Тёмный

Ujenzi Wa Apartments wa Gharama Nafuu 

Swahili Builders
Подписаться 3,3 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Nyumba hizi zimejengwa kwenye plot yenye ukubwa wa mita za mraba 1200 , kila nyumba ina vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule na dinning. Gharama za Ujenzi kwa Kila jengo ilikuwa million 75 za Kitanzania. Gharama hizi hazitafanana kwa kila site au kwa kila eneo, hivyo isikuogopeshe, site hii ilikuwa na slope kali na nyumba ilibidi inyanyuke sana na hii ilisababisha gharama za ujenzi ziwe juu kidogo.
Upo tayar? Hakikisha unatutafuta.
Karibu swahili units, builders and estates kwa huduma za finishing, interior and exterior designs, Renovation services, land scaping pamoja na utayarishaji wa Raman na ujenzi wa majengo yote kwa ujumla wake(ya makazi,ya kibiashara na yale ya kijamii), hapa swahili units, estates and builders tunasema #leta_ndoto_yako_tukupe_nyumba_yako #we_dont_do_cheap_designs_we_do_affordable_designs

Кино

Опубликовано:

 

23 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@tanzanadian
@tanzanadian 2 месяца назад
Keep up with good job
@swahiliunits
@swahiliunits 2 месяца назад
🤝🏿🤝🏿🤝🏿
@user-xi3uo2nn1e
@user-xi3uo2nn1e Месяц назад
Mmetisha wajomba
@azizayassin3623
@azizayassin3623 2 месяца назад
Jaman❤❤❤❤❤😢
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 4 дня назад
Tafadhali mtuwekee no please
@alimwenemwakyusa771
@alimwenemwakyusa771 25 дней назад
vyumba vya kulala ni self container pls
@swahiliunits
@swahiliunits 24 дня назад
Kimoja Ni Ensuite na kingine ni shared with Public Toilet
@mwanaidhassan6170
@mwanaidhassan6170 2 месяца назад
Hiyo moja Ghar ama TSH
@swahiliunits
@swahiliunits 29 дней назад
Wasiliana nas kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi
@alfrededwin6479
@alfrededwin6479 2 месяца назад
Nihizo nyumba mbili umezijenga kwa m75 au zote tatu naomba unieleweshe tafadhari
@swahiliunits
@swahiliunits 2 месяца назад
Ni gharama ya nyumba moja
@aminamohammed5373
@aminamohammed5373 Месяц назад
Wekeni bei tujue
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 5 дней назад
Naombei mawasiliano yenu
@swahiliunits
@swahiliunits 5 дней назад
+255762156762
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 Месяц назад
Kaka ujenzi wa nyumba hiyo ni sh. Ngapi?
@swahiliunits
@swahiliunits 29 дней назад
Wasilina nas kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi
@hamidasaif4065
@hamidasaif4065 Месяц назад
Wekeni beyi
@swahiliunits
@swahiliunits 29 дней назад
Bei ipo kwenye description ya hiyo video
@florinjoseph2504
@florinjoseph2504 4 дня назад
Nimependa kazi zenu,mnapatikana wapi?
@swahiliunits
@swahiliunits 2 дня назад
@@florinjoseph2504 ahsante sana, Tupo Mikochen Dar es Salaam
@millanolotu2839
@millanolotu2839 7 дней назад
MTAALAM,Naomba namba yako ya simu .
@swahiliunits
@swahiliunits 5 дней назад
+255762156762
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 2 месяца назад
Kama nyumba hiyo beigan
@swahiliunits
@swahiliunits 29 дней назад
Wasiliana nasi kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 2 месяца назад
Kama hio nyumba 1 bei gan
@swahiliunits
@swahiliunits 2 месяца назад
75milion tshs per unit
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 2 месяца назад
Yaani 75ml ni nyumba zote au ni kajumba kamoja ndio ml 75?
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 29 дней назад
Bei gani
@swahiliunits
@swahiliunits 26 дней назад
Wasiliana nasi kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi
@user-zj8ul2tp4t
@user-zj8ul2tp4t 24 дня назад
​@@swahiliunitsmnafika popote
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 2 месяца назад
Ramani inabei gani
@swahiliunits
@swahiliunits 29 дней назад
Wasiliana nas kwa namba +255762156762 kwa taarifa zaidi
@ibrahimabdallah7639
@ibrahimabdallah7639 16 дней назад
Nataji namba ya simu
@swahiliunits
@swahiliunits 5 дней назад
+255762156762
@munisialpha6465
@munisialpha6465 3 дня назад
Weka namba
@swahiliunits
@swahiliunits 2 дня назад
@@munisialpha6465 Ipo on My Profile, pamoja na njia nyingine nyingi za kutufikia
@DanierKisumo
@DanierKisumo Месяц назад
utalatibu ukoje
@DanierKisumo
@DanierKisumo Месяц назад
0757567645tuwasiliane
@swahiliunits
@swahiliunits Месяц назад
Wasiliana nasi kwa namba +255762156762
@jovenatusstephen5958
@jovenatusstephen5958 7 дней назад
Mko wap
@swahiliunits
@swahiliunits 5 дней назад
Mikochen Dar es Salaam Tanzania
@brunotemu8069
@brunotemu8069 3 дня назад
Namba ya sm please
@swahiliunits
@swahiliunits 2 дня назад
@@brunotemu8069 ipo kwenye profile, pamoja na njia nyingine nyingi za kutufikia
@swahiliunits
@swahiliunits 2 дня назад
@@brunotemu8069 +255762156762
Далее
ПОЮ ЛЕТНИЕ ПЕСНИ🌞
3:16:55
Просмотров 1,7 млн
Ujenzi Kamilifu wa Msingi wa Ghorofa
7:38
Просмотров 530
DESAFIO IMPOSSÍVEL #trending
0:18
Просмотров 12 млн
DESAFIO IMPOSSÍVEL #trending
0:18
Просмотров 12 млн