Тёмный

SHUHUDIA ROBOTI LILIVYOINGIA MBELE YA RAIS SAMIA KWENYE UZINDUZI WA MKONGO WA MAWASILIANO 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 306 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 351   
@Damas_243
@Damas_243 4 месяца назад
😭😭😭aisee inaniuma hatakama mimi sio mu Tanzania 🇹🇿 mimi ni mu congo 🇨🇩 kiukweli nyakati za mzee @MAGUFULI vitu kama hivi havinge fika Tanzania 🇹🇿 ange kemea huu upuuzi daah mwenyezi mungu amulaze mahal pema peponi 😭😭😭🙏🤲🤲🙌
@joabPeter-rm1vm
@joabPeter-rm1vm 4 месяца назад
Pamoja sana ndugu yangu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 4 месяца назад
amin yarab
@zakhiaomary3717
@zakhiaomary3717 4 месяца назад
Amiin
@amereciumfemium885
@amereciumfemium885 4 месяца назад
uko sahihi ndugu yangu mambo ya kishamba haya
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 4 месяца назад
Kwakweli ukingalia basi Tanzania Kwa unashughuli gani za kuhitaji robot wenyewe umeme wa mgao viti vyakula vya kishida wanavyotafuta vyahabika kwa mafriji kwa umeme wakuzima zima vionhoz jitafakarin muache kuiga nchi za watu waliondelea
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 4 месяца назад
Daaaah kwakweli Mungu tunaomba utupe raisi kiongozi bora na si bora kiongozi katika taifa letu
@abrahammollel3558
@abrahammollel3558 4 месяца назад
Naomba kujua faida zake
@LatifahPambe
@LatifahPambe 2 месяца назад
Aamiyn
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 Месяц назад
Aliyegundua huyu c robote ni mtu kajivika agonje like twende sawa
@AishaJuma-zf6pw
@AishaJuma-zf6pw 4 месяца назад
Kuna wananchi wengi hawana ajira mnatengeneza robot wann hii ndio moja ya roho mbaya
@fridayuda9577
@fridayuda9577 3 месяца назад
Najiuliza Sana hili swali,😭😭😭😭 tuombe Mungu Sana maana Hakuna kilichobaki
@GeraidinaJonathan
@GeraidinaJonathan 4 месяца назад
Ehee Mungu kwa hili nfundishe kunyamaza maana nikisema hatari
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 4 месяца назад
Kama hamna chaku fanya tufundishen hata mambo ya mungu tuwe na iman kuliko huo upuuzi
@sharifajamal5764
@sharifajamal5764 3 месяца назад
Kabisaa
@StephenMalubi
@StephenMalubi 4 месяца назад
Hii ni nchi yakipumbavu sana ,pumzika Kwa amani baba magu mema yako na mazur yako yatadumu daima
@ZainabuSanga-yd7fg
@ZainabuSanga-yd7fg 4 месяца назад
Da Mungu atusaidie sana
@Hlatsikhulu
@Hlatsikhulu Год назад
Mama ana uza bandali alafu anatuletea maloboti sisi yanini ayo maloboti..au ndo anaupiga mwingi?
@Kondoa805
@Kondoa805 4 месяца назад
😂😂😂😂😂sijui nacheka nini
@MishiPapalan
@MishiPapalan Месяц назад
Mwenyezimungu tusaidie ikomboe mchie yetu yarabi yaraabi
@fatimakhatibu8256
@fatimakhatibu8256 4 месяца назад
Mingu ailinde Nchi yangu huyu mama ametuletee shetanii atutaeale Yaah Allah
@JulianaSinka
@JulianaSinka 3 месяца назад
Dunia imeisha Mungu tusaidie😢
@JofryDaud-kc2du
@JofryDaud-kc2du 4 месяца назад
Someni (1timoseo2:12)haya,kazikwenu,ilasiasa,niatali,leowanamsifia,akitoka,mbaya,siasa,niunafikitu,niwakati,wakumtafuta,MUNGU,yadunia,hayanamaana,yakobo5:1-4)
@Fake_smile-j8b
@Fake_smile-j8b 2 месяца назад
Subuhana Allah wapi tunaenda mungu katuumba tufanye kazi tupate Kula haya Basi huyo waliomtengeneza wampe nafsi na roho
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 месяца назад
Hongera mama angu tz cyo kisiwa chapa kazi mama tz bila wawekezaji bado sana ase cc wachaga tunakupenda sana l love mama
@Latifa-m4u
@Latifa-m4u 2 месяца назад
Kenge ww
@Nurjan847
@Nurjan847 2 месяца назад
Wewe sio mzima waakili shame on you 😡
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Год назад
Safi sana. Hii ndo Tanzania ya mama Samiah tunayoitaka. Vijana hongera sana kwa kuheshimisha nchi yetu kiteknolojia!
@amereciumfemium885
@amereciumfemium885 4 месяца назад
wew fara Sana heshima gan upuuzi huo
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 Год назад
Kusema kweli tuwe makini hii ni program ya A.I inayoendelea duniani kwasasa, nilijua Tanzania yangu haitaingia huku. NI HATARI JAMANI, Tuweni makini karibia TERMINATOR Wana take over DUNIA NZIMA 😭😭😭
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
Ulichokisema kimeshaonekana ndugu yangu 😢😢😢😢😢😢😢😢
@helenajoel5101
@helenajoel5101 4 месяца назад
Kazizuli mamaangu hakika Mungu aendelee kukutetea ombilangu mama kwako mm jasiliamali soko limevujwa nimeyumba kimtaji nakuomba mama unisaidie nipo kigoma mama🙏
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 4 месяца назад
Hiyo kazi ya robot ingepewa mtanzania akapata ugali wa wanae
@JaneKikoti
@JaneKikoti 3 месяца назад
Magufuri baba pumzika salama daima tutakukumbuka haya mambo ungekuwepo usingeruhusu yafanyike kabsa 🥲🥲
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 месяца назад
Oooh allah jaaalia amani
@FrankJackson-c5m
@FrankJackson-c5m 4 месяца назад
Ila Mungu anawaona
@mariakomba-s6l
@mariakomba-s6l 4 месяца назад
Kwakweli
@MitchellErmina
@MitchellErmina 4 месяца назад
Kazi yake nini wafrica mko nakazi mumeharibu pesa kutengeza kitu ambacho hakina maana sasa huyo robot mkikosea mtaona kazi
@EsterMwendawila-wj2ks
@EsterMwendawila-wj2ks 2 месяца назад
Mama nakupenda mungu akulind taifa letu lisonge mbele
@coneephraim7756
@coneephraim7756 4 месяца назад
Very shame.........tpuuuuuuu........ I dont know if our brain still intact........ is something not ok somewhere.......
@claraedwardmalingumu3565
@claraedwardmalingumu3565 3 месяца назад
RIP raisi yetu kipenzi JPM❤
@coneephraim7756
@coneephraim7756 4 месяца назад
Daaah...... kweli kunatofauti kati ya binadamu na kivuli....... vivuli vikibaki.......... everything goes FU*****D So pain and very Pain...... No solidality, no Vission,.... no goals..... no stretigies..... Just Stupidity and staying on a palace throne having a ceremony for UTUMBOOO....... my tears for my lovely Country...... so Pain for my Africa........
@JulianaKokujuna
@JulianaKokujuna 4 месяца назад
Mwenyezi Mungu tupe akili😢
@SalamaJuma-mg3ru
@SalamaJuma-mg3ru 3 месяца назад
Mama unatufundisha nini sisi waislam hivi kweli unaanza kuabudu sanamu na unalipigia 10 ewe mola wngu mzindue huyu mama hajui alitendalo
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 2 месяца назад
Hata musitake technology itabakia kuwa vile vile na lazima mabadiliko yawepo,,swala la ajira kwa vijana lipo na kila RAISI anaye kuja anapambana kivyake,, acheni fitina na unafiki mama anajitaidi kwa upande wake,, muhimu tuombe aongezewe upeo zaidi wa kufanya mambo bora zaidi kwa WANANCHI WOTE,, Ahsante
@MariamBenjamin-b2q
@MariamBenjamin-b2q 2 месяца назад
Mwenyezi mungu akupiganie mama nakupenda sana 💞
@HalfaKing
@HalfaKing Месяц назад
Kwalipi acha ujinga umekaa nyumbani unauza ndizi.unafikiri robotics amekuja tu watu hawana ajira mnashangilia Mambo haya
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 Месяц назад
​@@HalfaKing Bora niendelee kutafut maish nje Tanzania MUNGU awasameh waoiongoza😢
@MamyNjiwa
@MamyNjiwa 3 месяца назад
Tunakukumbuka sanaaa mwana chato,mungu akupunguzie adhabu ya kabuli kipenzi chetu😢
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 месяца назад
Kamkumbuke mama ako
@creticiadonald1904
@creticiadonald1904 3 месяца назад
Daah dear Lord have mercy on us
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 Месяц назад
Hiyo ni miungu inayopiga vita asili ya Mungu..hayo mamilioni ya kununua misanamu ingelipa mishahara kwa vijana wanaoajiriwa bwana.
@NasratMwinyi
@NasratMwinyi 2 месяца назад
Mungu atulind n hz dhambikwakweli😢😢😢😢
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Год назад
Roboti ana mapoziiii zaidi ya mr blue
@khadijakapoly
@khadijakapoly 4 месяца назад
😂😂😂😂
@clintonkihwelo7418
@clintonkihwelo7418 3 месяца назад
Sio lobot uyo ni mtu kavaa izo chuma
@MapandaBagiligwa
@MapandaBagiligwa 4 месяца назад
Magufur Fufuka utasaidie hv hy bajety yakuagiza marobot Vp! Mngeierekeza kutujazia Mita zamaji watanzania wote tukatumia maj bure ata kwa ck 3
@emanuelnyab9872
@emanuelnyab9872 4 месяца назад
Nape huna jipya kwenye wizara ya mawasiliano tokea urudi kwenye wizara Mambo yameharibik kabisa bando juu, voucher juu yaani kaa umebaki kutuletea midoli ya umeme kutoka ulaya sijui inafaida gani kwa Tanganyika yetu.
@EllyjTengeneza
@EllyjTengeneza 4 месяца назад
Siyo Tanganyika bali ni Tanzania ila kama ni ziwa Tanganyika hapo sawa
@jumamaster934
@jumamaster934 4 месяца назад
Tnaiitaji madawa ndoyamsingi namba Moja pili ndotupate hao madaktari
@ReahAdam
@ReahAdam 4 месяца назад
Mh jaman unabii huo inaenda kutimia muyaonapo hayo changamken mkaviinue vichwa vyenu kwamana ukomboz ukalibu
@EdwinAbuya-en6yl
@EdwinAbuya-en6yl 3 месяца назад
Wabudu shetan Tz mnaipusha African i wish nengekua Rais wa kenya Ruto ningekata husiano wetu juu bibilia lasema chitenge nawao
@ElizabettEmanuel
@ElizabettEmanuel 3 месяца назад
Tanzania yetu. Inaitaji lehema za mungu
@PricaKaringa
@PricaKaringa Месяц назад
Jaman kwani hakuna vitu vya kufanya daah watanzania tumtafute mungu kwa bidii
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 4 месяца назад
Waabudu sanamu ole wenu
@SelemaniRingia
@SelemaniRingia 3 месяца назад
Maana yake na Tanzania pia inaabudu sanamu Kwa kuwa wameshawaingiza nchini kwetu kama laana ya nchi😢
@pamelaaugustino5909
@pamelaaugustino5909 3 месяца назад
Mungu tu ahusike Tz
@JaneDaimon
@JaneDaimon 4 месяца назад
Watu wengi mtaani hawana ajila nyie mnapiga makofi robot kweeeli MUNGU wape macho ya rohoni viongozi wetu tz
@LUCYMWANISAWA
@LUCYMWANISAWA 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤ l like it
@Sifa-ol4lb
@Sifa-ol4lb 3 месяца назад
😢😢😢😢 mama etu nae analiga makof ni nini hii mung tupe.macho ya rohon
@JosephmwitaJosephmwita
@JosephmwitaJosephmwita 4 месяца назад
Hizi kufuru huwa sizipendi huu upuzi
@FatmaRashid-rr8yw
@FatmaRashid-rr8yw 4 месяца назад
Upuuz gan huo wananchi hawana kaz pesa mwamalza kutengeneza upuuz uwo mtakuja kufa vbaya na marobot yenu
@JacksonNtumba
@JacksonNtumba 22 дня назад
Wao
@HadijaIsmail-i7d
@HadijaIsmail-i7d 4 месяца назад
Kazi nzuri sana ila tukumbuke madawati na madarasa
@AfizoBrave
@AfizoBrave 4 месяца назад
Washamba watakukosoa tu, Achana nanao mama endelea kuendesha gari, Usiwasikilizea abilia watakutia asira..❤❤❤
@FranceMaiko-cs6il
@FranceMaiko-cs6il 4 месяца назад
Bora angalau mfundishe biashara ya forex trading duuuhhh Tanzania bana
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 месяца назад
Mashallah ❤❤❤
@peacemwesiga
@peacemwesiga 4 месяца назад
Mungu wangu!!!
@EveCharles-f9i
@EveCharles-f9i 2 месяца назад
Vitu vingine vya kipuuzi sanaa sasa roboti linatusaidia nini katika maisha yetu binafsi kama wananchi
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 4 месяца назад
Wenye nchi awo hadi raha❤
@Upendo-hi1be
@Upendo-hi1be 4 месяца назад
Mungu ingili kati tanzania
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Ivi tz ndo tumefikia hapa kweli!
@ShadrackJr
@ShadrackJr 4 месяца назад
🎉🎉
@JumaSalim-bd1ff
@JumaSalim-bd1ff 4 месяца назад
Yaani naamini mataifa mengine wanatusikitikia sijui anafaida gani huyu robot
@JosephBahati-bz4bu
@JosephBahati-bz4bu 3 месяца назад
Daah ❤❤❤❤❤
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 4 месяца назад
Mimi sina chakula robot inanisaidiaje?
@ZiporahShauri
@ZiporahShauri Месяц назад
Mungu tunusuru, tunaelekea wapi. Khaaaa!
@josephnziku2997
@josephnziku2997 4 месяца назад
Kuna ulazima kwa hili robot kuwekewa mapembe na sura yakutisha?
@omarmwabege
@omarmwabege 4 месяца назад
Matangazo ya ushetani
@SadaNassolo
@SadaNassolo 2 месяца назад
mtihani kweli
@RAJABungulukizi
@RAJABungulukizi 2 месяца назад
Eeh mwenyezi mungu 2nakuomba utuokoe
@deborahbutoto6375
@deborahbutoto6375 3 месяца назад
mimi nashauli huyu awe roboti wa mwisho kutengenezwa maana sijaona faida yoyote iliyo ingizwa nchini na hivi vitu tutafute kitu kingine jamani sasahivi Roboti sofia yupo stoo na pesa nyingi zilitumika 😢😢😢😢😢😢😢
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 4 месяца назад
Ni vtu vyakijinga Sana vitu muhimu nikulinda asilimali za selikali kuzbiti ufisadi nalushwa uwajibkaji kwa wtumishiwauma hyo ndoyamcngi siyo upuuzi ambao haunatija
@PLAYPROGAMING568K
@PLAYPROGAMING568K Год назад
Tanzania is Tanzania and is for Tanzanian we will and we can ❤❤❤
@EmmanuelJacobo-l3s
@EmmanuelJacobo-l3s 4 месяца назад
nchi zilizo piga hatua wanacheka mpaka wanakaukia jinsi tulivyo mapunguani kichwani tena mpka Mh raisi wa nchi anakuja kuangalia hii toii dah mama washauri wako wanakuangamiza hawakupi ushauri unaojenga
@TheGalaxy2
@TheGalaxy2 Год назад
Safi sana.
@eddakasela
@eddakasela 4 месяца назад
Hapo kuna majabu gani jamani
@SimonKisinga
@SimonKisinga 3 месяца назад
😢 dah bongo bado sana
@KelvinZabron-xs2vp
@KelvinZabron-xs2vp 4 месяца назад
Sasa ilo limashine lakazi gani mbona kama ushetani mnatufundisha nini
@MichaelGeorge-mb4qx
@MichaelGeorge-mb4qx 3 месяца назад
Nice
@LilianSilas
@LilianSilas 4 месяца назад
Kwakwel tuombeni sana hizi ni nyakati za mwisho tunako elekea hizi hizi roboti zitakuja kutuua sisi wenyewe MUNGU itetee Tanzania tupe watu sahii Katika tafifa letu
@Aksahaaswalehea
@Aksahaaswalehea 2 месяца назад
😂😂😂😂
@asifamwenga210
@asifamwenga210 3 месяца назад
Hataree
@JumanneShambi
@JumanneShambi Месяц назад
3:25 yameenda wapi tena maana yunis nae hatumuoni 🥺
@MohamedSaleh-q7w
@MohamedSaleh-q7w Месяц назад
Airtel mna 4g sms za kawaida haziend io 5g ya nini rekebisheni mtandao wenu kwanza
@EmanuelNgonde
@EmanuelNgonde 4 месяца назад
❤❤❤
@ZawadiMwabadilanga
@ZawadiMwabadilanga 4 месяца назад
Tunako ele keya ni pabaya sasa kweli mungu utu samehe yarabi
@josephatmdede2304
@josephatmdede2304 3 месяца назад
Mungu anatuangalia tu Wacha tutape tapeeee Kisha Kun sim tutajua mung ni nani naon bad hatumjui mungu ni nani?
@VicenteBakali
@VicenteBakali 4 месяца назад
Ivi nanyiii mulio Kaa umo ndani munakenua tu alafu mnashangilia sisi uku tunaumia
@nyangakamarwa179
@nyangakamarwa179 3 месяца назад
Tanzania yangu Dooooo!!!!!
@HanifaNgasa
@HanifaNgasa 4 месяца назад
Nipe kazi yakumogesha
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 4 месяца назад
Yalabi tunusuru wajawako
@MercyNjuguna-vw8gy
@MercyNjuguna-vw8gy 4 месяца назад
Hii ni Mungu ya gizani tu siipendi kamwe
@carondiwa795
@carondiwa795 3 месяца назад
Jiuliseni hizo pembe 👹 sini ni. Ya kishetani😭😭, ewe Mungu utusamehe maana Dunia ya Sasa inaongoswa na shetani👹👹😭
@SHALIFUSHALIFU-id9ku
@SHALIFUSHALIFU-id9ku 2 месяца назад
Sasa hatuna kiongozi Yale aloyapiga vita nyelele ndo yanaludi viongozi wanashangilia maroboti yanasaidia nn apa kwetu ww mama mungu anakuona nawewe unaijuwa vzr dini hicho kiumbe unakipigia makofi utakipa naroho
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 3 месяца назад
Naomba kuuliza iyo pesa mgenipa mm kungekuwa na ubaya gan iyo 5 G nikapeleka mwenyewe kwa mama?
@BarakaJosephat-d1s
@BarakaJosephat-d1s 3 месяца назад
yaan mpaka nacheka kwa kwel ila tanzania bana uwiiii
@OTAIGOMNANDE-kh7ny
@OTAIGOMNANDE-kh7ny 3 месяца назад
Kwakweli mungu tusadie
@NamalaJoass
@NamalaJoass Месяц назад
Sawa
@ShaabanDaud
@ShaabanDaud Месяц назад
Huyo ni baba love
@patrixvii
@patrixvii 4 месяца назад
Let's see what is our future
@rahamkibinda6137
@rahamkibinda6137 3 месяца назад
Kwan Tanzania haipo duniani 😭😭😭
@Doreecmoyo
@Doreecmoyo 2 месяца назад
Du hii nchi inakoelekea ss Mungu anaweza akaifibyanga km karatas nakunipa kwenye moto huko maana hakuna maana kusema Kuna watu wenye timam
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 Месяц назад
KWA HIYO roboti ANAPIGIWA makofi😢
@RafaelJuma-hn3gh
@RafaelJuma-hn3gh 2 месяца назад
Watanzania tunama asikari wengi wakutosha huyo robot wakazi gan hivi titakuwa watumwa mpaka rini sisi watanzania inchi yetu imebarikiwa kuwa nawatu wasio penda fijo hatakama wanapo fanyiwa mabaya naviongozi wao napenda kuuliza nahuyo roboti atakuwa ana fanya Kazi yakurida usarama waraia watanzania au naakiwa anarinda nar atapokea mashahara je minda mboyake ikija kugoma mnajua mazara yake😢😢😢😢😢😢😢😢
Далее
ВЫЖИЛ В ДРЕВНЕМ ЕГИПТЕ!
13:09
Просмотров 241 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 5 млн