Тёмный

RAY C amvaa LADY JAYDEE 'Unanichukia kwa miaka mingi sana, unatembea na michupa ya pombe' 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Опубликовано:

 

14 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@evansmumo3921
@evansmumo3921 6 месяцев назад
Ray C ameshinda. Tuenjoyyyyyyyy
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 месяцев назад
Aduwi wa kwanza wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe.
@jumakassim8718
@jumakassim8718 6 месяцев назад
Swadakta
@kassimabussa6583
@kassimabussa6583 6 месяцев назад
Umeongea ukweli
@valenakomba9218
@valenakomba9218 6 месяцев назад
Na hasa watanzania.
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 6 месяцев назад
❤❤❤💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@EzzyK438
@EzzyK438 6 месяцев назад
Jde miyeyusho... Anajikuta yeye ni Mis perfection. Personally I support Ray C.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 6 месяцев назад
It's true,LÀDY J DEE HUWA ANAJIDAI YEYE NDO YUPO SAWA SIKU ZOTE,KITU AMBACHO SI KWELI
@fj8317
@fj8317 6 месяцев назад
@@israelkisaila8401 unasapoti ulaji unga huyo ray c ni mkorofi jide alikuwa adili na yy nini kimemfanya aingilie ugomvi
@Africana255
@Africana255 6 месяцев назад
Jide. Komando. Ray C mrembo.... Wote wetu.
@Mama-A
@Mama-A 6 месяцев назад
Rayc overreacted to jay-dees' post.....watoto sio vitu vya kumringia mtu aliyekupa ndie kaninyima mimi...tupunguze pride kwa vitu vnaeza ondolewa in a snap of a finger.forever +254
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 6 месяцев назад
Hii nyimbo mpya nzuri
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 6 месяцев назад
Napenda Sana nyimbo ya Ray C song Sogea , unanimaliza
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 6 месяцев назад
All time hit
@tatukingi2543
@tatukingi2543 6 месяцев назад
Mm pia nilisema hiki alichokisema Rey c jey d alifanya vibya kusema walaji unga angese tu sikuingia kwenye uraibu wowote hapo alifanya kejeli na haikua sawa kbsa
@queenmartine8792
@queenmartine8792 6 месяцев назад
Ray c kaongea fact kbs
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 месяцев назад
Du! Nakuomba Jdee umnyamazie Huyo anayekutolea nyongo zake, Nakuheshimu kw kuwa hunaga maneno mengi, Rc kakudhamiria, Mwache aseme akimaliza atatulia, Kunyamaza ni Dawa nzuri sn❤ sikwamba simpendi Rc lkn naona alikuwa na nyongo za siku nyingi, NB usimtukanie mwenzako Uzazi sijapenda Hilo.
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 6 месяцев назад
Led Jay dee ww mtumzima Kama hujafa hujaumbika muombe mungu akupe mwisho mwema pengine na ww uvute unga kuliko ao ulowapija madongo %
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc 6 месяцев назад
Nakupenda ray c amemjibu vizuri ❤❤❤
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g 6 месяцев назад
R c anatafuta Kiki upya ili arudi mjini na watu waanze kumsikiliza tena hawezi jifananaisha na lady jay dee hata siku Moja na Pia sioni kama mag ya JD Ina tatizo lolote
@aurakadogoo4043
@aurakadogoo4043 6 месяцев назад
The last message from RYC tosha , if it was me I will take it from there, good advice not only to LJd but for all .....👌
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 6 месяцев назад
Hili bifu. Mwaka 2000 ilikuwa moto mno
@melitalaunoni4018
@melitalaunoni4018 6 месяцев назад
Mm kabla sijazaliwa aseee
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 6 месяцев назад
Hakula Unga ila aliangukia kwenye Ulevi wa Pombe!!! Mshenz TU Huyo!! Kila Siku na Michupa ya Pombe Kali kwenye Gari Tena baada ya Kuachwa na Clouds na Gardener!!!😂😂😂😂😂😂😂
@fj8317
@fj8317 6 месяцев назад
na bado anatoa hits na anapiga shows vipi mla unga anasonga ugali haaahaaa
@MeryMpmba
@MeryMpmba 6 месяцев назад
Kwanza nina hasira nae huyu jaydee alinizurumu pesa yangu y parking ya gari like pale masaki wakati nafanya kazi nps 😢😢dada makavu sana huyu😂😂😂😂
@ce-08
@ce-08 3 дня назад
​@@MeryMpmba mjini ni ujanja ulizubaa mwenyewe 😂😂
@allyjungbogo3346
@allyjungbogo3346 6 месяцев назад
ma legend sisters jaman
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 6 месяцев назад
Rey c kaongea ukweli
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 6 месяцев назад
Ukweli gani?
@aishajuma18
@aishajuma18 6 месяцев назад
Lakini jay dee wala hakumsema yeye kajihisi tu
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 6 месяцев назад
@@tumlakimwaitumule jd ni mrevi mbwa mbona watu hawasemi namjuwa sana tena jirani yangu
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 6 месяцев назад
@@tumlakimwaitumule jd ni mrevi kama nini mbona watu hawasemi sio vizuri kuwanyoeshea wezio vidore wakati wewe mwenyewe mrawabu
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 6 месяцев назад
@@tumlakimwaitumule acha vita vie vienderea
@MomadeMohammed
@MomadeMohammed 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Haya Ndio Mambo Tunayo Yapenda Wabongo
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 6 месяцев назад
Du mnaringishiana watoto hamjui kuwa wanaweza kutoweshwa sekunde na mwenye watt
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 месяцев назад
Wote nawapenda Sina upande wowote
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 6 месяцев назад
Kabisa Jay Dee ni Chapombe
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 6 месяцев назад
Kumekucha! Tasnia yetu ya burudani bila vitu Kama hivi haiendi kabisa! 😂😂😂 Na safari hii wakongwe wapo mzigoni!
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 6 месяцев назад
😃😃😃
@wennybarny168
@wennybarny168 3 дня назад
Ray C kajichubua sana
@m___ck799
@m___ck799 6 месяцев назад
RayC anapaniki😂 kwahiyo mmoja mlevi mwingine Mla Madawa!🤣
@veveveve5517
@veveveve5517 22 дня назад
Kabida Ray c
@user-cq2uh6wl6o
@user-cq2uh6wl6o 6 месяцев назад
Nkweli kbs nmependa rey
@surusuru1994
@surusuru1994 6 месяцев назад
Mmmmh nimeamini ray c alikuwa nayogo kwli
@Mautammelody8197
@Mautammelody8197 6 месяцев назад
jd ajitambui kabisaa kwa ana akili yeye anajiona yuko kamili
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 6 месяцев назад
Ivi wanawake tukoje!? Sasa wanampa faida nan kukashifiana!? Kila mmoja wao anamapito magumu ugumba unamua sana na uyo alotoka soba house bado inamkula akil kwa pito hili na huyo mtt anayeringia ateme mate chin mungu hakawi kukasirika akafanya yake,,, kibur n vazi la mungu binadamu hatuwez hakuna mtu jeur na kibur km firau yuko wap ss !? Why hatujifunzi binadam dini zili letwa za nini!?
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 6 месяцев назад
Tulia kenge
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 6 месяцев назад
Hii nchi bora ukose mahusiano lkn sio bando😂😂😂😂😂😂😂😂😂eeeh mwenyez Mungu nilindie kibando hiki😢😅😅😅😅
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@AbcD-bn1nz
@AbcD-bn1nz 6 месяцев назад
😂😂❤🇹🇿
@henriettenkuba3240
@henriettenkuba3240 6 месяцев назад
Sisi tupo DRC tumeshaa amuwa kufwatililia was TZ maana huko kwenu rahaa Bwana 😂😂😂😂😂
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 6 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 6 месяцев назад
kabisa
@jackokoth2859
@jackokoth2859 6 месяцев назад
Hii sio kiki masela ni personal 😂😂
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 месяцев назад
Acheni mambo yenu mmekua sasa
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 6 месяцев назад
Rayc kamaliza kila kitu jide afunge mdomo wake
@sifatiiman
@sifatiiman 6 месяцев назад
alitajwa huyo teja mkosa hakili huyo alijishitukia mwenyewe
@sifatiiman
@sifatiiman 6 месяцев назад
alitajwa huyo teja mkosa hakili huyo alijishitukia mwenyewe
@kahawathungu
@kahawathungu 6 месяцев назад
Kilio cha mtu mzima halida kina ajili.
@magrethmeela154
@magrethmeela154 6 месяцев назад
Jamani mimi nawapenda wote jaribuni kuheshimiana tu.kwasababu kila mtu anachangamoto alizopitia ktk maisha. Na hiyo ni kawaida kabisa kwa binadamu.
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 6 месяцев назад
Ray c acha blabla dada umeshaongea mengi
@neemapraigory8832
@neemapraigory8832 6 месяцев назад
Atajua mungu atampa mtoto
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 6 месяцев назад
Mtoto ni majaliwa ya mungu jamani
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 6 месяцев назад
Vita tamu
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 6 месяцев назад
Nyimbo qali
@henriettenkuba3240
@henriettenkuba3240 6 месяцев назад
Mimi naona kama wanatuburudisha tu.sioni jipya ama special.pombe ni kitu cha kawaida kabisaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Merry Christmas 🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎁🎁🎁🎁🎁🎁
@redemptervictor5006
@redemptervictor5006 6 месяцев назад
Afadhali😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@user-fr4um2tn8g
@user-fr4um2tn8g 6 месяцев назад
Rey c bigup huo ndo ukweli hakuna ukweli zaidi ya huo
@BunjuFremu50-yf5xi
@BunjuFremu50-yf5xi 6 месяцев назад
Rayc mshamba 2.
@oscarricko
@oscarricko 6 месяцев назад
Tusiwe watu wakuongeaongea vitu sensitive bila ya kufikiria tena Na tena kuna watu wanastruggle na mambo tusioyajua just learn to be human.ukweli ambao haukusaidii achana nao
@eliachalamila2259
@eliachalamila2259 6 месяцев назад
Dada yangu kaongea ukweli ❤️
@dulayowakiba569
@dulayowakiba569 6 месяцев назад
Dada yupi?
@ellygach6515
@ellygach6515 6 месяцев назад
Yup hapo
@user-db6gr1gn2d
@user-db6gr1gn2d 6 месяцев назад
Namkubali sana Ray C,ni ngoma iko njiani or?
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 6 месяцев назад
Mara nyimbo
@mrfantastic8364
@mrfantastic8364 6 месяцев назад
Ubao unasoma 2-2 tunasubiri comeback ya Jide
@BossLady-cq2xp
@BossLady-cq2xp 6 месяцев назад
Hahaha
@RukiaRashid-mb7qc
@RukiaRashid-mb7qc 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@zaituniyusuphjuma415
@zaituniyusuphjuma415 6 месяцев назад
Bora tu mmejitokeza maana niliwamis kweli alafu jiji limepoa sanaa wasanii mko wapiii 7
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 6 месяцев назад
Maisha bila mipombe inawezekana😂😂😂na maisha bila madawa inawezekana😂😂😂na gigy aambiwe maisha bila kufirana inawezekana😂😂😂😂😂😂
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 6 месяцев назад
Jider Rc kiuno bila mfupa
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 6 месяцев назад
Mmmh. Ingependeza kama haya makabrasha wanayotupiana yangekuwa kwenye mfumo wa nyimbo ili wapate hela kwenye mitandao kama wanavyofanya wadogo zao wa sasa. Au alivyofanya Kopa na Na' Hamisi enzi zile.
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 6 месяцев назад
waache maana ohhh wanasema ohhh wakina zuchu hawapendani na hawa wakongwe njo nini 😅😅😅 kama bwayi iwe bwayi
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w 6 месяцев назад
Jmn muandishi kusikia majibizano yawatu wazima mie hoi kwa kicheko😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 6 месяцев назад
Haya kumekucha😂😂😂😂😂
@janifajani8875
@janifajani8875 6 месяцев назад
Niloshindwa kuusoma bora ulivo nisomeaaa😂😂😂😂❤❤
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 6 месяцев назад
Nyie ndo mnawahigi kwenda kwenye comment kabla hata hamja soma habari😂 huo ni Moja ujinga ni vizuri umejitambulisha tumekujua😂
@janifajani8875
@janifajani8875 6 месяцев назад
@@Oldskulgemini9991 nawala sikukomenti yana niusu nn mm jamaniii
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 6 месяцев назад
Eti ray c amempa nafadi lady jay de aice akili za unga ni zaunga tuu nyiyeee ray c ajapona guy's hide ni nMba ons tz kwa kuimba mwanamkee anaye pendwa na dunia pakitok jide ni zuchu eay c anaongea nn yy anamaisha gani uko ufaranca😂😂😂 aise wa tz niwazhamba juu iko ufaranca ndoo anajjona iko juu eti ajakuw km tiwa hee tkwa ni tiwa na jide ni jide
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 6 месяцев назад
Ww pia waitaj rihab km yy ajapona
@ricklandennis
@ricklandennis 6 месяцев назад
We nawe hujui muziki eti akitoka jide zuchu, hivyo vizazi havilingani ray c kafanya makubwa na mpinzani wake ni jide wote wanalikuwa wanapendwa sana, shida ni nyie mlietoka vijijini mmekuja mmemkuta zuchu
@chemstry409
@chemstry409 6 месяцев назад
SURA YAKE TU AKIJIANGALIA KWENYE KIOO.......😂😂😂
@ZuenaRamadhani
@ZuenaRamadhani 6 месяцев назад
Mrudi mjini bas tumewamiss sana ila mjin pagum mkutane na zuchu ft nandy ndo mtaelewa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 месяцев назад
Hahaha asee 😂😂😂bifu nozito
@PriscaCassian-xd6dw
@PriscaCassian-xd6dw 6 месяцев назад
Jide wewe ni konando waache hao wavuta unga shisha wfrwj wataka kukufanya wewe ngazi wapandie usiruhusu yote waliyosema mangapi mpaka sasa bado uko naheshima yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@irenejackson3227
@irenejackson3227 6 месяцев назад
Duuh kumekucha🤣🤣😎🤣
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 6 месяцев назад
MWANAUME MMOJA MLEVI ANAAKILI KULIKO WANAWAKE WATATU WENYE PHD
@SeifuNassoro-po6rb
@SeifuNassoro-po6rb 6 месяцев назад
Kwani kula dawa za kulevya ni ugonjwa ni starehe zako
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 месяцев назад
Ila lady jaydee alikosea saana huwezi kusema hivyo maana hakuna mtu aijuae siku yake, raycee pole saana Mungu akuongoze uliyopitia yanatosha songa mbele achana na maneno
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage 6 месяцев назад
Hakuna haijuaye kesho yake ni sawa lakini sio kwa kujitakia madawa sio kesho ya mtu ni maamuzi ya mtu mwenyewe
@marselojr9884
@marselojr9884 6 месяцев назад
Madawa ni maamuzi na chaguo la mtu mwenyew hakuna Cha kesho hapo
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 месяцев назад
@@MtegekiKaijage jambo usilolijua sawa na uciku wa giza
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 месяцев назад
@@marselojr9884 usifikiri wote mateja wamefanya wao wengine wanawekewa na wapenzi wao nenda vitengo ndo utajua
@ricklandennis
@ricklandennis 6 месяцев назад
Kitu km hukijui si unyamaze aliekwambia Kila anaekula madawa amejitakia nani, au unataka uonekane mjuaji wa mambo
@pulikisia7963
@pulikisia7963 6 месяцев назад
Watakapo achia ngoma yao,ndio mtaelewa ule msemo wa pilipili usiyoila yakuwashiani??
@RusiaSalehe
@RusiaSalehe 6 дней назад
nihatari nisinge penda itokee kabisa hivita
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 6 месяцев назад
Aliyefunga comments ni muoga😂😂
@chibudangote0126
@chibudangote0126 6 месяцев назад
CHAPOMBE TOWA WIMBO NA JAY D😂😂😂
@BunjuFremu50-yf5xi
@BunjuFremu50-yf5xi 6 месяцев назад
Rayc mbona yeye asiwe kama tiwa savage.anakelele.juzi tu kachangiwa akatibiwe mimacho ilikua ishakua mieupe anazubutu kujilinganisha na comando??,,pumbav sana hawa wasanii waliobebwa na kikwete
@mfebricknkuna7106
@mfebricknkuna7106 6 месяцев назад
RC kapiga kwenye mshono...😂😂😂
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 6 месяцев назад
Eshima alio nai lady jay de si yskjgukanwa na ray c nooo nonsense 😂😂😂
@bakarmsangi963
@bakarmsangi963 6 месяцев назад
hawa wa bibi wanazengua watuliee watoto niwamoto
@hashymharun9337
@hashymharun9337 6 месяцев назад
Huyo Jay Dee anajikutaga mkamiliiifu chizi halina akili
@shedymmari7910
@shedymmari7910 6 месяцев назад
Jide choko tu ndo maana azai
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 6 месяцев назад
Ongea madogo iyi ni dunia tuu ndugu kuzaa ajataka yy katska mungu
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 месяцев назад
Ooh Ndugu usitukane Kwa habari ya Uzazi hili ni la Mungu pekee wako wanalia😭😭😭 juu ya Uzazi, Shukuru Mungu km Wewe umepata
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 6 месяцев назад
Hii nchi hamna kupumzika yani linatoka hili linakuja hili 😂😂😂😂😂
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 6 месяцев назад
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 6 месяцев назад
hii bifu watoto wa 90’s hatuelew 🤣🤣🤣🤣
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 6 месяцев назад
Hahaha nakwambia
@TheBossOdhis
@TheBossOdhis 6 месяцев назад
Sema watoto wa 2005...
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 6 месяцев назад
Watoto wa coco melon nyie
@dayanafelly1488
@dayanafelly1488 6 месяцев назад
Tunaelewa vizur sna😂😂..
@aishajuma18
@aishajuma18 6 месяцев назад
Watoto wa 2000 ndio hawaelewi wa 90 tunaelewa vizuri tu
Далее
From Tanzania 🇹🇿 to Paris 🇫🇷 (Part 1)
2:15
The Inspiration of Musician Ray C's Life Experience
8:00
Nyumba ya Lady Jaydee
1:53
Просмотров 273 тыс.
Mkasi - SO7E12 With Ray C
28:04
Просмотров 210 тыс.