Тёмный

RC MAKONDA AGEUKA MBOGO, AWAKAANGA VIKALI WANAOTUMIA VIBAYA NENO LA MUNGU KUWARUBUNI WANANCHI..... 

JAMBO TV
Подписаться 925 тыс.
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 6 часов назад
Kupandisha wanasisa kwenye jukwaa la upako ni upotofu na kumwaribia mtumishi wa Mungu
@josephshaibu8049
@josephshaibu8049 6 часов назад
Viongozi wa dini wanafanya Siasa viongozi wa Siasa wanafanya Dini ......Mulemule tu
@estambuya3901
@estambuya3901 6 часов назад
Makonda hapo unapogusa ni pabaya, mwamposa alikuja kutuua moshi.
@MercyMbonde
@MercyMbonde 43 минуты назад
Kazi ya kanisa nikuirekebisha na kuipanga dunia ikae katika njia sahii ya kumpendeza Mungu. Hivyo kila aliyepo duniani akifanya tofauti na Mapenzi ya Mungu inabidi aambiwe haijarishi nafasi yake.
@LucianSanga
@LucianSanga 6 часов назад
Kiama kime karibia Chukizo lime simama Patakatifu Pa BWANA
@MkudeSimba-p3f
@MkudeSimba-p3f 5 часов назад
Ni vyema ulivyowafichua ili umma uwaelewe kwani wanatia aibu badala ya kujikita zaidi kiroho wenyewe wanashuka na kupanda juu ya majukwaa ya kisiasa kila wakati !wanakera sana
@mwanache
@mwanache 3 часа назад
Na yeye anafanya nini kwenye madhibahu… awaachie wenye kazi yao. Kanisa lina waganga njaa kama ilivyo serikalini kuna wezi na wabadhilifu wa mali za umma/wananchi! Kila mtu afanye kazi yake kwa maadili na uaminifu na Mungu na watu wake watamjua mtu huyo. Embu msituzingue na hizi kelele za kilevi cha madaraka na sifa.
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 6 часов назад
Kumueka Makoka kwenye jukwaa ili ni kualibu kazi ya uyo mwamposa Kwanza maana uo ni ulopokaji amna Mungu apo niuongo uongo ,,Makonda kasome vizuri neno la Mungu umepotokaaa na hao wasio soma vizuri neno la Mungu
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 6 часов назад
Hapa Makonda nimemwelewa
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 7 часов назад
Roho ya utambuzi ni uganga na ni uchawi.
@EdesAron
@EdesAron 5 часов назад
Anapotosha pakubwa eti Eliya hakuitwa nabii Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
@MeshackErnest-qt6xi
@MeshackErnest-qt6xi 6 часов назад
Ndo shida za watumishi kuwakabidhi wanasiasa Madhabahu mwisho wanaona wao wanajua kila kitu nakuanza kuwafundisha waliowakaribisha sasa wanauliza maswali kwasababu walicho wafundisha sio hicho wanachofanya kwanini wasiulize. Boss ni Mungu tu kwani mtoto Akikosea lazima umuombee na kumuonya acha watu juzi mwandishi wa millad Ayo akiwa anatimiza majukumu yake ukatoa maelekezo wamnyang,'anye Camera mbona hukuomba hapa unakuja unasema siasa. Sio Mungu anasema
@Malata_francis
@Malata_francis 2 часа назад
Kuna vipengele anakosea. yule siyo alikuwa Mfalme Nebukadreza bali ni Alikuwa Farao.
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 6 часов назад
Makonda unapotosha mambo taifa kama linaanguka mara zote viongozi wa dini walitumwa kuwaonya viongozi wa serikali kuhusu uovu wao Leo nimegundua makonda ni kiongozi mpenda sifa na sio kiongozi mzuri hamuwezi kufanya makosa na hamtaki maonyo
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 2 часа назад
Huyu jamaa,haogopi,Huwa anaongea kile anachoamini,kama ulitaka asifu ujinga, makonda hayupo unavyodhani.akili kubwa huyu jamaa
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 6 часов назад
Sasa huyo mwamposa mwenyewe ni kiongozi wa Mungu wapi makanda fanya siasa achana na mambo ya dini uje kanisani kusali sio kuzungumzia serikali kanisani
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 2 часа назад
Ila kiuhalisia binadamu akipata kila kitu anajiona anajua kila kitu, sasa huyu anaongea nini
@ThomasAlute
@ThomasAlute 7 часов назад
Wewe mwamposa ni tapeli mkubwa huyo na wewe ni msenge kweli Tena mwamposa ni kada wa chama Cha mapinduzi tunamjua sana
@simongwandu7392
@simongwandu7392 6 часов назад
Wewe mnyaturu unamfuata mwenzio matusi ni dhambi
@jumanneomary2997
@jumanneomary2997 23 минуты назад
Wewe chama chako je tuambiye
@rejobu9723
@rejobu9723 6 часов назад
Hapa binafsi nimeondoa credit yangu juu yako kaka yangu makonda kimsingi ni hivi, Huwezi mpangia mtu alie kwa kiasi furani watumishi wanao hoji kuhusu jambo furani bac na waheshimiwe kwa sababu sote tunahaki ya kuongea & kuhoji kwenye jambo ambalo linahitaji majibu
@mataypanga5262
@mataypanga5262 6 часов назад
Kumbe na wewe Makonda ni mwana wa Mungu,mbona Mungu hajatuambia wewe ni mwanae wa pili😂. Halafu unadanganya watu kazi ya viongozi wa dini ni kuomba tu,kwani wao ni ombaomba?
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 6 часов назад
Huyu mtu kaua zaidi ya watu 20 Moshi leo anaitwa maarufu?
@simongwandu7392
@simongwandu7392 6 часов назад
Waambie wamepungukiwa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 6 часов назад
HUYO NAYE UPAKO WAKE NIWADUKANI.
@cassianmkeko1514
@cassianmkeko1514 7 часов назад
Makonda ni Aposto aliyepo Serikalini mpigie makofi tafadhili 🔥🔥🔥🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪
@mataypanga5262
@mataypanga5262 6 часов назад
Ni zaidi ya aposto,Makonda ndiye Mungu mwenyewe 😂
@EdesAron
@EdesAron 5 часов назад
Ndiye mungu wa dunia hii😂😂😂
@muhasatv9245
@muhasatv9245 4 часа назад
Ni MUNGU KABISAAAAA
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 часа назад
Hapo umenena​@@EdesAron
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 часа назад
Hongera zetu watanzania tumempata Mungu,kwa mara ya kwanza amejitangia katika jiji la Arusha😂​@@muhasatv9245
@mataypanga5262
@mataypanga5262 6 часов назад
Wewe una kifua ,nani kakupa kifua cha ugaidi . Kwa akili ya Makonda viongozi wa dini wasiambie watu kitu,ila wapige kelele hewani tu.Yeye haelewi kwamba yaliyoandikwa kwenye biblia waambie watu hai kama yeye😂.Umeinajisi Tanzania kupitia ukuu wa mkoa wa Arusha,kutukana viongozi wa dini na Mungu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 часов назад
NA SASA MAPALOKO NA WACHUNGAJI WAMEINGIA SIASA KWA FUJO TU MATUSI 😢😢
@MrCchadogi
@MrCchadogi 4 часа назад
siasa na dini huwa haviachani
@josephlorri431
@josephlorri431 6 часов назад
Umevimbiwa makonda..huwezi kuwananga viongozi wanaohoji kupotea/kutekwa/kuuawa watu,wanaohoji haki za maasai wa ngorongoro.. umekuja na hasira na matusi.. hata JPM naye aliwasema vibaya viongozi wa dini akina archbishop Ruwaichi.. wewe na mwamposa ni wezi
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 5 часов назад
PALOKO UMESAHAU ALBINO WANAMALIZWA NA WAGALATIA KIMYA 😢😢😢
@josephlorri431
@josephlorri431 4 часа назад
@@OmmyJames-xn7ji sawa,naye amekamatwa..ubaya hauna kwao. Kila moja apewe haki inayomstahili.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 часа назад
@@josephlorri431 LAKINI HATUJASIKIA WAGALATIA WA KIBWEKA 🥳🥳🥳🥳🥳
@josephlorri431
@josephlorri431 2 часа назад
@@OmmyJames-xn7ji lugha yako ndo unavyofundishwa kwenye imani... amekamatwa pamoja na wenzake na kesi iko mahakamani.. tunauliza wale wanaotekwa then kuteswa/kuuawa, wengine hawajaonekana.. acha jazba na mihemuko ya kidini,fikiri kidogo tu utaelewa. Sisi wote watanzania ndugu,tutunze amani yetu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 часа назад
@@josephlorri431 HAWO TUMUULIZE PADRI SLAAA ANAWAJUA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@simongwandu7392
@simongwandu7392 7 часов назад
Piga injili makonda
@josephlorri431
@josephlorri431 6 часов назад
Hakuna injili hapo..ni siasa na taarabu..hana hoja.
@MeshackErnest-qt6xi
@MeshackErnest-qt6xi 6 часов назад
Ndo shida za watumishi kuwakabidhi wanasiasa Madhabahu mwisho wanaona wao wanajua kila kitu nakuanza kuwafundisha waliowakaribisha sasa wanauliza maswali kwasababu walicho wafundisha sio hicho wanachofanya kwanini wasiulize. Boss ni Mungu tu kwani mtoto Akikosea lazima umuombee na kumuonya acha watu juzi mwandishi wa millad Ayo akiwa anatimiza majukumu yake ukatoa maelekezo wamnyang,'anye Camera mbona hukuomba hapa unakuja unasema siasa. Sio Mungu anasema
Далее
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
Просмотров 85 тыс.