Тёмный

Inaumiza! Video hii ya CHID BEENZ akiomba hela yawaumiza mastaa wengi mtandaoni 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Опубликовано:

 

8 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 146   
@daisythetech
@daisythetech 7 месяцев назад
Uyo anazingua mwenyewe...amesaidiwa sana na babu tale na mkubwa fella ila mwisho wa siku anawatukana tu.....mteja ni mtu asiyekumbuka fadhila..wachache sana ndo wakiamua kutoka huko ndo wametoka ila weng wao wakirud mtaan wanarudia Tena hayo mambo...mungu amfanyie wepes
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 7 месяцев назад
NI kweli ata juzi apa alimsema mwambino maskini na alimsaidia kurecord wimbo wao😅😅😅😅😅 wamwache tu kwasasa
@kingcole60
@kingcole60 7 месяцев назад
Vijana tuwe makini kwenye starehe tunazochagua
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 7 месяцев назад
huyu hawezi kusaidika mpaka aamue kuacha mwenywe madawa 😢
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 7 месяцев назад
Yeah!!!
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 7 месяцев назад
Kabisa
@georgembise7234
@georgembise7234 7 месяцев назад
Nimeumia sana !!!tusichezee maisha ndugu zangu!!
@MahmuduKharidi
@MahmuduKharidi 7 месяцев назад
Vijana wezangu hii kwetu liwe somo toshaa
@josephatsafari4568
@josephatsafari4568 7 месяцев назад
shida zake zitaisha siku akiamua kubadilika
@user-lq6kr2gl7n
@user-lq6kr2gl7n 7 месяцев назад
Ila chid kachakaa maisha haya ki ukwel tunapopata nafas au fursa za kupata pesa bas tuzitumie kwa umakin maan huijui kesho yako
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 7 месяцев назад
Hili si swala la kutumia kwa umakini ila tu unga unaharibu akili, huyu mpaka kesho hana maisha magumu ila tu unga umeshamuharibu akili, hasaidiki hata iweje alilalamika eee kuna watu hawataki kumpa hata kolabo sasa amepewa kolabo alitakiwa kutulia kuanzia pale aendelee kuomba na wengine asaidiwe kimziki maana mpaka leo bado anajua kutunga na ana punch line poa sana lakini matokeo yake ukiingia kwa muhindi tu unakuwa mvivu wa kujituma na kuomba omba ukipata elfu kumi unaona kama milioni mia sababu unajua na kesho utapata tena, wanaompa hela hawamuhurumii ila wanazi kumuumiza alitakiwa apigwe pini asipewe hata mia lazima aibe baada yapo apewe kichapo afungwe akose ngada jela akitoka atakuwa na adabu na kusikia aibu kwa aliyoyafanya inaweza kumrekebisha kwamba ngoja niwaonyeshe watu kama uwezo bado upo.
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 7 месяцев назад
Hakika
@isaackmboma72
@isaackmboma72 7 месяцев назад
Nime jifunza kitu
@ekicrevo6890
@ekicrevo6890 7 месяцев назад
Hana njaaa nyumba Gali anavyo kuomba Hela si yeye wengi huomba
@Markhomestz
@Markhomestz 7 месяцев назад
Umenena sanaa✊🏾
@abdulkadirgafla3889
@abdulkadirgafla3889 7 месяцев назад
Hakuna cha kuumiza, hapo kuna cha kujifunza 💪👍👊
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 7 месяцев назад
Kabisa yaani
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 7 месяцев назад
Swadakta
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 7 месяцев назад
Chid chibenzino 🖐🏾😂🔥💪💥
@user-wx6rv5qt2t
@user-wx6rv5qt2t 7 месяцев назад
Bila kujitambua kinachomsibu hata apewe nchi nzima hatoboi
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 7 месяцев назад
Uruma Ya Nini Wakati Jamaa Alikua Matawi Ya Juu Alipenda Uteja Kutumia Madawa Ulisikia Wapi Madawa Yakawa Balaka Kwa Mtu
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 7 месяцев назад
Asante Umenena vyema MUNGU aku baliki saana 🙏🙏🙏
@user-hd3yh9jp1h
@user-hd3yh9jp1h 7 месяцев назад
Fresh kuliko kuiba
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 7 месяцев назад
Subhannallah, mtihani kwakweli
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 7 месяцев назад
Uyu ajaacha madawa maskini dah 😢😢
@shery-bf8xh
@shery-bf8xh 7 месяцев назад
Chidi alichezea hela kipindi chake na mastarehe sasa amebaki omba omba inasikitisha kwa kweli😢😢😢wasanii mjifunze ku invest kupindi cha ujana wanu sasa chidi umri umeenda hana chochote😮😮😮
@daisythetech
@daisythetech 7 месяцев назад
Issue siyo investment issue ninkujiweka mbali na mihadarati, ulevi na mambo ya anasa
@lavimusic_
@lavimusic_ 7 месяцев назад
Sasa Chid ana ukubwa gani mpka useme umri umeenda? Huyo poda ndo tatizo
@elbarrey3305
@elbarrey3305 5 месяцев назад
Aa ni maisha tuu😊😊
@bakariomari8758
@bakariomari8758 7 месяцев назад
Watu wasome kupitia chidi benz. Huu uraibu nauelewa vyema sana
@HamisiHassan-oy6xz
@HamisiHassan-oy6xz 7 месяцев назад
Uteja Ndiyo unamusumbua Chid Benz
@user-gn8hi4xt1h
@user-gn8hi4xt1h 7 месяцев назад
Daaa mbona jamaa 😢😢 kawa kama mweu
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 7 месяцев назад
Maisha ya hapo nyuma ya wasanii yalikua fuata mkumbo ndio maana wsanii wengi wa zamani wamekua ni wahanga wa madawa ya kulevya. Chid Benzi ni mtu ambaye amejitahidi sana kujitoa toka kipindi cha nyuma na sasa amebadilika nadhani Jamii badala ya kumuukumu na kumtupia lawama, imsaidie. Haswa wasanii wenzake wamshike mkono kwenye kupambana kujinasua na madawa,kujitoa kwenye madawa na akiwa hana ela ya mlo ni jambo gumu,Jamii imsaidie mpaka pale atakapo kaa sawa na kuweza kujiongoza mwenyewe kimaisha,tusinyoosheane vidole kwenye maisha kuna kuteleza kwa namna tofauti,Rayc alishikwa mkono na sasa amekua mfano kwa jamii zetu kwanini kwa chid tushindwe,Chid Benzi ni mtu ambaye bado talent yake ipo na huwa ni mtu ambaye akikaa sawa anaongea point sana
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 7 месяцев назад
😂😂😂😂daah dunia ina mambo
@salcle9702
@salcle9702 7 месяцев назад
Bange mbaya
@user-ie5ck1ns5f
@user-ie5ck1ns5f 7 месяцев назад
Wa mkate wamtie bakola haswa aseme ana uziwa nana ili hao watu wakamatwe watiwe mbaroni
@HalfanKaimbe-pe7go
@HalfanKaimbe-pe7go 7 месяцев назад
Dah! Yani inasikitisha sana
@user-by5lk6wh1y
@user-by5lk6wh1y 7 месяцев назад
Ndio kaka sikae sikuzote naomba mujifunze kupitia yeye wasani unajua kupatia maumivu wanawake sio marufu ya masikini arikua anajuwa maumivu yangu angeenda ivo ivo sijawahi kumulaini sikuzote namumbea kwa Mungu ila niliwahi kumwambia kama amezowea kuumiza wengine kwangu kilio changu Mungu anasikia😢😢😢
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 7 месяцев назад
Inaumiza wasanii wandaliwe maisha ya badae
@caesar7745
@caesar7745 7 месяцев назад
Alipewa Second chance kachezea I think karudia mdude
@eliadaniel216
@eliadaniel216 7 месяцев назад
Daah chid
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 7 месяцев назад
Wakamfungie kwenye mavituo au wampeleke milembe wamchome midawa mn milembe nijela ile
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 месяцев назад
Dunia duara 😭😭😭😭ndio tujifunze sio kila staree inafaa kufanya
@swala_master
@swala_master 7 месяцев назад
Hio inaskikisha Sana
@fadhilimbotela1049
@fadhilimbotela1049 7 месяцев назад
Wabongo bhna mm nnachokiona hapa chidbenz yupo na washikaj Zake maana ukimuangalia vizr chid benz kajiachia kwa anachokifanya ila tz sasa🤔
@nacophai.t2601
@nacophai.t2601 6 месяцев назад
Ana arosto hatare
@user-hj4xe8so4m
@user-hj4xe8so4m 7 месяцев назад
Mgonjwa atajisaidiaje jaman....hta maandiko matakatifu yanasema.😢
@user-lo3zv3sl8q
@user-lo3zv3sl8q 7 месяцев назад
Arisema akuna mungu
@Dawah99
@Dawah99 7 месяцев назад
Yupo wapi Harmo aka Tembo amsaidie huyu legend? mbona kwenye kusaidia mashabiki wake wapo kimya. Au watu wote ni jukumu la Diamond? halafu na mitusi juu. Mm sio shabiki wa WBC au Konde wala muziki..ila mimi ni shabiki wa maendeleo watanzania. Maoni yenu pls…na sio matusi.
@chibudangote0126
@chibudangote0126 7 месяцев назад
Harmonize huu upepo usiuwache nenda insta stori sema utamsaidia Chidi benz😂😂😂😂
@simonzabron5487
@simonzabron5487 7 месяцев назад
Tanzania Gully Bup.
@yusufwazili5359
@yusufwazili5359 7 месяцев назад
Anaamua tu kuzingua au,,,au ni ukweli wa maisha ya sasa,,,,
@boazimalimake8873
@boazimalimake8873 7 месяцев назад
🤔
@saimonsirikwa3141
@saimonsirikwa3141 7 месяцев назад
Iko siku atarudi hewani.. maji hufuata mkondo. Tusubiri masika irudi. Mungu amfanyie wepesi
@vocalizertz6868
@vocalizertz6868 7 месяцев назад
Sasa hapo Cha kushangaza ni nini, ni mtu gani asiyejua Chid ameathiriwa na madawa, kwa kitendo hicho ni kawaida Sana kwa mteja ,,watanzania tunajua kukuza Sana Mambo hii ni sehemu ya 4 naona hii video kana kwamba ni kitu Cha ajabu Kwa mhanga wa madawa ,achani uzuzu wabongo
@reganlawa8955
@reganlawa8955 7 месяцев назад
Jaman msipende sana kuwatangaza watu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 месяцев назад
Ndo shida ya unga hiyo wslomuuzia wakiona umeishiwa wana ku dump huna kitu na sasa hali mbaya Taifa la kesho linapukutika binafsi simuonei huruma kabisaaaaaaa aende soba kigambono
@KALULUALLI
@KALULUALLI 6 месяцев назад
Wamemzalilisha mume mwenza
@mohameddabwa7923
@mohameddabwa7923 7 месяцев назад
3:23 😢
@omarykyutta6681
@omarykyutta6681 7 месяцев назад
Teja habebeki
@mariodattany
@mariodattany 7 месяцев назад
Wanataka Kutoa ile Video yake na Mondi🤣🤣🤣 wanamtengenezea mazingira atrend kwanza. nchi ngumu sana hii
@user-ym5ko9ov2o
@user-ym5ko9ov2o 6 месяцев назад
Sisi wenyewe tunaekaa nae huku anamaisha mabaya... Zaidi ya hayo... Saa nyingine unamkuta anatembea peku
@abrahamfelix95
@abrahamfelix95 7 месяцев назад
watu wengi udhani mteja usaidiwa kuwa kumpa fedha chakula pakukaa, hapana mteja anaitaji tiba anaitaji kufanya jambo litakalo mweka mbali na vivutio vya uteja,,
@aishayassin4458
@aishayassin4458 7 месяцев назад
Anawez tafuta pesa mwenyewe cha muhim ni kusaidiwa kuacha madawa,, Kwanza Asaidiwe katika kuacha madawa sababu Amebarikiwa sana na ni mwaume mzuri pesa atapata.
@allymohamed5328
@allymohamed5328 7 месяцев назад
Da! Poda sio poa kabisa bora mimi mpenda mademu dadeki.
@RASHIDMOHAMMEDI
@RASHIDMOHAMMEDI 7 месяцев назад
Huyu jamaa kiufupi habebeki diamond platnumz kajitahidi lakini hapa naona kashindwa
@samwelmwailonda727
@samwelmwailonda727 7 месяцев назад
Uyo mwana wa maigizo sijamkubali ata kidogo alivyo mtreat chid hapo n uduanz sana. Unampa buku mbili na masimango eti atoe freestyle juu ya mbuku mbili aliyopewa daaaaah 😢
@giztony2009
@giztony2009 7 месяцев назад
Ni mshamba tuu huyu
@ashnaom2270
@ashnaom2270 7 месяцев назад
Iv wanaoleta kwanini jaman , mnateketeza watu
@koyiasunga9785
@koyiasunga9785 7 месяцев назад
Dah,sina comment ila inauimiza sana
@daudiedsonrichard509
@daudiedsonrichard509 7 месяцев назад
msichokijua ni kwamba chid hapo alipo co kuwa hana akili ila anafanya hivo akiwa na akili timamu sana. na anapima tu vile watu wanaishi nae katika hiki kipindi anachopitia. ila Mungu anakusudi nae. leo kwake kesho kwetu sisi,,badala ya kumdhihaki vibaya inatupasa tumuombee tu hichi kikombe akimalize kukinywa. Hakuna mapito yasiyo na njia ya kutokea ipo cku atakuwa sawaa na mlivyo wanafki mtaanza kumsema vzr ikiwa mmesahau maneno ya hovyo mnayo yasema sasa hivi. CHID NIMEANZA KUKUJUA ANGALI NIPO MDOGO SANA. VUMILIA TU, BINADAM NDIVYO TULIVYO ILA MUNGU BADO ANAKUPENDA SANA.WAKATI UNAKUJA NA UTAKUWA SAWA
@jakayajuma9867
@jakayajuma9867 7 месяцев назад
Anakula mabang yake anainjoy
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 7 месяцев назад
Chidy anapenda utemi anaomba ila anafanya utemi eti naomba elaa wee mara makamera😂😂
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 7 месяцев назад
Wanamziki wangekuwa matajili ila wale wanao wazamini kwenye nyimbozao ndio wanaokula pesazao yaniwanatapeliwa kwenye kazizao Kisha wanakuwa Hawanapesa ,mfano kama twent pasent gwiji lamziki
@user-nk6pl6tu2m
@user-nk6pl6tu2m 7 месяцев назад
Tatizo sio hvyo kama mnanyosema kosa la chid Benz ni kumtukana onesmo jukwaanin Kwa kutumia kidole Cha kati kipind anapafomu pale ndo diamond kamaind lakin diamond alitakiwa amsaidie asimaind ni vtu nya kawaida ingawa amekosea chid anaitaji saport
@aaa64sa13
@aaa64sa13 7 месяцев назад
Hivi ni vitu viwili tofauti. Kumtukana Onesmo na Utumiaji wa Madawa. Shida ya hayo yote yanaletwa na Uteja. Akiamuwa kuwacha Atasaidika. Unaweza kumpa Show Alafu Angukie kwenye Stage Awalaumiwa aliempa Show. Wajuwa Wabongo dakika Ugeuka. Akiamuwa Atakuwa Sawa tu.
@moviesshortclipssms
@moviesshortclipssms 7 месяцев назад
Chid kachaguliwa kama mfano watu huwa hawaelewi now vijana mpo wap na kuna somo kubwa la kujifunza yeye siyo wa kwanza kuanguka kimaisha wapo wengi chid hajafeli ila kateleza vijana tujifunze wapi alipoteleza ili tusije fika huko na kingine hakuna jamaa mwenye akili nyingi angalieni interview zake
@NGUVAA
@NGUVAA 7 месяцев назад
Huyu chid jau
@Bbwaoy
@Bbwaoy 7 месяцев назад
Chidi niwa kusafirishwa kwenda kwenye rehab nje ya nchi akae huko hata miaka 3-5 arudi.
@Adrext
@Adrext 7 месяцев назад
😂😂😂utatoa wew Hela
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 месяцев назад
Akirudi bado anaenda maskani kubugia
@abasmwika3432
@abasmwika3432 7 месяцев назад
Huyu anapenda unga ni ngumu kuacha anaupenda
@kamole3
@kamole3 7 месяцев назад
Dawa ni watanzania kumsaliti.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 месяцев назад
Tatzo huy bado anatumia madawa maskin. Vijan wana kitu cha kujifunza
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 7 месяцев назад
😳😳🙆‍♂️🙆‍♂️😭🎙
@vuaimuhidin5250
@vuaimuhidin5250 7 месяцев назад
Huyu appuuzwe akimbo Hela ,maana huruma hailei mwana
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 7 месяцев назад
Huyu aliwahi kusaidiwa zaidii ya mara moja akawa anawatukana waliomsaidia. Kama hajaamua kabisa kusaidiwa. Shida itabaki pale palee
@kinderztv9091
@kinderztv9091 7 месяцев назад
Tatzo pesa anamalizia kwenye unga maskini
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 7 месяцев назад
Wana shoot video hao
@saidseif4753
@saidseif4753 7 месяцев назад
Madawa,,madawa ya kulevya,, yanapaikana wapi,, ,!!! 🤧🤒🤕😵🤫
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 7 месяцев назад
Ukimjua Chid hauwez kusumbuka hata kdg haha hah haha
@Forester__
@Forester__ 7 месяцев назад
It is now against principalities
@almasially6509
@almasially6509 7 месяцев назад
Me sioni haja kumuonea huruma chidi, kwasababu mwanzo alitumia madawa watu wakajitokeza wakamsaidia, sasaivi amerudi tena kwenye madawa, huyo mtu unamuonea huruma wa nini?
@alexnyaganilwa4410
@alexnyaganilwa4410 7 месяцев назад
Mafunzo huja kwa njia nyingi...Akili na maamuzi ni pacha wazuri
@Tripo7unLocked7000
@Tripo7unLocked7000 7 месяцев назад
Cjuzi juzi alikua anapiga show wasafi festival
@user-mh5ve4ly9g
@user-mh5ve4ly9g 7 месяцев назад
Lamda amerogwa huyu jamaa watu wake wakalib wamsimamie na pia wamhangaikie
@kwisa4899
@kwisa4899 7 месяцев назад
mbona Rayc alikua zaidi ya chid
@ayubukedimundi3221
@ayubukedimundi3221 7 месяцев назад
Kiukweli kabisa yaani...... Sio yeye peke yake na master wengi watakuja maisha ya mitandaoni sio mazur kabisa yaani.... Si mnawaona awa wakina giggy.... Watakuja uku wabadilike.... We unamini wema ni mtu wa kutangaza kipindi cha redio..... Fem inakuja na inaisha wasanii kuweni makini kuwekeza
@danielmkama24
@danielmkama24 7 месяцев назад
Mimi ninacho cha kusema lkn siwambii
@user-lb9os4tz4w
@user-lb9os4tz4w 7 месяцев назад
Kaka yng tatizo mwazo wanatwaminisha kwamba wako vizuri kiuchumi mwesho inakua hivo. Inauma kabiss kabiss 😢😢
@gambajunior138
@gambajunior138 6 месяцев назад
Dizasta vina _Almasi
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Mwana kulitafuta mwanakulipata
@trillionthamani
@trillionthamani 7 месяцев назад
Mbona yeye ndo anagawa hela,halafu yuko happy tu acheni uzushi
@SechaDestry-cg3ny
@SechaDestry-cg3ny 7 месяцев назад
Jamaa nao wapo kwa kumziaki king Kong mak**a tu kiki zinapo zid useng**
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 7 месяцев назад
Duuh
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 7 месяцев назад
MAISHA YANA MAAJABU KWELI....HIYO VICE VERSA,,UYO TITO NDO ALITAKIWA ASAIDIWE NA CHIDI,,,,NDO MAMBO YA KIMAISHA TU.
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 7 месяцев назад
Yaani mtu kumpa mtu 2000 ndio unajirekodii usambaze.
@EsaPoju
@EsaPoju 7 месяцев назад
eti!
@joevang4685
@joevang4685 7 месяцев назад
akifa ndo wasanii watachanga
@reganlawa8955
@reganlawa8955 7 месяцев назад
Kama hawana pesa
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 месяцев назад
maisha chikamooh😢😢
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 7 месяцев назад
Madawa huyu
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 7 месяцев назад
Sio vzuri aliemrekodi🤔🤔🤔
@EsaPoju
@EsaPoju 7 месяцев назад
kabisa
@mr.romancer9160
@mr.romancer9160 7 месяцев назад
Kiki za kipuzi
@ismailabdallah4362
@ismailabdallah4362 7 месяцев назад
Siwezi kuona Huruma kwa mpuuzi mmoja ambae anajua kabisa madawa ni shida kwanini asiache muda mwingine siyo wa kuwaonea Huruma Hawa .
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 7 месяцев назад
Alimsema vibaya Simba kisa kazi yake imekwama kwa sababu hana adabu na kazi
@omartwahir7859
@omartwahir7859 7 месяцев назад
Kulikua na haja gani ya kurecord video
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 7 месяцев назад
Tupate funzo madawa so ugali
@EsaPoju
@EsaPoju 7 месяцев назад
si ndo apo sasa
@husseinmalela254
@husseinmalela254 7 месяцев назад
shida yake uyo jamaa mpumbavu sana wenzake wanapotaka kumsaidia anajifanya mjuaji sana acha azalilike ndio fundisho kwa watu waaina yake
Далее
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Просмотров 4,4 млн
ENEWZ -  Chid Benz auza mjengo wao wa Ilala
10:13
Просмотров 303 тыс.
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 240 тыс.