Тёмный
No video :(

RUTO ASIKIA KILIO CHA WAANDAMANAJI KENYA, AGOMA KUSAINI MUSWADA WA FEDHA ULIOZUA PURUKUSHANI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 114 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@peninashungu6633
@peninashungu6633 2 месяца назад
Wasafi kumbe Wana Habari nzuri hizi, mtangazaji anatangaza vizur Sana hongera
@Athumanisimba-m8w
@Athumanisimba-m8w 2 месяца назад
Hongera sana kenye piganieni haki yenu🎉😅😮😂🎉
@Stanley-sr3gj
@Stanley-sr3gj 2 месяца назад
Mimi binafsi napenda raisi wetu ruto lakini uchumi imekuwa mbaya mpaka tunaruka vichwa
@Ibrahim-s4t
@Ibrahim-s4t Месяц назад
We love you so much 💓💓💓 our president
@bakarisalim6482
@bakarisalim6482 2 месяца назад
Wasafi iko watangaji wazuri,i like this
@MichaelOwaga
@MichaelOwaga 2 месяца назад
We can't believe him anymore. This ruto is to resign
@MuchaiSamuel-tm8xg
@MuchaiSamuel-tm8xg 2 месяца назад
RUTO MUST GO HOME 😢😢😢😢
@user-xc5rc3jl9t
@user-xc5rc3jl9t 2 месяца назад
Kenya nawakubali Sana Acha watanzania waoga oga, Tu yaani kila mwaka ni Ccm tu kwani Tunashindwa nini kuandamana Kumpinga huyu Mama, Hatuna Mpango Nae
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 2 месяца назад
Baki na chuki zako paka ww. Mbona husemi muandamane muungano uvunjwe?! Nyau we kama huna lakusema bora unyamaze. Magu ndie alienzisha mfumo mbovu wa makodi na kuizamisha nchi hii ktk ziki. Nyinyi Samia tu. Kazi ubaguzi wa kijinga tu. Kisa Samia muislam nznz. Kwani nyerere nchi xi ulimshinda akampa mwinyi?
@chingychingy2066
@chingychingy2066 2 месяца назад
​@@awadhsalim2680muongo ww magu mwache apumzike zake mwa amani mbona kipind chake kulikua hakuna mgomo wowote kwa wafanya biashara ata cjui unaongea nn kwanza unachafua hari ya hewa tu apa
@FatmaAbdulhalim
@FatmaAbdulhalim 2 месяца назад
Hmmm jaribu vurugu uone
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 2 месяца назад
Kungury muoga ukunja mabawa yake amani ni muhimu sana kulikochochote
@machimc-uu4oq
@machimc-uu4oq Месяц назад
Yaani kiukweli wanikamate wakanitupe balini ila sijawahi kumuerewa mama
@evansmogusu8113
@evansmogusu8113 2 месяца назад
It's the Kenya constitution article 1 which has won.
@aisha_mohammed5825
@aisha_mohammed5825 2 месяца назад
Wasafi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤from 254
@AbdulrazaqChuma
@AbdulrazaqChuma Месяц назад
Enyi tungu zangu wakenya kuwen na huruma na wananchi wen manabwanaontesek niwana nchi wa kenya
@ckarithi1319
@ckarithi1319 2 месяца назад
We are requesting him to resign.
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 месяца назад
Respect 🔥🔥
@machimc-uu4oq
@machimc-uu4oq Месяц назад
Bado sisi tu Tanzania ngoja uchaguzi upite tuone anaepita nani wakati uu ilituandamane vizur
@MAKATAMOHAMED
@MAKATAMOHAMED 2 месяца назад
😢Wabongo nyie vaeni madera mtingishe viuno tik tok wanaume tuko kazini
@namelessOG1
@namelessOG1 2 месяца назад
😂😂bomboclat
@bornashae777
@bornashae777 Месяц назад
My President ❤
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 месяца назад
Safi kenya 🎉🎉🎉🎉
@JacintaMaiyu-ed2mh
@JacintaMaiyu-ed2mh 2 месяца назад
🙏🏻
@eliaisack156
@eliaisack156 2 месяца назад
Bola wa Kenya wamalize mzozo jaman
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 месяца назад
hayo ndio mambo ya maana
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 месяца назад
Mwamba tayari amechindwa nakenya hana anwani
@kevo9152
@kevo9152 2 месяца назад
Samahani Mwizi Ruto hajaskia kilio chetu bado
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 2 месяца назад
😂😂😂poleni wakenya
@DanielAlbinus-hr5nz
@DanielAlbinus-hr5nz Месяц назад
Mtoeni.madarajani.ana.jipya
@LameckZakaria-qg9vv
@LameckZakaria-qg9vv 2 месяца назад
Watoto wa magu hawa wanataka mabeberu wasichezee nchi yao mc magufuri
@SEVENGOFFICIAL
@SEVENGOFFICIAL 2 месяца назад
hakuna Kirio arisikia not kuona ariona watu hawataki bona hakufanya hivo kitambo
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 2 месяца назад
Huyu katibu mkuu buterezi ni mnafiki hajawahi kusikitika waparestina wanavyouwawa huko gaza,,,,,,, ajabu sana kwa UN kuiachia dunia G7
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 месяца назад
Kabisa wanajua saiv wafrica tunapungua ili waje kuchukua madini usikute wao ndio wamechochea asikubali mswaada😊
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 2 месяца назад
Wabongo hapa tujifunze kitu
@user-ji7sy2wi7b
@user-ji7sy2wi7b 2 месяца назад
Acha mambo ya kusifia vurugu
@FurahaSirya
@FurahaSirya Месяц назад
🎉safi sana
@Michi-media_254.
@Michi-media_254. 2 месяца назад
Wabongo mjifunze kupitia kenya
@josephineokama2200
@josephineokama2200 2 месяца назад
kabisa umoja hatari kenya
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 2 месяца назад
Tunajifunza Ila watu wasio kuwa na hatia wamefariki dunia 😅😅 na hiyo ndiyo ninajifunza [wasio kua na hatia ndio wamefariki]
@alibinali_
@alibinali_ 2 месяца назад
​@@lukafbbwebelof3874Hakuna kinacho kuja bure mpaka damu imwagike jua haki yako siku zote
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 месяца назад
Hatytaki kujifunxa ss waibe pesa zote hatujali
@amemasudi5735
@amemasudi5735 2 месяца назад
Iyo Nchi haiwi salama mpka kiama kitasimama
@mwanatumunjira1167
@mwanatumunjira1167 Месяц назад
Ushindwe
@user-ul9vk4op9u
@user-ul9vk4op9u Месяц назад
Monusco doit aller chez eux
@boraspecial201
@boraspecial201 2 месяца назад
Nina linda billionaire mimi mwenyewe nina lipwa 6,000 mwesho wa mwezi inchi yangu Kenya yangu naipenda tu kwasana ila mwanainchi anahitaji kazi na Kenya
@BahatiMitanda-f1l
@BahatiMitanda-f1l 2 месяца назад
Dunia inaenda wapi,?
@HashimSalim-yy1ix
@HashimSalim-yy1ix 2 месяца назад
Hawa ndio waiizi congo
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 месяца назад
😢😢😢Wanakufa wasio na hatia
@AliGassare
@AliGassare Месяц назад
Nko sw
@rasymb6190
@rasymb6190 2 месяца назад
Rais mpuzi tu
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 2 месяца назад
swap wanyonyj nyie munusco mmemlza madn ndio muende
@jofreyevansantony2770
@jofreyevansantony2770 2 месяца назад
😢😢
Далее
Музыкальные пародии
00:28
Просмотров 23 тыс.
Can You Bend This Bar?
01:00
Просмотров 4 млн