Тёмный

SHABANII ALIYEKUWA ANALALA CHINI YA DARAJA LA MANZESE AOKOKA |ASIMULIA MAZITO |UTALIA 

Maximum Tv Online
Подписаться 442 тыс.
Просмотров 2,9 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Спорт

Опубликовано:

 

3 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 11 дней назад
Mungu ni mwema sana hufanyanjia pasipo na njia
@julieeliah5511
@julieeliah5511 12 дней назад
Zahir, you're the best. Mungu akutunze kwa utukufu wake 🙏 🙏 🙏
@maximumtvonline
@maximumtvonline 12 дней назад
Amen
@tato8979
@tato8979 12 дней назад
Mungu ukujalie usirud ulikotoka uzidi kwenda mbele na akuinue kimaisha
@rosehaule6765
@rosehaule6765 10 дней назад
Kumshukuru Mungu kwa kila jambo.maana unapita kwenye majaribu anakuokoa Maana hata mvua zote hizo azikukuchukua kukusomba kupelekea kifo😢 basi mtumikie Mungu anakupenda sana kwa mapito haya utafuka mbali kaka
@ANGELA-oz1vi
@ANGELA-oz1vi 12 дней назад
Glory to Jesus
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 9 дней назад
Mungu azidi kukubariki🙏🥰
@TheSalma1999
@TheSalma1999 10 дней назад
It is well my brother God is soooooo good tunakuombea kaka yetu
@user-wv5lk6uz5w
@user-wv5lk6uz5w 10 дней назад
Hao mnaokometi kwa kukashifu dini ya kikrsto endeleeni kwa kujiona ninyi ndio bora zaidi ila nawaombea kwa mungu awasamehe
@saidaal1679
@saidaal1679 12 дней назад
Mungu ni mwema sana
@julieeliah5511
@julieeliah5511 12 дней назад
Mungu anawajua walio wake🙏
@ANGELA-oz1vi
@ANGELA-oz1vi 12 дней назад
Mungu anatutoa mbali sana
@aminajuma1156
@aminajuma1156 10 дней назад
AMEEEN Mungu ni mwema barikiwa sana
@stellasimon8306
@stellasimon8306 12 дней назад
Mungu ni mmoja jamani
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 12 дней назад
Mungu iko nawew
@zulekhaponti9353
@zulekhaponti9353 12 дней назад
Mungu yupo na wewe !
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 12 дней назад
Mungu azidi kukulinda
@ChiliHelman-yv4re
@ChiliHelman-yv4re 12 дней назад
Jitahidi kujijenga kiimani usipende kuwa naimani tofautitofauti shikiliya imani moja2 ambayo nimungu huwezi jua pengine nimungu alikupitisha humo ili chema kitokee kwamf. Kama sasa ulivyo
@MuhammadHassan-rg7ch
@MuhammadHassan-rg7ch 10 дней назад
Shaaban nijinsky la kiislaamu
@ASALABOY
@ASALABOY 7 дней назад
Brow Zahir wewe S ulisema uyu jamaa atakaa kwako n kua msaidizi w ujenzi kumbe wewe pia ulimuacha kwenye mitaa
@tato8979
@tato8979 12 дней назад
Mungu akubariki sana kaka Zahir
@maximumtvonline
@maximumtvonline 12 дней назад
Ameen
@MuhammadHassan-rg7ch
@MuhammadHassan-rg7ch 10 дней назад
Mboba hukuwa msikutini
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 12 дней назад
Chamsingi. Atafutiwe kazi tena aendeshe maisha yake. Na Munguakusimamie uwachane kweri na pombe. Huyo ajalogwa ni inilisitu. Namawaxo ya yule mwanamke alomtenda
@CamillahAdam
@CamillahAdam 11 дней назад
Nimefurahi kumuona tena huyu mkaka aiseee
@omanoman2044
@omanoman2044 12 дней назад
Kwan nilijuw ni msilim duuh
@user-uc8og1jx3d
@user-uc8og1jx3d 12 дней назад
Usiludi kwa pombe tena
@user-uc8og1jx3d
@user-uc8og1jx3d 12 дней назад
Mungu alikuacha upite hapo peke yako usimuhukumu . Mshukuru Mungu kwa yote
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 12 дней назад
Sauro umerudi kanisani Bass siyo mwislam tena ni kafiri sasa bass haya endeleya na ukafiri wako watu wanatoka kwenywe dini ya ukiristo wewe unarudi hatari umeshapinga muhuri wewe na mungu shida ya umu kiyama😢
@maximumtvonline
@maximumtvonline 12 дней назад
Kafiri ni mtu wa aina gani!?
@mirnababy5012
@mirnababy5012 12 дней назад
Dada mbona yamekutoka maneno sana ww mm muislam pia sija msema hayo looh pengine we kafri kuliko aliyeenda kwa mchungaji
@mirnababy5012
@mirnababy5012 12 дней назад
Ww uliyeckua muislam mbona hukumsaidia maisha ndio yanasababisha fala ww
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 12 дней назад
​@@maximumtvonlinehilo ni andiko kwenye bibilia Wakristo wameitwa makafiri sio Waislam hawajatoa neno hilo maandiko yapo kwenye bibilia wameitwa makafiri
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 12 дней назад
​@@mirnababy5012soma bibilia ndugu yangu hayo maneno hayajaotoka kichwani mwake ni maandiko kwenye bibilia
@omanoman2044
@omanoman2044 12 дней назад
Kwan alikuw mkirsto kumbe duuh kwan siku zote hakupata kaz am
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 12 дней назад
!
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s 12 дней назад
Shabani kaokoka 😂atakaefuata Ramadhani ataokoka atakuja mfungo mosi nae mfungo 3 ataokoka😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 7 дней назад
Umepigaje apoo😂😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 7 дней назад
Na Idi je?
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s 5 дней назад
@@FatimaAli-of4gh mdog mdog Eid nae ataokoka
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 5 дней назад
@@user-df6ui9ro8s 😀😀😀 wewe una hatari
@ANGELA-oz1vi
@ANGELA-oz1vi 12 дней назад
Mungu anatutoa mbali sana
Далее
Hii nyumba haina kasoro
3:34
Просмотров 23 тыс.
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
Players with Their Kids
0:31
Просмотров 6 млн
The best moment of the 2022 world cup. #nl
0:15
Просмотров 6 млн