Тёмный

ROBOTI EUNICE WA MHE. NAPE AKIONGEA NA WATANGAZAJI WA GOOD MORNING, VIWANJA VYA BUNGE DODOMA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 123   
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 месяца назад
DAAAH 😢 najihisi kuishiwa nguvu. Haifurahishi hata kidogo... inasikitisha sana 😢
@digitalworld5577
@digitalworld5577 3 месяца назад
This is shame! Hilo ni roboti kweli?!! Na nyie mnarusha kwenye mitandao, hilo ni kama midoli ya kwenye maduka ya nguo, limewekewa tu sauti
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 3 месяца назад
Kweli Tanzania bado tuko nyuma, matatizo yote tuliyonayo kuyajadili bungeni, mnaleta robot yaani bunged lime kua sehemu ya mchezo ya watoto this is a joke
@LeonardGilbert-ox5ul
@LeonardGilbert-ox5ul 3 месяца назад
Duh ngoja niangalie nicheke tena ndo nikalale hii nchi ngum sana
@jommtechmedia8307
@jommtechmedia8307 3 месяца назад
nafikiri tusimchoshe io sauti ameisema mwandishi kwa maoni yangu technolgia yetu imefika mbali sana kwenye masuala ya robotics mpaka wasomi wa bungeni wameamua kuiweka hii hadharani cha msingi ni kuongeza bidii katika pale penye mapungufu hata mbuyu ulianza km mchicha
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 месяца назад
😂 kwasisi wataalamu wa AI tunaona hilo ni sanamu lililowekewa spika na vifaa kidogo. Hiyo spika inaenda kwenye AI. Ukiuliza swali wanaandika haraka haraka kwenye AI ndioinatoa sauti ya kujibu huku kwenye spika. Ndiomaana hao waandishi wa habari wanasoma maswali waliyoandaliwa na wale jamaa waliojificha eti ionekane roboti linajiongoza kumbe wao ndio wanaliongoza kuongea na kutoa mkono 😢😢😢
@wemu4774
@wemu4774 3 месяца назад
Hahahahaha
@ErickRichard-kh7tj
@ErickRichard-kh7tj 3 месяца назад
Ndo maana kushindwa kujibu anatokea wap alf anaongelea kipaombele cha taifa😂😂😂😂
@user-ny7oq2oy8r
@user-ny7oq2oy8r 3 месяца назад
Kaa sanamu la Michelin bado sanaaa😂😂
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 3 месяца назад
😂😂😂
@josephfrank4446
@josephfrank4446 3 месяца назад
Mbona unasoma kwenye simu maelekezo mnatupanga ndomaana tumepigwa sanamu la Nyerere 😂😂😂
@andrewseleli2331
@andrewseleli2331 3 месяца назад
Kamezeshwa maswali😆😆😆
@Veni584
@Veni584 3 месяца назад
Mbona mdomo haufunguki?
@gbrowngbatz7867
@gbrowngbatz7867 3 месяца назад
Robot la kiwango cha chin sana😂😂😂
@user-ny7oq2oy8r
@user-ny7oq2oy8r 3 месяца назад
😂😂
@wemu4774
@wemu4774 3 месяца назад
Hahahaha
@ALBERTNyemba-uk3fr
@ALBERTNyemba-uk3fr 3 месяца назад
Mmetutia aibu.aiseee😂😂😂
@brightstudiosmambali7669
@brightstudiosmambali7669 3 месяца назад
duh Tanzania nchi yangu . sina mwana sheria wachanipite tu🎉
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 3 месяца назад
Hilo ni limdoli la nguo tu hiyo ni program Tanzania is problem akili duh!?
@SylvesterKeya-lm9rn
@SylvesterKeya-lm9rn 3 месяца назад
Nape unachkujibu mbele za mungu si kwa utoto huu
@zondomartine
@zondomartine 3 месяца назад
aibu ya mwaka
@susujeremiah195
@susujeremiah195 3 месяца назад
Akiulizwa maswali asiyoyajuwa anasema thank you so much, maswali yako kwenye simu UNATAKIWA kuuliza the right question ndo komputa yake idetect vinginevyo utasikia THANK YOU SO MUCH ila bongo 😂😂😂😂😂
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 месяца назад
😅😅😅😅 mchongo huo wa pesa za wajinga 😢
@VICTORJMWAKA
@VICTORJMWAKA 3 месяца назад
Ilo c dol la kuuzia ngua uko ndani kuna ic voice 2 Moja inarecord voice nyigine inajibu maelezo aliyo yajaza mtengenezaji ki ufupi wamefeli kwenye uundaji wa Hilo Sanam viungo vng vimeganda.
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 3 месяца назад
Ninyi mnatuzingua huu utawala tutaona mengi,kuchezea tu kodizetu ninyi,
@MamyNjiwa
@MamyNjiwa 2 месяца назад
Linaongea kupitia Nini? Mbona halifungui mdomo!!!😅tumepigwa na kitu kizito😅😅😅😅😅ety tusimchoshe!!!watanzania bhana!!alafu hao ndo viongozi wetu wasomi😅😅😅😅
@mohammededy7086
@mohammededy7086 3 месяца назад
Hakuna kitu kinawatesa makonda kama 100 za abiria utackia lete mia nikupe jero bas abiria anakua amejua kama ataondoka na jero yote bas utackia sina hahahah kama na ww unapnd gonga like
@user-ww2xd9cg5e
@user-ww2xd9cg5e 3 месяца назад
Wote hamna akili mbuzi kweli lonoti anashindwa hata na mbuzi
@josephfrank4446
@josephfrank4446 3 месяца назад
😂😂😂😂mnatuokota hili Doli la dukani bhana msitupange
@user-yy6gf4my9f
@user-yy6gf4my9f 3 месяца назад
Aibu yani waheshimiwa kabisa duuuh
@User7700
@User7700 3 месяца назад
Ndoo maana nampenda sana ney wamitego akiongeaga ukweli mnamuonaga wa ajabu sasa ndoo nini roboti gani ilo linajua kutoa mkono tuu mdomo hautingishiki upo umeganda tuu nalipstiki jamn tanzania hii ni haibu 😢😢seriously
@daudimbise3187
@daudimbise3187 3 месяца назад
Huu ni kama mdoli kwenye duka langu la nguo, nauwekea radio ya Bluetooth then nafanya yangu. Hapa hamna kitu
@suditv3867
@suditv3867 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@suditv3867
@suditv3867 3 месяца назад
Ukute hata anaejibu yupo na maiki yupo karibu Yao anawacheki tuu
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 месяца назад
​@@suditv3867sio maiki hiyo ni AI inayotumika hata wewe ukiingia google andika AI utaweka sauti utasikia sauti hiyo
@sf2tv
@sf2tv 3 месяца назад
Naomba nitafute niwape helium kubwa kuliko mnachokifafanya hapo
@tembatembele5332
@tembatembele5332 3 месяца назад
Bado sanaaaaaaa!!!!!!!!?
@johnjilala415
@johnjilala415 3 месяца назад
Mh Tanzania yangu 😭😭😭
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 3 месяца назад
Duh mbona
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 месяца назад
Hata mdomo halinyanyui 😂😂😂 robot gani la mchongo
@ballackmasungura6753
@ballackmasungura6753 3 месяца назад
Apawapiga dili washapiga wametafuta jinsi ya kupiga ela hivi kweli unaweza ongozwa na katuni
@newbornhaule
@newbornhaule 3 месяца назад
Hii ni nini?
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf 3 месяца назад
Nabado tunaisoma namba ngoja watuburuze tutalipa madeni mpaka tujue ccm wana nunua kompyuta vigurudum msimamo heti roboti wavaasuti wametupiga pesazakutocha kwaicho kisanam wameagiza navingine watapandisha bei yamafuta ili walipe pesa walizokopa kununua mdori
@LeonardGilbert-ox5ul
@LeonardGilbert-ox5ul 3 месяца назад
Mdomo upo kweny ziwa au mbn mic inawekwa hap
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 3 месяца назад
Hana kitu hapo
@EmmanuelErnest-jv2rc
@EmmanuelErnest-jv2rc Месяц назад
Hako n karedio cha bluetooth
@laurencematitah7046
@laurencematitah7046 3 месяца назад
Mbona kama mnasikiliza redio
@sf2tv
@sf2tv 3 месяца назад
Yani watazani tumefika atua yakuongea nakatuni kweli
@user-zt4ih3bq8u
@user-zt4ih3bq8u 3 месяца назад
Kabla ya kuwaza maendeleo mnawaza maloboti kweli??? Mh jaman mamb mengine yanachekesha
@ShabaniKizamile
@ShabaniKizamile 3 месяца назад
Mmefilisika kimawazo kwakweli mnaongea na antisocial
@PelagiaIsdol
@PelagiaIsdol 3 месяца назад
Ilo sanamu ls michelin upendezi hataujirembe unatishaa😂😂😂
@ZaheraMohamed-hx3vo
@ZaheraMohamed-hx3vo 3 месяца назад
Mh sanam ilo
@MsauzizuluMsauzizulu
@MsauzizuluMsauzizulu 3 месяца назад
Kwaiyo hapo upeo wenu ndoumefka mwisho acheni kutucholesha huyo ni dori kama tunayowekea nguo
@johnkazimoto
@johnkazimoto 3 месяца назад
Hapa wamepigwa hakuna kitu hapa
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 3 месяца назад
Mkitajiwa gharama yake sasa ni balaaa😂😂😂😂
@Eliya-vv1jp
@Eliya-vv1jp 3 месяца назад
nileteeni mchumba huyo jaman
@SalmaFologo
@SalmaFologo 3 месяца назад
Yarrabi tusaidie 😭😭😭😭
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 3 месяца назад
Takataka 😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@barakasamweli9115
@barakasamweli9115 3 месяца назад
Ujiga2 amuna mambo yakufanya utoto sana
@amashapatrick211
@amashapatrick211 3 месяца назад
Mmekosa kazi za kufanya 😂😂😂😂😂
@PatrickEmanel
@PatrickEmanel 3 месяца назад
Ukiachana na maigizo ya makanisa ya sasa hili nalo ni......au bas.
@susujeremiah195
@susujeremiah195 3 месяца назад
Hahahaha ila bongo bhana, sasa mbona Kuna maroboti Huwa yanatikisa midomo na sauti inatoka huko sasa huyu sauti inatoka kifuani
@ngoshakulwa8348
@ngoshakulwa8348 3 месяца назад
Nimesoma komenti zote zaidi ya mia hakuna hata moja, narudia hakuna hata moja iliyosifia au kupongeza hili robot. Watanzania tunachakujifunza hapo
@user-jr3mo3je3k
@user-jr3mo3je3k 3 месяца назад
Jmn huyo roboti siku amekufa mtujuze,nitashika nafasi yake
@robertzamani5612
@robertzamani5612 3 месяца назад
Shetani anatupoteza kwa kukosa marifa yaani na akili zenu mnaongea na sanamu huku sauti ya kupandikiza
@princehenry7113
@princehenry7113 3 месяца назад
Aibu
@user-nq4hs1lb6p
@user-nq4hs1lb6p 3 месяца назад
Samia Samia Samia Samia Samia sio kweri hivi hata kama ni wewe ndiyo ingekuwa ss
@patrickmpangala3098
@patrickmpangala3098 3 месяца назад
Mwanasheria wako yupo hai
@AlexChristopherMuhanuka-wm2jk
@AlexChristopherMuhanuka-wm2jk 3 месяца назад
Midoli yakuwekea nguo hilo😢😢😢😢😢
@kombosalehe9787
@kombosalehe9787 3 месяца назад
Microphone imewekwa kwapani sio mchezo
@julianamwinami4739
@julianamwinami4739 3 месяца назад
duuuuuu jaman
@hamidamussa593
@hamidamussa593 3 месяца назад
Rejea tena chuoni hebu acha kujigamba.... None sense hamna jipya hapo kawaida sana
@leonardmayugu9055
@leonardmayugu9055 3 месяца назад
Huu ni mdoli 😂😂😂
@user-fr1st9bo7y
@user-fr1st9bo7y 3 месяца назад
Mbn kam mgonjwa😢
@richytarimo4656
@richytarimo4656 3 месяца назад
poor technology ilitakiwa atembee na miguu miwil Kama mtu,,,, na sio viatu vya nataili
@robertzamani5612
@robertzamani5612 3 месяца назад
Hivi huyo roboti anachoka nn sasa
@rozinakiria6240
@rozinakiria6240 3 месяца назад
😢😢😢😢au basi
@HarunaJuma-yb7ie
@HarunaJuma-yb7ie 3 месяца назад
Aiseee ivi tz bd sana 2ko nyuma sana sasa wameshndwa kuleta vi2 vya mhm wan2letea roboat aisee hahahahahahahahahaha Viongozi waziri wa bunge mumetisha inbd 2wape sart kwen bunge lo!
@leonardmayugu9055
@leonardmayugu9055 3 месяца назад
Huyu roboti ni mchaga hana wowowo kabisa😂😂😂
@festojoelkichele9382
@festojoelkichele9382 3 месяца назад
Kinyago cha mpapule
@cloudanthony-np9yv
@cloudanthony-np9yv 3 месяца назад
😮
@SalomeMamba
@SalomeMamba 3 месяца назад
Nchi yangu Tanzania 😂😂😂😂
@sf2tv
@sf2tv 3 месяца назад
Acheni utoto iyo sanamu inawasadia nn
@sadihashimu4664
@sadihashimu4664 3 месяца назад
😂😂😂😂😂bado kabisa robot gani sas huyo c ni mdoli tu kama ile ya kariakoo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 3 месяца назад
Bado sana
@ngasijumanne-qx6hk
@ngasijumanne-qx6hk 3 месяца назад
Ivi Hawa wazima kweli😂😂
@simonmhoro4972
@simonmhoro4972 3 месяца назад
Naona haibu😂😂😂
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 3 месяца назад
😂😂😂hiyo miguu yake
@mastatz7766
@mastatz7766 3 месяца назад
sasa si mumpe maiki ashike mwenyewe
@malimipambe6260
@malimipambe6260 3 месяца назад
Hamna roboti hapo msituzuge Hilo toi😂😂
@JacksonMakalanga
@JacksonMakalanga 3 месяца назад
Sema huyu robot ni wamchongo😂
@madamshifaa8503
@madamshifaa8503 3 месяца назад
Mbona mdomo hautikisiki au tunapigwa anaeongea ni mwingine😂😂😂
@mohammededy7086
@mohammededy7086 3 месяца назад
Robot la kitoto kabsa yan mana ni kama record
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 месяца назад
Aibu ndogondogo kama hizi zinaepukika basi tu
@user-fr1st9bo7y
@user-fr1st9bo7y 3 месяца назад
Me nafikiri tusimchoshe 🤣🤣🤣🤣🤣pumbavuuuu
@aminamalilo6605
@aminamalilo6605 3 месяца назад
Linatusaidia nini hilo robot
@durangobasics6195
@durangobasics6195 2 месяца назад
Linawapiga "chapa" ya mkononi😂😂😂
@mohammededy7086
@mohammededy7086 3 месяца назад
Watu wazima munafanywa watoto yan dah
@bravonation
@bravonation 3 месяца назад
😂 za kichwa tumepigwa
@enocklutonja339
@enocklutonja339 3 месяца назад
Duh! Tutafika tumechoka sana,huenda kweli Tz ni channel ya vichekesho mbinguni!
@edwardbelege5236
@edwardbelege5236 3 месяца назад
None sense
@happynesssulle580
@happynesssulle580 3 месяца назад
Mbona mdoli anaongea na kifua
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 3 месяца назад
Mmmh hamna robot umu 😂😂😂
@MsauzizuluMsauzizulu
@MsauzizuluMsauzizulu 3 месяца назад
Hata mdomo hauchez
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 3 месяца назад
ANAONGEA KAMA WAIRAQ Wambulu wa Manyara
@barakampera8946
@barakampera8946 3 месяца назад
So shame
@LameckMashamba
@LameckMashamba 3 месяца назад
Huo ni mdori bwana
@YavanMussa
@YavanMussa 3 месяца назад
😢😢😢😢😢😂😂 tumepigwa
@Ibengwefx
@Ibengwefx 3 месяца назад
Utapeli mtupu uchafu kbx
@monikamasasi7582
@monikamasasi7582 3 месяца назад
Katuni hili jinga Sana ona mimekaa kama sanamu halafu haliongei lenyewe ,wenzetu Wana roboti wazuri hili ni limdoli
@galatonetz
@galatonetz 3 месяца назад
😂
@wemu4774
@wemu4774 3 месяца назад
Hahahaha
Далее
Growing fruit art
00:33
Просмотров 3,4 млн
Почему не Попал?!
00:15
Просмотров 37 тыс.
Roboti Sophia asema mwanaadamu hatapoteza ajira
1:54
MAJUNGU PLESI
10:19
Просмотров 276 тыс.
Growing fruit art
00:33
Просмотров 3,4 млн