Тёмный

Ray-C afunguka kilichofanya aharibikiwe na kuanza kutumia madawa ya kulevya, awaonya watoto wa 2000 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@malikkb6444
@malikkb6444 19 часов назад
Ray C mzuri sana❤
@Kokubrm
@Kokubrm 3 дня назад
Namshukuru kwa kuwa warn vijana wa sasa hivi aisee.
@user-qy8fl2fd9q
@user-qy8fl2fd9q 2 дня назад
I❤ ray c nafurahii kukuoona ulivo,Sasa hivi,niliumia kipindi kile nilipoona picha zako kwenye gazeti la shigongo,cuz napenda music na wanamuziki
@missp1814
@missp1814 3 дня назад
Hongera mwanya Ray C,M.mungu kakuvusha mama kwenye hilo umetoka salama,maana hili janga linaharibu vijana....huku napo kaa kunasehemu yaan ndo wanauza nadhani unakuta vijana wamelala yaan mwonekano wao unahuzunisha aisee.....
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 дня назад
Ray c Mungu mwema unaemdelea vzr saaana na naamini utakuwa zaidi na zaidi
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 дня назад
Kuna mijitu itakuja ku mponda, ila kaongea point
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 3 дня назад
Hivi ukivunja sheria ya barabara, UTASEMA ulikuwa hujui??? Mwanadamu ameumbiwa utaishi wa kusema Ndio au hapana.! Ukiwaruhusu watu kuingia kwenye maisha yako, halafu wakakugeuza tabia zako; unawajabika kwa kuwaruhusu waingie kwenye maisha yako. Alichosema ni sawa kabisa. Lakini na yeye anawajibika kwa kujihusisha na watu wasio tabia njema.
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 3 дня назад
Marafiki wabaya huharibu tabia. Mtoto asipofundishwa kuchagua aina ya marafiki; atajikuta akihusiana na marafiki wabaya. Na huo utakuwa Ndio mwanzo wa yeye kuharibika. Hii binti shida iko kwenye malezi. Pengine hakufundishwa kuchagua marafiki. Au pengine alifundishwa lakini akashupaza shingo. Kwa sababu Hakuna mzazi anayeweza kufurahia kuona mtoto wake akitumia madawa ya kulevya. Sasahivi kuna mabinti hawapendi kukaa nyumbani. Akifisha tu miaka kumi nane. Anatafuta nyumba ya kupanga ili awe huru zaidi.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 дня назад
​@@BarnabaBuhoma umeona ehh mbaazi zikikosa jua husingizia mvua, ni wajibu wako kusema hapana katikati ya kundi, ukiwa Bendera fata upepo utakumbwa na majanga
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 2 дня назад
@@darajalakidatukilomgi2362 that’s true….
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 дня назад
Mimi nakupendaga Sana wimbo wa ulinikataa bila sababu uliotoka mwaka 2004 2005 kama sijakosea wakati huo nipo form one nilikuwa nakupendaga Sana ule mwimbo...Sasa hongera yake ray c kwakuwa ok..mungu jalie Kila la heri
@njuka3515
@njuka3515 2 дня назад
Nashukuru nimejifunza kitu
@humbleshoal
@humbleshoal 4 дня назад
Pole my dear.
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 2 дня назад
Nimekupenda bure da ray c❤
@mikegifted6036
@mikegifted6036 3 дня назад
I love the advise you giving to young people
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 3 дня назад
Bg up cctaa❤❤❤❤❤Kwa me shabiki Ako forever
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 дня назад
Kutambua kosa ni mwanzo wa kujikosea na kuwa sawa.Mungu azid kukutetea kipenzi urudi kwenye njia yako cose ni wengi walishindwa kujinasua.
@donatusbenjamin3660
@donatusbenjamin3660 3 дня назад
Ray c tuanze podcast session sas
@dotytydo2342
@dotytydo2342 3 часа назад
Nakumbuka wakati huo nilikua nataka kua model lkn Mungu mkubwa alisimama namimi kila nilikua nikitia guu najikuta narudi nyuma nilikua mzuri adi nikienda disco watu wanafikiria mmi Ray c
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 3 дня назад
Na yeye pia anahusika… mambo yote mabaya yanayojiri maishani mwetu, tumechangia kwa namna moja au nyingine. Ukiruhusu mawasiliano Kati yako na mtu mwingine usiyemjua. Halafu baadaye akakutapeli. Unawajibika kwa kuruhusu kuendelea kuwasiliana. Kwa hiyo acha kulalamika. Wajibika….
@HawaAhmed-yj8wo
@HawaAhmed-yj8wo 3 дня назад
Ndio kasema kilichomponza ni kiherehere
@patrickbenard7542
@patrickbenard7542 3 дня назад
We love you sister wetu and we miss you so much... everything have a reason but we wish you will come back soon...we love you😂😂
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 3 дня назад
Sahihi Dada Ray c
@jut1161
@jut1161 3 дня назад
Kwa mtazamo wangu kafanya vzr kueleza yalionkuta
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 3 дня назад
Hajamtaja lord eyes sababu point yake ni mazingira hatarishi sio lord eyes, anataka watoto wa 2000 (gen z) wajichunge na mazingira yanayoweza kuwaingiza kwenye majanga sio wajichunge na lord eyes, obviously watoto anaozungumza nao haiwasaidii chochote kumjua lord eyes, huyo lord eyes mwenyewe kwanza nae ashakuwa mtu mzima aliyekomaa kiakili, kutuonyesha kuwa unaijua story ya Ray C na Lord Eyes haitufanyi tukuone mjanja au unajua sana vitu, tunakuona mshamba tu
@HappyatHome-bn8wm
@HappyatHome-bn8wm День назад
huyu jamaa alimharibu kabisa dada
@onesmojoseph4285
@onesmojoseph4285 3 дня назад
watoto wa afu 2000 watakuona unazingua unaongea ujinga na unawaingilia maisha yao but wasave kama ulivyosema watakuja kuangalia tena walie baada ya kuharibikiwa
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 3 дня назад
Ra c salute kwako Mama
@vibetz9991
@vibetz9991 3 дня назад
Hakuna Alie Mbabe mbele ya kitu ' Afya ',,,Ukiizingua Afya yako,,,,huwezi toboa hiyo vita yake,,,tutakupoteza tu
@elphinejoshua1914
@elphinejoshua1914 3 дня назад
❤❤polesana my❤❤❤
@drewsondeniss709
@drewsondeniss709 4 дня назад
Eeeeh😢
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 дня назад
SAWA DADA TUMEKUELEWA ILA KWA SASA KONDEBOY JESHI NDIE MSANI MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mwalimuissa5964
@mwalimuissa5964 3 дня назад
Marioo ndio msanii anaefanya vizuri
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 дня назад
Kweli bange sio nzuri watu wanaongelea vingine wewe konde Kweli utauponza
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 3 дня назад
Sasa huyo konde kaja vipi hapa mbona mme jawa na viherehere
@allyharoub-rl6rb
@allyharoub-rl6rb 2 дня назад
We dogo unakula Mavi nn ... konde Kaingiaje apo sas
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 дня назад
@@allyharoub-rl6rb nani dogo mshenzi kweli
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 дня назад
🙏👊✌️
@joharmrisho
@joharmrisho 3 дня назад
Ila macho ya ray c wazaman na sasa kama tofaut au Mimi naona vbaya😂😂😂
@binobino9078
@binobino9078 2 дня назад
Kwani kaongea nini uyu dada, maana mda wote nilikua naangalia macho yake tu.,
@user-qk3jr8pj9j
@user-qk3jr8pj9j 3 дня назад
Ulijisahau Mwenyewe Dada
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 3 дня назад
Ndio alichosema kakubali sasa unadhani utamnanga mtu aliyekubali mapungufu yake
@babanadia3201
@babanadia3201 3 дня назад
Ungesaidia serikali kuwataja wauzaji WA madawa ya kulevya
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 3 дня назад
mwambieni siku izi tuko zama za shisha😊,,afu hao anaosema wa ef 2 ndo wanabinjuka vibaya siku iz.
@bama9271
@bama9271 2 дня назад
Huyo rais alijiharibia maisha yake mwenyewe kwa sababu alikuwa ni mwanamziki ambaye pengine labda angepeleka bongo flava sehemu fulani kwa upande wa wanawake lakini tu alivyoanza kuhusika na maswala ya mihadarati na kwa kutumia uzuri wake vibaya ndio maana amefikia hapo alipo mpaka sasa hivi anaweza akailaumu dunia ndio lakini yeye mwenyewe ndo kielelezo cha matatizo yake
@user-mt6nu5hs8q
@user-mt6nu5hs8q 3 дня назад
Mshukur mungu dd Rehema wanzako wengi hatukonao duniani, Lkn kikubwa sisi tunataka ngoma juu ya ngoma
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 3 дня назад
Kizazi cha leo wajifunze hapa
@user-nm8ym6iq7n
@user-nm8ym6iq7n 3 дня назад
Tunajua mtu anaitwa Lord Ayes wa kundi la weusi sutak kuendelea sana wee nyookaa tuu hcho cha Arusha nani alikua anakupa na alikua anakuchanganyishia na nini sisi tunajua ulikua vip na Lord Ayes kipindi hicho
@godwillrichard7017
@godwillrichard7017 3 дня назад
Sasa Ina tofauti gani alichoeleza?
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k 3 дня назад
Kuna interview nimesikiyaka kitambosana Kama ariyekufunza arikuwaka boy friend wako Kama ni eyes lord kamananiule nasahawu, any watuwaepuke kamampezinimteja muache 🏃‍♀️ asikuambukizi nikama ugonjwa
@SixbertMakoko
@SixbertMakoko 3 дня назад
Sema nakukubali umepambana
@zachariamwita3926
@zachariamwita3926 3 дня назад
Wanawake Wengi Haswa Wa Kizazi hiki Lazima Yamkute Yakujuta Ndio apate muda wa kutulia na kufuata haki na ukweli ktk hii dunia ya sasa hivi hivi Ushauri Hauwatoshi
@hananmiftah9302
@hananmiftah9302 3 дня назад
Sasa turudi kwenye music Acha uroho kama bata
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i День назад
ulichanganykiwa na muhuni lord eyez....nlikua nakuona daily kalolen na stadium...tuljua tu mwsho wako..😂😂😂😂
@salimbilali5174
@salimbilali5174 3 дня назад
Huu ujumbe umfikie yammy naona ameanza kupagawa
@HappyatHome-bn8wm
@HappyatHome-bn8wm День назад
watoto wa chuga walimharibu
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 3 дня назад
Alie kupoteza ni yule mwamba wa N2N
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 дня назад
Ushauli wake mzuri kwa vijana
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j 3 дня назад
RC siyo poa umekataa kuzeeka 😂😂....
@zabibuidi1938
@zabibuidi1938 3 дня назад
Hanaata dalili 😊
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 3 дня назад
Hahaahhaaa😅 safiiiii
@dottomabula7253
@dottomabula7253 3 дня назад
Makosa
@habarugiraRodrigue
@habarugiraRodrigue 3 дня назад
Sas ww unamigu mbn kila siku tuaona kichwa tu
@hopechidera
@hopechidera 3 дня назад
🤣🤣🤣
@richkaja3317
@richkaja3317 3 дня назад
Ray c bdo mbichi kabisa unakaa nchi gani
@hopechidera
@hopechidera 3 дня назад
Uganda😂
@zachariamwita3926
@zachariamwita3926 3 дня назад
Wanawake Wengi Haswa Wa Kizazi hiki Lazima Yamkute Yakujuta Ndio apate muda wa kutulia na kufuata haki na ukweli ktk hii dunia ya sasa hivi hivi Ushauri Hauwatoshi
Далее
СПРАВКА ДЛЯ УНИВЕРА
00:44
Просмотров 251 тыс.
Mkasi - SO7E12 With Ray C
28:04
Просмотров 210 тыс.
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 189 тыс.
РЕМОНТ ДОРОГ В ШВЕЙЦАРИИ
0:17
Корейский мерс | меллстрой
0:15
Просмотров 361 тыс.
Мгновенная карма 😱
0:10
Просмотров 1,8 млн