safii,endelea hivyo hivyo kaka.nadhani uko vizuri katika kujenga hoja endelea hivyo hivyo.maelezo yako yamejaa uzalendo.wewe siyo mchochezi hata kidogo.
SAFI SANA RIDHIWAN UNA HEKIMA KAMA BABA YAKO NA MUNGU ATAZIDI KUKUBARIKI NA KUKUINUA INSHAALLAH UTAFIKIA NGAZI YA MZEE WAKO KIKUBWA USIWE MNAFKI TU SIMAM A IMARA KATIKA HAKI UTAONA MAFANIKIO YAKO
Umeangea vzr ila sisi tunataka mandeleo sio porojo half mandeleo sio maji wala umeme barabara tunahitaji tupate afya bora na maisha bora kwasasa tumekosa mtu hata mlo moja hatimizi vizur miaka hasin bado tu huduma za kijamii hazipatikan kiukamilifu dah nyinyi watu wabata sana wataifa hili
HIVI HIZO HUDUMA ZA AFYA PASIPOKUWEPO UMEME, MAJI UTAZIFANIKISHAJE WAKATI NI VITU VYA MUHIMU SANA? UKISHANIPA JIBU LA SWALI HILO JIBU NA HILI PIA ... KAMA HAKUNA BARABARA KABISA AMA HAKUNA BARABARA ZIPITIKAZO MWAKA MZIMA HAO WAGONJWA WATAFIKAJE HUKO MAHOSPITALINI, ZAHANATI AMA VITUO VYA AFYA? NA JE DAWA, VITENDANISHI NA VYAKULA KUTOKA MASHAMBANI AMA VIWANDANI AMBAVYO NI MUHIMU KUJENGA NA KUIMARISHA AFYA ZA HAO HAO WAGONJWA VITAWAFIKIAJE?
Tz inalia😭, wabunge waCCM wmekuwa bubu😷, wako bungeni kutetea matumbo yao, wametishwa na mkuu wao lazima wapitishe kila kitu. CCM na bunge ni dhaifu.Tz inalia😭
@@saimonmanyerezi7169 , Bunge na spika ni wa CCM. wabunge wa CCM wana majority kwenye votes. Kila kinachoamuliwa na serikali ya CCM wanapitisha kama mabwege . Hawhoji hawaulizi, wameonywa na mwenyekiti wao( rais) wasihoji....elewa hilo wacha ujinga.
Mh RIDHWAN nakuona Kama HAZINA na kiongozi SHUPAVU wa Taifa letu. ALLAH akuzidishie na akulinde uwe mwenye Afya njema. Wewe ni mwana CCM,lakini ni MZALENDO KWANZA
Ah, mtu anakosa hata mlo moja kwa siku, imekaaje hiyo. Kijana wa miaka 25/30 analalamika maisha magumu. Vijana wengi kaxi wanayoimudu ni kupiga debe stendi. Sawa, hivi sasa ujenzi wa mji mkuu wa Dodoma unaendelea, ujenzi wa reli std geji unaendelea, ujenzi wa bwawa kubwa huko Rufiji unaendelea, ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea, ujenzi wa barabara mbalimbali karibu nchi nzima unaendelea. Ujenzi wa majengo ya wizara mbali mbali huko Mtumba unaendelea. Mtu atalalamika hakuna ajira, ni mawili au vijana wengi wamedekezwa na wazazii wao au hawataki kujiongeza. Kalaga baho.
Juzi tu Tanzania imepata oda ya kuuza mahindi tani LAKI SABA.hivi hawa wasiokula wanaishi dunia gani? Tunapenda kulaumu tuuuu. Serikali inahimiza uhuru na kazi. Katika dunia ya leo mashine ni nyingi ambazo zinaondoa ajira za mikono ivi hatuoni. Sasa mitaro inachimbwa na mashine. Magogo yanarandwa kwa mashine na kadhalika hatujaamka tu
Ninyi ccm hamuambiliki mnataka kutuletea vita na kuua watu kwanini mwakiuka KATIBA? Anaekiuka KATIBA Alaaniwe wote ni walewale hakuna Hirizi Wala makufuli
Kwel huyu jamaa alikuwa noma sana siyo mtu Nzr kabisaa kipindi cha awamu ya nne cha baba yake huyu dogo hasa gesi na ngada ni dhambi nyingi alifanya jmn