Тёмный

LIVE:🔴MAKONDA AFUNGUKA ALIPOPELEKWA,LEO ARUSHA ITAKUSIKITISHA anasema wanilite........ 

dax media
Подписаться 2,3 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@daxmediaupdates
@daxmediaupdates 2 месяца назад
Mange kimambi afunguka kuhusu makonda 👇👇👇👉👉ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-w5I067C-Qjw.html
@FidelMaheke
@FidelMaheke 2 месяца назад
Acheni aseme mwenyewe
@ligoarai1469
@ligoarai1469 2 месяца назад
Hvi huu uandishi wa habari mumeukota maana mara sumu mara likizo mengi meng Sana kwann msitafute taarifa zenye uhakika mnazusha vitu vya uwongo Sana watanzania wameshawaona waongo San a achen hayo mnaunganisha picha za uwongo uwongo hazina maana kwasababu hazina ukwel. Sheria iko wap ifanye kazi yake
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 2 месяца назад
Kweli ihi bongo bahati mbaya Kila kitu ni shida makonda tunakuitaji san
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 месяца назад
Hadi tusikie sauti yake Ndiy tutaamini km yupo salama
@RedeemerElias
@RedeemerElias 2 месяца назад
Kwanini in bananga aongee kama karejea nawe in mwandishi muoji yeye mwenyewe kama yupo azungumze mwenyewe acha utoto mwandishi
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 2 месяца назад
We nani? Uongee? Tunamtaka mwamba makonda wetu
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 2 месяца назад
Uyo mtu anae sema uongo akipotea yey atajisikiaj Au familia yake
@JoyfulRockFormations-re6fm
@JoyfulRockFormations-re6fm 2 месяца назад
Afu ninyi mmesoma vyuo gani? Kwann uzungumze wewe badala ya mhusika, kamahamnakazi zakufanya anzenikujipanga kwa kutafuta kazi nyingine yenye maslahi zaidi.
Далее
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37