Тёмный
No video :(

RC KIGOMA ASEMA ''PUUZENI, MTU KAOKOTA PICHA HUKO, HUU NI UPOTOSHAJI MKUBWA'' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 3,8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 10 месяцев назад
Kwahilo vumbi mimimwenyewe nakubali hiyo ni kigoma kabisaa tena wilaya ya kasulu😂😂😂😂😂
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Год назад
Kigoma ya leo siyo zamani,lami mpaka kijiji cha itumbiko,nani kama Mama!!
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 8 месяцев назад
Upotishaji wapi? Hao waajiriwa wote wanafika kigoma kwa ndege?
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Duh! Kila la kher, fanyeni kazi vijana
@iziraatv6029
@iziraatv6029 Год назад
kazi kazi
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Год назад
Asiyetaka kazi aondoke 😅😅 Kigoma raha
@mabwetebrown5432
@mabwetebrown5432 Год назад
😂😂😂😂 hii ndio bongo bhana
@dichaelbruno3839
@dichaelbruno3839 Год назад
Andengenye nakukubali mi ni mwana Kasulu, Kigoma yetu ya leo siyo ya zamani.
@nth3512
@nth3512 Год назад
Weee kasuru kuna vumbi balaa. Angalia boda boda wote utawakuta nywele nyekundu, hata nyumba zilizo barabaran ukuta umebadilika rangi. Pia wanatumia probox kama usafiri lakini ukikaa kwenye hiyo probox ukiamka tu ni balaa. Nilienda kuoa nikavaa kanzu nyeupe sikujua kunafananaje. Duu balaa
@shahamtindo
@shahamtindo Год назад
Kweli ni uzandiki, kama hawataki si waache watupishe tuliokosa, pumbavu zao, wanafki wakubwa🚮🚮
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
😂😂😂😂
@nth3512
@nth3512 Год назад
Kasuru kuna vumbi balaa. Angalia boda boda wote utawakuta nywele nyekundu, hata nyumba zilizo barabaran ukuta umebadilika rangi. Pia wanatumia probox kama usafiri lakini ukikaa kwenye hiyo probox ukiamka tu ni balaa. Nilienda kuoa nikavaa kanzu nyeupe sikujua kunafananaje. Duu balaa, na kanzu yangu ilifubaa mpaka leo siitumii tena
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
😂😂😂Acha
@nth3512
@nth3512 Год назад
@@saumusalimuhassan2499 Yani si mchezo, mpaka leo ile kanzu yangu mpyaaa sikuweza kuivaa tena, nilifua lakini ilifubaa iko hom tu kwenye kabati
@nth3512
@nth3512 Год назад
Sa dereve wa probox alinionea huruma akasafisha siti ya mbele nikae lakini wapi, kilichonishangaza nikahisi hapo mbele nitakaa pekeyangu kumbe ni siti ya watu wawili. Hahaha, yani mbele tulikaa watu wanne (4), hadi dereva anashare siti na mtu mwingine. Nilikoma sidhan kama itakuwa rahisi kurudi huko. Niliikumbuka Dar siku hiyo
@danieljosiah2628
@danieljosiah2628 Год назад
@@nth3512 Usijali Kigoma unayoiona/unayoisikia ni tofauti na utakavyoisikia baada ya miaka 2 ijayo, hizo changamoto utazisikia kwa wengine sio kwetu tena. Kumbuka kuwa hata huo mji wa DAR ulioukumbuka sio kwenu maana Bibi na Babu zako hawakuzaliwa DAR, huko walikozaliwa ndio kwenu pia. Wewe ni mtafutaji kama wengine tu. Kigoma na Dar yote ni mikoa ya Tanzania hakuna utofauti kumbuka hilo.
@hamisikapute598
@hamisikapute598 Год назад
Tuambie ww kwenu tukudadavue
Далее
A Minecraft Movie | Teaser
01:20
Просмотров 25 млн
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 5 тыс.
UCHAWI WA MESSI SI MCHEZO !!!
12:55
Просмотров 1,2 млн
Dangote Refinery Begins Its First Petrol Rollout
8:17
Просмотров 4,2 тыс.
How Offshore Oil Rigs Work
12:05
Просмотров 2,9 млн