Тёмный

RIch Mavoko - Ndegele (Official Video) 

Billionea Kid
Подписаться 251 тыс.
Просмотров 1,4 млн
50% 1

Directors: Adam Juma
Producers: Abidad
Editor: Adam/Kadawizy/Samira
Video shot in Kigamboni, Dar es salaam.
Music video by #RichMavoko performing #Ndegele © 2018 #BillioneaKid

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,3 тыс.   
@josemauki2736
@josemauki2736 6 лет назад
Kwa kweli kijana huyu kipawa anacho.wapi likes zake?? #rich mavoko
@asyaathman3252
@asyaathman3252 6 лет назад
Oyooooooo # wachafu walio chafuka gongo ki2 kama umeirudiya zaidi ya mara mbili kama me ...NDEGELEEEE 👌👌👌
@tumajuma6917
@tumajuma6917 6 лет назад
Yani Mavoko ulipotoka basata tu ukaenda kushoot video 😂😂😂.unaweza bro pambana tu si tuko tutakusapot💯
@ibrahimshabany8513
@ibrahimshabany8513 6 лет назад
rich mavocko unajua sana walioimba jibebe kuna nn chakuelewek mule haters kwa mavocko mtakaa sana huyu anajua ndio maan wcb mmeambiwa mtulize kende hapo hapo kwa wale tunaomkubl mavocko gonga like tumpeleke mambele jembe letu
@sylasmasake3093
@sylasmasake3093 6 лет назад
Mdogo wako toka enzi za kaka empere,,,, 254 tunakubali Waaaachaaaafuuuuu
@furahamadina1665
@furahamadina1665 6 лет назад
HALALI yako MAVOKO Welcome our best since zamaniii
@mercykaveza8871
@mercykaveza8871 6 лет назад
So wowing I like your song,big up Richie unapendwa kwa sana
@lashymreal6555
@lashymreal6555 6 лет назад
Nakuelewa messy wa Bongo creativity 💯✔🔝🔝Kama unamkubali Richie nipe like ukisonga
@theminutestv
@theminutestv 6 лет назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-B3VDQYHB8lA.html diamond kamjibu mavoko gusa link
@benjohn463
@benjohn463 6 лет назад
Lashy Mreal mpumbavu huy
@ujuguboytv6923
@ujuguboytv6923 6 лет назад
ngoma kali kaka rich unaweza kama unaamin rich anaweza gonga like
@skyraymjohn9672
@skyraymjohn9672 6 лет назад
toka kenya....supoti yangu richie nakupa.nairobii east afilika tumekubaliii,bonge la hit.wcf wapi.tel dem..talanta haibanwi asilani,ndo kazi mwanzo endelea kabisa zaidi ya simba
@lbmaasai929
@lbmaasai929 Год назад
I wish i was a star to support this guy .. Am a gospel artist but hes my mentor
@zuwenaphillipssosnowka8935
@zuwenaphillipssosnowka8935 6 лет назад
If you want to be strong, learn how to fight alone. Big up brother Mavoko. Big chune Man
@brobox
@brobox 6 лет назад
Inatesa🇰🇪🔥
@mussapemba4527
@mussapemba4527 5 лет назад
nomaa sanaa mavoko
@joe_N
@joe_N 6 лет назад
It’s not about where you are signed It’s what you have in you This is a trophy song
@beremsagaji2966
@beremsagaji2966 6 лет назад
kalixana
@salimjohnsonmkinga4147
@salimjohnsonmkinga4147 6 лет назад
remember no jokes in WCB
@rehemashibola5266
@rehemashibola5266 3 года назад
Nzuriii
@nehemiamsengi975
@nehemiamsengi975 6 лет назад
Masikin mavokooo!!! ....umekuwa kama underground.
@marslilrose5137
@marslilrose5137 6 лет назад
Rich mavoko endelea hivo hivo...Mm ni mkenya na nimempenda rich tangu wimbo wa roho yangu mm....tia bidii
@kitatakitata8678
@kitatakitata8678 6 лет назад
Jamaa huyu anajuwa kuimba sana pia ngoma zake zina Ujumbe mtamu kuliko wasanii wøte
@shaibmagoma8681
@shaibmagoma8681 6 лет назад
Mavoko kaka ngoma ni kali 👏👏👏👏👏,,, video ya kipekee kaka Mara ya kwanza naichek nilijua ni movieee 😂😂😂😂😂😂
@benjatech91
@benjatech91 6 лет назад
Kama kweli unaamini mavoko anaweza bila kuwa wcb mpee like..
@bingwamkenya5493
@bingwamkenya5493 6 лет назад
Saa zingine ni muhimu kujisimamia. Jambo ia busara Mavoko wewe tayari star si lazima uwadekeze akina mondi. Compe mpe bro
@abdulmpalupalu4908
@abdulmpalupalu4908 6 лет назад
mavoko Unajua Ila nakushari acha mabifu yasio na msingi. Mambo ya wasafi achana nayo piga Kazi. Km Umemwelewa Mavoko gonga like za kutosha twende mbele
@aishaabdj8913
@aishaabdj8913 6 лет назад
Kazi buti kaka kazi ni kazi mapovu kawaida bora kuwa mfungwa huru kuliko kuwa tajiri lakini muda wote waswas kuwa huru kaka
@moudy4realibrahim601
@moudy4realibrahim601 6 лет назад
Safi
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Aisha Abdj kweli
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Amtegemeaye binadam!!!
@AFRICANLIFESTYLEINTANZANIA
@AFRICANLIFESTYLEINTANZANIA 6 лет назад
@@rosemaiko9405 kwelii
@ges_tz1337
@ges_tz1337 6 лет назад
nyimbo nzur wanao ipinga niwale wanaoleta utimu
@gervitallanshioso6732
@gervitallanshioso6732 6 лет назад
With or without WCb Mavoko is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥wa kuotea mbali
@stevenemmanuel8712
@stevenemmanuel8712 6 лет назад
Gervit Allan Shioso m
@yusuphmdadike8758
@yusuphmdadike8758 6 лет назад
Gervit Allan Shioso mbaya
@helenakilave2545
@helenakilave2545 6 лет назад
video ya Jaziba kwani Mavoko Nani kakusumbua!!!
@gervitallanshioso6732
@gervitallanshioso6732 6 лет назад
Nomaaa mimi ni fan for life
@margaretwangari9015
@margaretwangari9015 6 лет назад
Kabisaa
@thewilliekuri8622
@thewilliekuri8622 6 лет назад
From Kenya ....rich mavoko yuko fine pekeyake sijui alikuwa anatafuta nini wasafi
@bestfightscene5978
@bestfightscene5978 6 лет назад
Ndegellee Mama ...... Ongeza Mizukkaa Weweee 😎😎😎 Twende Nao Mavoko .....
@madinaamnu3445
@madinaamnu3445 6 лет назад
Kazi nzuri mavoko salute you from #254
@goodlucksaimo4197
@goodlucksaimo4197 6 лет назад
wale wenzangu tunao jua video Kali..... hii ni yaovyo sana tazameni ya mario
@hamisimadinga1377
@hamisimadinga1377 6 лет назад
good
@bboyem4645
@bboyem4645 6 лет назад
Mavoko Anatisha Kama Unakubaliana Na Mim Gonga 👍
@nelsonachoka7918
@nelsonachoka7918 6 лет назад
Mavoko ako juu. Kwanza hii mistari " wewe ni msafi, umepatana na wale wachafu"!
@fratemushi
@fratemushi 6 лет назад
Huyu ndo mavoko ninayemjua mm diamond alikuwa anamuogopa mavoko akaamua kumchukua kumzimisha keep up mavoko tupo pamoja mziki unauweza
@selemani3688
@selemani3688 6 лет назад
Mavoko mi nakukubali ila ulinipoteza ulipodumbukia wcb embu endelea nakuntu zako zaukweli zileeeeeee
@aishajolile7755
@aishajolile7755 6 лет назад
Kabla ya wasafi ulikua mwenyewe na ulifanya tukakujua utabaki Kama ulivyo big up
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 6 лет назад
wanasemaga from Zero to Hero sasa hii ni from Hero to Zero,jamaa umepuyanga wala siyo unafiki,kumbe kasi ya WCB ilikushinda!!😁😁😁
@sish7012
@sish7012 6 лет назад
Ww ndomtumwa wabinadamu mwezako
@Noname-gg6bx
@Noname-gg6bx 6 лет назад
Tuliza kende kama ww Msafi hapa umekutana na wachafu
@mwakapakulaabson3600
@mwakapakulaabson3600 6 лет назад
Kapuyanga baba ako
@nickyndamo7574
@nickyndamo7574 6 лет назад
Kumbe umeona?
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 6 лет назад
Livivu hili,linataka kasi ya 1 GB na wakati WCB wako kasi ya 6GB😂
@faidamisalaba758
@faidamisalaba758 6 лет назад
duh hiii nhoma mbona noma sana kuzidi jibebe sijui ujipeleke wapi ,mavoko mkali haya kabla hajajiu ga na wcb ,haya maboko twenzetu.
@dollaboss5272
@dollaboss5272 6 лет назад
wanafiki hata huku mpo duuh!! uchawi bongo utaisha lini this is international vibe
@lizmomishkalizmwikali2854
@lizmomishkalizmwikali2854 6 лет назад
Wimbo mzuri sana. .naikubali
@Fardadihd
@Fardadihd 6 лет назад
liz mwikali
@masumbukomasele3570
@masumbukomasele3570 6 лет назад
jitahid utaweza2
@lameckaristides5317
@lameckaristides5317 5 лет назад
Kwer
@akinyiteckler3864
@akinyiteckler3864 6 лет назад
Tuliza kende hapo ndugu😅😅😅😅,wimbo sio mbaya sana
@ellymtz9687
@ellymtz9687 6 лет назад
Nakukubali mavoko huna pigo za kukodi nguo Ulizoendanazo basata ndo ulizoshutia..#teamMAVOKO gonga like 👍apa
@moniedwese5778
@moniedwese5778 6 лет назад
😂
@mudricahmed635
@mudricahmed635 6 лет назад
ukiona wa wana mdiss kuna sababu muache apige stry
@sadickd_knuckle5456
@sadickd_knuckle5456 6 лет назад
Hahahahhaahah umeona e
@omarkipotwile9052
@omarkipotwile9052 6 лет назад
Hujawahi kuniangusha Billionaire kid, like to keep the good music alive
@khadijaqatar9080
@khadijaqatar9080 5 лет назад
Kujiamin na kupamban kw kila hali ni kitu kizur sana na mavocco mungu amekupamba na ujasir na kujiamin mashallah honger saan tuko naw ppte Pali inshallah 😘😘
@mwanahamishassan1890
@mwanahamishassan1890 6 лет назад
Yote sw ila ngoma kali jaman mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
@OfficialCouple1
@OfficialCouple1 5 лет назад
Brother congratulations for your 1M views for this song we are together from USA💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@dofkid138
@dofkid138 6 лет назад
Hakuna kosa ulilifanya ila kosa ila kosa lilikua kwenda wcb
@shinnaizabbey8586
@shinnaizabbey8586 6 лет назад
Hahahaha mambo ni moto safi sana Richard mavokopambana mwenyewe na hari yako mungu yupo na sisi mashabiki wako tupo kaza buti nyimbo ni tamu
@mfangavorajab2538
@mfangavorajab2538 6 лет назад
ngoma inatrend no 1 kweli wcb wamedhihirisha kabisa kuwa michezo hii wamekuwa wakiwafanyia wasanii mbalimbali kmwalivyofanya kwa alikiba
@jumajaka235
@jumajaka235 6 лет назад
Jamaa anatisha kimziki huko juu sio siri kama unamkubali wa254 bonyeza👍
@godfreymassawegodfreymassa2628
juma matano movoko yupo juu
@Saniamunguatujaliyemwishomwema
Ok
@Saniamunguatujaliyemwishomwema
Sawa
@ngassanoel6551
@ngassanoel6551 6 лет назад
masauti mbaya sana
@sadakilona5031
@sadakilona5031 6 лет назад
Izi nguo siulizivaa basata vileeee..
@stadimonotheist9022
@stadimonotheist9022 6 лет назад
video ni Kali kiukweri ila kwakuwa umetengenezewa chuki Na watu ndiomaana wanaiponda saana,ila m Bado Niko nyuma yako bro
@djraymond6185
@djraymond6185 6 лет назад
Stadi Monotheist sasa mwananfu uko nyuma ya mavoko unatafuta nini au unampango wa kumtia dole
@fiddelitymueni5281
@fiddelitymueni5281 6 лет назад
Inatishaa saana
@Bongo60
@Bongo60 6 лет назад
ADAM JUMA umeonyesha ukubwa wako katika hii video. Kama unakubali Gonga Like #lindiyetutv
@mzungutv1473
@mzungutv1473 6 лет назад
ok
@rashidomary2357
@rashidomary2357 6 лет назад
We c msafi tuliza kende apo
@gubajajean3814
@gubajajean3814 6 лет назад
Uko juu kuliko wale wengine wasafi wachini sana awajuwi kitu jifanyie kazi RICH MAVOKO
@ephlahimmdemu135
@ephlahimmdemu135 6 лет назад
Kali sana ACHANA na hao WCB cjui WCW sijui. Chapa kazi ngoma kali mavoooko
@ayanseef4433
@ayanseef4433 6 лет назад
kwanzia Leo Nakuwa team alikiba team ommydimpoz team Abdukiba team mavoko mavoko tuko nyuma yako
@shinnaizabbey8586
@shinnaizabbey8586 6 лет назад
Safi sana
@abrahamnyakunga9782
@abrahamnyakunga9782 6 лет назад
At a mie nikiwa mmojawapo kubali sana wa2 hao
@ramamwitason8018
@ramamwitason8018 5 лет назад
Anaweza sana atazid wcb
@nyoningonyani9568
@nyoningonyani9568 5 лет назад
kwani haujui balaa o
@boniphacefidelis5021
@boniphacefidelis5021 5 лет назад
ni ww 2
@WyckyMziki
@WyckyMziki 6 лет назад
Man I have been following your musical career hata before Kaka Empire bro hauna nyota ya kusigniwa, azisha label, you are an eagle that's why you can only fly alone. #badboymwenyekipaji
@ivandamian8685
@ivandamian8685 6 лет назад
ni kawaida watu wafupi hawapendi kutawaliwa
@WyckyMziki
@WyckyMziki 6 лет назад
Dah! Bro
@jacksonavhkira4300
@jacksonavhkira4300 6 лет назад
atar san
@ericksonjohn6582
@ericksonjohn6582 6 лет назад
Wycky Mziki unadhan label mchezo kila msnii aliyeanzish imemfia nikianza na ney na the industry ksbak mond 2
@bhanjijunior08
@bhanjijunior08 6 лет назад
Standard yake za wimbo haimatch ya wcb
@JimmySirya
@JimmySirya 6 лет назад
Kama wewe ni wasafi sisi ni wachafu........Nimetii
@abeer4201
@abeer4201 4 года назад
Umetisha kinoma rich 💃💃Ata ukinifokeyaaa ndakubatii tuu🥰
@nicodemasjames447
@nicodemasjames447 6 лет назад
Ulivyo kuwa kule nilikuwa silali,mda wote nasema roho yangu,nawaza kuhusu pacha wangu,nikasema marafiki ongea nae,lakin acha ibaki story,rudi,kumbe wanakutaman kwan we saivi ni ndegele ,,unatisha mzee baba
@dangotejunior3884
@dangotejunior3884 3 года назад
Wale tunaingia kuona after interviews..like
@saidoovanchachaa3011
@saidoovanchachaa3011 6 лет назад
Mavoko unatisha upo vzr ila Wcb ulienda kuuwa mziki wako"bila kuznduka watu wangekusahau"
@frankjully5457
@frankjully5457 6 лет назад
ww huna akili wcb INA mchango kwake ni mkataba tu umeisha
@mwarimohamisi1378
@mwarimohamisi1378 5 лет назад
Sahizi mavoko yuko mbali sana kila ngoma akitoa maviews Ni mamilion
@ZIDANE_makiese
@ZIDANE_makiese 9 месяцев назад
My favorite
@dra4298
@dra4298 6 лет назад
La king Mavoko tunamwita Billionea kID mara Messi, VIDEO kali man...
@luckystanofficial
@luckystanofficial 6 лет назад
hapa kenya wangapi twamkubali mavoko Richie ...gonga hapa jameni..#lucky stan
@imaninobertkaihula5957
@imaninobertkaihula5957 6 лет назад
De billionaire Kid,presents HimSelf 💪💪♤♤♤♤♤♤♤♤ Go #MAVOKO Go BROTHER
@kikiboychance761
@kikiboychance761 6 лет назад
Gonga hapa Kama unamukubali rich
@lstechnology7471
@lstechnology7471 6 лет назад
Nc
@rg_digitalnewzonline5770
@rg_digitalnewzonline5770 6 лет назад
kikiboy chance.hahahaa
@kigunyosimba6802
@kigunyosimba6802 6 лет назад
noma xn
@christinemuya9269
@christinemuya9269 6 лет назад
TUWE NA HESHIMA PIA KUPENDA KAZI YA MTU NA TUSITOE MATUSI WAKATI HUJUI MTU HATA SHIBE YAKE .....KWA NINI TUCHUKIANE KWANI ....MM NASIFU BURUDANI MZURI ULIO TULIA
@saidijuma7179
@saidijuma7179 6 лет назад
Pole mzee mavoko hilo povu la usafi na uchaf unamaanisha kuleeee et Angalia kule ukishindana nako sana utapotea
@godfreymagoso5235
@godfreymagoso5235 6 лет назад
Dah,,, kweli wasafi imekupoteza swahiba,,, huendani na levo zako na wanaokusifia ni miongoni mwa wanafki ndg! Jipange jombaa
@chrisbreezy8386
@chrisbreezy8386 5 лет назад
Uyuuu jaaamaa yuko juuuu zaidi
@mariamhaidarijamali806
@mariamhaidarijamali806 6 лет назад
Rich wetu 😍😍😍😍😍👌👌👌👌
@avidiuselias4126
@avidiuselias4126 6 лет назад
Mavoko uko vizur sana umeimba kabla ya wasafi dadeki bonge lake ngoma like kwa saana watu wa mavoko
@liberatuthandrew6257
@liberatuthandrew6257 6 лет назад
duuu hujaafaanyaa vizuri ataa kidgo jipaange upya nduguyang mana mi shabik wako sana ila haijavutiaa kias kwamba sikuvumiliaa mpaakaa iishe
@johnsonmathias7375
@johnsonmathias7375 4 года назад
Nyimboo mpy zimefnya nirudii nyuma kuakikisha hizi na new zipi moto lkn zote ni fireeeeeee kichizii 🔥
@rodwisekibona3839
@rodwisekibona3839 6 лет назад
Ndegele😂😂big up mavoko
@mcwillehard5422
@mcwillehard5422 6 лет назад
Kama umependa huyo Dada alivyomjibu diamond😛 gonga LIKE hapa!!
@jemohjumah3738
@jemohjumah3738 6 лет назад
sisi n wachafu imenipendeza sana #pandisha mzuka
@joshuabkesser8764
@joshuabkesser8764 6 лет назад
I can't stop listening to this hit track
@robssonpeter
@robssonpeter 6 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣 we naona unataka kuamsha waliolala! Eti hit track..!!
@omabizo686
@omabizo686 6 лет назад
Waziiii jeshi la mtu mmoja noma sana wataisoma namba walidhani kuhama kwao itakua mwisho wako saii umewaacha wanavaa vikuku ukiendelea ivi naona utawatembeza uchi shenzriiiiiiiiiii typeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@mbumbulicomedians3286
@mbumbulicomedians3286 6 лет назад
wanyooshe Mavoco kijana usiyekuwa na kiki wala mziki wako haujawai kuwa chini ya kiwango. wataelewa tu
@allyndaro9727
@allyndaro9727 6 лет назад
Ngoma Kali Kweli msafi kakutana na wachafu
@furahamadina1665
@furahamadina1665 6 лет назад
wow welcome back mavoko..... narudi kua fan wako kama zamaniiiiiiiiiiiiiiiiii. big up sana bro😘😘😘😘
@OffcialKp
@OffcialKp 6 лет назад
Wanaosema ngom mbaya mkapimweee
@djmistik8273
@djmistik8273 3 года назад
loving Mavoko Billionea Kid Since day one.....from254 here Nairobi
@devisedward7969
@devisedward7969 3 года назад
Furaha yangu kwa sasa ni kukuona Messi wa bongo freva,unasimama mwenyewee,,,,maana unaweza,tulikumic sana fundi wetu....
@tiffahbby3697
@tiffahbby3697 6 лет назад
Mavoko nakupenda bro unajiamin tu sana wale wasokupenda itawacost mbona bado uko juu unawaka kama taa ya stima akuna cha wcb wala nn jikubali kaka tunakupenda sana team +254 wap wale wa kenya +974 😘😘😘fireeeeee
@innocentluvanda4200
@innocentluvanda4200 6 лет назад
Kila asubuhi kabla ya chai naangalia hili chupa on youtube,lengo fundi awe na views wengi kama kuna mwene roho nyeupe kama yangu kazikazi
@ayaangaas3168
@ayaangaas3168 5 лет назад
Firaa mamako ww
@kidoboiy3714
@kidoboiy3714 6 лет назад
Mavoko anawambia ataisugua mpaka aitowe kutu hhh Nile like twende pmojaa
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 6 лет назад
Ngoma Kali video Kali Ila umeniangusha video nzima pair Moja ya angalau, Pale Club ungebadilisha
@gozibethjohn7664
@gozibethjohn7664 6 лет назад
Nakwelewa xana rich chana nao ao sokwamba ukitoka wcb umeshindw maixha awakulishi. awakuvixhi kikubwa komaa kibish maishasikuzote hua ni hivyo mungu akusimamie ktk mishe zk
@natashaoliver876
@natashaoliver876 4 года назад
Nafurahi Leo jmn rich wetu nafurahi mungu akupe nguvu
@elsieleon8202
@elsieleon8202 4 года назад
I love it.
@evansjuma7184
@evansjuma7184 6 лет назад
Nipe mpaka kuchukuchu hi noma sana wadau
@ConTa-zs7we
@ConTa-zs7we 6 лет назад
From video to Basata,from Basata to the video. #Hahahah,huu mchezo hauitaji hasira @dee_melody.
@moniedwese5778
@moniedwese5778 6 лет назад
😀😀
@mosemauakaswiza5436
@mosemauakaswiza5436 6 лет назад
SASA MAMBO NDIo HAYO BROTHER, NAKUKUBALI MCHAFU ULIYECHAFUKA. UWEZO BINAFSI KAMA WOTE UNAO WEWE TANGU SILALI MPAKA HII HAPA. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@saidmahmoudsaid621
@saidmahmoudsaid621 6 лет назад
Brother Mavoko nakkubal sn, me shabik wk namba moja wayaaaaaaa!!!!
@bidabidatz
@bidabidatz 6 лет назад
Piga kaz Mzee Baba Mavoko achana na wasengerema wamaneno.
@aminamashaka215
@aminamashaka215 6 лет назад
Ww nawe
@bidabidatz
@bidabidatz 6 лет назад
@@aminamashaka215 wakanyagwa sio
@fettyshangai5035
@fettyshangai5035 6 лет назад
Namna iyo kazkaz
@johnnymathew5354
@johnnymathew5354 6 лет назад
atareeeeh
@gbconline2006
@gbconline2006 6 лет назад
Mavokoooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏💪
@shark.2545
@shark.2545 6 лет назад
Bongo by the way rich 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇸🇸🇧🇮👌💪
@pdaxofficial3144
@pdaxofficial3144 6 лет назад
Huyu jamaa analaana sana duuh kaka unaweza jeshi la mtu mmoja mavokoooooo hatar sana mzeee km wao wasafi ss ni wachafu dah nimependa sana hapa hahaaaaaaa piga keleeeeeeeee....
@nicodemasjames447
@nicodemasjames447 6 лет назад
Baba hapa umeanza kutufurahisha mashabiki zako sasa usije ukatuvuruga tena hivi unajua ulituacha na hali gan wewe
@suppermusic8042
@suppermusic8042 6 лет назад
Kama ww ni movoko kila siku ila sio mbwakoko gonga lik hapa soon cala nikwambie
@alfredymalata269
@alfredymalata269 6 лет назад
wachafu tuliochafuka oyoooooo
@kidoboiy3714
@kidoboiy3714 6 лет назад
Sanah mavoko ako juu sana wpi like yke ww
@sholodula7387
@sholodula7387 6 лет назад
Nimekubali waache waji bebe mpaka wlele piga kaz kwan ulipo kua unaimba uyo mond siwajuzi tu mshambu tu maisha uyo frimason maisha niayaaya
@afizimbulo2527
@afizimbulo2527 6 лет назад
kaka kaka kaka kaka wewe mkali walikuwa wanakuchuja tu fanya yako asee umetisha sana kaka 👆
Далее
Rich Mavoko - Naogopa (Official Video)
3:27
Просмотров 2,2 млн
Rich Mavoko  - Wamoto (Official Music Video)
3:06
Просмотров 1,6 млн
Ibaki Story
3:33
Просмотров 322 тыс.
Lulu Diva Ft Rich Mavoko - Ona (Official Video)
2:55
RICH MAVOKO: DIAMOND / NI NYOKA KWENYE SHIMO / TISHIO
17:27
Harmonize - Hujanikomoa (Official Music Video)
5:59
Rich Mavoko - Usizuge ( Official Video)
2:40
Просмотров 1,2 млн
Rich Mavoko - Babilon (Official Video)
3:12
Просмотров 689 тыс.