
@mamapelyekelye9799
@mamapelyekelye9799 9 месяцев назад
Ramani nzuri Asante kwa uchambuzi
@JafarChaurembo
@JafarChaurembo 11 дней назад
@salha6596
@salha6596 11 месяцев назад
Kweli kabisa Kaka Asante Sana mwenyezi mungu andelee kukuongoza vyema nasi utuongoze
@JumaMakubi
@JumaMakubi 2 месяца назад
Nice evaluation
@EMANUELMUSHI-kk4df
@EMANUELMUSHI-kk4df 11 дней назад
Floor plan mkuu ipo wapi
@jafariabdillah8585
@jafariabdillah8585 9 месяцев назад
Shukran sana
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc 7 месяцев назад
Boss wangu nitakutafuta siku si nyingi tuombeane
@saumumunisi8013
@saumumunisi8013 3 месяца назад
Mi ntakutafuta dogo uko vizuri
@ZainabAyoub-hv1zo
@ZainabAyoub-hv1zo 9 месяцев назад
Kazi nzur
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 Месяц назад
Hiyo milioni 20 unanunua nyumba mpya
@halfankapilima4439
@halfankapilima4439 8 месяцев назад
Mlipuko wa bei wa vifaa vingi umeweka chini. Ila pia inategemea na mkoa unapoijengea na site ilipo upatikanaji wa material. Bado usafiri wa vifaa na maji, umwagiliaji wa jengo , milango , madirisha, finishing yake, Kwa maana rangi
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 7 месяцев назад
Ramani sio lamani
@FaraqOuu
@FaraqOuu 11 месяцев назад
Nimeipenda kaka
@benardkihonge6339
@benardkihonge6339 7 месяцев назад
In paa ya juu
@Mrschid958
@Mrschid958 Год назад
Mashaallah
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 9 месяцев назад
Tuekee namba nyumba zakawaida
@mwanapiliabass2406
@mwanapiliabass2406 Год назад
Nimeipenda
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 2 месяца назад
Tatizo haujibu meseji Whatsapp siwezi kupiga kawaida so jibu no za nje ya nchi kz Yako ni nzuri
@SarahAwadh-l4v
@SarahAwadh-l4v Год назад
Ipo vzt
@NajmaBethod
@NajmaBethod 11 месяцев назад
naomba namba kaka
@SarahAwadh-l4v
@SarahAwadh-l4v 11 месяцев назад
@@NajmaBethod we nan
@asmahasanirashid5059
@asmahasanirashid5059 Год назад
Maashallh
@mamapelyekelye9799
@mamapelyekelye9799 9 месяцев назад
Kazi ipo katika finishing nnavyoona.. Milango madirisha rangi. Vyoo tiles na ceiling board.
@zamdasalehe674
@zamdasalehe674 4 месяца назад
Usisahau wiring ya umeme na Bomba ya maji
@RedentaMichaelmfilinge
@RedentaMichaelmfilinge 6 месяцев назад
Naipend nyumba hio
@RedentaMichaelmfilinge
@RedentaMichaelmfilinge 6 месяцев назад
NATAKA kujenga hio nko mkoan Kuna tofar ndogo ne ntaitumia tofar ngap
@praygodmethod3597
@praygodmethod3597 Год назад
Nimependa aidia yenu japo nipo Mbeya mpo vizur
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 Год назад
Ntakutafuta hii nimeielewa
@anixtra7887
@anixtra7887 Год назад
Hapo bado maji, umeme, milango na madirisha na mashomobya Choo na choo
@yustnacosmass-cj5zf
@yustnacosmass-cj5zf 7 месяцев назад
Namba yako weka hapo
@MichaelStewart-cl3fo
@MichaelStewart-cl3fo Год назад
Hapo umenikunaa lkn mm nataka ya bati ya kawaida
@ZuwainaSd
@ZuwainaSd Год назад
Nipe namb zako
@neemaayubu8012
@neemaayubu8012 Год назад
Je inawezekana kupauwa kawaida kama hiyo
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 2 месяца назад
Nikikuchek whatspp hujibu sms mr house nataka kama hii
Далее
RAMANI YA NYUMBA YA KISASA  BEI NAFUU 2024
5:35
Просмотров 10 тыс.
RAMANI NZURI YENYE VYUMBA VINNE SELF VYA KUPANGISHA.
4:21
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
Просмотров 23 тыс.