Тёмный
No video :(

REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU NI HATIMA/ ADAMU UKO WAPI? 

Rev. Dr. Eliona Kimaro
Подписаться 154 тыс.
Просмотров 4,4 тыс.
50% 1

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
IBADA YA MORNING GLORY: THE SCHOOL OF HEALING
'HII NI KWARESMA:SIKU YA 12
28/ 02/ 2024
MADA:
NIDHAMU NI HATIMA
DISCIPLINE IS DESTINY
SOMO LA LEO: ADAMU UKO WAPI?
(WHERE ARE YOU ADAM)
Mwanzo 3 : 8 - 13
Mwanzo 48 : 17 - 20
NENO KUU:
"Zitafakarini njia zenu"
(Consider your ways)
Hagai 1:7
Mwanzo 3 : 8 - 13
8 Kisha wakasikia sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone.
9 Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
10 Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.
11 Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?
12 Adamu akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.
13 Bwana Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala.
Mwanzo 48 : 17 - 20
17 Yusufu alipoona kwamba babaye anaweka mkono wake wa kuume juu ya kichwa cha Efraimu, ikawa vibaya machoni pake. Akauinua mkono wa babaye auondoe katika kichwa cha Efraimu, ili auweke juu ya kichwa cha Manase.
18 Yusufu akamwambia babaye, Sivyo, babangu, maana huyu ni mzaliwa wa kwanza; weka mkono wako wa kuume kichwani pake.
19 Babaye akakataa, akasema, Najua, mwanangu najua, yeye naye atakuwa taifa, yeye naye atakuwa mkuu; lakini ndugu yake mdogo atakuwa mkubwa kuliko yeye, na uzao wake watakuwa wingi wa mataifa.
20 Akawabariki siku ile akasema, Katika ninyi Waisraeli watabariki, wakisema, Mungu na akufanye kama Efraimu na Manase. Akamweka Efraimu mbele ya Manase.

Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Опубликовано:

 

28 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@kiwangochristian67
@kiwangochristian67 5 месяцев назад
Mchungaji hakika Tangia nimekujua na kuanza kufatilia hii channels hakika napata kitu kipya daily God bless my father!
@judicalosika7642
@judicalosika7642 4 месяца назад
🇮🇱Mchungaji Eliona Kimaro!!! Sijui nikuite nabii sijui nikuiteje! Clip hii nimeisogeza Kwa marafiki Ndugu na shemeji zangu. Nisomo zuri zuri zuri zuri zuri zuri zuri sana sana sana!!
@user-lc3pl5le3r
@user-lc3pl5le3r 5 месяцев назад
Ubarikiwe mtumishi unatupa faraja ya mioyo kwakweli wanawake wengi tumeasirika tunapokusikiliza mahubiri yako yanatufariji na tunazidi kusimama kwa maombi
@marymalasi7039
@marymalasi7039 5 месяцев назад
God bless you
@user-ve7ig7qu1u
@user-ve7ig7qu1u 5 месяцев назад
Mungu akubariki sana sana baba angu
@zephaniapaul9592
@zephaniapaul9592 5 месяцев назад
Mungu akubariki mtumishi 🙏
@hellenrobinson2566
@hellenrobinson2566 5 месяцев назад
I connect🙏
Далее
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
Просмотров 7 млн
REV. DR. ELIONA KIMARO:  BARAKA YA KIVIZAZI
47:26
Просмотров 7 тыс.
Ahadi ya Yanga kupata uwanja ipo pale pale
32:01
Просмотров 7 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MANENO YA WATU
58:21
Просмотров 12 тыс.
Kwanini Umezaliwa
59:32
Просмотров 68 тыс.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
Просмотров 7 млн