Audio produced by Bin Laden Video directed by NiCKLASS __________________________________________ E-mail : tongweroma@gmail.com Twiter : roma_mkatoliki Facebook : R.O.M.A Instagram : roma_zimbabwe
Mungu wa Paulo [Makonda], ndyo Mungu wa Daudi [Bashite], Mungu wa John [Pombe], wanamuita Yohana, Wayahudi... dah huyu jamaa kaongea kwa lugha ya sanaa iliyotukuka
I'm kenyan but this guy is the kind of people the government should support and not threaten. His in an insight and inspiration..a true definition of "kioo cha cha jamii" its official, ROMA MKATOLIKI is my favourite African musician. Deep poetry and meaningful words. Sio kuimba tu pombe na wanawake...Big up my brother ROMA, siku hazigandi...yatapita yote haya urudi nyumbani
Indeed this guy ROMA is a real prophet.I could`nt understand the meaning of this track until it happened hre in Zimbabwe. We as Zimbabweans changed the Leader.
I like Tanzanian music, of all the other things,you people are really talented in music,big up. congratulations Roma , welcome to Kenya n do some show...
Baba roma tunakukubali sana n ngoma zako zote endelea kufunua maovu usiache baba sisi tuko nyuma yako kwa maombi n sala hawata kuweza mungu akujalie maisha mareeefu sana
patricia Massawe alafu kutwa utaona viclip vyake akiimba gospel, yani ana utani na Mungu iia Mungu atakuja kumfedheesha yule, maana Mungu afanyiwi dhiaka
Uchambuzi kuhusu wimbo "Zimbabwe" wa Roma mkatoriki. Roma tangu kutekwa kwake na hata baada ya kupatikana alikuwa hajawahi kuimba wimbo wowote. Lakini sasa ameamua kutoa wimbo uliobeba "majibu" kwa baadhi ya maswali yaliyokuwepo katikati ya wana-jamii. 1. Roma anaamini kuwa kupotea/kutekwa kwake serikali ilihusika kwa asilimia zote, japo anapatwa na mashaka ya kutambua ni nani aliyewatuma watekaji.Kwa Imani yake Roma, japo hakuona "nyota" begani kwa mtekaji/watekaji lakini anaamini ni polisi/Jeshi. 2. Roma anaamini kuwa watu ni "vigeugeu",na wengine wanafiki.Wanaweza kukujaza na kukutia moyo kwa maneno lakini siyo kwa matendo.Hivyo wanaweza kuwa sehemu ya wewe kupata matatizo lakini ukishakuwa katikati ya dimbwi hilo wakakukimbia na wengine kukucheka. Kwa msimamo wa Roma ni kuwa, tatizo siyo kufa lakini je,hawa wanaobaki anawaachaje?? ikiwemo familia yake na ndg.zake. 3. Roma anaamini kuwa kwa sehemu fulani rais Magufuli amefanya baadhi yaliyo mema lakini hajafanikiwa kufikia kiwango cha mwisho.Anaamini kuwa kuendelea kumuunga mkono rais ni sehemu ya kumpa support. Roma anatoa maoni yake juu ya utendaji wa Magufuli. Pia Roma anadhihirisha jinsi alivyomtabiria Magufuli wakati bado akiwa Waziri wa ujenzi. Hivyo hapa Roma, anajaribu kutueleza jamii kuwa ni kwa namna gani nyimbo na mawazo yake huwa ni ya kifalsafa. 4. Pia,Roma bado anaendelea kuwaasa watawala na kuwakumbusha kuwa utawala wao siyo wa milele, ipo siku "upinzani" watachukua nchi.Kwenye wimbo wake, Roma anasema "ipo siku mtawala atakuwa mpinzani".Hivyo, Roma pamoja na kuzibwa mdomo na kuteswa lakini anaamini kuwa demokrasia ni njia pekee ya kukomesha udikteta. 5. Kuhusu Mbunge Kessy aliyetoa maneno yake ya "kejeli" kwa Roma.Hapa Roma amemjibu kwa kumuonesha kuwa "ukibaraka" siku zote hauna faida. Malipo ya kibaraka ni sifa za maneno ilihali wengine wanafanyiwa kwa vitendo. Tatizo la vibaraka ni kuwa hujitoa fahamu ili tu kutaka kuonekana kwa ma-boss wao. 6. Mwisho,Roma anaonekana kukata tamaa na Tanzania. Hii inatokana na sababu mbili; (a) Maneno ya chorus "nakwenda Zimbabwe",ambayo yanaashiria kuwaza juu y nchi nyingine tofauti na nchi yake. (b) Lugha ya picha inayoonesha wahusika wote wanamfuata Roma kule anakoenda.Pia Roma anafanya "gestures" au ishara zenye kuonesha kuchoka na kukata tamaa.
U have to understand that this is literature Zimbabwe is always termed as dumping political states..... So here an artist has used such name to Deriver his intention to our society. Note that....further welcome Tanzania home of peace.
tuekeni uteam pembeni this song deserve 2M views mshazoea mapenzi huku mnakufa na magonjwa hospital dawa hakuna tukesheni mpaka kieleweke still no 1 on trending 😊😊😊
Makufuli ,, Bashite na wote wasotakia mema nchi yetu hii Message nzito ni kwajili yenu na Natarajia imewafikia Wote walioguswa na ukweli huu uliochambuliwa Gonga Like kubwa sana hapa ili kuunga mkono hii message ya huzuni yenye maneno mazto ndani yake 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Friesinger 09 sikiliza dk ya 3.00 na dk 3.17 ndo utaelewa vizuri wala magufuli hajahusika ktk ubaya wa roma japo kuna baadhi ya viongozi amewatag ktk hilo sakata la utekaji, umetanguliza fikra zako na si za roma
Friesinger 09 wenzako wanaamsha dude we unaamsha kidude mtu wangu, before hujacoment elewa msg kwanza ndipo ufanye hivyo otherwise utaonekena bumbuwazi au duwanzi kwa hizo fikra zako za kuunganisha. hahahahahaaaaaaaaaaa long nshafia mbele we kafie zimbwabwe
Nina wasiwasi we #Mkatoliki hicho sio kichwa ni semi-computer, kwenye Mungu wa John na Daud hapo nimefikiria hadi najikuta nurudiarudia kusikiza, U deserve bro! Gat u! 100%√√√√
I don't understand this language but with what's going on in Zimbabwe, the graphics show that this guy is an ideal one. Zimbabweans have got a Tanzanian brother
Dah!! Mungu wa Paulo Mungu wa Daudi Na ndio Mungu wa Jon Na ndio Mungu wangu Mimi nawewe dah!! Nimesoma mnyama natamani Ni like mala 💯 yaani imepenyaaaa hata kibabe haha Wapi Mujombaaaaaaaaaaaaa!!
memorable song ,maana matukio yaliyotokea kipindi hiki ilikuwa tunaanza kuitafuta picha ya burundi na kuigandamizia kwa kuchora iache kivuli chake katika nchi yetu ndugu roma watu hawakuelewi tu ila nikiumbuka vitabu vingi nilivyosoma kuhusu ukombozi,wapinga ubepari,watetezi wa haki za wanyonge kupitia kupinga baadhi ya ufedhuli wa uongozi nabaki kuapreciate uandishi wako big up bro
hii ni ngoma kali sana na yule mbunge aliekuambia umemtukana raisi hajitambui yule si anaitwa kessy ,,,daa walisema utaonekana jumapili ndo vile vile duuuuu,kwani kua ukawa kuna tatizo gani jamani ,mhh sitaki simba wachukue ubingwa kwa vile mm ni mshabiki wa yanga ila kama huo mfano ulotoa utafaa ukawa kupata nchi wacha simba wachukue tu
anatabiri kuwa tunakoelekea Ni Zimbabwe na mkumbuke mtawala wa Zimbabwe Ni nani na utawala wake Ni upi. mwenye masikio asikie na mwenye macho aone. Viva Roma viva
This artist is a Tanzanian. He is singing about migrating to Zimbabwe (far away from his country Tanzania) because of political difficulties/problems in Tanzania.
Muziki mzuri hakika huishi muda mrefu , hii ngoma toka mwanzo nilikuwa nikiisikiliza machozi yananitoka bila kupigwa ila leo tena yamenitokea yale yale baad ya miaka miwili kupita...jamanii...