Тёмный

RIYAMA ALLY AONYESHA MAHABA MAZITO NA MUME WAKE MBELE YA WATOTO YATIMA |MAHABA NIUE 

Maximum Tv Online
Подписаться 440 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Riyama Ally Ameamua kusherekea kumbukizi ya kuzaliwa na mumewe kwa kujumuika na watoto yatima KWA lengo la kurudisha kwa jamii

Опубликовано:

 

23 июл 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 3 года назад
Mashallah Allah Awalinde nawatu mahasidi Inshallah
@elizabethsiara9528
@elizabethsiara9528 3 года назад
Mwaah habipt mwenyez Mungu azidi kukupa Nuru ung'are mbele zawatu Inshallah!
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 года назад
Masha allah
@noorlheyaljabri602
@noorlheyaljabri602 3 года назад
masha allah riyama pegezisana ukovizuri tenahogera kwakujiheshimu kwahilo ukomakini
@razikimustapha4731
@razikimustapha4731 2 года назад
MA SHAA ALLAH
@semenimohamed8156
@semenimohamed8156 3 года назад
Nampenda sana Rihama jamani mungu azid kukupigania
@kadigatanzaniya4792
@kadigatanzaniya4792 3 года назад
Mashallah
@missrukia9661
@missrukia9661 2 года назад
Mashallhaaa
@felisitamajamlq4105
@felisitamajamlq4105 2 года назад
Nakukubali sana ww dada
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Mwenyezi Mungu akupe moyo huo huo,,,dada huyu ndonampendaa.hanaga show chafu.
@heyumi2340
@heyumi2340 3 года назад
maashaallah maashaallah
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 3 года назад
Mubarikiwe mapenzi ya ukweli hayafichiki mr and mrs. Riama
@aminaally2014
@aminaally2014 3 года назад
Ni vizuri Allah awazidishie ila ujitahidi kuvaa vizuri na maeneo mengine
@reezqrezq9082
@reezqrezq9082 3 года назад
Katika dini ya kislam hakuna mambo na mziki ni haramu na unamkumbusha haramu mume wako
@aminatumbo7410
@aminatumbo7410 3 года назад
Barakallah
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 года назад
😘😘😘😘😘
@user-lr1vg6dk6f
@user-lr1vg6dk6f 3 года назад
Happy birthday shemej ila nakupenda sana da riama
@aziza9093
@aziza9093 Месяц назад
❤❤❤
@mwajumakitano842
@mwajumakitano842 2 года назад
Yoote sawa🥰🤗
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
Mashallah ❤️❤️
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 2 года назад
Mashaallah da Riama
@noorlheyaljabri602
@noorlheyaljabri602 3 года назад
allh adumishe ndowayenu mapeziyenu yazidiku nawiri allh awaepushenakila shari
@mauamrope7768
@mauamrope7768 2 года назад
Nakupenda sana da mwani mungu awabariki sana
@tatotato506
@tatotato506 3 года назад
Mashaallha mungu awalinde miaka buku ndani yandowa
@mesajuma4843
@mesajuma4843 3 года назад
Masha Allah 😘🙏
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
Mashaallah umependeza
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 года назад
We 👌🏽
@judytabby2777
@judytabby2777 2 года назад
Mashallah hawa wamedumu sio hawa wa miezi miwili wameachana huyu na tabu na wengine tu
@simonitaagesti3657
@simonitaagesti3657 3 года назад
Nimejisikia uzuni sana kuwaona watoto yatima dah
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Hapo umeongea ukweli ukijua madhaifu ya mwexio mbona mtatenganishwaa na Allah tuu. Lkn wale wasiojua madhaifu yawapendwa wao ndohao kila kukicha wanawabadili Kama nguo mwisho wanakuwa str yakuhifadhi nguo kuukuu
@basrajuma2953
@basrajuma2953 2 года назад
Sasa mbona wanapgana mabusu mbele za watoto
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 3 года назад
Mabusu wanapgana wao nafrai mimi dah mapenz haya🤣
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 3 года назад
1
@ashaali7154
@ashaali7154 3 года назад
Hii ni swadaka kwa mayatima au show Off ya mahaba yao hawa wawili. Hongereni lakini.
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 3 года назад
Nawewe fanya hakuna shida ni mke na mume
@mperamperatv2001
@mperamperatv2001 3 года назад
Hayo Mahaba Yaliomaanishwa hapo ni upendo wewe umefikilia tofauti
@khadijamohammad473
@khadijamohammad473 2 года назад
Samahani kuuliza tu huyu shemeji yetu ni muislam?
Далее
⚡️Uylanishim kerak, sovchilikka borasizmi?...😅
00:50