Тёмный

REVENGE (1) 

Dubu Tz
Подписаться 92 тыс.
Просмотров 191 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 654   
@directorkakoso
@directorkakoso 7 месяцев назад
Good work 🔥💪
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
Shukrani kaka 🙏🙏🙏
@Credokiwaga01
@Credokiwaga01 7 месяцев назад
Clam vevo aki fanya kitu yani wote wana fanya ina onekana Clam vevo ana inspire watu wengi
@Official-Bee
@Official-Bee 7 месяцев назад
​@@Credokiwaga01.. akili zako hizo, watu wangu chapeni kazi waombea lazima waongee, nawapenda sana 🎉❤🎉❤❤❤❤
@AbbasMagambo
@AbbasMagambo 7 месяцев назад
@@OfficialDubu_tzsafiiii
@nasraally4740
@nasraally4740 7 месяцев назад
❤❤❤
@ScholaMalale
@ScholaMalale 7 месяцев назад
Kaka dubu kazi yako ni nzuri jitaidi kwenye damu hapo iwe damu haswa sio inaonekana damu ya njano
@saiditingatinga5314
@saiditingatinga5314 7 месяцев назад
Atafute Vampire blood itamsaidia sana
@aishaomar2287
@aishaomar2287 7 месяцев назад
Mnajua haya maneno aisee😂😂
@Saaa235
@Saaa235 7 месяцев назад
Yes
@aishaomar2287
@aishaomar2287 7 месяцев назад
@@Saaa235 nipoa,hope atafata ushauri
@TitusKurui
@TitusKurui 7 месяцев назад
Kweli damu ionekane kama damu kweli
@LoolKing-z5z
@LoolKing-z5z 4 месяца назад
Jamani dubu sijapenda damu venye inakaa jitahidi kwa hapo from Riyadh, KENYA 🇰🇪💪🔥
@JeanClaudeMbirize-gn3sv
@JeanClaudeMbirize-gn3sv 7 месяцев назад
Kazi zuri ndugu yangu Allah awe nawe ndugu yangu ila apo maeneo ya damu jitahidi iwe n'a rangi ya kweli tu itakuwa vzr
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏🙏
@EmmyMo
@EmmyMo 7 месяцев назад
Mapema sana brother🎉🎉🎉🎉Good job tumekuja kivingine now❤❤🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@MariamMariam-h8h
@MariamMariam-h8h 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂umepata msiba wa ghafla😂Niuweni na kicheko team Dubu..much love from 🇰🇪 nipeni likes zangu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤣🤣
@SofiaKazungu
@SofiaKazungu 6 месяцев назад
Much love from saudia Arabia nice work dubu i really appreciate that ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@AnishaMariam-e7k
@AnishaMariam-e7k 7 месяцев назад
This guy never disappoints ❤ much love from 🇺🇬
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@paulchegele2678
@paulchegele2678 7 месяцев назад
Nilichopenda....ni kuwa scene inalenga point tu afu inaingia nyngn....hakuna kupoteza mda Wala kuchoshana.....Hii inaongeza concentration Sana wakat wa kutizama ili usipitwe.....Art is life👏👏👏👏
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@MercylineKwamboka
@MercylineKwamboka 7 месяцев назад
Kazi nzuri sana dubu udugu wangu ila apo kwenye damu jitaidi nduguangu fanya jambo basi🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤝🤝
@LewisHamiltonGLD
@LewisHamiltonGLD 6 месяцев назад
Pongezi sanaaaaaaaa Kwa kazi yenyu ❤❤❤ much love from Kenya
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 6 месяцев назад
🥰🥰
@onanarosse9657
@onanarosse9657 7 месяцев назад
Man dubu again, safi sana Mzee nimefurahi kumuona tena nyani ngwengwe 😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤣🙏
@mwakiretililian3530
@mwakiretililian3530 6 месяцев назад
Dubu nakukubali sana..your friend from Kenya...kazi nzuri but exaggeration is aloot...in otherwise uko vizuri
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 6 месяцев назад
🙏🙏🥰🥰
@stevenkomba4621
@stevenkomba4621 7 месяцев назад
Hii 😂😂 saf sana Yan hii muvi inaanza na kuuwana good job master Dubu Tz Tupo Pamoja kk
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🤝
@ishladyishlady7897
@ishladyishlady7897 7 месяцев назад
Kazi nzuri sana dubu na team yako nawakubali tu sana ❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@aishaomar2287
@aishaomar2287 7 месяцев назад
Dubu wasema hakuna kulala...keep going na team yako Mola Yunanyi
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
Amiin Inshaallah 🤲
@RizikiZiki
@RizikiZiki 7 месяцев назад
'waooo naona Dubu ametuleyeya kitu kipya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🥰👌
@maombiakim4937
@maombiakim4937 7 месяцев назад
Jaman hap kweny damu sasa bora hat nyanya ya kachumbali mjitahid inayofat ila kaz ni nzuri ❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤🎉 Watu mnawai jomoni me nikajua nitakuwa wa kwanza ❤❤❤❤❤🎉 ila sijachelewa🎉 kitu kipya tunacho tunatamba nayo😋❤️ongera dubu 🎉🎉❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@angelinarose7142
@angelinarose7142 4 месяца назад
❤❤❤❤dubu kazi yako nzuri​@@OfficialDubu_tz
@Maokototv100
@Maokototv100 7 месяцев назад
Kaz nzur brother, nataman siku moja nishut na ww , nakubal sana uwezo wako
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
Inshaallah
@MARLIJAYOG
@MARLIJAYOG 7 месяцев назад
Umetisha kaka 🔥👊🔥👊
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏
@SaumRajab
@SaumRajab 7 месяцев назад
Weeeeeee dubu umepigaje hapo 😂😂alafu kakaa umeupiga mwingi ❤❤ Asante kwa mara nyengine tena nyani ngwengwe na mtumishi moto 😊😊😊
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@akilimashongocesar1473
@akilimashongocesar1473 7 месяцев назад
Dubu tz mimi nipo drc🇨🇩 nafatilia filamu zako hakika wewe ni meilleur acteur
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@LovelyCorgiPuppy-ys8sy
@LovelyCorgiPuppy-ys8sy 7 месяцев назад
❤❤ vizur dam boresha alafu punguza mapoz
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🤝
@LovelyCorgiPuppy-ys8sy
@LovelyCorgiPuppy-ys8sy 7 месяцев назад
u
@LovelyCorgiPuppy-ys8sy
@LovelyCorgiPuppy-ys8sy 7 месяцев назад
pw
@mariamdennis9576
@mariamdennis9576 7 месяцев назад
Mwanangu dubuuu😂😂😂😂nyan ngwengwe 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🤝
@bramwelsituma6375
@bramwelsituma6375 7 месяцев назад
From kenya watching alive, ,good worker brother dubu,God bless you...
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🤝
@bramwelsituma6375
@bramwelsituma6375 7 месяцев назад
🫶🙏❤️
@wardahcharles1951
@wardahcharles1951 7 месяцев назад
​@@OfficialDubu_tz.. naomba nafasi ya kuigiza nawe katika crew Yako tafadhali
@ShilingiMwapesa
@ShilingiMwapesa 7 месяцев назад
Dubu nakupenda sana akiii pewa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@queenrosine4678
@queenrosine4678 7 месяцев назад
Kutoka 🇧🇮movie ipo vizuri ongereni , ila kwenye damu aijakaa sawa kabisa napiya mtu akipingwa risasi begani awezi akafariki kwaiyo koseweni vimoja tunawapenda sana🙌
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 7 месяцев назад
Nzur sanaa🎉🎉msicheleweshe part2 sasa
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@Mwajeyayubu
@Mwajeyayubu 7 месяцев назад
Kaz nzuri❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@Bajunitalentcomedy0
@Bajunitalentcomedy0 6 месяцев назад
NILIKUWA NAMUANGALIA HUYU HAJRA KIDOTI YUPO ❤❤KUMBE YUPO KWELI NAMKUBALI SANA HUYU MWANADADA HALAFU NAMPENDA KINOMA YANI WALLAHI🎉🎉ALL THE WAY FROM KENYA
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 6 месяцев назад
🥰🥰
@RuwaidaMsellem
@RuwaidaMsellem 3 месяца назад
miye nakupenda dubu❤🎉 3:38
@MubaMudi
@MubaMudi 5 месяцев назад
Fila ninzur sana sema jitahid sana kwenye dam isiwe mpauko hata mtu akipigwa risas jeraha liwe jekundu
@rizzsafi9989
@rizzsafi9989 7 месяцев назад
Kazi nzuri
@Malakitzkigoma
@Malakitzkigoma 7 месяцев назад
Kazi nzur sema mboreshe hapo kwenye dam inaonekana tomato bila chenga
@gersonissa9124
@gersonissa9124 7 месяцев назад
Kwenye rangi ya damu Bado kido Ila una uwezo mukubwa sana kaka Toka congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@mbogoidentity
@mbogoidentity 7 месяцев назад
Story kali mkuu...mwanangu nyani ngwengwe 😂😂 umetisha
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@DianaMajiji
@DianaMajiji 7 месяцев назад
Kazi nzurii Dubu MUNGU azidi kukuongoza
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
Amin Inshaallah
@perisbeib2126
@perisbeib2126 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mzee kazi moto😂😂😂😂hapo kwa damu ndio mmefair sana
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🤝
@emmanuelmbwambo2150
@emmanuelmbwambo2150 7 месяцев назад
Naona kuna akina DUBU wa tatu hapoo , kazi nzuriii
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤝🤝
@SwaumLiuti
@SwaumLiuti 7 месяцев назад
Duuh movie kali san, mpo vzur
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
Tunashukuru sana 🙏
@FrexMbeunga
@FrexMbeunga 7 месяцев назад
Hii kazi ni ya kimataifa kwangu inaweza kuwa kazi ya kuanza mwaka hongera sana Dubu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 7 месяцев назад
Chezea kufa 😂😂😂 kuomba likikizo kabila shule azijafungu unachekesha ww 😂😂😂 hila dudu nampenda san hyoo mabuti kama anamke mm np hp ramdhani hii mabuti safari kaja kivengene mabuti fungene tu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤣🥰
@Thenoiseboy045
@Thenoiseboy045 7 месяцев назад
Am here from Kisii KENYA 🇰🇪
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 7 месяцев назад
😂😂😂nkweli ushachoka mpaka unaomba likizo hap kwa dudu mm sijaelewa mpo mapacha au
@Zulpher-d1x
@Zulpher-d1x 7 месяцев назад
Nmeipenda sana good job
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 7 месяцев назад
Mganga mapianooooooooo😂😂😂😂😂
@BinthemedAbdulrahman
@BinthemedAbdulrahman 7 месяцев назад
Mfate kwao kma wamtakaa😂😂😂😂😂😂
@Tiffahtarick-x5b
@Tiffahtarick-x5b 4 месяца назад
Asee hiyo Dam Sio kweli Skuizi hatu weki rangi za ubuyu sawa tuna tumia rangi Ya Anjari yakiarabu
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 7 месяцев назад
From Mombasa Kenya watching 🎉🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 7 месяцев назад
Jaman Dubu mbona ujaniambia kama umeachilia mzigo mpya RU-vid 😢😢😢😢 nakukubali bro❤❤❤❤❤ twende nalo
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@princepepeofficial
@princepepeofficial 7 месяцев назад
love fro kenya bro unaweza
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@ReginaldSeleli
@ReginaldSeleli 7 месяцев назад
Hamna kazi hapo huyo mama analia anacheka 😅😅 ASA kwenye damu sasa kudadek
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏🙏
@marthaonkoba
@marthaonkoba 7 месяцев назад
Nilijua tu Dubu yumo jikoni kutwandalia ndio hii sasa iko mezani❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 7 месяцев назад
Yani kazi mbovu sana damu eti tomato asa kwann mnatumia bastola kama jinsi ya kuedit vizur hamjui
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
Tunashukuru sana 🙏
@barakajackson549
@barakajackson549 7 месяцев назад
Dubu mie napenda sana move za Action natamani ningekuwa mshilika wako kwenye hii
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤝🤝
@HategekimanaPatrick-m8j
@HategekimanaPatrick-m8j 7 месяцев назад
❤❤❤kazi nzuri bro
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@RuwaidaMsellem
@RuwaidaMsellem 3 месяца назад
miye nakupenda dubu
@MELVINBBY
@MELVINBBY 6 месяцев назад
Kazi nzuri mungu akutangulie 🙏💜
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 6 месяцев назад
🙏🥰
@HajratHajrat0501
@HajratHajrat0501 7 месяцев назад
Mbona yatatukuta mambo mwaka huu 😂😂😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤣🤣
@romanabarua9545
@romanabarua9545 7 месяцев назад
Udugu wangu dubu ❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@zawadimohammed2008
@zawadimohammed2008 7 месяцев назад
From kuwait watching kazi nzuri San dubu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 7 месяцев назад
😂😂😂mabuti umepigaje hap kweny maokoto efu tatu ww unazo babu na mabuti 😂😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤣🤣
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 7 месяцев назад
Chuma kipya kazi nzuri Bro
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
Shukrani sana 🙏 🥰
@WardaSalehe
@WardaSalehe 7 месяцев назад
Udugu wangu dubu tuko pamoja na ww mpaka tufe kwa kutafuta bando😅😅😅
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤣🙏
@BiisheBugao
@BiisheBugao 7 месяцев назад
Mbona naona mawenge kwani uyu dubu wako wawili au n uyu uyu mmoja lkn uwapretend tuu...Thamuu mnoo...
@saidianzuruni2370
@saidianzuruni2370 7 месяцев назад
Filamu nzuri sana Ila damu aifanani n'a damu jiongeze apo
@TitusKurui
@TitusKurui 7 месяцев назад
Good work mr Dubu ....nitakuwa na nyinyi hadi mwishoni mwa kipindi....msikae sana kama hamja release episode nyingine
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏🙏
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 7 месяцев назад
Love you Dubu udugu wangu ❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@JasminKilimo
@JasminKilimo 7 месяцев назад
😅😅😅😅 dubu hii siyo damu Haki na apa😂😂😂😂😂
@GeorgeMsanga-w8h
@GeorgeMsanga-w8h 7 месяцев назад
Kazi nzur dubu🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@mercymutia99
@mercymutia99 7 месяцев назад
Kazi njema dubu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@eunicekahindi-by2zq
@eunicekahindi-by2zq 7 месяцев назад
Much love from Kenya ❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@eunicekahindi-by2zq
@eunicekahindi-by2zq 7 месяцев назад
@@OfficialDubu_tz musicheleweshe sana basi
@RukundoIrakoze
@RukundoIrakoze 7 месяцев назад
Kazi nzuli sna kaka kazana mbere pazuli
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@SadaSaid-cp3fd
@SadaSaid-cp3fd 7 месяцев назад
Mmmmmh damu hizo Zina rangi ya 🍊 oranges jamani
@SarahATHUMANI
@SarahATHUMANI 7 месяцев назад
Ila dubu kazi watu wako kiukwer wabachekesha hatar dah 😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@FaziliSelemani
@FaziliSelemani 7 месяцев назад
Nguru gwengwe umeua na mtumishi moto ❤❤❤❤ na baba hajra
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@MwinyiSalim-d4j
@MwinyiSalim-d4j 7 месяцев назад
Dubu hii kopi ujitoa edit ngapi kwa wauza makopo sraper, kwa kikosi cha majangili na dubu ndungu yake hajra hii kopi ujitoa edit 3
@JaneMkumba
@JaneMkumba 7 месяцев назад
Dubu n nzur nipo nachek apa ❤❤❤sema dam kidg imezngua still kaz nzur
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🤝
@DeborahAyo-u4b
@DeborahAyo-u4b 7 месяцев назад
Waoo kazi nzuri sana .alafu mm nampenda sana dubu hanaga maringo ukicoment ana replay sio kama wasani wengine unacoment lakin wap wanajifanya hawajaona coment mm sipendi
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🥰🥰
@eshamwaka4753
@eshamwaka4753 7 месяцев назад
Wow so interesting 🤔 much love from Kenya
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@juressemabili5133
@juressemabili5133 7 месяцев назад
From congo damu feki ,na nyimbo zandani sauti inapanda sana ,
@LovelyCorgiPuppy-ys8sy
@LovelyCorgiPuppy-ys8sy 7 месяцев назад
mh😅😅
@AmadFadhili
@AmadFadhili 7 месяцев назад
yan uko vzr
@-RydaJamal26
@-RydaJamal26 7 месяцев назад
Nakukubali sana Dubu💯💯💯💯💗💗💗💗
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@YusufNdayisenga
@YusufNdayisenga 7 месяцев назад
Good work love from burundi
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@DianaMayombo
@DianaMayombo 6 месяцев назад
Kazi nzuri kakaaaa
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 6 месяцев назад
🙏🥰
@RuwaidaMsellem
@RuwaidaMsellem 3 месяца назад
mambo
@LaurentDalmond
@LaurentDalmond 7 месяцев назад
From congo nzuri sana ❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@nasrahassan2260
@nasrahassan2260 7 месяцев назад
Kazi nzuri sana dubu❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏❤️
@ramadhaniramadhani880
@ramadhaniramadhani880 7 месяцев назад
Keep it up!! Una hatar mwnang 💥💥
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@SynixSynix-x2c
@SynixSynix-x2c 7 месяцев назад
udugu wangu dubu congra
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@Adhekeynanthevlogger
@Adhekeynanthevlogger 7 месяцев назад
Wow dubu❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@JoboyTz
@JoboyTz 7 месяцев назад
Goood Job kaka Dubu🎉🎉🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@dollar105
@dollar105 7 месяцев назад
😂😂😂ako kamzee kanabamɓanga siku hizi hasemi mdomo koma😂🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏
@AngeljosephJoseph
@AngeljosephJoseph 7 месяцев назад
Au basi atazikwa na site kazi iendee😂😂😂😂 daaah
@TunsumearubatiTunsumearubati
@TunsumearubatiTunsumearubati 7 месяцев назад
Uko vinzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@JaffarIliasy
@JaffarIliasy 7 месяцев назад
Dubu huna kazi mbovu🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🙏
@emanuelherman7029
@emanuelherman7029 7 месяцев назад
Dubu umetisha kaka ila nyanigwengwe habadilikagi 😅😅😅
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 7 месяцев назад
Dudu mbona mm sijaelewa ndyo inaza au kuqnza na kuaza tu unauwa wap mabuti 😂😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🤣🤣
@GloriaMtana
@GloriaMtana 7 месяцев назад
Nakupenda sana kaka pia uko handsome ❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@amadimbappe5376
@amadimbappe5376 7 месяцев назад
Welcome dubu kwa kazi nzur unatuletea
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
🙏🥰
@paulpaul380
@paulpaul380 7 месяцев назад
Tomato iyo umezinguwa dubu leo sijapenda kabisa
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 месяцев назад
Kuna short nimepost inaonyesha Hiyo Damu
@paulpaul380
@paulpaul380 7 месяцев назад
@@OfficialDubu_tz sawa boss nimekupata ila hongera sana
@mariamarywenslaus2938
@mariamarywenslaus2938 7 месяцев назад
Dubu udugu wangu ,😂😂😂 nafata azuma😂
Далее
REVENGE (2)
17:49
Просмотров 122 тыс.
DUNIA (EP 08)
16:41
Просмотров 101 тыс.
Rama vs. The Assassin Scene - The Raid 2 (2014)
10:03
REVENGE (FULL MOVIE)
2:03:04
Просмотров 447 тыс.
KIMEUMANA:(MZEE LIKOMA,DIBOZI,SHEILA,KP &ZEBUU)
9:55
Просмотров 312 тыс.
SNAKE BOY ( 1-5 )
55:00
Просмотров 717 тыс.
MIMBA YA MGANGA (1)
7:37
Просмотров 124 тыс.
MY LIFE FULL MOVIE
1:16:15
Просмотров 627 тыс.
FORTUNE | Ep 01| Full Episode
17:29
Просмотров 166 тыс.