Kipotosh na Eliud tyr wameshapair sasa xnyng nikiwaona mkiwa pa1 jmb huwa linanoga sn hkn hata haja ya muziki yani hata DJ hkn haja ya kumkodi mnapunguza garama kwa kwl kwa wny shuguli yao🤣😂🤣😂😂na hata hamtumii nguvu safi kabisa👏👏👏👏👏👏👏
Ahsanten kwa show, ila nina swali langu kuhusu Chanel ya E Tv mbona picha yake aipo na ubora kama chenel zingine, yaan picha inaonekana ya mawingu mawingu picha sio ang'avu.
@@salomewandya7257ndo namshangaa kuna watu ni wajinga yani bundle lako unaangalia mpka mwisho bado unatumia bundle lako kucoment hujacheka 😂😂 si upumbavu aseh