Тёмный
No video :(

Ritha Komba x Rehema Simfukwe - Sitaanguka (Official Live Music Video) 

Ritha Komba
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 95 тыс.
50% 1

Ritha Komba presents to you her new music video for the song “Sitaanguka x Rehema Simfukwe”. “Sitaanguka"” is a song from her upcoming EP Titled “Umetukuka”.
Mathayo 7:25
Mvua ikanyesha , Mafuriko yakaja , pepo zikavuma na kuipiga nyumba ile , lakini haikuanguka, kwasababu msingi wake ulikua juu ya mwamba .
Listen to Ritha Komba
RU-vid: • Ritha Komba x Rehema S...
BoomPlay: www.boomplay.c...
Spotify: open.spotify.c...
Follow Ritha Komba
Subscribe: / @rithakomba
Instagram: / rithakomba
Facebook: / ritha.komba
Twitter: / avenyritha
Digital Branding by yours truly,
Black Ozen Entertainment Limited:
/ blackozenentertainment...
Credits;
Audio done by @smart_tunestz
Video done by @syberpic_film
@hurudigital
Ritha Komba - Umetukuka Ep Tracklist
Watch Umetukuka Ep here: • Ritha Komba x Rehema S...
1. Ritha Komba x Rehema Simfukwe - Sitaanguka
2. Ritha Komba - No more fear
3. Umetukuka
Ritha Komba Music Videos
1. Ritha Komba - Mungu Wa Ajabu
2. Ritha Komba - Umetukuka
3. Ritha Komba x Rehema Simfukwe - Sitaanguka
4. Ritha Komba - Mlango
5. Paul Clement Nashangilia cover
6. Ritha Komba - Kivulini
7. Ritha Komba - Nitashinda
8. Ritha Komba - Nasimama
9. Ritha Komba - Ni Rafiki
10. Ritha Komba - Sitapita
11. Ritha Komba - Unaweza kufanya (Sunday Service)
12. Ritha Komba - No more fear
13. Ritha Komba - Kwa uwezo wa baba
14. Ritha Komba x Rachel Mwamtobe - Nguvu yangu
15. Ritha Komba - Jibu
16. Ritha Komba - Again
17. Ritha Komba - Ndani ya kristo
18. Ritha Komba - Mwanamke
Watch all Ritha Komba music videos here: • Ritha Komba x Rehema S...
#RithaKomba #Sitaanguka #RithaKombaUmetukuka #RehemaSimfukwe.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital

Опубликовано:

 

23 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@RithaKomba
@RithaKomba Год назад
Nina washukuru wote mnao endelea kuangalia nakusikiliza kile Mungu amenipa kwa njia ya Nyimbo nina wapenda nakuwaombea, tuendelee kueneza injili kwa watu wote , Nyie ni baraka sana namshukuru Mungu kwa ajili yenu 👏
@imbentonngerangera4214
@imbentonngerangera4214 Год назад
Keep on doing good work sister in Christ
@mathewnemes5469
@mathewnemes5469 Год назад
Mungu azidi kuiinua huduma yako wimbo ni mzuri sana.
@clarissenziza88
@clarissenziza88 Год назад
Na Sisi tunakupenda♥️♥️♥️
@mwittaebenezer8213
@mwittaebenezer8213 Год назад
You're simply the best.... Mungu azidi kukufanya Baraka.
@andreajames677
@andreajames677 Год назад
Hongera sana nyimbo nimebalikiwa.
@victoriamwelu-dw7wl
@victoriamwelu-dw7wl 5 месяцев назад
Kweli nitatulia kwako Yesu ..kwa maana wewe niwakipekee Bwana wangu
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe Год назад
You are such a blessing my sister ni heshima kubwa kutumika na wewe🙌🏾
@RithaKomba
@RithaKomba Год назад
Amen nina mtukuza Mungu kwaajili yako 🙏
@paulsingano674
@paulsingano674 Год назад
🔥🔥🔥🔥 waiting
@hondwamathias
@hondwamathias Год назад
Ubarikiwe Dada yangu Kwa usubutu Huu, hakika kila kitu kinawezekana ukiamua, Hakuna Aja ya kukata Tamaa, na kizuri Uwanza Kwa Udogo, Amini dada kuna watu Umewaaminisha kuwa yote yanawezekana, Toka ulipo Anza na mpaka sasa unapo Kwenda IPO siku utakuwa Inchi frani kuwakilisha Tz Hongera Sana Dada, Kazi Nzuri Sana Songa mbele Dada yangu, nisamehe Kwa Comment Ndefu Ila Ni hisia nzangu kwako 🙏🥰🙏🙏🙏
@wizampinason396
@wizampinason396 Год назад
Hongera mamy
@RithaKomba
@RithaKomba Год назад
😭😭😭🙏🙏
@stevezekim4463
@stevezekim4463 Год назад
Eagerly waiting..
@loisealukweotwera_ministry6433
Wow, anaimba kama Rehema Simfukwe
@williammbuli4583
@williammbuli4583 Год назад
Waooo nice song. Pongezi nyingi kwako mtumishi wa MUNGU na shemeji yangu MUNGU azidi kukulinda na kukubariki na kukuinuwa hakika ninausikiliza zaidi na zaidi. Nimefurahi sana sana sana umetoka mbali na kipawa hiki na sasa umeatamia WINGU 👏👏🔥🔥💯💯🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙌🙌🙌!!!
@isayalyimo
@isayalyimo Год назад
This song🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@peterdamiano6740
@peterdamiano6740 10 месяцев назад
Simfukwe hua aninabariki kwa sauti yake
@lucymwangola2792
@lucymwangola2792 Год назад
" wewe mwokozi wangu na wokovu wangu...sinayo mashaka uko nami Bwana" A declaration that sitaanguka.. Asante kwa wimbo huu
@rosekimuli9719
@rosekimuli9719 Год назад
Nakosa la kusema ... MUNGU akutumie sana mama kwa utukufu wake🙌🙌🙌❤️
@saranyongole1161
@saranyongole1161 Год назад
Nawafurahia sanaa....wimbo umenigusa Sana ..nitatuliaaa kwa Bwana
@suzanaemanuel3621
@suzanaemanuel3621 Год назад
🙏🙏🙏
@herielmduma6790
@herielmduma6790 Год назад
Hakika kwake hakuna kuanguka! Kwake kuna utulivu wa daima! Be blessed madam Ritha!
@saimonrweikiza5157
@saimonrweikiza5157 Год назад
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Kwa Kazi yako njema
@Hellenah_Sufii
@Hellenah_Sufii Год назад
🎉🎉🎉🎉my gal simfukwe❤❤❤. Congratulations dear 👏👏👏🎉🎉
@rogathengowo1099
@rogathengowo1099 Год назад
Hakika tumebarikiwa tumebarikiwa na watumishi wanaotulisha neno kwa njia ya nyimbo every single day napata kuzidisha Imani yangu viwango na viwango!!!Mungu awainue watumishi mkatumike kama impasavyo Mungu hakika kazi hii sio bure mkainuliwe na mkawalete mataifa kwa Kristo
@emmanuelhumbe5901
@emmanuelhumbe5901 Год назад
🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@HappyMlinga
@HappyMlinga Год назад
Amen amen
@israelprincemusic
@israelprincemusic Год назад
My goodness Such a blessed song
@rosemarykalebi1753
@rosemarykalebi1753 Год назад
barikiwa sana dada wa yesu❤❤
@phdjumbe6225
@phdjumbe6225 Год назад
Ubarikiwe sana Mtumishi wa bwana
@giftedostela5307
@giftedostela5307 Год назад
Wooow, Hongera sana dear, wimbo mzuri kwa kweli hatutaanguka maana yuko nasi siku zote, haijalishi ni jambo gani tunapitaa
@tumainimsowoya294
@tumainimsowoya294 Год назад
Hongera jamani...hongera mno kazi nzuriiii
@rtlusungu
@rtlusungu Год назад
Oooh UKO NAMI BWANA.. kuwa na assurance hii kwamba Mungu yupo nami, ni silaha kubwa sana kwangu
@marygithinji7714
@marygithinji7714 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@gospotv
@gospotv Год назад
Mungu akubariki na kukuinua sana Mtumishi wa Mungu... Ritha Komba
@mtawalatv
@mtawalatv Год назад
Shalom kwakweli hivi ni viwango vya juu sana hongera sana mtumishi tuishi humo. nimebarikiwa na kila kitu hii nayo iko kule tunaposema Duniani kama mbinguni
@LilianMwamwaja
@LilianMwamwaja Год назад
Wooow wimbo mzuri sana hatua zako ni kubwa kila siku...Mungu Azidi kukuinua
@astamboi8098
@astamboi8098 Год назад
Waoh wonderful song
@neemaakarolema5989
@neemaakarolema5989 Год назад
Hakika BWANA Yuko nami kwenye magumu❤ umeweza madam Rita 🔥
@monicaurio8730
@monicaurio8730 Год назад
Hongera sana mtumishi wa Mungu,Mungu akuinue zaidi
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 Год назад
Mungu atanena juu yako barikiwa sana katika huduma
@theofrida
@theofrida Год назад
Umebarikiwa sana dada
@SuperIg42
@SuperIg42 Год назад
Mungu azidi kuwapaka mafuta kwa utumishi huo
@clarissenziza88
@clarissenziza88 Год назад
Mungu ni mwema
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu Год назад
Powerful 💥💥💥
@magdalenakilapilo6791
@magdalenakilapilo6791 Год назад
So powerful Sifa na utukufu kwa Bwana 🙌🏻
@pauljoel
@pauljoel Год назад
Amina Mungu awabariki sana wimbo mzuri sana 🔥
@justerkamala3933
@justerkamala3933 Год назад
Hongera 🎉sana Mtumishi wimbo mzuri
@mosessimkoko9364
@mosessimkoko9364 Год назад
Kazi nzuri kazi kubwa Mungu atukuzweeeee sana
@dorahyohana7238
@dorahyohana7238 Год назад
Uko nami bwana sitaanguka❤❤ barikiwa sana
@salomerichard6650
@salomerichard6650 Год назад
Powerfull song 🔥🔥Mungu aendelee kukutumia zaidi🙌🙌
@julianajaphet8864
@julianajaphet8864 Год назад
Kazi hii ni njema mbele za Mungu mkuu❤
@mosesmalaika6875
@mosesmalaika6875 Год назад
mungu bariki watumishi wake Amen 🙏
@stanleyleonard8613
@stanleyleonard8613 Год назад
What a beautiful song
@redemptamuvumu964
@redemptamuvumu964 Год назад
Blessed songs….big up to back vocalists👏🏽
@peterernest
@peterernest Год назад
Amen, siku nyingi sijakuskia
@goodlovebone6729
@goodlovebone6729 Год назад
Powerful song
@samwelvianga1225
@samwelvianga1225 Год назад
So Powerful ❤🔥🔥🔥
@kelvinlumasi3057
@kelvinlumasi3057 Год назад
I love the passion in which this song has been performed...
@ayoubmwigune2744
@ayoubmwigune2744 Год назад
Mungu akubariki sana asante kwa ibada hii dada Ritha Komba
@neemasawe2201
@neemasawe2201 Год назад
Mungu akuinue zaidi imekuwa ni baraka .
@classicmediaenter10ment44
@classicmediaenter10ment44 Год назад
Mungu azidi kukubariki dada yangu
@yvonnejoseph2
@yvonnejoseph2 Год назад
So powerful.....sitaanguka
@tussahmassesse
@tussahmassesse Год назад
Mungu azidi kukubariki
@juliawangari3732
@juliawangari3732 Год назад
I love this❤️❤️❤️🎶
@ministerfilbertsangule2799
@ministerfilbertsangule2799 Год назад
Hongera sana my sister kwa kazi nzuri sana.
@OfficialGraceM
@OfficialGraceM Год назад
Ooh my God timely song
@avocadoproduction6692
@avocadoproduction6692 Год назад
hongera nzuri sana
@francineaksanti2517
@francineaksanti2517 Год назад
Utulivu ambao uko ndani ya huu Wimbo, unaleta faraja
@rosenakikoti3031
@rosenakikoti3031 Год назад
Mbarikiwe sana
@stcfamily
@stcfamily Год назад
Amina dada
@Mwl_Lupimo_
@Mwl_Lupimo_ Год назад
💪💪💪
@davidmwaisumbe9639
@davidmwaisumbe9639 Год назад
Sita anguka 🙏
@theresialubida161
@theresialubida161 Год назад
Amina
@cherryemanuel8743
@cherryemanuel8743 Год назад
Mungu akubariki, Kazi nzuri sana.
@Wilsonduwee
@Wilsonduwee Год назад
Ubarikiwe
@lizzybethmayengoh
@lizzybethmayengoh Год назад
Hongera
@julietbevalyne974
@julietbevalyne974 Год назад
I love this song l can't get enough of it. God bless the ministry.
@emanuelshao9017
@emanuelshao9017 Год назад
Aminaaaa
@MiraMbepera
@MiraMbepera Год назад
Umebarikiwa sanaa❤
@rachelpatrick3749
@rachelpatrick3749 Год назад
Back Vocal 🙌🙌
@andreajames677
@andreajames677 Год назад
From huru digital tumebalikiwa sote.
@sarahsamson-ql3hw
@sarahsamson-ql3hw Год назад
Amen
@danielsogoja6199
@danielsogoja6199 Год назад
🙌🙌
@miltonmugisha1805
@miltonmugisha1805 Год назад
This is super
@kizittohescary1213
@kizittohescary1213 Год назад
So powerful
@yajuamungubosco6746
@yajuamungubosco6746 Год назад
Watumishi wa Mungu mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri. Ila mpaga guitare 🎸 ya solo hajautendea uo wimbo haki angeliachi kibodi ndo kifanye kazi pekee yaani kwakifipi asinge lipiga solo angelipiga lizm yakwaida tu.
@evandaga
@evandaga Год назад
Waaaaaow very powerful song
@MyMercy84
@MyMercy84 Год назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@TanzaniaGMI
@TanzaniaGMI Год назад
This song😢
@goodluckfungo3511
@goodluckfungo3511 Год назад
❤❤❤❤
@directorwilly
@directorwilly Год назад
Great Song…..Ibada kamili
@bd_nls
@bd_nls Год назад
Amen amen
Далее
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Просмотров 1,6 млн
Ritha Komba - Hakuna Kama Yesu (Live  Music Video)
7:12
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Rehema Simfukwe - Karibu na wewe (Live Studio Session)
9:01
Angel Magoti - Una Nguvu (Live Music Video)
7:31
Просмотров 440 тыс.
Rehema Simfukwe - Huniachi (Live Music Video)
10:44
Просмотров 253 тыс.