Yaani mnyalu ulitumia akili,ulikopita nabro wangu alipita huko nae akafanya kama yako, yuko Ujerumani na anamtukuza sana MUNGU na anaheshimika, hongera sana ❤❤❤❤
Kila la heri dear sister ray c..mungu akubaliki na akusimamie..nikwer ulichofanya nisahihi..kujalibu sehem nyingine sio mbaya umefanya kitu sahihi..ubarikiwe kipenzi..
Lord eyes alihusika kwa kiasi kikubwa mpaka Ray c kuanza kutumia madawa ya kulevya nakumbuka alivyokuwa anaenda kuchukua methodini pale muhimbili niliwahi kumuona jinsi alivyokuwa anapata tabu ila Alhamdulillah sasa ni mtu mwengine kabisa yaaan.
Heshima yako ulipewa kipindi kile ukiwa unajiheshimu so wakati ulipoishusha heshima yako mwenyewe nani ulitaka akupe tena heshima? In shot kosa moja tu linaweza kugharimu na kuharibu taswira yako yote nzuri ya nyuma,ndo kilicho tokea kwa Ray C