Тёмный

RASMI MABASI KUSAFIRI SAA 24, SERIKALI YATOA TAMKO, VIGEZO HIVI HAPA "MIFUMO IMEIMARISHWA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@AstonyMathayo-hn9th
@AstonyMathayo-hn9th Год назад
Safi sana naunga mkono sio upande wa usafirishaji bali iwe ni nchi yakufanya biashara masaa 24 iwe ni nchi yakepekee dunia sio afrika tu Tanzania Oyeeeeeeeeeeh 🔥
@allymwinyi970
@allymwinyi970 Год назад
Mawazo yako ni mazuri na mawazo mtaji.
@allymwinyi970
@allymwinyi970 Год назад
Mawazo yako ni mazuri na mawazo mtaji.
@abedmzungu9057
@abedmzungu9057 Год назад
imeeleweka vzr mkuu hongera sana
@aud548
@aud548 Год назад
Hii tumechelewa sana....sanaaaaa ...ilikuwa maamuzi ya kipuuzi tu...Uganda hapo wana barabara mbovu sana kuliko sisi waikuwa wanapiga masaa 24
@HamisiBalala
@HamisiBalala Год назад
Safi sana nimependa naomba jeshi la polisi wasimamie vizuri apo nipo pamoja na serikali amani iyendere
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 Год назад
Mmechelewa sana kenya uganda wanamiaka 30 mnachelewesha sana maendeleo uganda watu hawalali furu kazi.
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Год назад
Dar to Geita ,,,, Mallessa's line the number one ...oyaaaaa...
@etoyi2664
@etoyi2664 Год назад
Tunawashukuru Sana tufanyekazi usiku na mchana kwa ajili ya inchi yetu
@MartinDavid-yt3nz
@MartinDavid-yt3nz Год назад
Safi sana serikali kwa kulejesha mabasi kusafiri usiku hofu yangu ilula na mbwewe wasitulishe bundi na nyama za ajabu
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Год назад
Hongera sana serikali, ila utaratibu ufatwa wa uendeshaji wa magari, speed, overtake, vzr sana
@laurenciakamata
@laurenciakamata Год назад
Hongera serikari
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 Год назад
Kinyume na maumbile Allah ameuweka usiku ili watu wapumbzike ,Allah ametuhadharisha na shari za usiku kwani Kuna majini wabaya wachawi na wanyama wabaya usiku angalia suratul falaq
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Год назад
Me nakuunga mkono uko sahih kabisa ucku una mambo meng!!
@benedictomihayo9948
@benedictomihayo9948 Год назад
Wanofanya kazi hospital usiku mbona husemi, ndege zinasafiri usiku mbona husemi, walinzi wanalinda usiku mbona husemi, kikubwa hapa ni madereva kuzingatia sheria na jeshi la polisi kuimarisha usalama, suala la usiku wala sio tatizo, muwe mnaangalia pande zote punguza double standard ndugu
@kingyehoshafatitvbornerys2496
Huyo alla mwenyewe anafanya kazi 24 hours
@noelwillson766
@noelwillson766 Год назад
I like this, maendeleo sasa yanakuja kwa kasi kubwa sana…
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Год назад
Good tz from 🇧🇮👊🖤
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Год назад
HIYO MZURI ,lakini tujue usiku hakuna Toch,usiku hakuna trafiki, madereva usiku wanakuwa huru sna kufanya lolote walitakalo maana hakuna polisi usiku,najua madereva wengi watalewa sana, watakula milungi sna, energy zinazochanganywa na konyagi zitanywewa sna, mama nashauli kila basi kuwe na askali ,mmoja awe anasafili na basi mojawapo huo usiku,bila hivyo .,serikali iandaee makabuliya kutuzikia,na waongeze hospital za kuwalaza majeruhi
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Год назад
Kabisa
@kazikazini1042
@kazikazini1042 Год назад
Ndiyo wajibu wetu kama abiria kujataa kupelekeshwa na watu kama hao
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Год назад
kutoka mwanza mpaka dar unasafiri mchana tu acheni hizo
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Год назад
Wafuatiliwe kwenye ving'amuzi vilivyofungwa
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk Год назад
Kutoka dar mpaka kigoma una safiri mchana tu.......kutoka dar mpaka sumbawanga una safiri mchana tu ....vipi kuhusu ajili ya Lindi mabasi kugongana USO kwa USO vipi ulikuwa ni usiku.....mtangulize Mungu kwa kila jambo 🙏🏻
@JakoboKazilo
@JakoboKazilo Год назад
Hapo sawa
@mgatatemihanga416
@mgatatemihanga416 Год назад
Zamani tulisafiri usiku , aliyesimamisha kusafiri usiku alikuwa Marehemu Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani 1994.Nadhani wako sahihi teknologia imekuwa sana
@Sharefa-v6n
@Sharefa-v6n Год назад
Pamoja na ruhusa ya uongoz wa kusafr masaa 24 ila spend na stopenda safar za uck
@mdl6463
@mdl6463 Год назад
Yes
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 Год назад
Hii nimeipenda ila jeshi la polisi liwe makini kwenye ulinzi, pawepo na doria za barabarani kila wilaya.
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Год назад
Yani polisi wawepo kwA zamu usku kukagua magari kuhusu speed maana magari usku yanakimbia sana
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 Год назад
Hongereni sana mmefanya uamuzi mzuri sana sana.
@Silvamillinga
@Silvamillinga Год назад
Good good good good
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Год назад
Kwa Barbara zipi hizi nyembamba kama makambako songea Dodoma iringa mbovu yaani Dodoma mwanza inafaa Dodoma Arusha zingine majanga sijuwi
@dennymkumbala5748
@dennymkumbala5748 Год назад
Ajali Sasa daaa mungu tusaidie
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 11 месяцев назад
Wasafirishaji hii ni fursa ya kutoa huduma na kupata fedha, Sasa hii fursa msiitumie vibaya. Serikali isisite kuzifungia basi/kampuni zitakazo sababisha ajali kutokana na mwendokasi au uzembe
@charlessentiyongo8484
@charlessentiyongo8484 Год назад
Safi sana
@hamimumassawe
@hamimumassawe Год назад
Nice
@dullybrown7841
@dullybrown7841 Год назад
Barabara hazina taa umeme wa mgao,madereva walevi,ongezeko la ajali za uzembe ngoja tuone
@jumasalum2677
@jumasalum2677 Год назад
Good
@Peter-o9n
@Peter-o9n Год назад
Tanzania inapenda rushwa Sana kwaahivyo ajalii zitakuwa nyingi Sana🎉😢
@majaliwamaginyula9327
@majaliwamaginyula9327 Год назад
Hapa wanachokitaka mtakisikia tu masaa24 tanzania kwa usalama upi
@denisjoel1592
@denisjoel1592 Год назад
Nafunga kaz naenda Mwanz asubuh narud kazn
@mohamedmtegeta2575
@mohamedmtegeta2575 Год назад
Uwezo wa kuona usiku ni mdogo na magari mabovu tena hayana REFLECTOR tutegemee Ajali nyingi Sanaa!
@cavoo4get649
@cavoo4get649 Год назад
Wenye mawazo mgando kama wewe huwa hawakosekani kwenye jamii, kwamba wewe Ndyo unaujua usalama kuliko serikali iliyo ruhusu au!!!!
@edwinmachange6607
@edwinmachange6607 Год назад
Ww jamaaaa! Una fikra finyu sana. Mungu akabadili fikra zako ndugu 🙏🏼
@edwinmachange6607
@edwinmachange6607 Год назад
Ushindee sana! Yaaan unakua na mawazo ya kipepo namna hiyo. Mungu akusamehe
@GabrielMollel-du8mn
@GabrielMollel-du8mn Год назад
Binafsi ni wapongeze kwa hatua hizo,ila nina swali, Je maaskari watakuepo kwenye gari? maana katika hili Mungu asimame kila siku kwani Barabara ina changamoto Kama Dereva kusinzia,wanyama wavukao, mwendokasi,watekaji,Huduma mbalimbali zitapatikanaje, Mfano gari ikiharibika!! ,Niombe serikali itake mawazo ya wanaichi kwa mawazo mapana kuhusu hili.
@NixonGerson
@NixonGerson Год назад
Yaaani majambazi yamesimamisha huduma ya mabasi usiku kusafiri .. miaka 29 na tuna polisi na jeshi ...na wanaliow mshahara miaka yote duuuuuiuiih
@Magehem
@Magehem Год назад
Haya sasa ndio maendeleo tunayohitaji watanzania, kikubwa tuimarishe mifumo ya uongozaji ya barabarani kama uwepo wa kamera maeneo yote korofi au yenye ulazima na alama zote za barabarani zilizo ondolewa au kutoonekana vizuri basi zifanyiwe marekebisho ili kuwarahisishia madereva, Mwisho madereva waende sambamba na alama za usalama barabarani
@bozbun3994
@bozbun3994 Год назад
Hii nchi haieleweki kesho tu utasikia tunafungia
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Год назад
Tuwe tunaangalia hali na mazingira yetu kweli tunataka maendeleo ila nafikir hili bado lataka muda Ningeshauri yafuatayo kwa sababu suala hili sio la kisiasa ni la maisha ya watu(1)kutafakar kwa kina kwa sababu barabara nyingi hazina taa wala kamera ni giza tupu Barabara nyingi bado ni mbaya Madreva wengi wanahitaj kupumzika usiku Hatuna mapolisi wa kutosha.kuzibit mambo ya usiku Changamoto nyingi bado zipo vilevile Mambo ya usiku siku zote ni magumu Usiku haushoni Nashauri kuwe na vibali maalumu kwa hiz safar na sababu Had tukamilishe.masuala ya msingi
@KATOPE1
@KATOPE1 Год назад
Kabisa yaaan ndio itakua watu wanapoteza maisha 😢😢😢 taaa za barabarani muhim
@KATOPE1
@KATOPE1 Год назад
Hatuna maji umeme sasa wanaenda kua watu usiku😢😢😢😢😢
@rutashobyanovath1116
@rutashobyanovath1116 Год назад
Acha kuturudisha nyuma wewe ulitaka mpaka lini wewe unajua Tanzania wameajiliwa askari wangapi?
@KATOPE1
@KATOPE1 Год назад
@@rutashobyanovath1116 kwanza askar wa nn kama kuna mataa usiku barabarani
@KATOPE1
@KATOPE1 Год назад
@@rutashobyanovath1116 nasitaki kujua wameajiriwa wangap maana hata wakiwemo barabarani watazidisha hongo🥲
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Год назад
🎉🎉🎉🎉
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 Год назад
Muhimu kudhibiti ajali, ulevi na bangi kwa baadhi ya madereva upewe kipaumbele na uangalifu kwa masaa 24.
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv Год назад
Kampuni itakayo bainika kuvunja moja ya sheria za usalama barabarni usiku ichuliwe hatua kali
@helvickkabunga4105
@helvickkabunga4105 Год назад
Tobaaa amuwatakii watu mema nyinyi 🤔🤔🤔
@viousa
@viousa Год назад
Magari yaondoke Saa 6 usiku
@NixonGerson
@NixonGerson Год назад
Kero ya kumsifia mtu kisa vitu vya kawaida tu ...mmetuminya mpka muda wa fursa leo mnaona kuruhusu ni neema ....hatutaendelea sisi kwa ujinga huu
@healinggospeltz4762
@healinggospeltz4762 Год назад
V2 vidogo tu yanataja rais utadhan yenyewe yapo ofcn kma makopo
@kazikazini1042
@kazikazini1042 Год назад
Tulichelewa sana hata hivyo hongereni kwa uthubutu
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Год назад
Ila Me cjaunga mkono mana mungu ameweka mchana wa2 wafanye Kaz ili ucku wapumzke na pia na mdereva wapumzke baada ya majukumu ya cku nzima,, ila c mbaya watakao hitaji kusafr ucku luksa na WA mchana pia luksa Kaz iendelee!!
@edwinmachange6607
@edwinmachange6607 Год назад
Kuna watu wanafanya kazi za shift usiku! Uzalishaji mkubwa hua ni saa 24 .
@benedictomihayo9948
@benedictomihayo9948 Год назад
Binafsi naunga mkono wanaopinga wengi na wale wanaosema Mungu alisema tulale usiku mi naona hawana hoja za msingi sana Wanofanya kazi hospital usiku mbona hamsemi, ndege zinasafiri usiku mbona hamsemi, walinzi wanalinda usiku mbona hamsemi, kikubwa hapa ni madereva kuzingatia sheria na jeshi la polisi kuimarisha usalama, suala la usiku wala sio tatizo watalala mchana
@frankezakayo4447
@frankezakayo4447 Год назад
Asanñnnnnte
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 Год назад
Aseee, na traffic nao wafanye kazi saa24, kwakwel ajari zitakua ni nyingi sana kwasababu madereva wengi Huwa wanakimbia sana nyakati za usiku,, na hivyo marori mengi Huwa husafiri usiku ukiongeza na mabasi nayo barabarani usiku,, tatizo madereva ni kama usiku wanakuaga na Pepo la kukimbia,, kama hamjajipanga vizuri kuweni tayar kupokea ajar za kutosha, issue kubwa sio kuporwa, issue ni kuwagaidi madereva kufuata Sheria kama kawaida, maana usiku Yan mtu panapotakiwa kutembea speed 50 Huwa madereva hawaangalii maana wanatambua traffic wamelala hawapo barabarani, labda Kuna vifaa vya kidigitari vya ukaguzi lakin kama hakuna ajari zitakua nyingi
@filbertdamiani101
@filbertdamiani101 Год назад
Acha kuwa domant , utakimbia wapi na umesikia kituo Cha mawasiliano Cha vts kiwe kinafanya kazi. Vts ni kudhibiti mwendo, police wanatdhibiti kwenye 50kph tu.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Год назад
Yaani hapo mnakaribisha vifo
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 Год назад
Kama kifo si kipo tu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@prosperitymaarifa3324 jiue basi kama kipo?
@Moresa196
@Moresa196 Год назад
Kwa hiyo kaka paul ajali na vifo huwa zinatokea usiku tuu??? Ndio maana ikaitwa ajali na vifo kaka, vikija huwa havina taarifa au wewe unajua utaondoka vpy??, kuwa mpole
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Год назад
Madereva wenyewe hawa walevi,sijuil,usiku hakuna trafiki,sijui itakuwaje
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@Moresa196 Kaka watu wanajaribu kureason kama mchana Tu ndio ajali kila siku, je huo usiku itakuaje? Lakini pili, je zile sababu zilizowafanya kukataza safari za usiku zimemalizika?,,,,ebu jaribu kuishirikisha akili yako kidogo katika maswali haya utabaini jamaa alilenga nini
@gchalijabiri3845
@gchalijabiri3845 Год назад
Yaliochukuliwa na serkali ya chama cha mapinduzi ccm 😂😂😂😂😂
@denisjoel1592
@denisjoel1592 Год назад
Kaz kaz asikal kaz zao ni nn ,mbn majiran zetu wanasafir 24 hr kwann sisi ?
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Год назад
Safari za Usiku ni HATARI kwa USALAMA wa ABIRIA.
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Mbona mnageana udocta jamani kamtibia nani jamani
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Ma b asi yata u a sana Dereva kuchoka nk
@charlesmapunda2002
@charlesmapunda2002 Год назад
Serikali ya chama Cha mapindunzi😂😂😂😂 na Jamuhuri ya muungano ya tz
@KATOPE1
@KATOPE1 Год назад
Kwaiyo matrafic 24/7duh watashiba hela 😂😂😂
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 Год назад
Nnashauri abiria watakao safiri usiku wawe na PASPORT au KITAMBULISHO cha TAIFA ama barua ya MTENDAJI ili kuzuia wasafirishaj ARAMU
@kazikazini1042
@kazikazini1042 Год назад
Unajiombea usumbufu
@halima2286
@halima2286 Год назад
Nasisi marori mtutambue jamani😅😅😅
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
SASA NGOJENI KUPORWA KUNAKUJA.
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Год назад
Sasa tunasafiri usiku wachawi wakose kazi, akija kuniwangia mapema nipo safarini 😂😂😂😂
@alexvenas2699
@alexvenas2699 Год назад
😂😂😂
@boscomagaya-fs5wv
@boscomagaya-fs5wv Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Год назад
Mchana tu ajali kibao na toch znanunuliwa je usku itakuwaje?halafu miji mingne usafr wakutoka nyumban kwako kwenda stend ni kipengele hakuna haisi wala bodaboda nikutafuta tuuawe tu na vbaka
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Serikali yenyewe ya huyu Bibi tusibiri tuone mabasi yakianza kutekwa usiku uamuzi huu wamekurupuka
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Год назад
We nichadema unajipya unatopokatu,ww ujaona magari binafus wanaenda ucku wale Ning,ombe?
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Год назад
Kenya hawatuwezi bongo
@zakn2001
@zakn2001 Год назад
Hata Kenya mabasi ni 24/7 kwenye barabara zao hawajawahi zuia,
@iamjoseph795
@iamjoseph795 Год назад
Bosi hapa Kenya 🇰🇪 mabasi hata nangari mengine Mandongo yafanya safari masaa24/7 Yaan . Nikitoka Nairobi saa 3 nafika kisii saa 12asubuhi.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Naona ongezeko la vifo na ajali ila Sawa acha tuone
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 Год назад
Safi sana
Далее
I Built a SECRET Lamborghini Dealership!
33:02
Просмотров 12 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 584 тыс.
Trump campaigns in Prairie Du Chien, Wis.
3:03:41
Просмотров 24 тыс.
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Viral Video of a Man's Crazy Job Interview
16:02
Просмотров 1,1 млн