Jamani mumenibariki ila sijui nimacho yangu nimemuona kijana mmoja kwenye kwaya hii amesuka nywere sijaerewa naomba niereweshwe sijaerewa kuwa ni mdada au nimwanaume?@@rejeoicegospelchoir
Najua shetani kuzim kavurugwa kupitia huu wimbo,,ni moja ya wimbo mkal sana kwa Sasa Tz na ni moja ya kwaya inafanya vzr sn,kiufup mko vzr na mnaweza kabisaa Sina wivu naomba mpokee maua yenu
Hii nyimbo imeniganda hatari. Haitoki kichwani aisee. Wimbo mzuri sana ila anayeimbisha sauti yake imepoa vizuri inaninogesha wimbo Sanaa. Mbarikiwe sana
This is beyond repeat mode.... I love this song its my testimony as i walk out of hospital with my baby after 5 days on oxygen. God healed her, all by grace. Glory to God most High
Tangu nimeanza kuusikiliza huu wimbo usiku wa saa tatu hadi sasa ni kama mara ya 70 upako mkubwa sana hata kabla mwaka uishe mimi nimejipatia my best song of the Year
It's my best song ever. God bless you, my sons and daughters. This is my church's choir, Mafinga, iringa Tanzania East Africa. We welcome all. When you visit in Tanzania.
Nitazama nyimbo zote humu RU-vid zingine wamezipamba kwa kwenda baharini kupiga picha wengine wamevaa vizuri ila hawa wameimba rohoni mbarikiwe wote waimbaji humu mnaposhuti embu ingieni maombi
Nikisikiza huu wimbo najikuta moyo wangu unabubujika san kutokana na matendo makuu Mungu aliyo nitendea, ooooooh asante YESU kwa kwanipa neema wala haikuwa rahisi🙏🙏🙏
Kwa kweli ni neema ya mungu imenibeba kufika mahali nilipo. Mungu atukuzwe kwa huu wimbo mzuri n azidi kuwabariki watumishi wake kwa kujitolea kufanya kazi yake
Ave listened to this song with my tears shedding 😢😢,,kweli ni neema this far God has been faithful "Ni neema ya Mungu😢😢😢,sio akili😢😢wala ujanja wangu😢😢...Very impartful😢😢😢
My song of the year and the whole life remain,ni neema ya Mungu,neema imeniweka mahal sikustahili,kuvunjwa moyo Kwa kiwango Cha juu,lakini neema ya Mungu ikanibeba mpk hapa nilipo,nashangaa,😭sina maneno mazuri ya kusema,ila hii neema imenibeba haswaa,Asante BABA Kwa neema Yako😭😭❤️💪💪
Kumbe nyumbani kwetu kabisaa huu wimbo nimeutafuta snaaaa niliusikia kwenye bus nikajikuta nalia nikija Mafinga nitawatembelea huu wimbo ni ushuhuda wa maisha yangu kabisaaaa😢😢😢😢bila Neema ningekua nimekufa zamani snaaaa@@rejeoicegospelchoir