Тёмный

RC CHALAMILA AVAMIA DANGURO MWANANYAMARA, AWAFUKUZA MADADA POA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 295 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 708   
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 11 месяцев назад
Safi sana kwa kukemea uchafu huo Mkuu Rc Chalamila!👏👏
@salumally663
@salumally663 11 месяцев назад
Safiii sanaa...naombaa ujeee hata huku Toangoma sheli.mungu akulinde
@pispaakim5123
@pispaakim5123 11 месяцев назад
Ubarikiwe Mkuu wa mkoa, Mungu mtunze mtumishi wako chalamila, bado wanaotembea na shumizi barabarani
@pispaakim5123
@pispaakim5123 11 месяцев назад
Bado wanaotembea nusu uchi barabarani
@AsumaniYohana
@AsumaniYohana 11 месяцев назад
Ongera sana kiongozi kwa kazini zuri.unaposwa kuongezewa cheo❤❤❤❤
@abuahmad6432
@abuahmad6432 11 месяцев назад
Hatuna cha kukulipa ila tunakuombea kwa mwenyezi mungu akulipe mema kwa kazi hii ya uadilifu kiongozi wetu
@AbdallahHaroub
@AbdallahHaroub 11 месяцев назад
Mueshimiwa mungu akutie nguvu ili zoezi lizunguke tanzania nzima maadili yetu na utamaduni wetu urudi,,komesha na mavazi ya wadada wasio na adabu wanao poromosha maadili
@johnbilusha8522
@johnbilusha8522 11 месяцев назад
Be blessed mkuu 🙏🙏 maana hakuna DINI yyte inayoruhusu biashara halaamu hiyo...
@nestorymuhoja3779
@nestorymuhoja3779 11 месяцев назад
Nimefurahishwa sana na hatua za kijasiri sana alizozichukua Mh. Chalamila mkuu wa mkoa wa DSM. Mambo haya aliyaanza kuyatekeleza Mh. Paul Makonda, lakini wakosoaji wakaingilia kati na kufanikiwa kudhoofisha operation hii nzuri. Uchangudoa siyo biashara lakini ni kugandisha akili kwenye deli la ascrm na baada ya muda mfupi shida na, malazi, umasikini, uvivu na ujinga hurudia asili yake. Mungu akutie nguvu Mh mkuu wa mkoa, CCM ina viongozi bado mahili sana lakini wanahaki za binadamu na waliozoea kula bila jasho watalaani na kuingilia kati kazi hii nzuri, msitokee hata mmoja, halipo tàifa linalofanikiwa bila kuchapa kazi za kufa na kupona. CCM oyeee!, Chalamila chapa kazi brother, umenifurahisha sana!!!
@RoseJumanne-yo3ls
@RoseJumanne-yo3ls 11 месяцев назад
Mungu akutangurie kukemea dhambi ni kufanya kazi ya Mungu
@aminaomary5567
@aminaomary5567 11 месяцев назад
Kweli Rc kazi nzuri sana na DC,Meya na watendaji wote.Yaan hii tabia ikomeshwe kwa sababu bila kubomowa nyumba hizi hataludi tena humo.Bomoa kabisa.
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 11 месяцев назад
Asante mkuu wa mkoa umewaokoa watoto wetu wadada na wamama kwa kweli mambo haya yanashusha hadhi ya wakinamama
@morrisairo8267
@morrisairo8267 11 месяцев назад
Heko sana RC Chalamila! Nimevutiwa na msimamo wako, huu ujinga ukomeshwe!!
@FredyThomasi
@FredyThomasi 11 месяцев назад
Asante Sana apo umesema yani nakupa big up jamani nafanyie kazi na hao mashoga ukinipa ruksa niwauwe miwakwanza manna wanatuchafulia nchi yetu mkuu yani minatamani wafe wote Mana wanaume wanazalilika kupitia uchafu wao
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 11 месяцев назад
Mungu akubariki mnooo RC wetu endelea kufanya kazi sisi tupo nyuma yako ili ni jambo kubwa sana umefanya wameshindwa wengi kukemea hili wewe ni shujaa
@RoseLekule-j3t
@RoseLekule-j3t 11 месяцев назад
mimi nashangaa watu wengine wanatetea ,eti walikuwa wanatapa riski, sasa kwan wasiponunuliwa tuseme mtakufa njaa, RC chalamila umewaokoa dunian na mbinguni, big up
@princesinko4073
@princesinko4073 11 месяцев назад
Hawa wanaotetea uhuni huu ndio wateja wenyewe, alafu washenzi sana
@Miriam-l8g5g
@Miriam-l8g5g 11 месяцев назад
Mhmh hi ni hatar sana
@ComedySokomoko
@ComedySokomoko 3 месяца назад
Yes wanatufa risk
@angelinasendwa8633
@angelinasendwa8633 11 месяцев назад
Tumuombe sana huyu mkuu wa mkoa na.hakika ni Mungu Baba ndani yake ..shukrani kuu ikufunike na wote wanaolitakia mema Taifa hili....Madaraka halali ni kusudi la Muumbaji wetu..ndiyo maana Mungu Baba aliye hai huyafuta machafu kupitia aliyemkusudia..🙏🙏🙏
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 11 месяцев назад
Siasa2 hakuna lolote hata bashite alifanya ivi lakini hakuna kilichoendelea
@AllyMkola-u7e
@AllyMkola-u7e 11 месяцев назад
Uongozi niwatu Sasa Kama hamumpi ushilikiano atafauruje? Acha ujinga tuungane kumuombea kwa jambo hili jema.
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 11 месяцев назад
@@AllyMkola-u7e ushirikiano upi sasa hapo unaoutaka yy mwenyewe fisadi anajipatia pesa kwa dhulma
@berthasamwel9955
@berthasamwel9955 11 месяцев назад
Namshukuru MUNGU kwa jambo hili kumtumia mkuu wa Mkoa, wengine tulipita mitaani kukemea kwa sura ya dini, sasa MUNGU Ameitumia serikali. Barikiwa sana kwa hili
@PAULMALAGILA-x2l
@PAULMALAGILA-x2l 11 месяцев назад
Hongera sn rc ongezen kasi
@TwazihirwaJosam-vr1ph
@TwazihirwaJosam-vr1ph 11 месяцев назад
Big up kamamndaas💪💪💪💪💪 hiii iko pw sanaaa mwenyezi akutangulieee
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 11 месяцев назад
Uyu mkuu Mungu amlinde jamani ivi kwanini serekali amzui uchafu kama huu dar mkuu Nina Imani imani yako ime kufanya ufanye ivi Mungu akulinde Amina 😭😭
@owenswai2104
@owenswai2104 11 месяцев назад
Hongeraa mnooo mkuu wa mkoa uko vizuri
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 11 месяцев назад
Vizuri sana brother dini yoyote haikubali mambo machafu mungu akulinde brother ameen
@aishakamuli2541
@aishakamuli2541 11 месяцев назад
Kwa kweli nakuunga mkono kwa kile unachokisema hata kina mpendeza mwenyezi Mungu ❤❤❤❤
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 11 месяцев назад
Hongera sna muende na sugar ray temeke tandika na sinza ambiance
@AbdallahHaroub
@AbdallahHaroub 11 месяцев назад
Safi sana nakubali kazi yako ubarikiwe sana umeongea point sana yani kweli wew ni mzazi bora unaeiyokoa tanzania yetu
@AminaMwakiondo
@AminaMwakiondo 11 месяцев назад
hongera sana kiongoziwetu kaziiendelee
@PrivaAgust
@PrivaAgust 11 месяцев назад
Hongera mkuu wa mkoa kwajitiada za kutokomeza biashara aramu.
@Mudymnyama-xp5ou
@Mudymnyama-xp5ou 11 месяцев назад
Mashallah Allah Allah akuongozee kwa kazi zk kiongozi mwadilifu❤
@ZainaAllu
@ZainaAllu 11 месяцев назад
Mungu akubaliki tupo pamoja tunakuombea
@valenakomba9218
@valenakomba9218 11 месяцев назад
Tanzania, Asante mkuuu wa mkoa. Mungu akubariki Sanaa.
@HidayaKombo-e7g
@HidayaKombo-e7g 11 месяцев назад
Palestine today
@HidayaKombo-e7g
@HidayaKombo-e7g 11 месяцев назад
Palastina to
@HidayaKombo-e7g
@HidayaKombo-e7g 11 месяцев назад
Pa
@chinischinis6371
@chinischinis6371 11 месяцев назад
Hongera sana mkuu wa mkoa,kwa mara ya kwanza leo ndo nimekuona ukiongea kana mkuu wa mkoa kazi nzuri
@deusdedithhenry1524
@deusdedithhenry1524 11 месяцев назад
Mwenyezi Mungu akusaidie
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 11 месяцев назад
Jambo zuri ienee tz nzima tabia hii inadhalilisha sana sana tanzania nzima ienee
@omaryomary9207
@omaryomary9207 10 месяцев назад
Ahsante kaka mungu akusimamie katika kazi yako upo vizuri ila ombi langu naomba ulichukue na hili kuna baadhi ya nyimbo nyingine sio mzuri hazina maadili hata kidogo kwa watoto wetu saivi wanapitia njia njia hizo kuharibika kwao nakuomba kaka ulisimamie na hili mungu akuongoze katika hili endelea kuchapa kazi nyie ndio viongozi tunaowahitaji kwa sasa
@maruhe1958
@maruhe1958 11 месяцев назад
Mungu akutie nguvu mkuu, asante kwa kuamua kulivalia njuga safisheni dsm yote, kwa nini watu hawataki kimtafuta Mungu?
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 11 месяцев назад
Nakuelewa mkuu jaman
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 месяцев назад
Kumtafuta Mungu sio lazima
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 11 месяцев назад
Na huyu ni Mkuu Wa Mukoa kweli.Haya niliyaona wakati wa Hayati Mzee Jomo Kenyatta miaka ya sitini na sabini kwetu hapa Kenya.Mungu awasaidie ndugu na dada zangu na majirani wazuri Tanzania.
@GwebeChief-ee2oh
@GwebeChief-ee2oh 11 месяцев назад
Mkuu safi sana dangulo lingine liko temeke mwisho nalo lisafishwe mkuu tusiangamie kwa kusa maarifa
@promaInvestment01
@promaInvestment01 11 месяцев назад
Big Up... Uishi Miaka Mingi umeongeza Maneno Kuntu.. Mashaa Allah.
@hafidhbarau9981
@hafidhbarau9981 11 месяцев назад
Hongera, Mungu akuhifadhi na wenye chuki na wewe, Mungu akukweze kwenye cheo cha juu
@lyegojaphet1964
@lyegojaphet1964 11 месяцев назад
Mungu akibariki baba pga kaz
@hadijarajabu7198
@hadijarajabu7198 11 месяцев назад
Mungu akutangulie baba, hakika hili ni tatizo kubwa sana kwa vizazi vyetu
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 11 месяцев назад
Umefanya vzr sana mkuu wa mkoa ..na mungu akurindee 🙏
@masakamgalla9273
@masakamgalla9273 11 месяцев назад
niko proud sana na kazi ya Mwalimu wangu. mkuu wa mkoa. hongera sana
@tumainimwampashi6662
@tumainimwampashi6662 11 месяцев назад
Safi kiongozi MUNGU akutunze uko vizuri uovu unanajisi taifa wanaleta Lana hao kwenye nchi ....Safi nimekuelewa kiongozi
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 11 месяцев назад
Hongera sana , ametupunguzia laana
@kitotohassan9858
@kitotohassan9858 11 месяцев назад
Ubarikiwe baba mm nimeachwa na mume wangu kwa ajili ya Malaya hao baba
@SamweliMuhabwa-dr7bd
@SamweliMuhabwa-dr7bd 11 месяцев назад
Mkuu wa.....Mungu akubariki sana pamoja na Mama yetu Mama samia
@husseinbigga8021
@husseinbigga8021 11 месяцев назад
uyu mwamba anaongea.. hii speech ni km amendikiwa sem flan imepangika.. King Chalamila himself💪💪✌
@harunarashid1650
@harunarashid1650 11 месяцев назад
Ongera mkuu mungu akulipe
@hamisikigomba7721
@hamisikigomba7721 11 месяцев назад
M/MUNGU awabariki sana viongozi wetu
@skjjsj1889
@skjjsj1889 11 месяцев назад
Mkuu wa mkoa shikamoo Mungu akubariki kwa kweli huo uchafu na njia mbaya kabisaa umelikemie na kuwafukuza ahsante sn
@angeldawite9529
@angeldawite9529 11 месяцев назад
Hongera baba kwa njema
@PatrickKalinga-yw6kl
@PatrickKalinga-yw6kl 11 месяцев назад
Tunakuelewa sana mhehemwenzetu unafanyakazi vizuri sana ubarikiwe saaana🙏
@timotheomsangi-cx9nk
@timotheomsangi-cx9nk 11 месяцев назад
Kumbe nimlambwa
@yaspisardoniki6224
@yaspisardoniki6224 11 месяцев назад
Mungu akubariki sana
@skjjsj1889
@skjjsj1889 11 месяцев назад
Mkuu wa mkoa oyeeeeeee Ahsante kwa hilo😊
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 11 месяцев назад
Hapo Safisha,lakini wasaidieni kiuchumi Wabadirike kiakili na kiuchumi.na Ugumu wa maisha Tz. Siasa ziwe huduma kiuchumi Wasaidieni jamii kuwawekezea kiuchumii.Watu upenda maendereo. na Siasa porojo,hongera.M/Mkoa.upongezwe, kwa hilo.
@AlthMavika
@AlthMavika 11 месяцев назад
Asante Mh.Mkuu wa Mkoa wa DSM Kwa kuwapambania wa Tanzania
@mussakiligaliga4348
@mussakiligaliga4348 11 месяцев назад
Chalamila nakukubali zangu dua
@malimamashaka5546
@malimamashaka5546 11 месяцев назад
Hapo sawa kiongoz
@Mbaraka-r2r
@Mbaraka-r2r 11 месяцев назад
Mashallah mkuu m/mungu akulinde na mahasdi❤❤❤❤
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 11 месяцев назад
Safi kabisa ❤ Mungu akubariki na akutie nguvu
@MaulidMaulid-w2s
@MaulidMaulid-w2s 11 месяцев назад
Safi sana wewe ndio mkuuu mwenye fact zako mungu akutie nguvu naafya mkuu wamkoa good job
@muchunguzisimon7846
@muchunguzisimon7846 11 месяцев назад
Mungu akubariki kiongozi
@veronicafisoo997
@veronicafisoo997 11 месяцев назад
Tunamuona Mungu ktk hili kwakweli!!Mungu akutunze mkuu wa mkoa wa Dar,kwa hili umeonyesha"ushujaa"haswa ubarikiwe Sana,wengine waige kwako.
@HassanFaki-ko9wk
@HassanFaki-ko9wk 11 месяцев назад
Hongera mkuu wa mkoa Allah akupe kilala heri kwa kazi unayoifanya hivi ndivyo inavyotakiwa lazima kama kiongozi uondoe uchafu wa zinaaa.
@DelphinaCharles
@DelphinaCharles 11 месяцев назад
Baba mungu akubariki kwa uamuzi huko
@lakisuleimani9112
@lakisuleimani9112 11 месяцев назад
Safi Sana Asante sana mkuu wa mkoa kaka yetu chalamila
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo 11 месяцев назад
Kwa mwendo huu Dar itanyookaa sana Blessed
@azizimasenga3893
@azizimasenga3893 11 месяцев назад
Mwenyezi mungu,msimamie huyu Mja wako kwakukemea Mambo ya kishetwan,Na umpe umri mrefu wenye baraka pamoja na famiria yake.
@AlfredSenkondo-mi3wf
@AlfredSenkondo-mi3wf 11 месяцев назад
God bless mama Samia God bless Chalamila
@lawrenceleonard2007
@lawrenceleonard2007 11 месяцев назад
Hongera sana kawaida 3,000 stylee 7,000 kulala 20,000
@selemansombe4177
@selemansombe4177 11 месяцев назад
Mola akulinde sana ndugu RC
@amanihussein6148
@amanihussein6148 11 месяцев назад
Safi sana Allah akupe maisha marefu mkuu wa mkoa
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 11 месяцев назад
Hongera chalamila nimekuelewa keepup Mungu akubariki.
@rizikiallie3266
@rizikiallie3266 11 месяцев назад
Nakupongeza sana mkuu wa mkoa Chalamila Kwa hili Allah azidi kukupa maono
@christaoman8890
@christaoman8890 11 месяцев назад
Safi sana mkuu wa mkoa wa.dar.es salaam piga kazi big up
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 11 месяцев назад
Safi sana Mungu akutangulie
@valenakomba9218
@valenakomba9218 11 месяцев назад
ASANTE CHALAMILA. WEWE NI MTOTO WA MUNGU. MUNGU AKUONGEZEE IMANI .
@JosephTibu
@JosephTibu 11 месяцев назад
hatari sana, mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 🙏
@jemxruni
@jemxruni 11 месяцев назад
Wewe unatufaa mweheshimiwa asant
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 11 месяцев назад
Mungu akulinde.charamila.tuikomboe.Tanzania barikiwa
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 11 месяцев назад
Asanteee tutakuombea Mungu akuonyeshe zaidi ya hapo
@AmeenaTanzania
@AmeenaTanzania 11 месяцев назад
Mungu akulinde Kila atuwa unayo piga kwa kutetea taifa linapotea nguvu kazi inaangamiya yani watoto wetu mpaka wakiume jamani ili nijanga kwa kweli mungu tusaidie
@sefumohamed8117
@sefumohamed8117 11 месяцев назад
Ongera sana kiongozi 🙏🙏
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. 11 месяцев назад
Safi sana mheshmiwa
@hashimpalekar1565
@hashimpalekar1565 11 месяцев назад
Mwenyezi mungu akulinde mkuu wa mkoa ,unafanya kazi ambayo ni mfano kwa uongozi,Allah akulinde
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 11 месяцев назад
Hongera sana. ni kama mahubiri
@kiliannesphorylaurence826
@kiliannesphorylaurence826 11 месяцев назад
Tupo nyuma yako. Mkuu wa Mkoa wetu. Mungu akulinde sana kazi njema.. sana san.. hakika d thawabu yako ipo.. mbinguni
@nasmasanga1902
@nasmasanga1902 11 месяцев назад
Safi Sana mungu akusimamie
@NicasJoseph
@NicasJoseph 11 месяцев назад
Hongera mkuu
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 11 месяцев назад
Ubarikiwe mkuu wa mkoa wewe na uzao wako wa kike na wakiume ,Mungu wa mbinguni akubariki.
@hono1232
@hono1232 11 месяцев назад
Sasa shughurikieni pia watu wa mapenzi ya jinsia moja pia !
@abdallahrenatus6677
@abdallahrenatus6677 11 месяцев назад
Hili ni muhimu zaidi.
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 11 месяцев назад
@@abdallahrenatus6677 WAPUUZI WENGINE NI VIONGOZI WA NCHI HII NDIO WANAWATUMIA MASHOGA.
@MrA24G
@MrA24G 11 месяцев назад
Tena shughulikieni sasa ya jinsia moja mashoga na wasagaji jtahdini Kwa hao maana hao mpk haki za binadam sasa hviii wanawalinda chalamila deal na mashoga na wasagaji maana hiyooo ni laana kbsaaà hata Kwa taifa.
@suleseif2678
@suleseif2678 11 месяцев назад
Safi
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 11 месяцев назад
Umeongea point sana mkuu shida zipo lakini zisikudhalilishe safi sana
@FrankThomasi
@FrankThomasi 11 месяцев назад
Hongera sana Mheshimiwa hii nyinyi ndo viongozi wetu
@allykondo8406
@allykondo8406 11 месяцев назад
Viva Chalamila uko vema Allah (sw) akusimamie Bado buguruni brother
@NeemaIssa-pj9yj
@NeemaIssa-pj9yj 11 месяцев назад
Mkuu nakupongeza kwa ilo mungu atazidi kukupa hekima na busara
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 11 месяцев назад
Washindwe kwa jina la Yesu
@ZainabName
@ZainabName 11 месяцев назад
Mungu akubariki kwa kazi nzurivunja kabisa.mabas yote tanzania
@nelsonandrew2638
@nelsonandrew2638 11 месяцев назад
Hongera sana mkuu wa mkoa wa Dar-es laam
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 11 месяцев назад
Hiyo ni sawa kabisaa ila kubomolewa naona wenye hela zao wanataka viwanja tayari
Далее
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 121 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37